Тёмный

ENOCK BELLA AMJIBU BEKA FLAVOUR - "ALINICHUKULIA POA, MBOSSO NIKO NAYE POA, ASLAY..." 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 112 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 215   
@juliusmwakatage7182
@juliusmwakatage7182 2 года назад
Maneno ya Hekima na busara. Mwenyezi mungu azidi kukutunza Dogo. Keep it up!
@davianjosephjoseph3121
@davianjosephjoseph3121 2 года назад
Enock is so peace man God bless you kaka👏👏👏, Aslay na Beka wivu ndo maana vimepotea
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@sitatikennedy
@sitatikennedy 2 года назад
Ni matumaini yangu kuwa Mbosso atakushika mkono kakangu ENOCK,Zaidi ya hapo yeyote aliyewatenganisha kama yamoto band alaaniwe sana!!! mob love from KENYA
@ernestroman8264
@ernestroman8264 2 года назад
Beka flavour namjua vzr sn toka kitambo kile enzi za ifakara morogoro alikuw mswahili Swahili sn na anakaroho ka choyo
@epitomeapex
@epitomeapex 2 года назад
😂😂😂Dah ushamuonaga Vp
@omarypetro2419
@omarypetro2419 2 года назад
Enock ucwaze mwanangu tupo pamoja na wewe - viroho kwatu achana nao ndugu piga kazi BARAKA zako zipo.
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@flova7022
@flova7022 2 года назад
Maisha ni Siri kubwa..nafasi uliyopata Leo jifunze kuitumia Kwa kuwekeza ili kesho usijute.. message to everyone
@husseinyassin3237
@husseinyassin3237 2 года назад
Salute
@subiramussa1428
@subiramussa1428 2 года назад
Yes
@tgunzangar3194
@tgunzangar3194 2 года назад
Nkbl
@omaryteddy62
@omaryteddy62 2 года назад
Good good 👍
@kibetyegon6281
@kibetyegon6281 2 года назад
Kaka umenena,,,
@okwarotv
@okwarotv 2 года назад
May God be with you Enoch...happa Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunakupenda...busia,kisumu,Mombasa,nakuru,Hadi Nairobi tunakupenda....
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 года назад
DOGO unajielewa sana.. utafika mbali big up
@d-maxScarlageKe
@d-maxScarlageKe 2 года назад
@lotilazaro8845
@lotilazaro8845 2 года назад
Unaongea point then una Utulivu wa hali ya juu xana kweny kuongea kwako, big up bro
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@yunuschum3754
@yunuschum3754 2 года назад
Sema Enock yuko peace sna👍
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@elishaelisha6755
@elishaelisha6755 2 года назад
True
@mirriamwambush7696
@mirriamwambush7696 2 года назад
I salute you Enock uko mature kweli
@kalemkoracomedy2020
@kalemkoracomedy2020 2 года назад
Enocki mtulivu sana daah💯🎉
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@meekmill858
@meekmill858 2 года назад
I really like this guy ,,,God bless you brother 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@trendvibeke
@trendvibeke 2 года назад
Kenya iko love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@papykatoziking2395
@papykatoziking2395 2 года назад
my brother Enock u really know how to talk and defend yourself and others big up peace and love
@d-maxScarlageKe
@d-maxScarlageKe 2 года назад
@ezekielmkwizu1230
@ezekielmkwizu1230 2 года назад
Kaza mwanangu mziki unaujua ni swala la muda
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@kevinodari6565
@kevinodari6565 2 года назад
He's the meaning of greatness and composure. Anajitambua
@Xman-hh7ox
@Xman-hh7ox 2 года назад
#papa please help me explain for what is he saying, i really like yamoto band and still don't why they separated
@mohamedefranciscoxavier4440
@mohamedefranciscoxavier4440 2 года назад
Enock 🔥🔥🔥❤️❤️🇲🇿🇲🇿
@d-maxScarlageKe
@d-maxScarlageKe 2 года назад
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 2 года назад
Daaaah Busara nying Sana Enock
@dafaboymusic3437
@dafaboymusic3437 2 года назад
Napenda uyu jamaa sana all dhe best enock
@kascomwallpaper5819
@kascomwallpaper5819 2 года назад
Nimependa hapo kwenye kumshukuru aliye wafanya mkawa nyinyi maana sio bila yeye msingekuwa ila kutambua mchango wake ni jambo zuri sana
@elishaelisha6755
@elishaelisha6755 2 года назад
Pesa,,,isipokwepo. Tunaheshimiana na kupendana sana sana. Ikiwepo tunavimbiana na kuchukiana xna xna,
@samGtu311
@samGtu311 2 года назад
enock is so cool I like
@asiakashonda1669
@asiakashonda1669 2 года назад
Enock upo ur smart boy... Kaza kaka kaza sana....
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 2 года назад
Beka ni mshamba sana achana nae
@djkrugersnr4093
@djkrugersnr4093 2 года назад
Very composed man with maturity interview
@d-maxScarlageKe
@d-maxScarlageKe 2 года назад
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@okwarotv
@okwarotv 2 года назад
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we real love you Enoch....may God bless you Enoch their was a day you will be somewhere bro...jitahidi sana
@Xman-hh7ox
@Xman-hh7ox 2 года назад
Please can someone help me explain what is he talking about mbosso and yamoto band
@dericktouch5723
@dericktouch5723 2 года назад
Aslay tunakafaham hua kana roho fulan iv ya kukunja alafu anavimbaga sana na ndo maana anazidi kupotea na ataisha mdogo wetu Enock tunakukubali sana brother piga kazi huyu mungu anakusika na kukuona ulivo mtulivu
@sifatiiman
@sifatiiman 2 года назад
we nae mbwa koko nini huyo Enock bella kwa mziki gani?
@dericktouch5723
@dericktouch5723 2 года назад
@@sifatiiman acha ushoga wewe
@sifatiiman
@sifatiiman 2 года назад
@@dericktouch5723 mimi na wewe nan shoga maana we ndio wa kiume mix kike kwa nyuma🤪🤪🤪
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 2 года назад
Acha usenge wewe anakunja nini umekula kande zako unaongea utumbo tuu
@salumsalim7564
@salumsalim7564 2 года назад
Aslay wenyewe cjui km hajafa kiufupi pambna mung atakuona then kuongea ni kipaji unajua kuongea broo🤝🫂
@frankmueni8576
@frankmueni8576 2 года назад
Safi Sana enok...
@charlieemperial2506
@charlieemperial2506 2 года назад
Coolest interview i ever watch 🔥🔥
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 2 года назад
Wise Man always 💜
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 2 года назад
Aslay anaakili sana nampongeza.. Yaan watu imelipwa mil'500 kila m1 akapewa mil'2. Dharau hiyo Dudubaya daah
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 2 года назад
Omba sana ujue kuongea enock Yuko poa and peace sanaaa
@lesliechelsea
@lesliechelsea 2 года назад
Enocki ana busara sana🇰🇪
@salimmwakaribu942
@salimmwakaribu942 2 года назад
Bt umerizika broo afya iko Sawa
@edwinikhanje5153
@edwinikhanje5153 2 года назад
Enock i love you
@johaneslwiza6504
@johaneslwiza6504 2 года назад
Kupambana siku zote lazima ukutane na vizingizti vingi ili ufanikiwe❤❤
@d-maxScarlageKe
@d-maxScarlageKe 2 года назад
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@OfficialBlanco796
@OfficialBlanco796 2 года назад
Enock yuko peace na kila mtu
@ernestroman8264
@ernestroman8264 2 года назад
Nakukubali sana enock bella
@samuel2vue639
@samuel2vue639 2 года назад
Enock poa sana yani mpenda amani na mpambanaji
@amken
@amken 2 года назад
Hapa ni team mbili Team A aslay na beka Team B Mbosso na enock
@mwanajafari7794
@mwanajafari7794 2 года назад
Upo sahihi sana! Naona Kuna usnich sana unaendelea baina yao! Kwasasa hatuwezi kujaji hadi Aslay atoe neno na yeye maana Kama anakanyagiwa sana
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 2 года назад
Hawa wanatakiwa wote wawe kwenye interview moja kila mmoja aseme chake, ila inaonyesha kuna anaye wachonganisha ili kuwatawanya, wanatumia kanuni ya wakoloni ya "DEVIDE AND RULE", Wana gombanishwa wagawanyike ili watawalike kirahisi
@AbuBakar-fu9ov
@AbuBakar-fu9ov 2 года назад
Tuwekeeni introduced ya aliyah tuu jmn acheni kutuwekea mikolomo😁😁😁
@godfreymsigwa2733
@godfreymsigwa2733 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@Kiulaini
@Kiulaini 2 года назад
Hawa wasafi wachonganishi wanataka mboso msanii wao aonekane mzuri wengine waonekane wabaya
@dontsto3865
@dontsto3865 2 года назад
Aslay na beka toka mwanzo wako ki ubinafsi na ni watu wa kukunja Enock umetoka na utahit tena wewe endelea kufanya kazi
@meedyshow8807
@meedyshow8807 2 года назад
Ubinafsi gani bana kila apambanie kombe lake na mechi zake bro ata wewe usipo pambana utafeli
@dontsto3865
@dontsto3865 2 года назад
@@meedyshow8807 Mm siwezi feli ndugu kabisaaa.alafu katika kucheza mechi zako usiwafanye wengine wajiskie vibaya ama kuwatengezea mazingira waonekane wabaya
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 года назад
Usitegemee kampanisana muzikihaunaundugu kilammojahupendaawe juuyamwingine
@ommyray7539
@ommyray7539 2 года назад
Kijana ana ufasaha wa kuzungumza
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 2 года назад
Ila Aslay Na YEYE ukimya Unahtusha Saana Aiseww
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 2 года назад
Ucjar enock Mungu yuko nawee
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 года назад
Utapenya sana tu kikubwa angalia style gani itakufaa kulingana na wakati namaanisha lazma ujue unafiti kwa style IPI..
@fredricknyangweso4037
@fredricknyangweso4037 2 года назад
Peace ♥️♥️
@MrTogetherWeWin
@MrTogetherWeWin 2 года назад
akili mtu wangu 💯💯💯
@rashbwoy1557
@rashbwoy1557 2 года назад
Bella love from 254
@lilmantruth4052
@lilmantruth4052 2 года назад
Kafanana na kondeboy
@jumaayubu
@jumaayubu 2 года назад
Yaani hawa vijana kutoa ngoma ya yamoto Ni ngumu kulingana na interview zao nilizozisikiliza
@amonibalole
@amonibalole Год назад
Kweli hawawezi kutoa ngoma
@humphreynyiti516
@humphreynyiti516 2 года назад
Point sana huyu jamaa
@bongotricks-tz
@bongotricks-tz 2 года назад
Umeongea kikubwa
@ngwanasongowelero7153
@ngwanasongowelero7153 2 года назад
Nikweli kweli bana
@issamanongi1902
@issamanongi1902 Год назад
Dogo acheni utimu fanyani kazi kwakuwa mm kwa utashi wangu naona kama mnavimbiana wenyewe kwa wenyewe
@Mravk254
@Mravk254 2 года назад
Enock🇰🇪🌍
@kastorkidumu6579
@kastorkidumu6579 2 года назад
Mwogope Sana mtu mwenye uwanja
@deejaychidybishow176
@deejaychidybishow176 2 года назад
Kikubwa sana
@kivuswahilitv6833
@kivuswahilitv6833 2 года назад
Huyu dogo ana talent ya kuongea yaani ana ongea point bila kinyongo ana ongea kwa hekima sana
@malumethedon1411
@malumethedon1411 2 года назад
Aslay sasa
@beatussimon815
@beatussimon815 2 года назад
Hapo nyie mmejitenga wenyewe, mbosso na enock,, aslay na beka ss kilichobak mnajisnich wenyewe😆😆
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад
🔥❤️🔥
@enocksosthenes4505
@enocksosthenes4505 2 года назад
Dogo umeonyesha ukomavu mkubwa sana kati interview skills na pia unajitambua. Kwani ubaya haulipwi kwa ubaya bali kwa wema. Umenena vema sana
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz 2 года назад
Kwaiyo kati yenu nani nkweli?
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 года назад
Ukifatilia izi interview za hawa wote haki utagundua ASLAY NDO TATIZO KUBWA SANA
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 2 года назад
Ww acha kumpa mtoto wa watu wewe unamfahamu aslay wewe mchawi hapo ni.fella wamelipwa milioni mia 5 wanapewa milioni 2 kila mmoja yy ndio chanzo
@chiefnyanda3260
@chiefnyanda3260 2 года назад
Tano
@absolommkabwa3561
@absolommkabwa3561 2 года назад
Napenda mziki wako sana
@remmymhalla3323
@remmymhalla3323 2 года назад
Aslay hana Ushirikiano na simu yake. Kama najiona vile. Inabidi tuwe na ushirikiano na simu zetu jamani tunawakwaza watu.
@bablee0016
@bablee0016 2 года назад
Kiufupi ..Aslay ana Ubinafsi.
@salim02tv24
@salim02tv24 2 года назад
Facts...
@suwediselemani8884
@suwediselemani8884 2 года назад
Ameongea vzur sana
@tizedboy
@tizedboy 2 года назад
Kuvaa hicho kitambaa hivyo ndio nini, nisaidieni hapo. Nawaona wanazidi kuwa wengi.
@tgunzangar3194
@tgunzangar3194 2 года назад
🤣🤣kuna baridi
@tizedboy
@tizedboy 2 года назад
@@tgunzangar3194 Dar?
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 2 года назад
Nilichogundua beka na aslay hawampendi mkubwa fella na enock bela na mbosso wanamkubali mkubwafella, kwaiyo tofauti yao ndio iyo inayowafanya wawe na matabaka, pia wivu unachangia sana
@Neptune254music
@Neptune254music 2 года назад
Debase 🔥
@paulkirimindandu833
@paulkirimindandu833 2 года назад
Nichompedea asley hausikangi kwa hizi mambo ya interviews
@stevenchenga1978
@stevenchenga1978 2 года назад
Na ujue yule Aslay ndo tatizo lenyewe kwa wenzake
@alfarnb9923
@alfarnb9923 2 года назад
Huyo aslay ndio Tatizo sasa unampendea nn sasa apo
@salim02tv24
@salim02tv24 2 года назад
Kipindi iki chakati alikuwa ayuko vzr
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 года назад
@@alfarnb9923 Aslay hataki kuwa mtumwa ndio maana watu wanamuona anaringa hatakama hana kikubwa ila kidogo anachopata kinamtosha.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 года назад
@@sonnyr1899 Umeonaeee na sikuzote ni bora uridhike na kile kidogo unachokipata 🤲🙏🏼
@Marsemo
@Marsemo 2 года назад
Nacheka tu,
@plumbingandtilesservce5271
@plumbingandtilesservce5271 2 года назад
unajielezea Sasa kijana acha usin'chi
@maskas2669
@maskas2669 2 года назад
Safi sana enock..tutafutane
@kascomwallpaper5819
@kascomwallpaper5819 2 года назад
Tabata Singara ground home sweet home 🏡
@victormartin1696
@victormartin1696 2 года назад
Kama ni kweli hivi ndivyo ulivyo sio camera trust me bro utafika unapopataka
@wiseman6276
@wiseman6276 2 года назад
Pambana ww kama ww usisubir suport ya mtu atakayeona kuna haja yakusuportiana sawa ukisubir support ya mtu utachelewa kufanya mambo yako pambana bila kukata tamaa
@salim02tv24
@salim02tv24 2 года назад
Kajieleza vzr Kama umeelewa
@mumspencernleah8037
@mumspencernleah8037 2 года назад
Coolest man 🇶🇦
@mdbosco1640
@mdbosco1640 2 года назад
🥰🤙
@johnaseneka2024
@johnaseneka2024 2 года назад
Aslay ana Nini jamani? 🤔
@khalidsoud235
@khalidsoud235 2 года назад
Media zawagonganisha nyinyi madogo
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 2 года назад
Kabisa, na wasipo stukia hilo watajikuta wako kwenye bifu zito kisa media
@kalistotv8795
@kalistotv8795 2 года назад
Ni technic ya kuwarudisha mjini bro believe u me
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 2 года назад
Oy wadau naomba pitia pitia file langu
@luckyrasuli525
@luckyrasuli525 2 года назад
Kuna kitu mlimfanyia huyo asily
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 2 года назад
Huyu naye
@enockkindole5865
@enockkindole5865 2 года назад
Enock unajua kuongea napenda kuangalia mala mbili mbili
@andersonmwajumwa2844
@andersonmwajumwa2844 2 года назад
Msee unajua kujibu maswali
@andrewsimonrich4480
@andrewsimonrich4480 2 года назад
Kama mnataka waptane mkisha wamliza tote muwaite kwa pamoja muwa patanishe kama kwel mna taka waptane
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 года назад
Wanapenda kugombanisha kuliko kuwapatanisha .
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 2 года назад
Aslay mbwaaaa tyu
@eliyutamoyo1034
@eliyutamoyo1034 2 года назад
Mbwaaa mama yako na baba yako mkundu wee
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 года назад
Alie wauwa Nyie mnamjuwa ila nyote mnaogopa kumtaja. Nimesikiliza interview Ya dudu Baya juzi juzi kataja nani alieweka sumu kwenye kundi lenu.
@romanavarentine8755
@romanavarentine8755 2 года назад
Ni nani kwani jamn
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 года назад
@@romanavarentine8755 Ndugu nenda RU-vid tafuta interview Ya dudu baya mpya utasikia kila kitu lile jama watu wanaliona chizi ila lina akili kubwa sana na haliogopi mtu.
@Lachytz
@Lachytz 2 года назад
Tunashangaa zinafanyika interview za kumfanya aslay aonekane mbaya wakati hakutaka utumwa,mbosso utalelewa mpaka lini? ,ringa na Uhuru wako jipime mafanikio kwa uwezo wako enock pambana ukipambana hautamuona m2 yeyote kua mbaya
@salim02tv24
@salim02tv24 2 года назад
@@Lachytz Sasa awo wenye uhur wanamaendeleo yapi kimuzik..
@leonardgervas7515
@leonardgervas7515 2 года назад
Wanataka kumpaa ubaya aslay
@jacobodongo3917
@jacobodongo3917 2 года назад
Aslay na Beka Flavour ndio waliharibu yamoto, wabinafsi, na wivu, na kijiona ndio wabora kwa group
@li9onlinetv
@li9onlinetv 2 года назад
suberscbur🙏🙏🙏💯
@enockkindole5865
@enockkindole5865 2 года назад
Dogo unajua kuongea
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 года назад
Mumtafute na Asley
@Lachytz
@Lachytz 2 года назад
Mbona aslay anafanywa kuwa mbaya siku zote enock pambana ujikwamue na hali yako ulipo ukiendelea kung'ang'ania kunyanyuliwa daily utawaona nduguzo wabaya epuka entrviews za kichonganishi wao washajipanga kuna ki2 wanakitafuta so pambana ndugu
@j...876
@j...876 2 года назад
Mbona Aslay ka sonta 😄😄
@Lachytz
@Lachytz 2 года назад
@@j...876 ndo tunashangaa sasa
@Lachytz
@Lachytz 2 года назад
@@j...876 ndo tunashangaa sasa
@joleenmasha
@joleenmasha 2 года назад
Je aslay atakubali kufanya Interview na yeye tusikie upande wake?
@Lachytz
@Lachytz 2 года назад
Interview za kichonganishi hizo kama ana akili aendelee kukaa kimya tunajua kinachotafutwa mpaka aslay aonekane mbaya najua shda ni waseme aslay mbaya mbosso acha kutumika
@salim02tv24
@salim02tv24 2 года назад
@@Lachytz now m2 akijielezea ukwell bhass anatafutaa ugomvi
Далее
На самом деле, все не просто 😂
00:45
🎙А НЕ СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?🕺🏼
3:06:10
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 76 млн
EXCLUSIVE |MBOSSO NA SIRI YA MAFANIKIO YAKE
14:01
Просмотров 75 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45