Usife moyo dogo,kuna kuanguka na kuinuka but cha misngi ni wewe mwenyewe kujiamini.Kusemwa kupo but usiangalie hao ma haters still we love your music and God who lifted you from grass to fame he's still their+254🇦🇪
Leo ndo siku pekee kumuona na pia kusikia maongezi yenye utulivu mzuri kama huu yaani jama ametulia sana kwenye kujibu maswali na hata muojaji naye alikuwa vizir big up enock
Kwanza Hongera Enock mm mwl wako tangu nikufahamu ukiwa shule Unubini ulikuwa na kipaji,siku zote mafanikio huja na changamoto,songa mbele kijana wangu,Unaweza.
Babu unajuwa music ila ni watu hawajuwi kuwa unanini ndani ndio maana huwa wanakuropokea ila kaza buti wako mbioni kukuelewa nakutabiria bado mwaka mmoja