Тёмный

ESHABUHETI AWACHANA WANAOSEMA KAOLEWA NA MTOTO MDOGO/NIKIMUONA NAMUAMKIA/MDOGO KWENU 

Bona Tv
Подписаться 394 тыс.
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
ESHABUHETI AWACHANA WANAOSEMA KAOLEWA NA MTOTO MDOGO/NIKIMUONA NAMUAMKIA/MDOGO KWENU
#Bonatv #Exclusive
#diamondplatinumz #harmonize #nandy #marioo #zuchu #alikiba #rayvanny
#yangasc #simbasc #ligikuunbc #mayele #alikamwe #ahmedyally #hashimuibwe #wasafitv #live #millardayo #ayotv #entertainment #soundcloud #spotify #podcast #vlog #music #newmusic #1ontrending #eshabuheti #singidabigstars

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 162   
@najuf8021
@najuf8021 Год назад
Hapo kwa Allah ukimuomba unachotaka anakupa kwa wakat hata sikatai aisee Allah nimwingi wa rehma ALHAMDULILAH
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Год назад
Daaah yaani unakunya chooni unaomba Mungu!!!!
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Год назад
Daaah eti linakunya linaomba Mungu???
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Год назад
Weeee Najuf jiulize linakunya mavi yananukaaaa mfyuuuu daaah!!! Eti hapo hapo linaomba Mungu!!!
@esthermkala4217
@esthermkala4217 Год назад
Dada mdogo wangu age is just a number, congratulations 👏
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Год назад
Esther mkundu wewe!
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Mashallah da Esha hongera sana 😘
@minnahhers7437
@minnahhers7437 Месяц назад
Ma shaa Allaah Allaah awajalie maisha mema
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Masha'allah mungu awadumishe ktk ndoa yenu🤲
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Год назад
Maskn eshe katendwa hyu...anajibu kwa uwoga ila .ka fall in love.ALLAH AKUSIMAMIE WW NA HALALI WAKO INSHALLAH...MZIKANE.superwoman..🥰🥰🥰
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Год назад
Mume kazaa na shoga ake
@queenofireland898
@queenofireland898 Год назад
Amin
@halimakanik8789
@halimakanik8789 Год назад
Z ochu official inauma sana
@vickydan2869
@vickydan2869 Год назад
Amina
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
@@OfficialA83640 eeeeee mtihan
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Год назад
Usimsifie sana awatabiliki hao
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 Год назад
Umeonaee wakiachana ndio utaskia nlikua navumilia tu hawa viumbe mwanzo ni wazuri sana
@hadijaabdallah8614
@hadijaabdallah8614 Год назад
Hao watu si wakupenda 😂😂😂
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
afu kwa maelezo yake tu yeye ndio alikua anamshobolea na wakija kuachana mtakuja kuona au kuyasikia🤔🤔
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Год назад
Mashallha hongera dd maa is siyo kwa sifa hizo kwa mumeo mashallha arafu mnafanana wenyewe
@hozaboss
@hozaboss Год назад
///。 。。
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Год назад
Hongera dada Kwa kuolewa munguawe mumemwema inshaallah
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 Год назад
Amiin 🙏 wajna
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Год назад
​@@faridaabdallah7424weeeh nyau farida nyau weweee!!! Unatombwa na hilo bayaaaaa!! Eti unaliita baby!!!
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Congratulations my love sister esha m/mungu akusimamie dada Mtu
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 Год назад
Ongera Eshe mashallah. Mungu aichunge ndoa yenu
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 Год назад
MashaAllah Allah atujaalie sote
@salminasalim5630
@salminasalim5630 2 месяца назад
Usijali ni Suna hata Mtume Mhammad SAW alimuoa Bi Khadija alikuwa ni mkubwa sana Lakini si wakiishi. Tuombe uzima na Dini inaruhusu endeleeni kumcha Mungu. IN SHAA ALLAH
@neyney1907
@neyney1907 Год назад
nampendaga uyu dada jamani
@mariasmith4301
@mariasmith4301 Год назад
Hongera Sana Esha
@veronicaalfred
@veronicaalfred Год назад
Hongera dada Esha mi huwa napenda sana unavyoigiza♥️♥️♥️
@jamilaathumani8903
@jamilaathumani8903 Год назад
Niwatakie heri kwenye ndoa yako mama,,kila la heri na mdumu milele amina
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 2 месяца назад
Usijisifu Sana....
@lulugama1547
@lulugama1547 Год назад
Umenigusa sana Esha wangu
@bennamush4616
@bennamush4616 Год назад
Nimependa kila mtu kashika maick yake hivi ndo Safi na ni usafi pia hongera dada esha mzuri
@tatusalum5728
@tatusalum5728 Год назад
Mashaallah Allah akulindieni ndoa yenu
@nissamwapoladi7345
@nissamwapoladi7345 Год назад
Af hv vicheza mpira ni Hatareeee.vinajua vinajua vinajua tenaaaa.❤
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Год назад
Nissa daaah ulikazwa hadi ukatoka chupi imejaaaa uharo au???
@faarahally3888
@faarahally3888 Год назад
Mashaa allah dada kweli
@rithaferdinand3738
@rithaferdinand3738 Год назад
Hapo kwenye udogo mm nimekuelewa sn jamani we mdada una akili mpaka zinamwagika aiseee, hongera sn weshu
@fatmaahamadabass8080
@fatmaahamadabass8080 Год назад
Tatizo watanzania wanajaji sana kuolewa ni mpango wa Mungu ht kuachika ni mwisho wa rizki tu jmn
@consolatatemu8613
@consolatatemu8613 Год назад
Utaki mwangu wenye mtoto wakat wewe unawatoto
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Wkt kamuomba Allah na yy ndie aliempa ujue hayo ni matakwa ya huyo mume pia. Mana yy anazijua nafs zetu sote na anazijua zinataka nn. Huezi kujua inaezekana na huyo m'me alikua akiomba anataka mke mtu mzima aloachika na awe na wtto.
@maryowen7490
@maryowen7490 Год назад
wakati wa MUNGU ni wakati sahihi
@zaynamushi7565
@zaynamushi7565 Год назад
Allah akulinde mwaya muishi kufa na kuzikan
@qrrrqtqt9976
@qrrrqtqt9976 Год назад
MASHAALLAH MOLA AWAJALIE KHERI KWENYE NDOA YENU
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Год назад
Hongera sana ndoa ya kheri
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 Год назад
Huuyu dada Nii mzurii mno nilikuana nae kweny boat ya azam
@salhasaid499
@salhasaid499 Год назад
I love you Dada esha
@esthermkala4217
@esthermkala4217 Год назад
Mashallah Mashallah
@zoozzoz9879
@zoozzoz9879 Год назад
Hongera
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Mkaka mzur halafu anaonyesha ana sura ya upole ndio unakuwa na uwoga ukitoka kwenye shida
@bennamush4616
@bennamush4616 Год назад
Ila bhana kamwanaume kadogo dogo kana Raha ya yake kwanza wanajua kupenda Wana mahaba mazito hongera dada enjoy na mume wako wasikuzoee
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Год назад
Ila kamwanaume kadogo anakanyonya mbooo!!!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Wawahili kuolewa kila siku mpaka jike linezeheka lina miaka 60 bado linataka kuolewa tu
@spreadlove5300
@spreadlove5300 Год назад
Eshe jamani unaonekana umeshikwa haswa 🤣🤣🤣💜
@aminaamina3972
@aminaamina3972 Год назад
Kwali kabisa
@shangazizaynyenzi3121
@shangazizaynyenzi3121 Год назад
Mdogo kadi ya clinic anayo anayoengea?
@catherinekanono4298
@catherinekanono4298 2 месяца назад
Ukweli ameolewa na mtoto huyu kijana angeoa msichana wake esha
@idaiaseverino3769
@idaiaseverino3769 Год назад
Ongera sana kipenzi
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 Год назад
Wewe ni mwanamke mwema dumu katika kuficha mambo yako please Katika interview yako umefaulu kwa asilimia 97 hiyo tatu niliyokunyima kwa sababu ulitetereka kidogo Kukataa kusema yaliyo kusibu ni uungwana Allah akupe stara zaidi Amiyn
@mahijjaeidi9144
@mahijjaeidi9144 Год назад
ManshaAllah Allah anijalie nmm
@saadamoshi1478
@saadamoshi1478 Год назад
Kawaida. Hongera sana dada
@HaniphaBaib-pz1cv
@HaniphaBaib-pz1cv Год назад
Unaonge kwaustarabu dada yangu nimekupenda story yako kama yangu
@Ann-Strong
@Ann-Strong Год назад
Napenda Ndoa za ki islamu, nikama mchezo wa hide &seek, unaolewa , unaachika bila vurugu mingi
@tatotato506
@tatotato506 Год назад
Kalibu bac kwenye uislamu
@Ann-Strong
@Ann-Strong Год назад
@@tatotato506 nifunze Yale maombi mnaomba kimya kimya, hii ni ndoto Yangu IPO siku nitakua Muslim
@irenekasa7113
@irenekasa7113 Год назад
🤣🤣
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Год назад
@@Ann-Strong yani karibu sana kwenye Uislam! Mungu atakuwezesha kwa haraka tu uingie!
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 Год назад
😅😅😅
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 Год назад
Mbinafsi ww , Yan ww una watoto alafu uombe uolewe na mtu hana hata mtoto, wanaume wanajifcha sna uckute ana watoto pia
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Год назад
Mbinafsi na roho mbaya🤣🤣🤣
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Aliemuomba ni Allah na aliempa ni Allah. Hata ukiona hivyo ujue nayy huyo mume ama mbinafs hataki mtto kabsa au pengine nayy ilikua dua yake apate mke mwenye mtto.
@sahiyaali4466
@sahiyaali4466 Год назад
Matured enough
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Год назад
Inawezekana may be😄
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Год назад
Beki kilaka from Ndanda,mbeya
@habbibtymonah6912
@habbibtymonah6912 Год назад
Wenzangu wa 8month wanaolewa mm 5yrs bado naangaliwa kama naweza kuwa mke wa mtu au laa🤣🤣🤣🤣
@muniramuniraally5357
@muniramuniraally5357 Год назад
😂😂😂 run run run
@sabrahswalleh773
@sabrahswalleh773 Год назад
😂😂
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 Год назад
Pole 🤣🤣🤣🤣
@dayana5513story
@dayana5513story Год назад
😂😂😂
@marrymaganga8585
@marrymaganga8585 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@ummySheikh72
@ummySheikh72 Год назад
Mungu akupe ndoa ya kheri na maelewano! Ila usijiamini saana wanaume mimi si wa amini saana. Mungu akusaidie
@athmanrajab2448
@athmanrajab2448 Год назад
Iweje Utake Mume Hana Mtoto Ila wewe Uko na Watoto 😮😯😮😯
@natamihambo8077
@natamihambo8077 Год назад
Ni maamuzi tu
@shamiraathuman4478
@shamiraathuman4478 Год назад
Huhuhu
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
ndio apo sasa mtu mzima kishet huyu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
😍
@tausimohd9622
@tausimohd9622 Год назад
Tunakuombea dada uishi kwa amani kwenye ndoa yako
@zeyounhabibty8587
@zeyounhabibty8587 Год назад
Tunaomba unaehoji usimkate mtu akiongea unakata pale pazurii
@mussamc641
@mussamc641 Год назад
Ina mdaaaa?
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 Год назад
Kila kitu I think duuu hich kingereza jaman
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
😂😂😂😂😂bora tu mi sikijui najipigia zangu kiswahili tu
@LovelyRacingHelmet-iv6ti
@LovelyRacingHelmet-iv6ti 2 месяца назад
😀😀😀
@nawechi4818
@nawechi4818 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Год назад
Ukiwaona insta wadogo kumbe mashavu yameshawashuka
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Mbona ypo kawaida tu na mashavu mazur tu
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
😂😂😂😂
@irenekasa7113
@irenekasa7113 Год назад
🤣🤣
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 Год назад
Uo uhasidi tu mbona mzuri nahata kama kashuka mashav ndo yake ujue ushamsengeja hapo ushapata dhambi naushampayia thawabu
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 Год назад
Ishakuwa fashion kuolewa na vitoto
@irenekasa7113
@irenekasa7113 Год назад
🤣🤣🤣
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
😂😂😂
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 Год назад
Unajidanganya dada ametulia tu huyo ngoja mzoeane ndio utamjua ni mtu wa namna gan
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
yaan anajimaliza afu kwa maelezo yake tu yeye ndio alikua anamshobolea na wakija kuachana mtakuja kuona au kuyasikia yoote
@ubongosahihi
@ubongosahihi 5 месяцев назад
Kwa sasa tuwaombeeeeee 🙌🏾
@lissaseif4744
@lissaseif4744 Год назад
Alafu mnazingua nyie saut inajiludiia
@shamiraathuman4478
@shamiraathuman4478 Год назад
Adi kero
@mamaikram7573
@mamaikram7573 Год назад
mdogo Kwani haipiti
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
😁Ni mweupe 😁
@dayana5513story
@dayana5513story Год назад
Nami nashangaa😂
@mariambilonkwa5183
@mariambilonkwa5183 Год назад
Au inamabega
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Год назад
😄 🤣 😂 😆 😄
@rezicky
@rezicky Год назад
Ndoa haina chaudogo Dada kikibwa kuhshmiyana tuu
@zainabuyohana3780
@zainabuyohana3780 Год назад
Kwani kaachana na baba wawatotowake
@paulinewangila3899
@paulinewangila3899 Год назад
Ndio
@mwajumaomary5935
@mwajumaomary5935 Год назад
Haloo jamani usitake nikaelezea ukubwa uko wapi 🤣🤣🤣 nimeipenda iyo
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Waislam wanaishi kwenye mahusiano yani inamaanisha zinaa halafu ndoa mtihani
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 Год назад
Mahusiano yanaweza kuwa bila kuzini mana huyo nimjane lazma kuna vitu waulizane wapange nahasa kama anawatoto wakubwa acha dhana mbaya hasa zakumfikiria zinaaa
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
tulia Wewe kafiri mkubwa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@sifatiiman unamjuwa kafiri wewe sasa wewe ulokuwa muislam ugejianiika
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@sifatiiman Masikini roho yko sijui nikwambie
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@sifatiiman wewe mwenywe ukute apo unaishi kwa kudanga mbona umepaniki ukweli umewaigia malaya mtarajiwa
@aminaamina3972
@aminaamina3972 Год назад
Hongera Dada mungu akudusha kwenye ndoa yako
@tausimohd9622
@tausimohd9622 Год назад
Tunakuombea dada uishi kwa amani kwenye ndoa yako
Далее