Тёмный

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: NIFFER ATAKA KUJIUA KISA MAPENZI - "NILISIMAMA KATIKATI ya BARABARA SINZA ILI NIGONGWE NIFE"...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 Год назад
"Watu Bado hawajajua" Kila mtu awe mwanamme au mwanamke ana mtu wake mmoja tu ambae mungu amempangia kwaajili ya kuwa mke wake au mume wake wa maisha ni kutulia tu na kumwomba mungu muda sahihi ukifika mungu atawakutanisha tu na utaona mnaendana Kwa Kila jambo na tabia unazozipenda anazo. Tatizo watu wengi ni tamaa, haraka na kuchagua, ndivyo vinawafanya wadada au wakaka kuangukia Kwa watu ambao si sahihi na katika muda ambao si sahihi na kukamatwa na ibilisi anakuletea mtu wake anaejua mwenyewe. Tamaa->ya pesa,utajiri,mwonekano,maisha mazuri,maumbile etc Haraka->haraka ya kutaka kuolewa au kuoa,haraka ya mafanikio ya kimaisha etc Kuchagua->machaguzi na vigezo husababisha kuangukia Kwa mikono ya ibilisi. Utakuta mdada au mkaka anampangia mungu mtu anaemtaka awe mrefu,mweupe,awe smart, awe mzuri hahaaaa😂😂😂😂utaumia shauri yako.
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Год назад
❤ umeongeo point
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Год назад
Hongera,unashawishi mabint kujitafakari na sio kupweteka
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 Год назад
Una spire san niffer mabinti wajifunze kitu 😊😊
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 Год назад
Your good 👍 👌
@fgrouptv4409
@fgrouptv4409 Год назад
Keep it up, Niffer, you are so smart 👍👍
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Hivyoo ulivyo nzur mashaalah hizo ni nywele au wingi kama ni nywele mashaalah mungu akuzidishiye kama huna njoo uchukuwe zangu swa sina choyo mm wala roho mbya ndungu😅
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Год назад
Anamalezi huyu binti kalelewa kaleleka 🎉🎉🎉🎉🎉
@hyacinthe313
@hyacinthe313 Год назад
Nife mzuri ira
@WitinessJoseph
@WitinessJoseph 4 месяца назад
Nakupenda Sana mfano wa kuigwa kwa mabinti
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
Binti hongera unajitambua
@ashahassan2120
@ashahassan2120 Год назад
Mm nakupenda
@joycerichard9274
@joycerichard9274 5 месяцев назад
Hongera sana nifa mdogo wangu
@ibrahimseif7859
@ibrahimseif7859 Год назад
Wenge wakipata wanaonekana bora mwawatu ukifeli wanakuzalau
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 Год назад
Nakupenda xana niffa
@dostovan5142
@dostovan5142 Год назад
Vijana wanajiongoza wenyewe ndo shida
@AzaShamba
@AzaShamba Год назад
Niffer❤❤❤❤❤❤❤
@JasintaYesse-bt1tp
@JasintaYesse-bt1tp Месяц назад
Yani neema ya Mungu ikikutembelea unaweza ukahisi wewe ni mtoto wa mwisho wa Jehova word😢
@Zainabuabdalah-vw1xw
@Zainabuabdalah-vw1xw 4 месяца назад
Hongera sana 🎉
@musa-v3f
@musa-v3f Год назад
Dada Niffer pole kwa yaliyokukuta nataka mashati mawili ya shs 50,000 nitapata dada?
@MamaaJanja
@MamaaJanja 10 месяцев назад
Nakupenda niffer
@MwanaidiKatogota
@MwanaidiKatogota 10 месяцев назад
Nakupenda
@albinombungu4294
@albinombungu4294 Год назад
Aje kwangu, nampenda sana
@kundiseleman6670
@kundiseleman6670 Год назад
Kweli kabisa
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 месяца назад
Mapenzi shikamo💔😭
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 Год назад
one ya 7 ...... ok ok ok ok
@mozuu1260
@mozuu1260 Год назад
😂
@IshaHussen-l9q
@IshaHussen-l9q Месяц назад
Aisee naamini ipo siku ntatoboa na mm
@josephifanda5626
@josephifanda5626 Год назад
Mapenzi yanawasumbua sana mabint WA dar,wengi waongo na wanaume wanajua sio waaminifu acha watendwe
@lulumasangwa9962
@lulumasangwa9962 Год назад
Mbona wengi wanaokufa nakuuana kisa mapenzi sio wa dar😂
@subiramkwawa674
@subiramkwawa674 Год назад
Mmh mama ake single mother na anawadogo wa primary School aau basi hayanihusuu😂
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Hii😢
@lilianpuka218
@lilianpuka218 Год назад
Siunge jiua tu kwani ww wa kwanza acha uwongo
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 месяца назад
mapenzi unayajuwa au unayasikia, au angejiuwa wewe ungefaidika Nini ndo ungeishi mirere
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Год назад
Maneno mengiiii...mashauz mengiii
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 Год назад
Umeona nn had wasema hayo
@rayaomar6299
@rayaomar6299 Год назад
Bangi hizo
@agathandako8816
@agathandako8816 11 месяцев назад
Natamani niwe na rafiki Kama wew
@ndolehamisi5567
@ndolehamisi5567 Год назад
unaeza lelewa na baba na mama na bado changamoto zikawepo, hata wanaoletewa maua wana changamoto zao banaaa
@Neema-p7v
@Neema-p7v 10 месяцев назад
Kabisa yaan
@neemaandrew2419
@neemaandrew2419 Год назад
😢😢😢😢😢
@juliananakwawi6863
@juliananakwawi6863 11 месяцев назад
Form 6 bt you don't understand English mmh!so funny 😂😂😂😂😂😂
@albinombungu4294
@albinombungu4294 Год назад
Aje njombe
@nicewatson6264
@nicewatson6264 Год назад
Mekupenda bure agement
@AggyBarick-fh9wv
@AggyBarick-fh9wv Год назад
Nakupenda niffer
Далее
I Did This With Coffee! 🤯☕️ #shorts
00:22
Просмотров 215 тыс.
Cook with Wema Sepetu - S07E03 Niffer
8:04
Просмотров 75 тыс.