Тёмный
No video :(

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: DADA Anaye TREND kwa KUBUNI "KISINIA", MASTAA KIBAO WAMIMINIKA KUMFATA..
Global Tv online imefunga safari hadi fantastick garden, na kufanya mahojiano "exclusive' na dada anayetrend kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii baada ya kubuni style mpya ya ulaji, maarufu kama kisinia au combo, ambapo ameeleza mambo mengi, ikiwemo mastaa na watu mbalimbali kutoka nje ya nchi ili kuja ili kuenjoy na combo
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@ashurabairu25
@ashurabairu25 Год назад
Yeye ni mpishi mzuri sana mungu ambariki sana
@aishaahmed2582
@aishaahmed2582 2 года назад
Nimeipenda kuijua
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 года назад
Nitaweza na mimi
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 года назад
Hongera, kuna watu tangu kuzaliwa hawajawahi kula pamoja mpaka wanazeeka!!
@user-ce2on5ip4u
@user-ce2on5ip4u 5 месяцев назад
Namba yako dada ili tuagize
@nurdinsoko3430
@nurdinsoko3430 Год назад
yaap
@user-ly6eg1lb3z
@user-ly6eg1lb3z Месяц назад
Toa mafunzo basi mtandaoni jinsi ya kupika kisinia
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 года назад
Angalieni jamani chakula kama hiki kinaleta kisukari, ugonjwa wa moyo. Tule mboga mboga, chips na nyama zinaleta maradhi
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
💯 Mimi sigusi hivi vitu kabisa.
@estermathias8354
@estermathias8354 4 месяца назад
Aweee kwendaqqqq
@tayanawasheymaa2867
@tayanawasheymaa2867 Год назад
Wekeni bei
@ssaa7495
@ssaa7495 2 года назад
Nimetamani 😩😋
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
🙄
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 года назад
Mie mpka sasa tuna kula kisiniaaaa mpka laaaa seee sasa pale anae kula nyama ile ana enda laka laka afu mshike mkono woneees🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
Huyu emelda kuhoji kwake na maswali yake niyakifala. Hii aliona nje ya nchi wapi wakati huyu dada kabuni kakitu chake? Badala ya kumpongeza unafanya ionekane kama kakopi fyuuu
@happynelson1136
@happynelson1136 2 года назад
Ni kweli ameona nchi za nje mimi mwenyewe nimeona Kenya kwa muda mrefu pale wanajaza chakula kingi kwenye sinia moja na huko Kenya ni chef mkubwa ndiyo kabuni hii ila huyu dada kazidisha ukubwa wa sinia lakini kaiga
@kauyegeorge3335
@kauyegeorge3335 2 года назад
Bei gan kisinia
Далее
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Просмотров 285 тыс.