Тёмный

EXCLUSIVE: Hersi aelezea mchakato mzima hadi kuchaguliwa kuwa Rais Shirikisho la Vilabu Africa ACA 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

EXCLUSIVE: Hersi aelezea mchakato mzima hadi kuchaguliwa kuwa Rais Shirikisho la Vilabu Africa ACA

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@MUSK_HARMONY
@MUSK_HARMONY 9 месяцев назад
This guy is intellectually smart and mentally sobber. Young africa has a president His bargaining power superb
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 9 месяцев назад
Mimi simba lakini jamaa genius mungu akuhifadhi wallah
@mwanangusana
@mwanangusana 9 месяцев назад
Yussuf Rashid 🎉🎉🎉🎉 Dunduka mwenye akili zako 😂😂😂😂 ....... Ahsante mtani kwa kuwa mkweli . Mlete mangungu na try again halaf cc tuwape mtoto Wa mwisho wa eng Hersi aje awaongozeeee japo kwa week 2 😊😊😊😊
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 9 месяцев назад
Injinia Heris Said Mwenyezi Mungu Akulinde Katika Maisha Yako Na Akupe Maisha Marefu Yenye Mafanikio Na Baraka Tele, Uendelee Kutupa Raha Sisi Mashabiki Wa Yanga,🙏🙏🙏🙏🙏
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 9 месяцев назад
Hiki kichwa kimetulia mno 🙌 very very brain 🧠
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 9 месяцев назад
Kanyaga twende Engineer tumechelewa sana
@essaujulius1874
@essaujulius1874 8 месяцев назад
Big up Mr mwenyekiti wa young African club
@barakaalmas7401
@barakaalmas7401 9 месяцев назад
Gardner ni mtangazaji ambaye namkubali but am shock mbona amepungua sana jamani is he OK?
@emmanuelmalima5939
@emmanuelmalima5939 5 месяцев назад
Apumzike kwa amani...20.04.2024
@luganokibona7328
@luganokibona7328 9 месяцев назад
👏👏👏 Rais tunaye
@SirajiZacharia
@SirajiZacharia 9 месяцев назад
Mtu mmoja makini sana
@AsadKissensi
@AsadKissensi 8 месяцев назад
Jamaa namuona anaandaliwa na wenzetu huko wamesha juwa kichwa kinamadini mengi sana.
@JamesMakweta-sj1dy
@JamesMakweta-sj1dy 8 месяцев назад
Statutes ni sheria
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 7 месяцев назад
Ww jama nakukibali sana aloo
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 8 месяцев назад
Safi
@saimonjmai801
@saimonjmai801 9 месяцев назад
Mtu ana akili sana ya uongozi huyu 💛💛👏
@StellaMajeshi
@StellaMajeshi 6 месяцев назад
Engineering Fanya jambo tumeonewa😊
@mengijagal8643
@mengijagal8643 9 месяцев назад
❤❤
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 7 месяцев назад
Pale simba wakiambiwa kashamaliza muda ndio wanaenda mbio 😂
@jumachapile2829
@jumachapile2829 9 месяцев назад
Hapa ss yanga tumepata mtu haswa
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 9 месяцев назад
Bakhresa amnunue huyu azam fc itatisha
@matiankomola2391
@matiankomola2391 9 месяцев назад
Huyu Amejitoa na Ana Mapenzi na Yanga. Azam Bado anauwezo wa kimtumia Bila kuondoka Yanga.. Mbona Yanga walienda kujifunza Laliga.
@mwanangusana
@mwanangusana 9 месяцев назад
HAJI mnubi 😂😂😂 umetumwaaaaaaaaaaaaa halaf sisi wananchiii aje MANGUNGU ?????
@albanikyando4565
@albanikyando4565 9 месяцев назад
Uwanja vip
@shaibumahanda5190
@shaibumahanda5190 9 месяцев назад
Kashazungumzia mbona
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 9 месяцев назад
Tatizo lako wew sio mvumilivu sikiliza mpaka mwisho
Далее