Тёмный

EXCLUSIVE INTERVIEW | Promota pambano la Mwakinyo ataja sababu pambano kughairishwa, ajibu tuhuma 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Mwaandaaji wa pambano la Bondia Hassan Mwakinyo, Karigo Godson Karigo asimulia yote kuhusu pambano la Hassan Mwakinyo Vs Julius Indongo kughsairishwa.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 353   
@suleimanhamza9014
@suleimanhamza9014 Год назад
Huyu mzeee aache unafiki kuna jamaa anaitwa Zayumba au Mafia promotion ni paka na chui na mwakinyo na anamabondia wake ambao hawapatan na mwknyo cha jabu huyu promota amemzunguka hassan kwa kumfanya ngazi ya kumtumia ktk ivent yake bila hassan kujua ili ajenge brand ya hao vijana wa Zayumba kwa mgongo wa Hassan" Hassan ameelezea vzr sana angalien Clouds media mtaelewa kuwa hawa hawakua na nia njema,, Viva Champez💪
@alecheconradninje6183
@alecheconradninje6183 Год назад
Nyie mnazurum sana wana ngumi mnaleta magumashi ivyo viela vya njiani ni viela mbuzi acheni uhuni mnazurum jasho la wapiganaji mnatakiwa wote muondolewe coz amjaanza leo hizo tabia
@N_kali
@N_kali Год назад
Promota umekosea sana mzee sababu kama umeamua kufanya kazi na mwakinyo ungemsikiliza haikua haja ya kumuingizia mabondia ambao wanatofauti nao so jifunze mzee kila mtu ana karia yake. Sisi tukienda kucheki ngumi tunaenda kwa sababu ya main card na sio hao wengine so mnafeli sana wazee coz kila mtu anamashabiki wake
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Год назад
Professionally fights zipo owned na promoter sio mpiganaji binafsi unless hiyo fight iwe imeandaliwa na kampuni yake na kama ni joint venture itategemea makubaliano kimaandishi nani mwenye percentage kubwa kiasi cha kuamua nani ana nguvu ktk maamuzi pasi na kuingiliwa na upande wa pili nadhani hili jambo tungeweka hisia pembeni na kuwa na subira kidogo tutajua mbivu na mbichi mwisho wa movie tunaweza tukawahukumu waandaaji kumbe kimkataba wapo kwenye njia, besides kiuweledi masuala ya kazi hayapaswi kuathiriwa na masuala ya mtaani tofauti kama sio za kimichezo tena sio kuendana na maandishi hazipaswi kuwa considered hizi ni biashara watu wamewekeza nguvu akili na pesa
@fj8317
@fj8317 Год назад
@@mckobatz5861 lakini kuna makubaliano yalikuwepo kabla hivyo promoter naye kama kweli kaenda nje ya makubaliano atakuwa mswahili
@bakariomary4772
@bakariomary4772 Год назад
Baada ya kuangalia huyo opponent wa Chino nimeamin kweli Mwakinyo alikuwa na sababu za Msingi kugomea pambano.Hata huyu aliyepanda ulingoni sidhani kama ndie bondia aliyetarajiwa, tuache uhuni wa miaka 70
@mohamedchenge-b6k
@mohamedchenge-b6k Год назад
Huyu mzee anaulizwa swali anatumia siasa mdefu, ni ngumu kuelewa rudia hizi Interview zake utaelewa ..anamaneno ya kumshwishi mtu akubari.... kaulizwa chanzo Cha mwakinyo kugoma aneleza njia ya kupata promotion.
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 Год назад
Kwa promoter Kuna Tatizo tenakubwa sana
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 Год назад
Shida ni kutumia kanzu kujifanya mwaminifu ,kumbe magumash maneno kibao muongo😂😂😂
@mashauriobedi6290
@mashauriobedi6290 Год назад
Watu wa mchongo kila sehemu bongo, safi hassan na Endelea kuwa fundishwa biashara ya ngumi inavyo endeshwa.. 🎉
@noahmgaya6687
@noahmgaya6687 Год назад
we mwandish humuuliz maswal magum wew.kwa nn unakuwa tapel kwann mlimbadilishia bondia yan unampiga kwenye mshono
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 Год назад
Aulize afukuzwe kazi, Huo mpila atautangazia wap?
@eltonmuhulo3837
@eltonmuhulo3837 Год назад
Sema Kimeumanaaaaaah😂😂😂😂😂 Bado hamjasemaaaah yaniiii badooooooo hamjasema na mtasemaaaaaaaa😅😂😂😂
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j Год назад
Hili swala ukilisikiliza kwamakini katika pande zote mbili, nikama huyu promoter nimagumashi matupu sasa amekutana na mwakinyo naye mjanja mwenzao kwahiyo issue nzima nika mbuzi kala mkeka😂😂😂😂😂😂
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Год назад
Mwakinyo yupo sahihi kabisa uyo mnafki tu
@latipharamadhani7576
@latipharamadhani7576 Год назад
Uyu mwongo tu akuna mkopo kwenye ngumi tumsifu mwakinyo NI bondio mkubwa Sana sio wa kuyumbishwa na mapromota wa ovyo Kama hawa, bigup mwakinyo
@nelsonneeson620
@nelsonneeson620 Год назад
Mhh haya maelezo yapo very shallow, bondia main card ana power gan yakupanga nan acheze nan asicheze?? - Na kwanin mwakinyo achague wakupigana nae?? Kama nan kwenye management yenu. - na kwanin indongo aletwe na mwakinyo lakn nyie mumfwate kumuomba acheze na mtu mwingine. - promota alisaini mkataba na kampuni ya mwakinyo au mwakinyo mwenyewe??
@krispinkomba4606
@krispinkomba4606 Год назад
Sasa Mzee kama ulikubali kurudisha pesa kwa nn uliacha wachezaji wa mtu uliyemrudishia pesa zake wacheze wakat walikuwa kweny mkataba ambao umekubali kuuvunja?
@williamkeita1519
@williamkeita1519 Год назад
Binafsi mwakinyo yupo sahihi huyu mzee ni muhuni kabisa kwa maongezi tu inaonesha xo cmulaumu mwakinyo
@abuuda4754
@abuuda4754 Год назад
Perfect spoken... Promoter ni kazi na Boxer ni kazi, pata nikupate... Mwakinyo asiwe promoted tu, achaneni nae afanye promo mwenyewe. Hela inatafutwa kwingi, mbona sisi tunafukuzwa kazi?! Yeye nani
@aidankakulu398
@aidankakulu398 Год назад
Hujui lolote usilete makasiliko yako hapa so kojoa ukalale mtoto mzuri
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Год назад
We mzee promota mdigo kasema we ni muhuni uliyezeeka ukiwa na uhuni wako hapa ni misimamo tu kama Mogadishu 😂😂😂😂
@hopebill7525
@hopebill7525 Год назад
Ukimskiliza vizuri mzee anajifunga 💥💥💥huwezi kumrudishia mtu hela yake,alafu mkataba ubaki kama ulivyo.Umerudisha pesa za nini wakati bado mkataba hujavunja.Mzee unakosea maneno mengi umeshashindwa kesi Wewe ni tapeli na mwongo.
@baariabalozi5290
@baariabalozi5290 Год назад
Usifos kuoneakana una hoja ya maana wakaty hoja yako ni ya kijinga Mzee ana mkataba mpaka wa mwakinyo kutia sign kama ashalipwa
@abdallahally842
@abdallahally842 Год назад
Mwakinyo kajichafua we boxer unampangiaje promota mdhamini unampangiaje promota nani acheze nani asicheze maneno mengi vitendo zero kwanza watanzania wengi washakuchoka ushabebwa mapambano mawili ukapewa ushindi uchwara
@jeremiahmsangi8215
@jeremiahmsangi8215 Год назад
Au Mambo ya promotion na machangizo ndio zimemponza Muadivent mwenzangu,kule mkiendesha promotion huwa hatuhoji,sasa huku Kwa Kaisari ni tofauti,hakuna Aminaaaaa,ni amnaaaa
@saidikambi9597
@saidikambi9597 Год назад
Kanzu imekupendeza pia unaomuonekano wa kislam karibu katika dini ya haki inshaallah.
@elishapeter2720
@elishapeter2720 Год назад
Inshaallah
@HamzaShocki
@HamzaShocki Год назад
Aende zake uko ha2mtaki kwenye dini ye2 kafiri tapeli
@harunazari5026
@harunazari5026 Год назад
Sisi watanga tena wadigo og tunapendana sanaa sasa ww mzee mlitaka kumtumia hassani na kwa faida yenu hata ww km mtu kakukosea alaf eti aingie kweny kazi zako unaweza
@aud548
@aud548 Год назад
The way i see it ..mmekutana ...Yule mtanga mjeuri ,egoistic na kwa sauti yako tu mzee unaonekana una kautapeli...pelekaneni mahakamani hapa hatuwezi kujua ukweli😂😂😂
@allyboka4264
@allyboka4264 Год назад
Ili zee limevaa kanzu ili ionekane kila linachoongea kuwa ni Kweli ila unafki tu
@saidramadhan71
@saidramadhan71 Год назад
Wewe mzee ni muhuni wewe kwenda zako huko mzee
@yasminsalim291
@yasminsalim291 Год назад
Kwa mtu mwenye Akili inayo Fanya kazi huyu mzee Tapeli na Pia Hajui kujieleza vyema Anatamaa Na Pesa Then Sio mkweli
@feisalhassan8364
@feisalhassan8364 Год назад
Ila hassan mwakinyo yupo saw haya mahun tu pumbavu mnadhani dunia ya leo kama mlio zoea zaman kuwadhuru wakina mfaume komen kabisa
@legangatzmedia4846
@legangatzmedia4846 Год назад
Samahani kaka huyo jamaa anae ongea una mjuwa vizuri hanaga kona huyo anaitwa kaligo godson hanaga kona kabisaaa
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Год назад
​@@legangatzmedia4846Kwa jinsi nilivyosikia Hassan hayuko sawa, kabisa kisheria Wala kimantiki Kwa sababu makubaliano baina ya promotions agency boxer hausihani nao, na angesema katika mkataba Mama
@othmanwaziri783
@othmanwaziri783 Год назад
Unaongea use.... Tu wewe asa mwakinyo yuko saw na nn hpo
@KijidamsutaMuna-fz1ib
@KijidamsutaMuna-fz1ib Год назад
tatzo apa naona mwakinyo ameamn maneno yawatu.naakamua kushnikiza Kwa ukubwa wake ili aonekane Yuko sawa
@sonymlemwa7051
@sonymlemwa7051 Год назад
😂😂😂😂
@EddoMhombo-qt9rx
@EddoMhombo-qt9rx Год назад
Ila mzee Huna la kuongea hpo nenda kwenye point tu ushaambiwa hatupatan why ulaximishe nyie wababaifu mnadhurumu watu kwanza picha za magoroto mpka leo hamjawalipa walioshut tangazoo
@oseamkama6264
@oseamkama6264 Год назад
Mzee nimekuelewa vzr
@fadhilimwaiganju3757
@fadhilimwaiganju3757 Год назад
Mbona kama hayuko systematic nashindwa kumuelewa 😮
@suleimankhalfan8030
@suleimankhalfan8030 Год назад
nimekufuatilia vzr ila nimekuja kuona ww ni tapeli w maneno ww umevaa kazuu safi n kofia afu wasema ww mkrito kwel em acha utapeli bn
@BabieMuni-rz8uy
@BabieMuni-rz8uy Год назад
mjanjamjanja tu uyo hana la maana analoongea kwani ngumi ni michezo ya hatari sio harusi kama ni rahisi akapigane yeye
@yusuphuhakwea3732
@yusuphuhakwea3732 Год назад
Ninavyo jua mimi ipo hivi sikuzote muamba ngoma huvutia kwake ili suluu ipatkane nasisi wafuatiliji wa ngumi tujirizishe tukae tukijua mabondia wetu hawaonewi hii kesi iyende mahakamani huko ndo zitajulikana mbivu na mbichi hivyo2 yani
@bongo39
@bongo39 Год назад
Hata pesa ya hoteli hamjatoa mpaka muombwe ndio maana tanzania hatuendelei kwa dhuluma zenu wasanii tuu
@bahatifortunatus9899
@bahatifortunatus9899 Год назад
We muongo sana ila unavyoonekana ni ni kama unahekima lakini we tapeli mkubwa usimuhalibie hasani heshima yake.
@greenpoint5887
@greenpoint5887 Год назад
Chama Cha ngumi kichanguliwe Mana wafanya maskan yao matapeli wote hpo
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Год назад
If you listen to this Promoter KARIGO from his side and the information he gives, you will see if he is truthful...but to believe what he says, it is good that he is found in Mwakinyo and he explains his own so that to BALANCE ..because what happened will pollute the promoters, they will be seen as thieves, fraudsters, etc. look for Mwakinyo to come here and tell us his truth too, not to play with the minds of TANZANIANS.
@HatibuRashid-kn6ec
@HatibuRashid-kn6ec Год назад
Nyie maporota mmezoea dhuruma uyo mwakinyo anajitambua uyo
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Год назад
Hawa matapeli. Yani pesa za hoteli hadi bondia aombe.Azam kaeni mbali na hawa mapromota feki watawaharibia reputation.
@osiahstimah
@osiahstimah Год назад
Matapeli nyinyi sauti zenu tumezikariri😂😂😂😂😂
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 Год назад
Nyinyi niwahuni mwakinyo mmemufanyia hujuma
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 Год назад
Imechezwa dili Kali saana.Haya Ni maigizo tu.Huyu promota na Mwanyoko Lao Ni moja tu
@MohamediShekhe-x1l
@MohamediShekhe-x1l Год назад
Hamna ela yakumlipa mwakinyo
@mkonojr53
@mkonojr53 Год назад
Wazee acheni umbambamba hassan kawashtukia 😢😢😢mnataka maokoto kwakurahisha 😂😂 hiyo imeendaa
@adammlukago8216
@adammlukago8216 Год назад
Kwa nn ubadilishe logo za mabango ya mafia boxing ili mwakinyo asikwazike halfu mafia boxing iwepo physical haiingii akilini kuwa uambiwe mafia boxing haipo halafu wahusika wapo.
@KipengoKipengo
@KipengoKipengo Год назад
Bro jmaa mnafiki sanaaa 😂😂
@HassanAbdallah-f6o
@HassanAbdallah-f6o Год назад
Hapo ndio anazidi kujikanyaga alafu pesa za mafia anasema kashachukua
@MohamedAli-rl8cl
@MohamedAli-rl8cl Год назад
Azam muwe mnafanya die diligence sio mkataba tu hapana. Binafsi ni mtu naheshimu mno bidhaa za azam kwamba ni watu makini, nimeanza kupata tabu namna TV inavyoendeshwa ratiba za baadhi ya vipindi haziko sawa na taarifa hazitolewi kuonesha hakuna documented procedures na kama zipo not well monitored. Lazima muweke mstari azam haifanyi kazi na wababaishaji.
@Is-hakaRashid-il5er
@Is-hakaRashid-il5er Год назад
Mwakinyo yupo sahihi sana bado tunaimani nae nyinyi ni matapeli tu
@AwadhiAlfani-bd5pj
@AwadhiAlfani-bd5pj Год назад
sulayake inaonyesha kabisaalikua muuniwaza mani
@AllyMango-ey1uz
@AllyMango-ey1uz Год назад
Baba Mzee kaligo wewe na ngumi wapi na wapi ludi kwenye mplla
@bakarimashi848
@bakarimashi848 Год назад
Nilichogundua mzee uliwachezesha hao watoto wa mafia kwa sababu ya hela za watu ulizokula kwa mafia haiwezekani useme mkataba umekufa halafu bado utumie watu wa mtu ulievunja nae mkataba, kuna uhuni hapa
@AliyMistah
@AliyMistah Год назад
Hapo. Nikweli. Tapeli. Mkubwa. Huyuu
@zakariamachinga151
@zakariamachinga151 Год назад
Ulizoe kuwaibia wenye mchezo waoooo
@gudimbwana8088
@gudimbwana8088 Год назад
Acheni utapeli mnawanyonya vijana mnajinufaisha mmebadilisha hadi anayepigana Naye ngumi ni kazi na kazi inaheshimu mkataba kwa nn mbadishe mpiganaji
@Is-hakaRashid-il5er
@Is-hakaRashid-il5er Год назад
Mwakinyo ni bondia na mda hajapigana huyu mzee ni tapeli tu
@karmalyshaft9742
@karmalyshaft9742 Год назад
Acheni uongo uongo ninyi mapromota msg unayo wapi watu wana voice note zako watu wakipigana wanaumia pale mnaleta ujinga ujinga
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Huyu ni tapeli. Eti Mpentekoste anashinda leo katokelezea kama Ustadhi, du hatari sana.
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Год назад
Wewe nitapeli wewe ni mwizi wewe ni mshenzi
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb Год назад
Kweli
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 Год назад
Ngumi sio mchezo wa Lele mama.Mwakinyo amefanya vyema
@ZiadiRajabu-jj2qb
@ZiadiRajabu-jj2qb Год назад
Tapeli ww,nyie mapromota wa bongo mnataka kumuharibia tu champez
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Год назад
Mzeee wa hovyo kweli kweli unakula hela za watu huendi mbinguni
@BHALEEALI
@BHALEEALI Год назад
mzee unaenda ishu za ubaguzi na kazi ni vitu viwili tofauti.. MWAKINYO yupo sahihi, mnataka kupiga hela kupitia mgongo wa watu.. ndio mana DIAMOND PLATNUMZ watu kama nyie anawakata tu mopromota wa mchongo
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental Год назад
Awa ni wahuni wa dsm hawa
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 Год назад
Maelezo yamenyooka Hassan anazingua sana na asipoangalia mapromota watamkimbia!!
@athumanfuko199
@athumanfuko199 Год назад
Wamkimbie tu unapangaje pambano la mtu keshadundwa na Mwakinyo😂😂
@Nigaboy-p4s
@Nigaboy-p4s Год назад
Wakimbie wote kwani kabla ya kujulikana walikuwa wanamtafutia mapambano?alikuwa anatafuta mwenyew
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 Год назад
@@Nigaboy-p4s wenye kujua kazingua wamempiga mwaka apigane na dada zake street!😆😆
@adammlukago8216
@adammlukago8216 Год назад
Mjifunze kwa hili Huwezi kuamua kuanzisha event halafu ki uchumi hujakamikika So shame
@geeva99
@geeva99 Год назад
Jamaa ajipange arudi International tu alafu inshu ya maywether aliikosa vipi hata kama mtu alibana angepasua mwenyewe tu sometimes middle man anamezwa tu unapita
@Omarmwamlongo-f7b
@Omarmwamlongo-f7b Год назад
Uyoo mzee ukimcheck be mjanjamjanjaa anaukwelii
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 Год назад
Mwakinyo yupo sahihi
@nikky4757
@nikky4757 Год назад
Mwakinyo ana muda sana hajapigana na nikwasababu mbalimbali hatujui katika hili nani ni mkweli ila ajue tu siku akipigana akipigwa kitakachoonekana. Ni alikuwa anagopa kutokana na uwezo kushuka so inabidi ahakikishe pambano lolote atalopigana anashinda
@AyoubAbdullrahmanAmir
@AyoubAbdullrahmanAmir Год назад
Mwakinyo sio bondia wewe , ni bondia wa mtandaon tu...
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Год назад
Wekeni mapromota vijana wasomi sio hawa wahuni hawajui hata Dunia inakwendaje 😭😭😭
@baariabalozi5290
@baariabalozi5290 Год назад
Bila Shaka huna elimu yakumzidi huyu jamaaa mwakinyo kazengua big time sasa mwakinyo kazenguliwa kivp na wakaty mpka mkataba inasema ashavuta mpunga stop being stupid
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Год назад
Hivi hawa wanaosema mwakinyo yupo saw walete vielelezo kama huyu promoter mbona mnalopoka tuu
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Год назад
Wewe unayejua Dunia inaendaje njoo na facts zako basi ziweke mezani zijadiliwe
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 Год назад
Well ballanced
@enock7271
@enock7271 Год назад
wahuni
@husseinmchomolo5271
@husseinmchomolo5271 Год назад
Hassani Mwakinyo Mbabaishaji sana, Halafu ni Muoga kupigana
@mussayusuph627
@mussayusuph627 Год назад
Lazima Awe Muoga Coz Amebadilisha mfumo wa Training atapoteza kbs, anachotakiwa Arudi Kule Alipoanzia Nadhan amelewa Hapo.
@abdalahjuma2060
@abdalahjuma2060 Год назад
Nimeshutuka kifulush sjalipia saivi majumba not zetu zinalika bule janja njanja tu mnaleta tulipa kifushi unaangalia mechi 2 mnazingua
@MstaarabuTv
@MstaarabuTv Год назад
Inshort nikwamba mwakinyo asingewez kupanda ulingon coz hayupo Sawa na mafia boxing promotion ambayo ipo chini ya zayumba ndomn hata nyinyi kwa kugundua hilo mukaingia mkataba wasiri na mafia boxing promotion
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Год назад
Umeharibu hapo ulipozungumzia wanawake, ulikuwa unakwenda vizuri Ila kauli hiyo inaonesha kumshambulia Mwakinyo!!
@harunazari5026
@harunazari5026 Год назад
Hata kwa wana mziki daimond alijitambua na akawa anabifu na watu kibao lakin alichagua kazi yke na sasaiv yule anafanya kazi
@lastsimbatv1497
@lastsimbatv1497 Год назад
Ukimskiliza promoter utajua kwa mwakinyo ndo kuna shida
@RussiaAmedeHusna
@RussiaAmedeHusna Год назад
Tatizo n nyinyi kimbadlishia bondia tofauti na mlie mtambulisha kwake
@othmanwaziri783
@othmanwaziri783 Год назад
Mzee amenyoosha maelezo... Huyu mwakinyo akishindaga pambano mnaonaga anavyo shangilia kwa kumkatikia mwanaume mwenzie
@joasbaraka_gardener
@joasbaraka_gardener Год назад
Huyu Mzee 😂😂😂 ni muhuni mpaka jichoni
@geeva99
@geeva99 Год назад
😂 eti in God we trust ya kwenye dollar, mungu wake yuko bank😂
@halimadibwe404
@halimadibwe404 Год назад
😂😂😂
@KelvinmkulaMkula
@KelvinmkulaMkula Год назад
Sawa kabisa litapeli alafu liongo hata linavyoongea lina onekana sasa mzee mzma kama ww unaongelea mambo ya wanawake ili zee lilikua tapeli pale yanga wamelitimua ustafte kijitetea ww mzee hata macho yako yanaonekana muongo
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 Год назад
Uyu jamaa ndo walewale wahuni mwakinyo kajileza vizuri na clip kasema anazao uta umbuka wewe jamaa
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb Год назад
Sio Kila anaevaa kanzu ni muumini wengine mashetani
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 Год назад
Kitendo cha kuvaa kama shehe ni dhahiri wewe ni mnafiki wa kiwango cha juu
@aidankakulu398
@aidankakulu398 Год назад
Hata mimi nilijua ni bonge Ostadh kumbe msabato!! sasa kwanini asije kisabato hapo taapeliiii mmoja huyo kazi kuchafua logo na dini za watu hapo kwendraaa zakooo
@AlexKing-yg2cc
@AlexKing-yg2cc Год назад
Ni kawaida yake kuvaa kanzu kila ijumaa.
@EdwiniMgata
@EdwiniMgata Год назад
Hugu gutapeli kavaa kanzu af et mkrsto kabwes kwel
@abdalahjuma2060
@abdalahjuma2060 Год назад
Janja njanja tu
@MsafiriBaruti
@MsafiriBaruti Год назад
Uko sawa ila ktk maisha hujui walimfanyia nn lazma umsklize mhusika haya ni maisha ya mtu
@SalimShkuru
@SalimShkuru Год назад
Huyu mzee wa hovyo
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Год назад
Hawa lengo lao ni kumchafua Mwakinyo huu ni mchongo
@AdamAdamRobertmkenda-s2t
@AdamAdamRobertmkenda-s2t Год назад
Mzee kama unaongea kwel mungu awee pamoja nawe. Ilaa kama amfanyiaki mungu pia yupopamoj nany na atawalip kwakila mlindendr
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 Год назад
Aburuzwe Mahakamani
@karmalyshaft9742
@karmalyshaft9742 Год назад
Tatizo sio malipo ya pesa tatizo lipo kwny mikataba mlio ileta kimya kimya
@Is-hakaRashid-il5er
@Is-hakaRashid-il5er Год назад
Tapeli mkubwa wewe mzee lucas kanzu na kofia usiwe kigezo wewe ni mkweli wewe ni tapeli
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Hawa wezi wamekutana na mnuaji
@SaidySaidy-u7c
@SaidySaidy-u7c Год назад
Naona pia sijui moyo wake una Imani gan
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb Год назад
Mwakinyo Yuko sawa wahuninyie
@abdallahmohamedndaro4658
@abdallahmohamedndaro4658 Год назад
Uyumzee mjanja sana
@nugwiziwe7577
@nugwiziwe7577 Год назад
Wewe nimjanja mjanja unaonekana husoni muongo mbona Sasa mbona pambano akuna kama kweli palikuwa na kinachoeleweka tafuta bondia mwingine basi
@christophermanyaku1390
@christophermanyaku1390 Год назад
Kupasua angepasua kama asingeuza pambano uingereza kuanzia pale mwakinyo kajipoteza mwenyewe nahic atakuwa shoga
@azizially557
@azizially557 Год назад
Huyo mwakinyo fala sana huyo nitapeli tu arudishe Hela ya watu huyo ni tapeli kama tapeli mwingine huyo ngumi hajui anategemea uchawi tu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
WAPUMBAVU NYIE
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb Год назад
Huyu jamaa mpigaji maelezo yake tu
@hamisihussein9851
@hamisihussein9851 Год назад
Mapromota wa Tz nimatapeli sanaaa
Далее