Тёмный

EXCLUSIVE: Jionee kwa Ukaribu Janga la Maporomoko ya Ardhi Itezi Mbeya 

Busokelo TV
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

#busokelotv #mbeya #tanzania #landslideintanzania

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 месяцев назад
🙏🙏🙏 Hakuna kifo wala mtu kuumia 🤲 vingine vinatafutwa tuu muhimu Afya kwanz
@aminitu3766
@aminitu3766 5 месяцев назад
Good camera man
@deborahmwaipopo833
@deborahmwaipopo833 5 месяцев назад
Nilipokuwa nahangaika kupata the quality picture, nilipoona hii niliona nime capture Yale ambayo nilikuwa natamani kuyaona, hongereni sana.
@alnetamwasenga1539
@alnetamwasenga1539 4 месяца назад
Hizi mambo anapigaga millardAyo kumbe busokelo na nyie mmo hongereni
@barakaisote620
@barakaisote620 5 месяцев назад
Busokelo unahitaji Pongezi umeonesha uhalisia Big up
@goodluckrayase
@goodluckrayase 4 месяца назад
Hakika wamejitahidi
@NaomiGodlove
@NaomiGodlove 5 месяцев назад
Polen sana wote mliopatwa na majanga camera man umefanya Kaz nzuri
@Amani-sz2oq
@Amani-sz2oq 5 месяцев назад
Ametisha kinoma
@Amani-sz2oq
@Amani-sz2oq 5 месяцев назад
Poleni sana wanaitezi, pia asanteni busokelo tv kwa coverage nzuri watu wa mazingira wanaweza fanya environmental impact assessment ya hiki mlichokifanya..well done kama bbc vile🙌🏾🙌🏾😊
@hurumakaminyoge4209
@hurumakaminyoge4209 5 месяцев назад
Mko vizur busokelo ila nyoka sasa daaa ndo cjaelewa
@stevenkyando7364
@stevenkyando7364 5 месяцев назад
Asante tunaomba waache kulima milani na maeneo ya makazi ya watu
@gwantwajoseph5564
@gwantwajoseph5564 5 месяцев назад
Pole sana jamani Mungu awasaidie awawezeshe kupata mali nyingine
@hurumakaminyoge4209
@hurumakaminyoge4209 5 месяцев назад
Polen saaaana jaman
@ZawadiSakamela
@ZawadiSakamela 5 месяцев назад
Poleni
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 4 месяца назад
Poleni sana kwa tukio hilo. Lakini tahadhari iendelee. Nilivyo ona hiyo video ya drone kuna nyufa kule mlimani muda wowote vipande vikubwa vinaweza kushuka tena. Poleni sana wana Mbeya
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 5 месяцев назад
Huu mlima utaendelea kuporomoka maana una nyufa nyingi
@alnetamwasenga1539
@alnetamwasenga1539 4 месяца назад
Sema pia mvua zi.enyesha Sana mwaka buu
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 5 месяцев назад
Wanaishi watu wanajitambua sana hapo wamejenga vizuri mno
@frankjohn8706
@frankjohn8706 5 месяцев назад
Kumbe ni mbeya
@alnetamwasenga1539
@alnetamwasenga1539 4 месяца назад
Kama CNN ,..nimepita jana Mungu awasaidie waliodhurika na janga hili
@victorjames3730
@victorjames3730 5 месяцев назад
😳😳
@amanijampion3045
@amanijampion3045 5 месяцев назад
Busokelo mmejipanga. Ila mnunue helikopta itawasaidia
@BusokeloTV
@BusokeloTV 5 месяцев назад
daaah ahsante boss kwa ushauri na Imani nasi ... Helicopter ni maji marefu. tutanunua baada ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kununua moja kwanza!! Kwa Sasa tutaendelea kutumia DRONE na Kamera za kawaida!!
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 месяцев назад
🤣🤣🤣​@@BusokeloTV
@user-ot7rb6mx5d
@user-ot7rb6mx5d 5 месяцев назад
Wapo vizuri
@carrypaul.m7487
@carrypaul.m7487 5 месяцев назад
Gerad mwamwaja kiukweli mmejipanga, quality picture Bravo brother 💪
@alnetamwasenga1539
@alnetamwasenga1539 4 месяца назад
Helicopter ni billion ngapi vile😂
@MatildaEvaristo
@MatildaEvaristo 5 месяцев назад
Uhai Kwanza mengine yooooote ni ziada mungu atawapa wepesi
@challemartin
@challemartin 5 месяцев назад
Jaman polen mapolomoko
@user-ot7rb6mx5d
@user-ot7rb6mx5d 5 месяцев назад
Poleni sana wanambeya
@carrypaul.m7487
@carrypaul.m7487 5 месяцев назад
Hatariiiii
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 5 месяцев назад
Hawajafa Kwa kuwa lilitokea mchana ingekuwa usiku nani angepona ?
@hildachaula9249
@hildachaula9249 5 месяцев назад
Mungu ametenda kwa kweli, haikuwa rahisi ni mkono wake ulionekana, Mungu awasaidie ndugu zetu, pesa zinatafutwa uhai ndoo kila kitu. Jina la bwana libarikiwe
@BusokeloTV
@BusokeloTV 5 месяцев назад
Hakikaaaaaa
@AbutwalibuMohamedy
@AbutwalibuMohamedy 5 месяцев назад
Majanga ya asili yanajjitokeza muda wowote bila ya kutarajiwa binaadam lazima atambue hilo Mungu ndiye anayejuwa.
@bahatadof5543
@bahatadof5543 5 месяцев назад
Mambo gani hayo muheshimiwa mzima unaongelea nyoka .
@deborahmwaipopo833
@deborahmwaipopo833 5 месяцев назад
Nyoka? Naye amefukiwa? Nahisi sijaelewa. Any way poleni sana wana Mbeya wenzangu?
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 5 месяцев назад
Nahisi niishu za kimila
@deborahmwaipopo833
@deborahmwaipopo833 5 месяцев назад
@@Fadhilimwamlima Ok, ila taarifa hizi zinaenda mbali sana, najaribu kuwaza kuyatamka hayo!!!!
@deborahmwaipopo833
@deborahmwaipopo833 5 месяцев назад
@@Fadhilimwamlima Kwamba nyoka, vinyonga hapo ndiyo kwao. Taarifa zinafika mikoa yote, Nchi mbalimbali, 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
Далее
Мужа или парня
00:42
Просмотров 17 тыс.
Мужа или парня
00:42
Просмотров 17 тыс.