Тёмный

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: KIJANA TAJIRI wa TANGA AMWAGA MAMILIONI KWENYE MPIRA, ANA MIAKA 27 TU....
Humoud Hamadi kijana tajiri mwenye miaka 27 aliekataa kujiendeleza kimasomo ambae amewekeza Tanga kwa kujenga uwanja wa mpira wa miguu uliotumia gharama ya shilingi milioni 75
Humoud ni kijana wa kitanzania aliezaliwa visiwani zanzibar ambae alikuja Tanga kwa ajili ya miangaiko ya kutafuta Maisha miaka nane iliyopita
Akizungumza na Global tv amesema kiwanja hicho kitachukua watu 16 ambacho kina urefu wa Mita 45 kwa 30.
Kwa upende wa elimu ameishia ngazi ya diploma sababu lengo lake lilikuwa ni kuwa mfanyabiashara
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Спорт

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@sekijatv
@sekijatv Год назад
Sasa kiko wapi hiko kiwanja
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Год назад
Global Tv mmeanza kivuta bangi nini Tanzania ni Nchi yenye Viwanja vya mpira vizuri mno duuuh Viwanja gani
@robinhomesuza8906
@robinhomesuza8906 Год назад
Kazi ipo
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Год назад
Kiwanja gani cha Tanzania kizuri jamani mbona Global Tv mnatudanganya Uwanja wa Benjamin mkapa wenyew Mvua ikinyesha maji yanajaa
@RamadhaniJuma-b7h
@RamadhaniJuma-b7h 11 месяцев назад
Kiwanja kipo tanga maeneo ya laskazon
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 Год назад
Kwa viwanja gani aisee acha kutuzuga
@rahmahamad2126
@rahmahamad2126 Год назад
Iyo ni unfinished project …unajua Ilo carpet ni sh ngap emu uuliza plus kufanya level iyo eneo unatumia nn na magar mangap ya michanga taa unajua sh ngap izo guzo emu jaribun kuappreciate kazi ya mwenzenu apo kuna vitu tele
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Год назад
Watanzania wanaweza wakiwezeshwa
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 Год назад
Viwanja vipi vya kuaminika unavyovisemea wewe?
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Год назад
Kweny vwnja vng vzl apo umtudngany
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 Год назад
Hongera
Далее
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
Outsmarted 😂
00:20
Просмотров 2 млн
TANGA Where the RICH Live //Episode 3
17:00
Просмотров 48 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
SHEIKH TAJIR MNGAZIJA
7:41
Просмотров 2 тыс.
iShowSpeed Reacts To Ronaldo Skill 😂
0:19
Просмотров 12 млн
Women’s Free Kicks + Men’s 😳🚀
0:20
Просмотров 36 млн
Камил Карате 🥋🥊6.10.2024
0:30
Просмотров 356 тыс.