Тёмный

DOGO MTANZANIA ATENGENEZA KITUO CHA RADIO KIGOMA, KINASIKIKA LIVE MTAANI "TCRA MNISAMEHE KWA HILI" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 480 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 июн 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,1 тыс.   
@denisjr11media21
@denisjr11media21 2 года назад
Kanifurahisha sanah uyoo yani tayarii anamilikii kituocha radio alafuu tayarii ameshajiajiri ni mtangazaji wa kituo chakee .. talent ya kiwango cha juu sanah
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 2 года назад
Jaman jaman mpaka nimelia mm 😭😭😭😭🙏🙏🙏dar huyo dogo wachukue haraka iwevyekanavyo sna mengi Zaid ya hongera sana
@bakariathumani8105
@bakariathumani8105 2 года назад
Yani wanaweza kumpeleka pasipojulikana
@alexmmary1741
@alexmmary1741 2 года назад
Ni kama nn nimelia sana MACHOZI yananitoka pia
@michaelbenedict1200
@michaelbenedict1200 2 года назад
Nimelia pia kiukweli kiubinadamu amenigusa🥲🥲
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 2 года назад
@@bakariathumani8105 😀😂😂😂😂
@amosikaminyoge8550
@amosikaminyoge8550 2 года назад
Dar
@farajafaraja3494
@farajafaraja3494 2 года назад
Huyu dogo ni tajiri, tajiri wa akili nyingi, mungu akuongoze na kukusimamiA
@wycliffeaoro9865
@wycliffeaoro9865 2 года назад
This young boy is genius, any relevant authority in his region to give him special approach as one way of building his skills to the next level, big up boy from mombasa 🇰🇪
@hoseamgabo4886
@hoseamgabo4886 2 года назад
😂From Mombasa tena
@mosseskanini255
@mosseskanini255 2 года назад
Wakenya ni machoko kwel nyie na vipaj wap na wap🤣🤣
@ghatilucas7709
@ghatilucas7709 2 года назад
Wakenya mna shobo mbaya mnakera eti a boy from mombasa🙄Mombasa ya nyokwe☠️
@gracejulius3966
@gracejulius3966 2 года назад
Hamjamuelewa Wycliffe Aoro, hajasema huyu kijana mbunifu anatoka Mombasa Kenya bali yeye Wayclif ndo anampa big up akitokea Mombasa.
@wycliffeaoro9865
@wycliffeaoro9865 2 года назад
Grace julius, thanks for the interpretation
@issamanyota
@issamanyota 2 года назад
Dah hongera sana Dogo kigoma fm ...watu kama hawa ni genius blessed from GOD ... watu kama hawa wapewe support sana 👐🇹🇿🇹🇿
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 2 года назад
Hongera sana Broo Hakika Naipenda sana nchi yangu TANZANIA,, kikubwa tunakuombea serikali ikufikie Ili ufikie malengo yako inshaallah 🙏✍️
@Zurushylab
@Zurushylab 2 года назад
Serekali ya nn tena jaman sema matajir wanyooshe mikono kwa huyu ndugu yetu aiseee hapa tumuombe maboss wetu wamdhamin huyu ndugu yetu ikiwemo Bakhiressa , diamond na Mooo pamoja na matajiri wote Tanzania.. (Ukisubilia kiatu kikuvae wakati ujaamua hutoweza kukivaa yani hakitoonekana kabisa)
@nuuringoogle4104
@nuuringoogle4104 2 года назад
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🥰🥰🥰
@cosmasmbugi8570
@cosmasmbugi8570 2 года назад
.sanaa
@kingelishathomasonline4842
@kingelishathomasonline4842 2 года назад
@@Zurushylab Kabisa
@joysoka3575
@joysoka3575 2 года назад
Dah kuna watu wamejaliwa vipawa nimetafakari adi kichwa kimechoka duh utundu wote uwo na wala ajatumia umeme yan duh mungu mkumbuke uyu kijana afike mbali awe faida kwa watanzania na kwa familia yake amen
@ariseinspiration
@ariseinspiration 2 года назад
Kutoka hapa Kenya hongera sana Kijana kwa ubunifu wako. Sisi wa bara la africa twatakiwa kuendeleza ubunifu wa aina hii na kuufanikisha
@mohammediddi5385
@mohammediddi5385 2 года назад
He’s talented boy 1/technology 2/presenters 3/journalists Tanzania 🇹🇿 got talent
@omaradan3442
@omaradan3442 2 года назад
Kizungu Mingi Ukasau Namba (3) 😂😂Chizi tu weweee ?
@mohammediddi5385
@mohammediddi5385 2 года назад
@@omaradan3442 😳😳
@omaradan3442
@omaradan3442 2 года назад
You Fokin edited 😂😂😂😂stop capping Nigga
@jsamtz4460
@jsamtz4460 2 года назад
Umeamua uongee cha st......
@mohammediddi5385
@mohammediddi5385 2 года назад
@@jsamtz4460 nothing
@dianashautiel7099
@dianashautiel7099 2 года назад
Eee Mungu ifunulie macho serikali imuone huyu Mtoto katika viwango vya juu! Anazidi tuliomaliza madgree na madgree, Mtoto wa la sita wa Maskini.🙏
@mdentertainmenttz124
@mdentertainmenttz124 2 года назад
Serikali imeshamuona Mungu Ni mwema
@faza4023
@faza4023 2 года назад
Mungu akusaidie ufike mbali sanaaaa mdogo wangu, uwe unasali pia wanaobana ni wengi ila kamwe usikate tamaa,Kwa uwezo wako ilitakia uwe umefanya makubwa zaidi. Sio mara ya Kwanza kusikia mtanzania anakipaji alafu badae hakiendelei wala hatuoni faida yake, mzungu pia hapendi. Dogo mwamini MUNGU Tu, hakuna anaeweza kukuzima.
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 года назад
Mashallah hongera sana kijana mzuri Allah akuzidishie inshallah from (Kenya)
@gapablessgadison6863
@gapablessgadison6863 2 года назад
Nilisemaga Sana KIGOMA 🇹🇿 NI kisiwa Cha vipaji""Serikali ituangalie kwakweli,,na kijana awezeshwe ikiwezekana apewe redio kabisa daaa"homeboy nakubarii sana usijari MUNGU atakuwezesha tu maana studio ako niyakimataifa kwani hujawezeshwa ni upeo uliopewa na MUNGU,BE BLESSED BRO
@northfixtz
@northfixtz 2 года назад
Bravo,,nimependa sana confidence yako katika ubunifu,,Mungu akubariki zaidi ufikie malengo yako..
@experiusmrefu1003
@experiusmrefu1003 2 года назад
Nakubali sana, Dogo zidi kupambania Ndoto zako...Never give up.
@matipashankanawaaooo1199
@matipashankanawaaooo1199 2 года назад
Hii nch yan jamani huyu dogo angeitwa ikulu
@MRST_1662
@MRST_1662 2 года назад
Wowww that amazing! That crazy amazing, he’s a Genius. I hope someone will see him one day, and amshike mkono na hopeful atakamilisha ndoto zake. Coz we need people like him. Coz the have lots potential in life and nation, Africa, world as whole! Ndo Wakina Tesla wajao hao kama wakiwezeshwa. All the best buddy!👏🏿🙌🏿👍🏿🇹🇿🇨🇦
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-v2_xwnpUH00.html
@necromanger272
@necromanger272 2 года назад
Wooooow magnicent brain 🧠 and talent , this young boy really need the government support to go further, tanzania 🇹🇿 government please support this wonderful talent, stay bless young man
@muzihiljabili340
@muzihiljabili340 2 года назад
Ewe ya rabi tujalie vipaji vyetu viwe vya kheri na vyenye kusaidia jamii 🙏🙏🙏
@uzungupoint
@uzungupoint 2 года назад
Amina sana 🙏
@piusmdoe8094
@piusmdoe8094 2 года назад
Hakika na iwe hivyo
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
Amiin
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 года назад
Nimemkubali Sana Huyu Kijana Mungu Aliempa Hichi Kipawa Akamfanyie Wepesi Katika Hili Lengo Lake Litimie Na Akafanikiwe Kwa Jina La Yesu Kristo Amen
@KATOPE1
@KATOPE1 2 года назад
Kwani yesu ni mungu😫.Kama lipo andiko kwenye biblia naomba
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 года назад
@@KATOPE1 hiyo sio Kaz yangu pambana na imani yako mpendwa
@KATOPE1
@KATOPE1 2 года назад
@@listerlujiso6009 hujui imani yangu ndio nataka nijue je yesu ni mungu kwani ukinifahamisha siutapa baraka kwa roho safi tu
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 года назад
@@KATOPE1 hatupo kwenye mjadala wewe ulivyoelewa ndo hvyo na mm ninavyoelewa ndo hvyo ukitaka kuelewa zaidi mtafute mchungaji akueleweshe vzr
@muhammadsalim1301
@muhammadsalim1301 2 года назад
kwa jina la mungu sio yesu,yesu mwenyewe Ana mungu wake,pale aliposema mungu wangu,munguwangu mbona unaniacha.
@captenndunga6745
@captenndunga6745 2 года назад
Sina hata cha kuongea niseme tuu hongera mdogo wangu pambana ipo siku tanzania itakujua wee ni nani kama sio dunia kwa ujumla... Hongera sana sana sana sana tena saaaaaanaa.
@alimondbenson1751
@alimondbenson1751 2 года назад
Najivunia kuzaliwa Kigoma,najivunia kuzaliwa TANZANIA, mungu ibarika Tanzania
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 2 года назад
Iwachu Raha Sana kigoma Ina talents za kutosha
@ahmadisaidi3952
@ahmadisaidi3952 Год назад
Tupo pmj
@winterkasela9033
@winterkasela9033 2 года назад
Daaa! Hawa watu wa kigoma ni watu hatari kwa akiri nimewakubali
@maarufumusic
@maarufumusic 2 года назад
Hii ni Moja kubwa .....,this guy is blessed...n inshAllah mola ataazijidi kumshushia ujuzi zaidi
@mussayombo2311
@mussayombo2311 2 года назад
Hongera Sana bwana Zuberi. Ni Jambo la kujivunia Sana kuwa na watu wabunifu Kama wewe.Ifikie muda uwepo Uhuru wa kujitengenezea vitu vya kiteknolojia wenyewe ,siyo MTU anakuwa ametawaliwa na hofu ya Kukamatwa.Haya Mambo tusikaririshane kuwa ni ya wazungu tu.Big up Sana bwana!
@jacksonmakariusmac8846
@jacksonmakariusmac8846 2 года назад
God be with you.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ur blessed ...keep moving keep shinning
@sometimes5621
@sometimes5621 2 года назад
Tatizo litakuja Kwa TCRA watampiga marufuku hadi wampe masafa na wampige faini! Habari za hivi punde NI kuwa Mkuu wa Wilaya ametembelea Studio yake Leo 27-06-2022 na Waziri wa Habari na Mawasiliano ameagiza TCRA wa waende na kuona NI jinsi gani wanaweza kumsaidia!
@Commentsplus
@Commentsplus 2 года назад
Hajafanya ubunifu katumia FM car transmitter acheni kuhemukwa
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV 2 года назад
@@Commentsplus Wewe unaweza??? Au unadhani ubunifu ni nini??? Wivu tu unakusumbua, na nyie ndio mnakuwaga wachawi, ww umefanya nn....
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 2 года назад
@@Commentsplus fm car transmita inakuaje emb elezea
@magafootball6569
@magafootball6569 2 года назад
@@Commentsplus wabongoo wivuuu sanaaa kumamayeeee
@abdalahsambala6667
@abdalahsambala6667 2 года назад
@@Commentsplus matako we fm car transmete r gan inafika meter 150
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 Год назад
mashaAllah hongera sana kijana...kama nawe umemkubali gonga like tuende sawa
@africangoldenmusic8061
@africangoldenmusic8061 Год назад
Kurudi kwake kijijini ndo bahati yake.Asingerudi,asingefikiria kuhusu ubunifu huu.....big up bro
@frankbinadola5816
@frankbinadola5816 2 года назад
More talent,more creativity Allah bless self effort 🙏🙏🙏
@machalilajulius688
@machalilajulius688 2 года назад
Kwamba cmart 4n huwez okota jalalani hahah daah talented boy good idea
@monicamagesa8571
@monicamagesa8571 2 года назад
Mungu akutanguliye na akukutanishe na watu sahihi wakukuinua na kukupa support ili uzidi kuwa viwango vya juu, na ufike mahala ambapo Mungu amekukusudia, wewe umebarikiwa sana na Mungu juu ya vipaji vyako ila muombe Mungu akukutanishe na yule atakayekuvusha ili usonge mbele na ukafanikiwe zaidi na zaidi, uje kuwa mtengenezaji wa hapa nchini. Hongera sanaaa kijana.
@hassanamran3637
@hassanamran3637 2 года назад
Tukubali tukatae wa2 wakigoma 2navipaji vingiiii👏👏👏👏
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 года назад
Kigoma ndo mkoa wakwanza wenye vipaji vyakila aina najivunia kuwa mwana kigoma mwisho wa reli🔥🔥
@sadatamal3655
@sadatamal3655 2 года назад
Kwakweli acha tujivunie kigoma yetu
@sinarahaissa7927
@sinarahaissa7927 2 года назад
Ofcourse hujakosea
@neemaneema9969
@neemaneema9969 2 года назад
Kabisaa
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 2 года назад
Kabisa
@selemanihussein7873
@selemanihussein7873 2 года назад
Nikweli
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 2 года назад
genius 👏🏽👏🏽😢😢😢😢 Mungu amfungulie milango insha'Allah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@sudymgeni701
@sudymgeni701 2 года назад
Yani dogo hongera sana sana.ila jitetee mwenyewe usimuweke mavunde.uko vizuri sana sana pambana watakusaidia mtafute nape yuko vizuri atakusaidia
@Ashelymhangazo
@Ashelymhangazo 2 года назад
HAKUNA KIPAJI KAMA HIKI TANZANIA, VIONGOZI MPO WAPI MUANGALIENI KWA JICHO LA 3 ,SIO WA KUMUACHA AMEONYESHA UWEZO WAKE TANGU ZAMANI, naumia sana kumuona bado yupo katika mazingira hayo bila msaada wowote wa juu😰😪😪
@yahyakigezi120
@yahyakigezi120 2 года назад
Hongera sana na ongeza bidii pia mungu akujalie ufike mbali
@songamberetv2219
@songamberetv2219 2 года назад
Africa Africa Africa amuka amuka 😭😭 nasikitika kuona huyu kijana hajasaidiwa na serekari na vipaji alivyonesha tangu zamani
@KATOPE1
@KATOPE1 2 года назад
Kweli kabisa ni miaka sasa na anakipaji sana
@abdulabdallah9688
@abdulabdallah9688 2 года назад
Waambie kuongea umbea tu
@nurathkhamiss5925
@nurathkhamiss5925 2 года назад
Ndo apo sasa
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 года назад
Wale wa kukariri maandishi hawahusiki hapa. Dogo sio mtu mzuri!
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 года назад
Naapo kaishia darasa la sita tu
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 2 года назад
Mwenye Enzi Mungu akubariki sana na usiachie hapo sky is not a limit you can go beyond!👍
@youngtygamayamimusicmmc
@youngtygamayamimusicmmc 2 года назад
Hongera Sana rafiki I'm boy from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naomba like kwake
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 года назад
Hongera sana dogo m/mungu akuzidishie kipaji zaidi ili ufikembali selikali mumuwezeshe kijana afike mbali
@aloyceooga
@aloyceooga 2 года назад
Ata kenya tumekupata sana brother keep up bro never give up
@nth3512
@nth3512 2 года назад
Sasa huu ndo ubunifu, hapa nakubali MASHA ALLAH BAARAKALLAH FYH
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 2 года назад
Familia za kimaskini ni mtihani sana kwani siku zote wenye hela ndio wanapata nafasi kila sehemu kwani wanasoma katika mazingira mazuri na shule za bei ghali tu na kivyovyote wanafaulu sana kwa force hiyo...But unfortunaley maskini wanaishia kufeli na kufa na vipaji vyao....Kiukweli inauma sana sana sana...Mda mwengine maskini analazimika kusoma asichokipenda kutoka na kutopata nafasi ya kuendelea na fani anayoitaka....Duh huyu dogo asaidiwe
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 года назад
Mtihani Serikali sio maskini ngoja TRA waende kumbeba koo. Loo kuzaliwa TZ mtihani Bora tungezaliwa Faru Johni
@alexwailod5589
@alexwailod5589 2 года назад
Huku Mbeya umalila Kuna jamaa alitengeneza cha ajabu diwani akaenda kumfokea afunge mara moja daaa!!!
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 года назад
Na Mara nyingi utakuta walokua hawana uwezo Ata Ada inawashinda ndo wanakuaga na akili sana but wa nashindwa kosoma ama kufanya maendeleo ya vipaji kutokana na kukosa ela lakini uyu dogo nina Imani Atafika mbali in Sha'Allah maana tayari diwani keshamtembelea na wamemuahidi kumsaidia asome ili aweza kuimarisha kipaji chake
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 года назад
Naomba serikali imchukue huyu dogo aingie kwenye jeshi kule aje ajikite na maswala ya mawasiliano tu 🙏🙏🙏🙏🙌
@mdta8161
@mdta8161 2 года назад
Mashallah upo vizuri sana mdogo wangu mungu hazidi kukuinua zaidi na zaidi
@uzungupoint
@uzungupoint 2 года назад
Daaah! Yaani katengeneza jiko la kutumia umeme wa jua, angekuwa anatoka familia yenye mali au Taifa lenye kujali vipaji vyake tungesahau kabisa matumizi ya gesi na mitungi kuripuka kila wakati na kuua watu daaaah! Oooh MUNGU wa AFRIKA tusamehe sisi wanao ndiyo maana hatujali vya kwetu.
@khalfanseiph491
@khalfanseiph491 2 года назад
Tatizo kumuendeleza mtu kama huyu ni changamoto sana inabidi tumuombe mungu sana
@fatumasirakwi3700
@fatumasirakwi3700 2 года назад
@@khalfanseiph491 Changamoto kivip
@honorascusmatembe2987
@honorascusmatembe2987 Год назад
This what we need in Tanzania 🇹🇿 ongera sana dogo serikali na watu muliopiga atua mbele kidogo ndo wakati wetu Sasa wa kuendeleza vipaji vya watanzania
@jsamtz4460
@jsamtz4460 2 года назад
Hiyo ni 87.5 Kigoma Fm. Hongera sana Zuberi
@fredntibigerayo7890
@fredntibigerayo7890 2 года назад
KWELI!! hawavumi lakini wapo. Mungu akupe afya, utafanya makubwa zaidi
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 2 года назад
Hadi raha yani, Mungu azidi kukusogeza mbele na kukubariki🙏💪
@bakarimohammed9851
@bakarimohammed9851 2 года назад
Dogo wew ni Zaid ya talent 🙌🙌🙌🙌
@meggygitau4079
@meggygitau4079 2 года назад
Hongera sana, very Genius and creative Mungu azidi kukuongoza 🙏
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 2 года назад
Ulaya uyo dogo angeshatoboa maisha na wenda ikawa exposure Ila hapa bongo daah😢
@rebecashao798
@rebecashao798 2 года назад
Kwel kabisa. .serikali ya bongo sijui wanakwamwa wap kuinvest kwa vijana kama hawa
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
@@rebecashao798 yaani hata mimi na shangaa kwakweli
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 2 года назад
Hongera sana dogo, wewe ni kipaji sana, Mungu akusimamie
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Awesome awesome awesome duh😍💕🔨🔨congratulations
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 года назад
Maskini mungu ampe maisha marefu.serkal mumsamee kwakweli.
@hamidusibye5241
@hamidusibye5241 2 года назад
SIJAJUTIA KUTUMIA MB ZANGU KUANGALIA HII VIDEO,,,,,,,MAASHAALLAH
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Mashallah, hongera sana kijana Wetu wa kitanzania
@rosemaryjanuary7146
@rosemaryjanuary7146 2 года назад
Nimeipenda hii jamani hongera sana kijana Mungu aendelee kukufanya ukue zaidi ya hapo
@mwanahawaayoub6647
@mwanahawaayoub6647 2 года назад
Kuna watu wamezaliwa na vibaji jmn daaaa hongera mungu akuzidishie
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 2 года назад
Hongera sana mkuu Mungu atutangulie Kakaa
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Mashaa Allah Allah akuhifadhi akujaaliye utimize ndoto zako.
@lancemulaki5132
@lancemulaki5132 2 года назад
Big up kijana pambana dogo hulu Bashu wa TAMISE kafanyake. Hamna aja yakwenda schl
@castobenjamin4074
@castobenjamin4074 2 года назад
Wazungu wakimjua huyo dogo watamuiba wampeleke kwaoo😂😂🤗🤗
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 года назад
Ndio kabisa lakini kwa sisi tcra watamkamata kwa kufungua redio kinyume Cha sheria
@hashimrweabula9
@hashimrweabula9 2 года назад
Umeonaaeee tz vipaji vipoo ilaa ndohvyoo kuenderezwa zsid ndohvyoo
@hanirashuwesu4239
@hanirashuwesu4239 2 года назад
Wamchukue tu😂
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 года назад
Wamchukuwe
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 2 года назад
@@hanirashuwesu4239 hahahhaah!!!watu wamekata tamaa
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 2 года назад
Hongera Sana Unajua, Serikali sidhani kama utaweza kukusaidia zaidi ya kukurudisha Veta, Wadau mnaopenda maendeleo Msaidieni Dogo a najua.
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 года назад
Waache kupeana wao mihela
@katore1982
@katore1982 2 года назад
Masha Allah tabarakaAllahfi....angeiondoa hio picha kubwa ukutani ambayo inaashiria mungu wakihindi kama Shree
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 года назад
Woow amazing saana dogo katisha pig up saana kwake 🙌🙌🇶🇦🇹🇿
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 2 года назад
Dah!!Kipaji kinapotea tu bure,ungekuwa ulaya wewe kijana kipaji kingeendelezwa.Ila nakutakia kila la kheri,njia za mafanikio zifunguke kwako!!!
@majaliwa_tz5004
@majaliwa_tz5004 2 года назад
Jamani Serikali Yetu Ya Tanzania Mko Wapi Vipaji Kama Hivi Hamuvioni Huyu Kijana Nawengine Wa Namna Hii Siyo Wakuishia Kusomeswa.Tu Inabidi Waendelezwe Kimasomo Na Kuwezeswa Mikopo Ya Hela Nyingi Ili Tanzania 🇹🇿 Tuwe Mifano Ya Mataifa Mengine🙏
@jamiiredio91.0turkana
@jamiiredio91.0turkana 2 года назад
Hongera kaka inchinia M wenzangu. Mimi nilitengeneza 7km Lakini sapoti sijapata. Kweli Tanzania kwema.
@lovenoor988
@lovenoor988 2 года назад
Tanzania tuna hitaji vijana kama hawa Good job bro Mungu akutangulie ufike mbali zaid ya hapo
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 2 года назад
allah kareem azid kumpa nuru daima
@faza4023
@faza4023 2 года назад
Sasa Pikipiki veta muda wote inafanya nini huko? Wanataka waseme walitengeneza wao au, dogo kwani kasema alikwama? Wanashindwa kutengeneza za kwao na dogo atengeneze za kwake? Mpk mtangazaji anasema imechukua muda means huko veta wanaduaa tu au ndiyo figisu watu washaingilia. Boxer na mchina hawatauza tena? Kwann hawakuacha dogo amalizie mwenyewe na Kwa maelezo yake sio kwamba alikwama, si watengeneze za kwao basi
@michaeljm2739
@michaeljm2739 2 года назад
Ongera sana kaka Mungu Atakusahidiya kwakipaji ulicho Nacho🙏🙏
@issakellykalonji8879
@issakellykalonji8879 2 года назад
BIG TELENTED ✌️✌️✌️🔥 GOD BLESS U MY YOUNG BROOH
@latjam188
@latjam188 2 года назад
I can I support You Boy!!
@edwriter
@edwriter 2 года назад
Uyu jamaa ni Genius🙌
@babilonkiller1161
@babilonkiller1161 2 года назад
Tisha mbaya
@karisacharo2074
@karisacharo2074 2 года назад
Very genius boy nakubal sana determination yako God bless u
@allyadam9586
@allyadam9586 2 года назад
Super talented guy...he managed all systems with a single brain, waooh. Amaizing ivan
@malikijuma2759
@malikijuma2759 2 года назад
genius ni mtu mwenye matumizi mazuri ya akili,hivyo huyo ni genius sio wale wanangu wa degree holder .
@charlesrongo3615
@charlesrongo3615 2 года назад
TANZANIA GOT TALENTS ... KUNA WATU WENGI WENYE VIPAJI VYA HALI YA JUU.
@kingelishathomasonline4842
@kingelishathomasonline4842 2 года назад
So amaizing talented boy,tunaomba serikal imsupport kijana mwenzetu 💥💪
@narymwamba7723
@narymwamba7723 2 года назад
Aiseee we jamaa nouma Sana ...hongera mnoo duu🙌🙌
@del-mohaa7527
@del-mohaa7527 2 года назад
Alafu mabeberu wanatuita sisi hatuna akili watu weusi huyu ni engineer mkubwa sanaaa ningekua na uwezo ningekusupport kwa uwezo wangu wote ila mm pia uwezo wangu bado upo chini natokea kenya 🇰🇪
@Witnessvlog
@Witnessvlog 2 года назад
He is intellegent. Nasikitika kwamba kwa nchi yangu Tz hawatamchukulia serious. Inahuzunisha huyu tukimtumia vizuri he is the next big thing. Ubaya ni kwamba udaku Tz ndo unakua entertained kuliko vitu vya maana hii
@johnsegeja1717
@johnsegeja1717 2 года назад
Nu
@angeloelia8224
@angeloelia8224 2 года назад
Good job 👍 Kijaanaaa wetu from kigoma
@totoclass2470
@totoclass2470 2 года назад
Hongera bro mwenyezi mungu hakujalie upate Itaji lako
@kaittheleast
@kaittheleast 2 года назад
Kigoma,, nyumba ya vipaji👊👊
@yahayamaulana1561
@yahayamaulana1561 2 года назад
Kigoma au Tanzania? Rekebisha kauli
@issayajackson360
@issayajackson360 2 года назад
Hahaha mwenewachu
@kaittheleast
@kaittheleast 2 года назад
@@issayajackson360 kipaji chako ni kipi mwenewachu 😂😂
@kaittheleast
@kaittheleast 2 года назад
@@yahayamaulana1561 kigoma sirekebishi kauli 😂😂
@issayajackson360
@issayajackson360 Год назад
@@kaittheleast mwenewachu hata sina kipaji wee acha tu
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 2 года назад
Serikali hapo ni kuunga mkono tu kazi iendelee
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
Yan tanzania tupo vzr jaman Tukiwezeshwa hatuna umasikin hata Mungu ibarik 🇹🇿 yangu Inshallah Utafika mbali kijana
@thepinpoint8094
@thepinpoint8094 2 года назад
Kigoma is ON AIR! Keep up a good job, boy!
@waheedhamad4558
@waheedhamad4558 2 года назад
Inshallah naamini ipo siku allah atakukunjulia na utafikia ndoto zako na mafanikio yako kwa uhalali kabisa.....
@marynyabenda4414
@marynyabenda4414 2 года назад
Daaaaah🙌🙌🙌🙌, mungu akufungulie mlango wa mafanikio jaman😭
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Amina Nikweli kbs
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 2 года назад
Hongera dogo fro Kigoma,kweli icho ni kipaji kutoka kwa MUNGU maana ata co km ni msomi xanaa, MUNGU akubariki na serikali imtazame kwa jicho la tatu
@vbnmmnbv5292
@vbnmmnbv5292 2 года назад
Hongera sana Mungu akujalie zaidi inshallah
@rizikikasongo4388
@rizikikasongo4388 2 года назад
The boy needs a proper support bcs he has a beautiful talent. Guys go and support this boy
@estakapufi7582
@estakapufi7582 2 года назад
Daa huyu akiendelezwa ni mtu mwingine sana mungu amfungulie milango
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 2 года назад
Shida viongozi wetu hawangalii wao wanawaza siasa vipaji kama hivi wanapuuzia
@maarifatv4778
@maarifatv4778 2 года назад
Mungu akufanyie wepesi kijana wetu tunajivunia kuzaliwa kigoma tunajivunia kuzaliwa Ujiji
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 2 года назад
Mungu akuongoze dogo uweze kutoa zaidi ya hiyo radio
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
Serikal yetu wako na kina bongo zozo ndo wanawaona wa maana wanaacha kupambania vjana kama hawa wadogo wakomboz wa taifa la kesho 😢
@Commentsplus
@Commentsplus 2 года назад
Sasa hapo kipaji kipo wapi yani watanzania mnahemukwaa
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 2 года назад
Acha chuki ndugu,Mambo ya Bongo zozo na kipaji cha huyu dogo vinaingiaje?
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 года назад
@@Commentsplus we unaweza
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
@@Commentsplus kafie mbele uko na roho mbaya yako mxxx😏
@veronicanditeze425
@veronicanditeze425 2 года назад
Kazi anayofanya bongo zozo sio ya kubeza
Далее
Копия iPhone с WildBerries
01:00
Просмотров 283 тыс.
HII NDIYO HELIKOPTA ILIYOUNDWA ZANZIBAR
10:50
Просмотров 818 тыс.