Тёмный

EXCLUSIVE: KUTANA NA MZUNGU WA MWANANYAMALA ANAYETREND MITANDAONI, UTACHEKA VITUKO VYAKE... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 2 года назад
Mzungu anaweza kukaa miaka kumi mpaka 20 ukadhani mjinga kumbe akaunti yake amewekewa mabilion kwenye akaunti yake ili afanye research ya kitu flani
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 года назад
Yeah upo sahihi maneno yako umeona eeeh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 года назад
Kabisa
@minablessing8650
@minablessing8650 2 года назад
Ukwel kabisa nilishawah kulishuhudia Hilo ,,, huyu kuna Jambo analitegemea
@ladyt1471
@ladyt1471 2 года назад
Kweli kabisa anaweza hata kuolewa hapa hapa kumbe anafanya research zake
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 2 года назад
Kichwa chako boxi
@hadijamlokakuzenza2146
@hadijamlokakuzenza2146 2 года назад
Hawa watu hawajagi huku bila sababu mnaweza kusema anaenjoy,kumbe ana lake jambo, muwage makini na hao, hawajuagi kutembea bure,ila ipo sababu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Umeonaee wengine wametuma na mabeberu wabongo wakiona ngozi nyeupe hivyo wanashoboka wangejua Hao rohozao
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 года назад
cc ndiyo wabaya uliwahi kufanya kizuri tunajijua tunavyoishi
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 2 года назад
Sipendi sana Ambavyo Tunashoboka na wazungu? Hivi unadhani huyo dada katoka Calfonia kuja kufanya vichekesho tu Bongo!! Tuwe sereous Wabongo!! Ukienda kwao ni kwa Moto sana aiseee....unasakwa Kama muizi
@yayeissa4128
@yayeissa4128 2 года назад
Africa yetu ina amani.pia utuvulivu upo tofauti na ughaibuni ni balaa tu.maisha yanatupeleka mbio lakin afica ndio kila kitu.
@Lovelove-or2ob
@Lovelove-or2ob 2 года назад
Kwamba mzungu hataki kuondoka jamn🥰🥰🥰
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 2 года назад
Siwaamini Sana Hawa viumbe Wana Mambo mengi Sanaaa,,
@karimhgau9020
@karimhgau9020 2 года назад
You are so happy in tanzania rita thank you for coming to tanzania
@Jamie-zp7bb
@Jamie-zp7bb 2 года назад
Alama za kumjua kama ni CIA: 1.Hawezi kabisa kukubali/kuruhusu kuolewa au kuwa na mtoto mahala kwenye mission alikotumwa sababu kwao ana maisha yake mazuri tu. 2. Wazungu wanayaogopa sana kuyaishi MAISHA ya UMASIKINI. I'm just giving you heads-up only, maana ninaishi nao muda mrefu na ninawajua vizuri sana.
@bukheytmohammad2831
@bukheytmohammad2831 2 года назад
So atakua ni cia
@Jamie-zp7bb
@Jamie-zp7bb 2 года назад
@@bukheytmohammad2831 🙂Siku zote utautambua mti kwa matunda yake.
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 2 года назад
Hopeless thinking....wacha njaa
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 2 года назад
Hopeless thinking...au wacha njaa
@Jamie-zp7bb
@Jamie-zp7bb 2 года назад
@@ezekieljacob5795 English 'n Swahili have left you..for sure!!😲😳😅did i directly say that she's a CIA? or even mentioned her name that she's a member of any security bureau? poor understanding 'n am not adoring Caucasians as you do!😏😏.
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
Mzungu akija Africa anaenjoy but ss tukienda kwao mamaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Unaish kama mfungwa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
hatari sana
@nurathkhamiss5925
@nurathkhamiss5925 2 года назад
Tena Kama mbwaaaaaa kichaaa
@johasaeed391
@johasaeed391 2 года назад
Maisha ni magum sana jamani
@dhabiyaalawi3024
@dhabiyaalawi3024 2 года назад
Mapenzi yke kufanya sanaa sasa sio. Mjadili eti kama anajambo lake mwenyewe hawa akifika miaka 18 wanaondoka kwao wanafuta maisha yao
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 года назад
WAPEMBA NI WAZURI SANA ,MASHAALLAH NAWAPENDA SANA MM
@venancjoseph1498
@venancjoseph1498 2 года назад
Kuweni na akili .nyie waandishi mzungu hawezi toka marekani kuja kufanya vichekesho acheni hizo
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 2 года назад
Yeah yuko na mission
@marshamkayalla9721
@marshamkayalla9721 2 года назад
Jina
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 года назад
Wa bongo wanataka kwenda marekani ,mzungu hataki kutoka bongo,daaah,kali
@doreengomes3489
@doreengomes3489 2 года назад
Rita thank you for the laughter 💜💕
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 2 года назад
Karibu sana
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
Kwani si hata sisi tukiwa marekani lazima tuongee kiingereza? Sasa cha ajabu ni nini yeye akiongea kiswahili akiwa Tanzania? Sisi waajabu sana
@ramadhanrajabu6772
@ramadhanrajabu6772 2 года назад
Ww ni genius walahi kaka hahaha nimekukubali
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 года назад
Bado utumwa 😜😜😜
@Beautiful-Place
@Beautiful-Place 2 года назад
Bado utumwa haujaisha😂😂😂😂
@stellanyamuhogota1832
@stellanyamuhogota1832 2 года назад
Lita wew noma 😀😀
@africangirl189
@africangirl189 2 года назад
Why are we so excited by wazungus yet they are never excited about us 😂😂🤔
@isaacbarnabas9608
@isaacbarnabas9608 2 года назад
😂😂 faf* That's fact 😂✊🏼
@musasabuu2808
@musasabuu2808 2 года назад
Yani mnachoshangaa yy kuongea kiswahili nn wakat hata ss tukienda kwao tunaongea kiingereza
@kelvinkeita319
@kelvinkeita319 2 года назад
Jaman mzungu wa mwananyamala namtaka
@josephatmaruka4612
@josephatmaruka4612 2 года назад
Kama umegundua familia yake haiko pamoja huko kwao.
@allymapinda8804
@allymapinda8804 2 года назад
Ushauri kwa wageni wote ambao sio watanzania, ukija Tanzania kwa lengo la kuishi nenda kaishi uswahilini! Sio Sijui Masaki, Oysterbay huko hautapata flavour halisi ya bongo. Mimi nilikuwa na mzungu alikuwa anaishi uswahilini na majirani walikuwa wanampenda sana yani maisha yalikuwa very simple.
@sophianyange3655
@sophianyange3655 2 года назад
Wapelelenzi hao
@josephkiwale374
@josephkiwale374 Месяц назад
Huyu mzungu kiboko anakula mpaka makande😆😆
@salumsicknesspeoplemusafir7902
@salumsicknesspeoplemusafir7902 2 года назад
Yes girl tell them .we are same about fighting to get good life
@yusufulimo5737
@yusufulimo5737 2 года назад
Nice❤️ you
@inongee1141
@inongee1141 2 года назад
Hatari
@allysuleiman1637
@allysuleiman1637 2 года назад
Muangalieni huyo yawezekana kila anapokwenda anaonekana keshaizunguka moshi Sasa yupo dar akitoka dar mtwara dodoma NK anaonekana MSOMI mzuritu
@josephkiwale374
@josephkiwale374 Месяц назад
Uyu mzungu mzur balaa,,naweza kumfanya mke na nikawa na aman kabixa hata kama ni mzungu,,
@mwilongokivega3169
@mwilongokivega3169 2 года назад
🤣🤣🤣kimoja chaliii acha uongo🤣🤣
@deogratiasrugangila3100
@deogratiasrugangila3100 2 года назад
Mmm mmarekani? Unadhani anakaa uswazi bure huyo? Katumwa huyo baada ya muda utakuta hayupo kaisha peleka aliyo tumwa.
@farikkaqueen2367
@farikkaqueen2367 2 года назад
😂😂😂😂😂☠️😂😂
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 2 года назад
Ok
@saidamad3191
@saidamad3191 2 года назад
Mzungu
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 2 года назад
Angekuwa mubongo angesema myaka anayo 19
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 года назад
Mbona unampa leading questions
@abdulmalickabdillah6739
@abdulmalickabdillah6739 2 года назад
Mzungu kichaa,mzungu pori🤣🤣🤣🤣😂
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 года назад
Huyu ni F.B.I.
@Jamie-zp7bb
@Jamie-zp7bb 2 года назад
Unachokisema kinawezekana pia sababu Wazungu wanaogopa sana kuishi maisha ya kimasikini.
@dianamahendekamahendeka1344
@dianamahendekamahendeka1344 2 года назад
😂😂😂😂😂 mzungu hataki kurudi kwao
@johasaeed391
@johasaeed391 2 года назад
Maisha noma huko kama una ndugu huoo au jamaa mwambie akupe habari tu kidogo ni noma marecan hata wa Egypt wamejaa wanauza vifaa wakitembeza mitaani hehehe watanzania mmelala
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 2 года назад
Na wewe dada yangu hebu punguza kula kula ebu ona unavyo vimbiana maana mpaka unatisha
@charlesnassary6689
@charlesnassary6689 2 года назад
😂😂😂🙌🙌🙌
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 года назад
Acheni ujinga wezi watanzania Hao nyie hamjui watu weupe wanavyotudharau watu weusi nachukia kuona wanajiachia kwenye nchi yangu 😵😵
@arynxbaba9091
@arynxbaba9091 2 года назад
Sisi wote ni wamoja,Mungu wetu ni mmoja,aina haja ya kubaguwana,km wao wanabaguwana juwa sio wote wanafanya ivo,maana pako ata wa africa wana roho km zao!!wew ishi tu km gisi mungu anapenda tuishi,maana iyi sio dunia yetu bali ni ya Mungu
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 года назад
@@arynxbaba9091 nikweli japo inatia hasira
@arynxbaba9091
@arynxbaba9091 2 года назад
@@mwanaishamande8880 Hakuna Namna Mama
@r14kgroup68
@r14kgroup68 2 года назад
Acheni.njaa
@babuloliondo5975
@babuloliondo5975 2 года назад
Anaka kisheria au kwawafrica tu vip vibari viyake vipo Sawa au wa Africa tu murizeni vibari manahake usipangishe mgeni kutoka Africa nikesi kubwa daa sijuwi tunakwenda wapi
@adamutilar3147
@adamutilar3147 2 года назад
Mzungu wetu mkarimu
@lilianhigilo2527
@lilianhigilo2527 2 года назад
Yuko kazin8
@crissinkala3110
@crissinkala3110 2 года назад
Huyu CIA
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 2 года назад
Semeni tu Africa yetu Ina amani na utulivu, unajua ameijia nn? Yani sijui tutajitabua lini. Inasikitisha sana.
@edsongamuga1814
@edsongamuga1814 2 года назад
Kwan ameijia nn?
@selemanihussein7873
@selemanihussein7873 2 года назад
Kwaiyo Unatakaje afukuzwe nchini au
@maghanighanichali9519
@maghanighanichali9519 2 года назад
Elimu ni ujinga mwandishi anajisikia raha kuongea na mzungu.angekuwa na mweusi mwanzake angekuwa mkali sana.Wimbo aliochagua una maana sana usichukulie poa mwandishi
@micamathew2595
@micamathew2595 2 года назад
Ngoja litanenepa hili!! Anakula chapati mamaaaa hahahahahaaaaaaa
@handwatchmaro4124
@handwatchmaro4124 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣fala wewe🤣🤣🤣🤣umenichekesha sana
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 года назад
Hawa wazungu wakija tz wanaishi vzr na tunawababaikia lkn nenda kwao km mfungwa na wanatunyanyapa sana magu angekuepo ujinga hu usingekueoo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
KWANI MAGU ALIPOKUWEPO WAZUNGU WALIKUWA HAWAPO TZ???
@mylatz4944
@mylatz4944 2 года назад
sio wote bhn
@firdausqutty2067
@firdausqutty2067 2 года назад
Sio kwa hayo macho yke akikodoa
@farikkaqueen2367
@farikkaqueen2367 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanasitidettwiler9254
@mwanasitidettwiler9254 2 года назад
👍👍👏👏💯✅️
@faridaomary4927
@faridaomary4927 2 года назад
Waooo
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 2 года назад
Hawa wajinga ukiend kwao ukahohiwa hivi bila wao kujua utashangaa asubuhi wako mlangoni kuuliza we nyani umefikaje hapa
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 2 года назад
kweli kabisa wamarekani wabaguzi sana
@bahatimwinga2501
@bahatimwinga2501 2 года назад
Woooii kwli walai kwanza ile ukijiintroduce unataka uholewe ndio unaeza kufia jela
@charlesnassary6689
@charlesnassary6689 2 года назад
wazungu wajanja mnoo
@abujuma4751
@abujuma4751 2 года назад
Uyo analake jambo kwaher au shari tuye teyari kupokea vairas hai wezekani mtu ache nchi yake bule
@loner_wolf
@loner_wolf 2 года назад
Hao watu wako free wewe .... Nchi zao ziliendelea miaka mingi sana thats why wako far kwa killa kitu ..... Huyo anataka kujifunza vitu tofauti na wanavyojua huko kwao ili akirudi huko kwao awe na kitu cha kipekee apige pesa .....
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
"Polepole acheni njaa siwapendi wote".
@micamathew2595
@micamathew2595 2 года назад
Kibamia?? Hahhaahaaaaaa!!
@yusuphbahati172
@yusuphbahati172 2 года назад
Mh
@jumamumaka5846
@jumamumaka5846 2 года назад
Utakuta hata ni mpelelezi huyu,
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 2 года назад
hahahah
@noahnsubc1666
@noahnsubc1666 2 года назад
Dadaake bongo zozo
@pachamalota4455
@pachamalota4455 2 года назад
Mzungu kishuka anampango
@wasimbaa6653
@wasimbaa6653 2 года назад
Mwambie aje njombe achukue palachichi na viazi
@mlyuka-p6q
@mlyuka-p6q 2 года назад
Umtie. Mimba
@neemamwanzuga9267
@neemamwanzuga9267 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ati unakibamia
@shalimwile9278
@shalimwile9278 2 года назад
Yeyoooooh🤣😆😆
@rajakhamis8902
@rajakhamis8902 2 года назад
Nyie watanganyika musiseme kibari semeni kibali
@nellyambani6456
@nellyambani6456 2 года назад
Jicho la FBI
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 года назад
nonsense
@babusadala5732
@babusadala5732 2 года назад
😁😁😁😁
@othmanalsherem7313
@othmanalsherem7313 2 года назад
CIA agent
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 2 года назад
Pumbavu zake aondoke kwao mpuuzi huyu kwao wanaua sana watu weusi
@shedrackmwaipopo219
@shedrackmwaipopo219 2 года назад
Acha ubaguzi wewe
@farikkaqueen2367
@farikkaqueen2367 2 года назад
not all white ppl racist! sometimes black americans doesn’t listing at all.
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 2 года назад
Acha wauae nani anawambia waende huko 😂😂😂😂😆😆
@yayeissa4128
@yayeissa4128 2 года назад
Africa yetu ina amani.pia utuvulivu upo tofauti na ughaibuni ni balaa tu.maisha yanatupeleka mbio lakin afica ndio kila kitu.
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 года назад
Umaskini ndio tatizo
@Football-cl2hj
@Football-cl2hj 2 года назад
@@mohamnedsalum2150 ummaskinii upo popote bruh kuna wazungu wanaishi vibaya sanaa
Далее
One on One With Pearl aka Lulu Mzungu Mlunje
8:52
Просмотров 1,4 млн
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
DULVAN AVAMIWA STUDIO NA MWANAMKE ALIYEMPA UJAUZITO
5:00
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн