Тёмный

EXCLUSIVE: MJUE RPC JUMANNE MULIRO KAMANDA wa POLICE "MAFIA" Mwenye UWEZO WA KUKAMATA MAJAMBAZI 

SAN TZ MEDIA
Подписаться 34 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

MJUE JUMANNE MULIRO KAMANDA WA JESHI LA POLICE MKOA WA DAR ES SALAAM KANDA MAALUM , MAISHA YAKE A~Z
#dullysantz #cloudsmedia #wasafimedia #history #efm #simulizinasauti #millardayo #exclusive #ccm #santzmedia

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@gloryleonard1563
@gloryleonard1563 21 день назад
Mungu amlinde kwenye kazi yake anajitahidi sana
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 17 дней назад
Mungu huchukizwa sana na machinjo ya watu wake atawaadhibu watekaji na wachinjaji wote yeye atawakamata hata wajikoshe kwa magadi maana ana silaha za moto anaweza kuwalaza vitandani pasipo mkono wa mwanadamu tena anangoja umeshasahau ndipo hukuwashia moto
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 25 дней назад
sativa duh unajiteka na kujipiga risasi mwenyewe? duh ama kweli
@user-ih6hk5nh7v
@user-ih6hk5nh7v Месяц назад
kaka umetisha sana nafurahia sana kaz zako
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
Shukrani Sana 👊 mtu wangu wa Nguvu Tupo pamoja
@MsatiOne
@MsatiOne Месяц назад
Tengeneza vzr history unatengenezaje kama au elimu yko ndipo ilipoishia
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Месяц назад
Ilakweli molilo anajitahidi.sana katikaswalala uwakifu wangekua viongozi 3 kama molilo weziwatekaji wangeekasawa
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
Shukrani Sana mdau wetu 🥂
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Месяц назад
Kamanda tunamkubali san kaituliza dar
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Месяц назад
Sasa inakuaje historia isiyokuwa na tarehe, alipozaliwa, alipisoma? Hiyo si yeyote anaweza hadithia. Jitahidini maudhui yaende sawa vichwa vya habari
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
Shukrani Sana mdau wetu 🤝
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
🤔
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
😥
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Месяц назад
Kamanda muliro tunamkubali kwa wakaz wa dar
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
💪
@massoudsultan8484
@massoudsultan8484 Месяц назад
😂😂😂DIC ndio nini?
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
DIC ni "Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai" au kwa Kiingereza "Directorate of Criminal Investigation".
@massoudsultan8484
@massoudsultan8484 Месяц назад
@@Santzmedia rekebisha Sasa mana ulisema DIC badala ya DCI
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Месяц назад
Kamanda muliro ndo ana stahili kua IGP tunamkubali san wakaz wa dar
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
😆😆Umefika mbali sana
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl Месяц назад
Hapa hakuna historia mliyoizungumza zaidi ya porojo,amezaliwa tarehe gani mwaka gani ?,ameanza kazi mwaka gani haya ni mambo muhimu watu ilikuwa wavifahamu
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
📌
@user-oc3jf3ts5i
@user-oc3jf3ts5i Месяц назад
Mwandishi uchwara! hujui chochote kuhusu historia ya Mulilo! upuuzi mtupu hujui lolote! Shame on you!🙈
Далее
iPhone 16 - презентация Apple 2024
01:00
Просмотров 60 тыс.
Dropping In from the Clouds 🌁
00:17
Просмотров 1,8 млн
Kamala Harris, explained in 7 moments
13:04
Просмотров 2,1 млн