Nazungumzia uzoefu wangu hapa Canada, nikiwa kama Mtanzania sijawahi pata tabu na Mrundi, Waganda,Wakenya,Wazimbabwe, Wacongo, najua zipo changamoto hii ina prove sisi sio Malaika lakini naona wote wako poa tu, ila Nilichokiaona Wakenya wenyewe kwa wenyewe hawapendani kabisaa, kama ilivyo kwa Watanzania, wa Tanganyika na Wazanzibar wakikutana utasema hakuna ndugu kama hawa lakini kuna chuki kubwa saana kwa Wazanzibar dhidi ya Watanganyika nahisi mambo ya Siasa wanaleta hadi Nje ya Nchi lakini ni Watu wazuri saaana wenyewe kwa wenyewe huwa wanasaidiana kwahilo Mwenyezi awabarik, sio sisi Watanganyika huwa tunakimbiana na ukiharibikiwa ndio furaha yao, ila Wazanzibar wanapeana Connections saaana
Mama yupo natural na kapendeza kweli kweli. Sio mademu wa mwendo kasi, mikope iko offside, miwigi inanukaaa. Hebu jifunzeni kwa huyu mama. nyie ni wazuri bila mikope offside na hayo makatani.
Nawashukuru sana milldy ayo kwakututembelea Nchini kwetu kalibuni Sana BURUNDI Namshukulu mama wa BURUNDI Denise nkurunziza kwa moyo uliekuwanao wakusaidia watoto hatima Mungu ukupe baraka WARUNDI WOTE TUNAKUPENDA SANA MAMA YETU
Watanzania tunaipenda Nchi ya Burundi Walundi wote ni ndugu zetu nikiwa Rais nitaanzisha programu maalumu ya kuongeza urafiki na undugu wa Burundi na Tanzania
Sisi Ndugu Burundi na Tanzania sababu kuna aina ya vitu vingi tunavyo kutania licha ya Lugha na Shirika la East África,Allah azijalie Inchi zetu afya maendeleo amani Upendo kama kawa na wazidishie afya uhai Má Rais Wetu Waheshimiwa General Never Evariste Ndayishimiye na Dr JPM,pia Mama Buntu
I would wish to give a hand in training their youth on matters of renewable energy, services and even production. There is potential. Nobody is incapable, it's just about the right mindsets.