Тёмный

MWAKINYO AFICHUA SIRI YA UZAZI/ AKIRI ANA WATOTO WENGI/ "WENGINE SIWAFAHAMU"/AFUNGUKA ANAVYOCHUKIWA! 

Dar24 Media
Подписаться 725 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Mwakinyo #Mwanafa #Liamsmith

Опубликовано:

 

4 мар 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 2 месяца назад
Mungu atakupa baba, maana najuwa mola wetu utakachomuomba nilazimaa akupe naamini naamini mungu atakupa
@mwaitajuma4140
@mwaitajuma4140 Год назад
Siku moja inshallah nitakutananae mwakinyo hassan... Ni mimi shabik yako MWAITA naishi Dom Allah akufanyie wepes ushinde kila pambano
@JOHARISIZYA-sh6fp
@JOHARISIZYA-sh6fp Год назад
Unajitahidi sana bro kupambana na pia ikitokea umebahatika kuwa mbunge ukafanya unavo sema utakua mbunge wa pekee duniani
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 Год назад
nilixhag muona mbali kitambo2 uyu kabla mwnyw hajajiona huko... mwenyez mungu akufanyie wepec inxha'allah 🙏🙏🙏
@abdallahally842
@abdallahally842 Год назад
Kwenye sports kawaida ukifanikiwa ukiwa kwenye mafanikio unatapendwa na kusaportiwa ukidrop unaachwa sio kama hupendwi hio ndio stayle ya maisha ya sports hata Samata akipendwa anapofunga alipo drop walimkimbia hio ni kawaida acha kufikiria chuki na kuropokwa kujifanya unajua sana kuongea hio kawaida ukiwa kwenye mafanikio ya michezo utafatiliwa na kupendwa ukizingua unapotezewa hata ajib nihivohivo ndio khulka ya michezo man u ilipoboronda walizomewa inapo fanikiwa watu wanaipenda kwahio watu wanataka ushindi tu😊
@HakimuMaliki
@HakimuMaliki 9 месяцев назад
Jirani wangu wa kombezi simamia hapohapo kwenye ukweri
@elizabethachi3049
@elizabethachi3049 Год назад
Shabiki wako no Moja ni Mimi Elizabeth wa arusha love u so much champez
@mkundukunuks
@mkundukunuks Год назад
Kwa sababu akili una
@annaignas3737
@annaignas3737 Год назад
kwenye vitabu vitakatifu vinatuasa kuwa wakweli na ndio alichonachano mwakyinyo kwa% ila sasa walimwengu wa leo hawataki kuusikia ukwel ndiomaana jamaa hawampi promo kwenye utafutaji wake
@cmb6342
@cmb6342 Год назад
Mwakinyo yupo vzr na cjui mnamkosoa kwa lipi kwani nyie mmekamilika sana?
@TALLUBOY
@TALLUBOY Год назад
Kwel mimi mwenyewe nimegeuka Namuona champion wakawaida Anamshindwaje #thimisi bwana So ujinga uwo mzee
@UhurTv
@UhurTv Год назад
Champez akitangaza tuuu nitakua muamasishaji bila kulipwa
@mgangasamandua464
@mgangasamandua464 Год назад
Mwakinyo Yuko sahihi na huaga Kaur zake hazn unafki
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 Год назад
Qama mm ninavyo ipenda
@khalidilymo2301
@khalidilymo2301 Год назад
Oya broo mama muache kwa ss ww ndo umuombee mama
@UhurTv
@UhurTv Год назад
Mwakinyo super champez
@abubakariali9848
@abubakariali9848 Год назад
Huyu mdigo ni mshamba wa maisha kafanikiwa kabla ya kupata Elimu ya mazingira
@gockoomzawa226
@gockoomzawa226 Год назад
Pumbav unataka kujifanansha na mwana fa yule msomi wa elimu ya juu acha umaku
@gharbbllato7703
@gharbbllato7703 Год назад
Muandishi wa habr upo vzr xn unautulivu na usmart ktk kuliza
@mohhamedhango7802
@mohhamedhango7802 Год назад
Jaman kwani shida nini kwann mnakua na chuki kwanijamaa kakosea wapi. mwamba nakukubali sanaa naamini iposiku watafunga midomo yao
@ThabitAsaaMbarouk-jz1fx
@ThabitAsaaMbarouk-jz1fx Год назад
Kaka mwakinyo uko vzri na tupo nyuma yako. Na nkukubali cs unaongea ukweli na unasimamia ndoto zako
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
Maneno ya kizalamoo machafu ndio yanamponza huyu hajui la kusema na la kuacha yeye anakisema chochote kilichopo mbele yake, anahitaji elimu sanaa huyu jamaa
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Ndo asili yake atufananii
@iconramar9366
@iconramar9366 Год назад
ACHA chuki za ukabila
@omyjy4819
@omyjy4819 Год назад
Unachuki we
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
@@omyjy4819 mwambie mtu ukweli ajirekebishe , tusiwe wanafki hatutajenga ujue
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
@@iconramar9366 utajua wewe kama ni chuki ila jua ukweli unabaki pale pale, tuachane na unafki
Далее