Hassan Mwakinyo,Tambua kwamba hata ufanye vipi,wabaya watakuwepo,ulimwengu huu ni wa kukurupuka,wewe utabaki kuwa ni mtu mwema,usibadilike,endelelea kuwa muumini wa kweli,nafsi zenye ubaya hauwezi kuziepuka,Barakallahu.
Hassan Mwakinyo ww upo Mbele ya Mdaa ipo Tutakuelewa wa Tz mm nakuelewa sana hususani kwa malengo yako na misimamo yako mm nakuelewa sana Pamba sana Mzee Wang Salute sana
Pamoja sana nimesikiliza Interview yote nimewakubali wanangu wote mwakinyo na Millard Ayo So nimependa haso Za vijana wa kitanzania wenye kuzipambania Ndoto Zao kutokana na maongezi ya Interview so Big up sana kwawote
Mwakinyo unajua kujieleza lakini hayo unayosema ni KWELI TUPU,bahati mbaya watu wanakuona kama una majigambo. Nakuaminia ktk kujiamini. Endelea na huo moyo wa kujiamini. UENDE MBALI KIMAFANIKIO,may God bless you.
Sounds great Mwakinyo. Usikonde brother but uko na time.. hopefully utapata pambano lingine zuri na la pesa nyingi zaidi ya hizo na litakuheshimisha duniani... Zaidi nakushauri usije kukubali kupambana haya mapambano uchwara ya kina mandonga hata wakulipe kiasi gani. ukitanguliza saana pesa waweza pewa na watu wabaya na wakakushusha brand yako kwa kukufanyia figisu upoteze na ikakufanya ukapotea kabisa na hata hizo pesa zisizikusaidie... Slowly and steadily wins the race... Keep slowly Mwamba. binafsi nakukubali saaana G.
Mwakinyo umejieleza vizuri ,lkn Kwa jambo la misiba ,mazishi nenda ndugu yangu hata ukiwa star vipi mambo ya kijamii unapaswa kushikiana na watu mkuu🙏🙏🙏
Mwakinyo utashinda ndoto yako na utafikia ndoto yako kwakua unampenda na unamtanguliza pamoja na kufanya mazoezi mimi nakuombea na nnakukubali kaka pambana mungu atakupa ushindi uipeperushe bendera ya Tanzania
Kwenye sababu zake za kupoteza pambano haziingii akilini kwa mtu anayejua ngumi na kanuni za ngumi. Mwakinyo hajawa mkweli kwa hiyo hadithi yake bila kujali mengineyo
AICEE HONGERA MILLARD INTERVIEW BORA NA NZURI AICEE HUYU JAMAA MWAKINYO ACVUNJWE NGUVU ANAWEZA NA ANAONGEA VIZURI SANA NAMI NA IMANI SANA NAE UNAWEZA TUNAKCBIRIA TU THE WORLD CHAMPION
dah pole kaka kwa kukosa ushirikiano lakn pambano ulitangazwa muda mrefu sana kias kwamba mimi nilikuwa nasubiri kila cku lakn mtegemee mungu utafanikiwa ucjali
Nimefurahi sana kwa kukusikia ulivyotoa ufafanuzi mzuri uliopelekea wenye busara na hekima tumekuelewa kwasababu kila mwenye busara na hekima haishi kukutana na changamoto lakini huwa hazimkatishi tamaa. Endelea kutunza heshima yako ambayo ndio mafanikio yako. Tanzania ni yetu sote lakini Tanga ndio nyumbani kwetu nasi hatutokuacha.
Soma kamusi ya kiswahili maana ya neno 'Mshikaji'; maana yake ni, ... Rafiki wa karibu sana wa mtu. Kwa kiingereza ni very close friend, yaani mnachonyimana ni usingizi tu. Someni kiswahili lugha yetu jamani.
@@pirminmatumizi5464 neno FEAR kwenye kamusi ni tofauti kabisa na meaning ya FEAR kwa mtu aliyefungua mind, FEAR ni False EViDence appearing ReaL , sisi hatufatagi kamuasi tunadili mzizi wa neno tunafungua code, wenafikilo kwanini mzungu aitwe black na muafrica aitwe white wakati wote hao wakuna dark wala white, sana sana ni orange na brown