Тёмный
No video :(

EXCLUSIVE : ZAYLISSA AMCHANA MAKAVU LIVE HAJI MANARA / TUNAGOMBANA SABABU HUNIKUMBATII USIKU 

Manara TV
Подписаться 265 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

MKE HALALI WA C E O WA MANARA TV HAJI SUNDAY MANARA ZAIYLISSA AMEMCHANA MAKAVU LIVE MUME WAKE HAJI KWENYE KIPINDI CHAKE CHA MANARA HOUR HAJI AMEBAKI ANASHANGAA TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA
#manaratv #hajimanara #diamondplatnumz #millardayo #mwijaku

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@user-pd2fk6kt5i
@user-pd2fk6kt5i 2 месяца назад
Zaynabu ni mstaraabu sana na anaonekana ana mapenzi na mume wake mengi sana Mola amdumishe kwenye ndowa yake ❤❤ daaimah
@user-kr2qr8vx1x
@user-kr2qr8vx1x Месяц назад
Mjifunze ustarabu kwenye kujibu comments matusi ya nini..tatizo roho zenu mbaya sana mnao tukana..kawakosea nini manara na mke wake...Mimi nawajibia...amna anae fikia akili ya manara na nyota yake...Wala penzi la mke wake Kwa jinsi anavyo jibu Kwa heshima ya kutoka ndani ya moyo..nakupenda sana zailsa mpaka unamaliza bando langu Kwa kukupenda..achana na vijikobwe hao..watakua awajui..Kaa nao mbali...tunakuombea mama mkumbatie bugati wako.
@dayana5513story
@dayana5513story 3 месяца назад
Akuna mausiano ambayo yako parfect,Mungu akawatangulie katika ndoa yenu❤❤❤❤❤
@hawababy120
@hawababy120 3 месяца назад
Allah Ailinde ndoa yenu.zai umependeza san❤
@MariamCleinance
@MariamCleinance Месяц назад
Hongera manara naomba uniwezeshe mtaji hata milioni nifuungue biashara mwenzio
@majabiali973
@majabiali973 2 месяца назад
Mashallah manara tunza ndoà yako kaka tulia. Angalia maisha na watoto
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 Месяц назад
Mumeipiga poa sana hii interview yenu ..nmeipenda for real
@barnabasmalima4823
@barnabasmalima4823 3 месяца назад
Yataka moyo kumuoji mkeo ila ni vyema kwa maisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 2 месяца назад
Bismillah maa Shaa Allah Mrs Manara wow🥰 Akili Yako kubwa Sanaa hongera my
@meshackkyando
@meshackkyando 3 месяца назад
Manara unajuaa sana
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k 2 месяца назад
Congrats guys your marriage is still going strong, Manara i see you boo, making wife a star. She should appreciate you and you her.
@trice_yanga
@trice_yanga 3 месяца назад
sema Mungu awape amani na upendo kwenye ndoa yenu🥰
@kevinalpha4716
@kevinalpha4716 3 месяца назад
Niwape hongera japo kwangu mm binafsi siwezi maana najua kuna jocks sana
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 3 месяца назад
Allah awafanyie wepesi.....mdumu milele
@bahatisaid5406
@bahatisaid5406 2 месяца назад
Jamani Allah awabark sn jazakallahu kher inshaalah
@barnabasmalima4823
@barnabasmalima4823 3 месяца назад
ugomvi hasa ule wa kipuuzi puuzi unatokana mara nyingi na upendo mkubwa unakuwepo kati yenu na mara nyingi upendo huo una demand kubwa unataka kudekezwadekezwa hivyo braza haji mdekeze shemeji yetu na ni haki yake
@clemintineuwamahoro9652
@clemintineuwamahoro9652 2 месяца назад
Kweli utu namalezi nde sawa
@oyay2821
@oyay2821 3 месяца назад
Safi sana hii interview
@aminaabdulrahman5184
@aminaabdulrahman5184 3 месяца назад
Mashaalah
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 2 месяца назад
Mu mnziiiiiiiiu
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 2 месяца назад
Hahahaha Bugati kumbatia babaaa😂😂 me mwenzio nishajirekebisha😂😂😂
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 2 месяца назад
Safi sana😂😂😂
@bahatisaid5406
@bahatisaid5406 2 месяца назад
Haji nay mko vzr mashaallah
@abdulkadirgafla3889
@abdulkadirgafla3889 3 месяца назад
Mbona usingempeleka kwa zamaradi tv akamhoji ingependeza zaidi
@user-il5cu6gq5f
@user-il5cu6gq5f 3 месяца назад
Ndoo kutafuta hela ndomana wapo hapo
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 3 месяца назад
Mbona isiwe Kwa manara TV! Anajenga TV show yake!!
@paullunyonga5862
@paullunyonga5862 Месяц назад
Daah bugati weee
@tamimakhalfanikhani8403
@tamimakhalfanikhani8403 7 дней назад
Aah alikuwa anatukana sana mshenzi huyu😅
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 месяца назад
Safi sana ❤❤
@aminaabdulrahman5184
@aminaabdulrahman5184 3 месяца назад
Haji unataka kumuongozea nyashi zay
@mrsab303
@mrsab303 3 месяца назад
MashaAllah ❤❤❤❤
@IbrahimNtirenganya
@IbrahimNtirenganya 11 дней назад
Uislam ni Bora kuliko vyote mnazania ni vyema kuuenzi nyinyi ni wa Islam lakini muonekano wenu sio wa kistarabu rejeeni kunako Uislam mwanamke stara
@selemaniidemu4206
@selemaniidemu4206 2 месяца назад
Swadaktaaa nawatakia maisha mema
@Filmz639
@Filmz639 2 месяца назад
Nimegunduwa zaylisa anaakili nyingi na nidhamu. Ni mke mwema kwa Haji manara
@Naju645
@Naju645 3 месяца назад
Allah awadumishe
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j Месяц назад
Bora ungempa mtu mwengine amuhoji. Mie naona mmepanga masuali na majibu hainogi
@Gloria-vh5bz
@Gloria-vh5bz 3 месяца назад
Hii inaitwa kujitekenya ili ucheke😂😂
@LucyMwari-bk9pt
@LucyMwari-bk9pt 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-xq7eo3eb4p
@user-xq7eo3eb4p 2 месяца назад
❤❤❤
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 3 месяца назад
Hii ni therapy Kwa ndoa Yao!!
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 2 месяца назад
Upumbavu tu,km hakukumbatiii si ujiongeze
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 месяца назад
Kweli unapendwaa au ndoizo kiki ? Haya tuyaone
@user-pq9qc1sz7b
@user-pq9qc1sz7b 2 месяца назад
Unamuuliza kufumaniana.kwani nyie mulivyokuwa munakulana,so kufumaniana.na mlikuwa hamna ndoa
@Pina-ed3bn
@Pina-ed3bn 2 месяца назад
Manara umempata mke ametulia akili
@salmaomar7979
@salmaomar7979 2 месяца назад
Ungefunika hicho kifua chako ungependeza zaidi dada
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 2 месяца назад
Hii content inachekesha 😂
@nassorkimbaru5888
@nassorkimbaru5888 3 месяца назад
Anamkumbuka ngoja mkiachana ndio atamjuwa anae muwaza au anayemkumbuka Lakini yule aliyemtoa sild amkumbuki naye kweli mmmh
@user-pq9qc1sz7b
@user-pq9qc1sz7b 2 месяца назад
Una mke wewe.na wewe zai una mume hapo?? Mnazini tu.mlikaa uhawara ndo mubariiki ndoa.ya wapi hayo ktk uislam
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 2 месяца назад
Msukule na mdori wake😂😂😂😂
@yakfizahran4536
@yakfizahran4536 3 месяца назад
Pipa na mfuniko
@jamilabattashy9801
@jamilabattashy9801 2 месяца назад
Na wewe hasa wa kukimbiwa
@user-pq9qc1sz7b
@user-pq9qc1sz7b 2 месяца назад
Na wee Haji ni kafiri mkubwa.wee umevaa nguo.mke umemueka Uchi.
@Sumaiya-jg9ff
@Sumaiya-jg9ff 3 месяца назад
😂😂😂😂
@CastoryBanzi
@CastoryBanzi 3 месяца назад
Ni interview nzuri kwa couple hii nzuri naya mfano. 😂😂😂😂
@MagrethElias-ow1by
@MagrethElias-ow1by 3 месяца назад
Ukwwli haji toka uha simba nilikuchukia lakini nime penda ulivo muhiji mkeo
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 Месяц назад
Ujinga mwingi unamhoji ili iweje sasa😊
@brandinamwakasendeka4756
@brandinamwakasendeka4756 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@mulumederwasifa4801
@mulumederwasifa4801 2 месяца назад
Nawapenda saaaaaana Mungu awalindiye ndoa yenyu kabisa
@user-pq9qc1sz7b
@user-pq9qc1sz7b 2 месяца назад
Adabu Huna.unakaa Uchi.changudoa wee.mke wa mtu hakai kuma nje.
@SharonJoe-tx5en
@SharonJoe-tx5en 2 месяца назад
Haters😂😂😂😂
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 2 месяца назад
Lazima una matatizo wewe si kwa chuki hiyo, mtafute mwanasaikolojia akusaidie, dalili za kichaa nakiona kwako, tena huyo Dr awe na kichaa kama wewe
Далее
OBLADAET - BARMAN
03:06
Просмотров 251 тыс.
skibidi toilet multiverse 041
06:01
Просмотров 3,4 млн