Alhamdulilah ya rabby ijaalie makbul utuokoe na mahasid na madhwalimu kwa kila muumin ya rabby amin🤲Allah akulipe kheri fidunia wal-akhera sheikh wetu twakupenda kwa ajili ya Allah
Allah akulipe Ulinzi, Qubul kwenye kila kheri uifanyayo na uiombayo kwake, faraj kwenye maisha yako, ambainishe/amdhalilishe kila anaye pinga wema uufanyao na iwe ndiyo mwisho wake. Allahumma Amin!
Cha mwanzo AL HAMDULLILLAH kukuon tena kipenzi chetu unaetufunx mengi hakika ALLAHU AKBAR ALLAH KARIM , mashallah Sheikh YUSSUF BIN ALLY na ALLAH ( SW) Azidi kukusimamia milele INSHALLAH.
SubhanAllah kila nikilala usiku nikiamka asubuhi tumbo langu linakua na maumivu saa.. Ila tokea nianze kulala na dua na qur'an alhamdulillah naamka vzr lailahailallah mithihani Wallahi Allah atunusuru wote
Asalaam aleykum shekhe allah nakuomba kupitia dua hii nifunguliwe uchawi wowote nilionao pia unipe mume bora mwenye hofu yako allah mungu nipokee dua yangu najuwa ww ni mwingi wa rehema amiina
Mashallah Mshallah Alhamdulillah nashukuru sana kwa kutuletea Ruqyah hii kwakweli niko mbali lkn ninamtihani mimi na family yangu tunasumbuliwa na majini pamoja na wachawi tunapata tabu sana hatuna raha usiku na mchana wanatuletea majini wanatusumbuwa sana tunamuomba Allah SWT awangamize wote 🤲🤲🤲