Тёмный

(RUQYAH) KISOMO CHA KUMVUNJA NA KUMTOA JINI MAHABBA NA MAJINI WENGINE ( sharif yussuf ) 

AN-NAJM TV
Подписаться 31 тыс.
Просмотров 287 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 241   
@turuthiahussein2023
@turuthiahussein2023 Месяц назад
🤲🤲🤲🤲Mola atuondoshee matatizo yanayotukabili ktk maisha yetu na miili yetu
@AishaJuma-wq6ul
@AishaJuma-wq6ul 2 месяца назад
Mungu niondolee kila hasadi ambayo ipo kwenye mwili wangu ameen
@SaidiKaita
@SaidiKaita 5 дней назад
Emwenyezimungu kisomo hiki kiwe ndosababu yamatizo katika mwili wangu kuisha amiin yarabilaamin🙏🙏🙏🙏
@mariammsangira3328
@mariammsangira3328 3 года назад
Mashaallah Mashaallah kila ninaposoma hiki kisomo napata utulivu Wa nafsi, shukran sana M/Mungu akuweke sheikh sharif
@MhinaAlmas
@MhinaAlmas Месяц назад
Eemwenyezimungu niondolee uchaw katikamwiliwangu amiin
@SaidiKaita-z6h
@SaidiKaita-z6h 6 дней назад
Allah aniondolee uchawi Majin yaliyokokatika mwili Wang ameen
@suheilahsuheilah4968
@suheilahsuheilah4968 2 года назад
🤲ya rabby tutilie kabuli,hakika Allah uko karibu kwa waja wako nasi niwahitaji kwako ya raabby🤲 amin yarabby🤲
@tatusaid3934
@tatusaid3934 Год назад
Mungu muondole mutoto wangu amal matatizo yanao msumbua 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@ukhtymdee8557
@ukhtymdee8557 11 месяцев назад
Alhumma Aaaamiin
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 11 месяцев назад
Yaraab niondoshe matatizo kwenye mwili wangu niwe kama wezangu maana sina hata amani ya maisha yangu kila ninarofanya linakua baya kwa wezangu🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲
@luqmanmkwizu823
@luqmanmkwizu823 8 месяцев назад
AMINAH kuwa na Amani Allah yupp pamoja na wenye kuomba kwake
@Tai11432
@Tai11432 21 день назад
Dm nikusaidie
@salimmahfudh4534
@salimmahfudh4534 3 года назад
Mashallah visomo vizuri sana.Naomba kisomo cha usri wa mambo yangu vifundo vifunguke maisha yarudi mazuri.Shukran Shariff Yusuf.
@mozanamata4628
@mozanamata4628 3 года назад
Mungu niondolee na matatizo katika mwili wangu kwa uwezo wako Ameen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lilianneikania5805
@lilianneikania5805 2 года назад
Mungu niondolee na mutation Katie mailing ya watoto wangu na yangu na mume.
@lilianneikania5805
@lilianneikania5805 2 года назад
Mungu niondolee na matizo Mwilini wangu, watoto wangu na mume wangu.
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 Год назад
Ameen
@ukhtymdee8557
@ukhtymdee8557 11 месяцев назад
Alhumma Aaaamiin thumma Aaaamiin yaarab allah min allah taqabalik duwaa
@Zainabu-mv9cf
@Zainabu-mv9cf 4 дня назад
Yaalaabi tuondoshee mitihani ya marazi na mikosi katka family yangu pia utukinge na hasadi
@ابولاناالشبيلي
@ابولاناالشبيلي 2 года назад
ماشاءالله تبارك الله الله أكبر، YAA ALLAH TAQABBAL DUA YETU Maradhi mwilini yanayisababisha na majinniINSHAALLAH NA TUONDOLEE
@AbdiKadirKanu
@AbdiKadirKanu 3 месяца назад
mungu niondolee majini na matatizo wanaonisumbua katika nyumba yangu na ndoa yangu inshaala waangamize waelekezee hii dua iwauwe yeyote ananifhanyia uadui ninayemjua na nisiye mjua mungu unamjua ameen ameen
@BettyOyoo
@BettyOyoo 4 месяца назад
Mungu Wangu Niondolee majini mwilini
@shakilahaji8826
@shakilahaji8826 2 года назад
Nimeskiza wiki sasa Allahu Akbar mini mahaba ameenda...Alhamdulilah
@aminaally5436
@aminaally5436 Год назад
Maaashalah mshukuru Allah
@reenaismael4310
@reenaismael4310 Год назад
Masha'Allah Masha'Allah ❤ Allahu Akbar Mm bado tu😢 Matatizo tele,hataki kuenda kabisa Mambo yangu yote yamefungika walahi 😢 Allah na mm anipe shifa aniondolee matatizo haya Aameen
@ZainaBushiri
@ZainaBushiri 8 месяцев назад
Inshallah mungu nimwema ntapona jini ataondoka ktk mwili wangu kupitia dua hii
@nazianathumani6120
@nazianathumani6120 20 дней назад
Sheikh nashukur sana dua yako imenisaidia Allah akujalie maisha marefu
@MsafiriKugwile
@MsafiriKugwile 7 дней назад
Mashaalah allah awajaalie
@seliidrashio6968
@seliidrashio6968 3 года назад
Asalamalaikum sheikh nasema shukran tunasaidika Sana natutawashinda wale wabaya . inshaAllah
@gracethenya
@gracethenya 5 месяцев назад
Mungu niondolee majin yote niliyo nayo kupitia kisomo hiki
@dripboykalifah3924
@dripboykalifah3924 11 месяцев назад
Allah uwe pamoja nasi
@pushadrimz3200
@pushadrimz3200 3 года назад
Masha Allah Mungu akueke sheikh wetu unaposkiza hicho kisomo nafsi ya pata utulivu😁
@khadijakarunzi2412
@khadijakarunzi2412 3 года назад
Ameen wateketeze kabisa Hao wachawi katika boma letu
@SwaleheHemed-n9s
@SwaleheHemed-n9s 16 дней назад
Allah akujalie
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад
لا اله الا الله محمد رسول الله الرحمن الرحيم الله أكبر الله أكبر الله أكبر لا إله إلا أنت سبحانك إني كنت من الظالمين حسبنا الله ونعم الوكيل لا حول ولا قوة الا بالله العلي العظيم اللهم امين يارب العالمين
@abigaelnasir1698
@abigaelnasir1698 3 года назад
Mashaallah, mashaallah Baarakallah fiyka, shukran wajazaakumullahu khayra
@RasiyaRasi-m1f
@RasiyaRasi-m1f 10 месяцев назад
Amini allahuma amini 🤲🤲
@MuniraKipande
@MuniraKipande 22 дня назад
Majini machafu yooote yatoke mwilini mwang🤲
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 3 года назад
Mashallakh tabarak llakh khery kubwa kwetu
@jamillahpaul4735
@jamillahpaul4735 3 года назад
Mwenyezimungu atakulipa inshaalah
@yussufhussein9315
@yussufhussein9315 2 года назад
manshAllah may Almighty God grant you jannatul firdowsa
@hamisisalim8987
@hamisisalim8987 3 года назад
Mashallah Allah hakupe umri na Afiya usthad sheriff
@MohammedyBakali-de7zj
@MohammedyBakali-de7zj 3 месяца назад
Naomba. Namba yako nateseka nairo pepo
@rithahilarynyamwangi
@rithahilarynyamwangi 4 месяца назад
Mungu niondelee maumivu ya kichwa
@RenePietersen-q9e
@RenePietersen-q9e Год назад
Shuukrannii kwa dua hiii mujhaaarabuu
@ashurahassani4929
@ashurahassani4929 Год назад
ewe Alla naomba unilinde mm nafamilia yangu naunioneshe wabaya wangu niweze kuwaepuka ewe alla
@rehemalazaro5975
@rehemalazaro5975 3 года назад
Mashaallah Allah akulipe kila la heri shekhe Sharif yussuf
@wabengaheritier6002
@wabengaheritier6002 Год назад
Mashaallah Mashaallah mungu akulipe kila la kheri shefh
@jamaldineali3228
@jamaldineali3228 3 года назад
Shukran sheikh wango Ahsante sana....nakupenda kwa ajili yá Allah
@tumaramadhani8347
@tumaramadhani8347 3 года назад
MA SHAA ALLAH jazaka Allah kheir Allah atuondoshee maradhi Amiin
@ummumoha2665
@ummumoha2665 3 года назад
Mashallaha tabaraka Allah mungu akujalie kila LA kheri na akuhifadhi
@FaridaKessy
@FaridaKessy 4 месяца назад
Mungu nisaidie mm nitolee jini mahaba nimechoka sanaa mimi😥🤲🙏🙏
@MuniraYahaya-y9n
@MuniraYahaya-y9n 2 месяца назад
Pole sana ,mungu amekusikia atakuondolea inshallah
@Tai11432
@Tai11432 21 день назад
Dm nikusaidie
@ZamzamAbdhul-w2s
@ZamzamAbdhul-w2s 2 месяца назад
Amin yarab
@MonalisaMsoffe
@MonalisaMsoffe 6 месяцев назад
In shall ah nitafunguliwa
@samiaasalamalykumshukranmo9489
@samiaasalamalykumshukranmo9489 3 года назад
Allah akupe afyah na uzima inshallah
@ashaamina
@ashaamina Год назад
Àsalam. Aleikum mashalah. Kiaomo. Mashalah. ❤❤❤mimi. Nimgonja. Lakini. Ninapo. Sikiza. Visomo. Vako. Napata. Shufaa❤
@ZuuhRaniya
@ZuuhRaniya 8 месяцев назад
Ewe mwenyezi mungu niondolee ubaya uliopo katika mwili wangu uchawi ushetwani ewe mungu nijalie
@AngelRamadhan-l3g
@AngelRamadhan-l3g 9 месяцев назад
mungu nifanyie wepesi mjawako nateseka sana nauyu kiumbe niondoshe mitiani nanuksi uyu jini nimechoka mateso
@pillyomary6127
@pillyomary6127 2 года назад
Mashallah Allah akupe khery nyingi sana
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh sheikh wetu #shariffyussuf maasha Allah tabaraka Allah Mwenyezi Mungu awashinde laanatullah shaitwan na majini wanao hangaisha waja wake Amiin ya Rabb 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@AshuraYunusu
@AshuraYunusu Год назад
Asalam.alaykum ninashukuru sana sheykh duwa hizi zinanisaidia ninautofaut sanna kwasasa niseme tuu shukran allah akuking baya lolote
@mozanamata4628
@mozanamata4628 3 года назад
Shukrani saaaana sharif yussuf mwenyezi mungu akupe maishaaaaaa marefu amen
@SaidiKaita-z6h
@SaidiKaita-z6h 6 дней назад
Amin
@muminamohammed9357
@muminamohammed9357 3 года назад
Mungu akupe kila la Keri.
@ktggtvgvtghadijaalifanichi1301
@ktggtvgvtghadijaalifanichi1301 3 года назад
MashaAllah tabarakaAllah
@swalehkikwesa6227
@swalehkikwesa6227 Год назад
Mashaallah shehe mungu akuzidishie shekhe mim nmefny leo kisomo kilichotokea allah ndo anaejuw
@fatimahahmadlamar1241
@fatimahahmadlamar1241 3 года назад
MANSHAA ALLAH TABARRAKALLAH ... JAZZAKALLAH KHEIR SHEIKH WETU SHARIFF 🙏🙏🙏
@atkerhamad9984
@atkerhamad9984 2 года назад
Shukran sana Allah ibark
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 3 года назад
Mashaallah shukran sana Allah akuzidishie amiin amiin inshaallah
@ZamzamAbdhul-w2s
@ZamzamAbdhul-w2s 4 месяца назад
Yarab mola wangu niondolee jini mahaba kwe Nye mwili wangu nakuomba kupitia hiki kisomo mm saumu ayub nipata kuolewa ndani ya siku kumi
@nshimirimanadjamilla7270
@nshimirimanadjamilla7270 2 года назад
Shukran allah akulipe kheri akupe mwisho mwema
@ZubedaKwandamu
@ZubedaKwandamu 6 месяцев назад
Mwenyezi mungu niondishee marsdhi na uniondoshee chiri kwenye mwili wangu na mashetwani wabaya uwangamize wateketee kama kalatasi inavyo unguwa namoto ishaalwa
@zubedarama9921
@zubedarama9921 2 года назад
Masha allah......shukran sheikh yusuf jazakallah kheir
@ashrafyyousuf6821
@ashrafyyousuf6821 Год назад
Shusha!ya sheikh Qura'an utu tetea tume teseka wengine toka tuna zaliwa nahisi...ya Allahu ya Rahman
@nazmakneya4642
@nazmakneya4642 3 года назад
Mashaallah tabarakaallah shukran sheikh, inshaallah Allah atuwesheshe kuskiza siku saba
@fatmaathmani9406
@fatmaathmani9406 Год назад
🤲🏽🤲🏽🤲🏽 amina yaraby mwenyezi mungu awepe Afya njema dua mashaa Allah
@MariamAbdallah-if5es
@MariamAbdallah-if5es 4 месяца назад
Assalam aleikum tunashkuru kwa maomb yako yanasaidia....Allah akuzidishie
@ZuuhRaniya
@ZuuhRaniya 8 месяцев назад
Ewe mwenyezi mungu niondolee matatizo maladhi mwanangu inshallah🙏
@fayzaabdullah3576
@fayzaabdullah3576 3 года назад
masha Allah sheikh sharifu insha Allah mugu atubariye naa akupe afya inzima ahsante saanaa
@constancenyangeconstanceco6324
@constancenyangeconstanceco6324 2 года назад
Nakupenda sana kwaduwazako
@constancenyangeconstanceco6324
@constancenyangeconstanceco6324 2 года назад
🤲🤲🤲🤲🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️
@khadijakarunzi2412
@khadijakarunzi2412 3 года назад
Mashallah shukuruni. Allah. Akupe hekim
@wardmohamood5845
@wardmohamood5845 2 года назад
Amin 🙏 🙏 🙏
@ktggtvgvtghadijaalifanichi1301
@ktggtvgvtghadijaalifanichi1301 3 года назад
A.a shukran Allah akujaze kheri ameen ya rabb alamini 🤲
@HadijaShango
@HadijaShango 5 месяцев назад
Inshallaah shukrani kaka mungu akuogoze kilasiku❤❤❤
@fatmasuleiman8327
@fatmasuleiman8327 2 года назад
Shekhe naomba kuuliza office yako inapatikana wap dua zako zinasaidia mashallah sasa natahij Kufaham nataka kuja , maana hao wa2 wanaofanya hvy BD wanaroga ukinifahamisha itakua vzr maana Nina shida
@Zainabu-mv9cf
@Zainabu-mv9cf 4 дня назад
Eee mola wangu niondolea madhi yoote katka mwili wangu na family yangu
@aminaibrahim7438
@aminaibrahim7438 3 года назад
Masha Allah shukran nakupenda ajili ya Allah akupe Afiya na umri
@hassanmasoud4425
@hassanmasoud4425 2 года назад
Mashallah
@munirahemedi4340
@munirahemedi4340 2 года назад
Umri wenye manufaa
@munirahemedi4340
@munirahemedi4340 2 года назад
Jamani mkono wakushoto wanitetemeka na nimala ya kwanza tu kusikiliza jaa bless you shekhe
@batuliharun9690
@batuliharun9690 2 года назад
Jamani nasikia uoga
@AngelRamadhani-yu9mi
@AngelRamadhani-yu9mi Год назад
Inshallh hallh anifanyie wepesi
@ebrubed6040
@ebrubed6040 5 месяцев назад
“Eş-hedu Ella İlahe İlla Allah.” ‎وَجَعَلْنَا عَلَى قُلُوبِهِمْ أَكِنَّةً أَن يَفْقَهُوهُ وَفِي آذَانِهِمْ وَقْرًا وَإِذَا ذَكَرْتَ رَبَّكَ فِي الْقُرْآنِ وَحْدَهُ وَلَّوْاْ عَلَى أَدْبَارِهِمْ نُفُورًا Ve cealna ala kulubihim ekinneten en yefkahuhu ve fi azanihim vakra, ve iza zekerte rabbeke fil kur'ani vahdehu vellev ala edbarihim nufura.
@zawadi9998
@zawadi9998 3 года назад
Allah akuongeze mri wauhai
@shakilahaji8826
@shakilahaji8826 Год назад
Asalam aleikum.nimerudi tena shukran sana sheikh Allah akuongeze umri mini mahaba aliondoka
@gladyshagana1107
@gladyshagana1107 3 года назад
Mashallah Mungu akueke sheikh ,Allah atujalie shifaa ,atuondolea matatizo yetu ya ndani na nje ya mwili
@EstherMazengo
@EstherMazengo 2 месяца назад
Mungu niondolee jini mahaba niwekama wenzangu
@Tai11432
@Tai11432 21 день назад
Dm nikusaidie
@UmmyAbdul-c3c
@UmmyAbdul-c3c 8 месяцев назад
Mungu nitakabalie niondoshee kila matatizo na maradhi sihir na kila lilo zito nifanyiewepesi
@sefubin4270
@sefubin4270 3 года назад
Mansha Allah 🤲🤲🤲🤲🤲
@ktggtvgvtghadijaalifanichi1301
@ktggtvgvtghadijaalifanichi1301 3 года назад
A.a shukran Allah akujaze kheri
@abdulumar78
@abdulumar78 11 месяцев назад
Amiin ya raab
@susandama3478
@susandama3478 3 года назад
MashaAllah
@hawadaud4744
@hawadaud4744 2 года назад
Shukran shekh
@ZubedaHamisi-c8o
@ZubedaHamisi-c8o 3 дня назад
Amina
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 3 года назад
Masha Allah Sheikh BarakAllah feek
@hadijagere
@hadijagere Год назад
Shukran Allah akulinde na mitihani amin yaarab
@michaelkulwa6342
@michaelkulwa6342 2 года назад
ishallah mwenyenzi mungu niondolee jini huyu kwa jina lako
@ZulfaIddi-fq3lu
@ZulfaIddi-fq3lu 8 месяцев назад
Asalam alaikum naitilia nia ndoa yangu iliyojaa vitbimbi ishaalaah naamini kwa.allh
@bintyhassan3060
@bintyhassan3060 2 года назад
Mashaallah mola akuzidishie.
@shabanihakorinoti1920
@shabanihakorinoti1920 2 года назад
Yarabi niondelee kila tatizo ambalo linaniuma mwilini wangu de ndio mulinzi wangu mujali n'a cheikh umup kheri hap dunia n'a fil akhera allahuma Amin
@ukhtymdee8557
@ukhtymdee8557 11 месяцев назад
Yaarab taqabalik duwaa Alhumma Aaaamiin
@leilahassan6731
@leilahassan6731 3 года назад
Shukran Jazeelan bro
@БурулСабаева-р3ц
@БурулСабаева-р3ц 2 года назад
Сизге Аллахым ыраазы болсун!
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 2 года назад
B9i 9h u
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 2 года назад
Jjjjbi
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 2 года назад
Jjjjjji J&j j9j jhb
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 2 года назад
8ih8ii9i89u9i98iih
@halimamaliki
@halimamaliki Год назад
Amiin
@Zainabu-mv9cf
@Zainabu-mv9cf День назад
Ee mola wangu niondolee malazi yoote kupitia Dua hii
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br Год назад
Amiin🤲imrudiye meenyewr inshaAllah😭😭
@zaitonalali4832
@zaitonalali4832 3 года назад
Shukran sana
@fatmamusa6236
@fatmamusa6236 2 года назад
mashallah Mashallah Kwa baraka Cha kisomo hiki Allah atuondolee kila aina ya mitihani na matatizo aamiiin
@zauratnjaji254
@zauratnjaji254 Год назад
Amiin
@hevenlightminja8032
@hevenlightminja8032 Год назад
Mm natafuta shehe anayejua kusoma albadili ya mwili
Далее
kisomo cha kuangamiza majini na uchawi (yaasin mubiyn)
19:08
KISOMO CHA KUFUNGUA KHERI NA BARAKA
21:07
Просмотров 104 тыс.
DUA YAKUWEKA USIKU ILI  KUJIKINGA NA WACHAWI NA MAJINI
29:04
DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI
11:30
Просмотров 517 тыс.
SIKILIZA SIKU 7 KISOMO HIKI UTAFANIKIWA
27:05
Просмотров 26 тыс.