Тёмный

Fanya Haya Kila Ijumaa Utajirike / Ukitaka Upate Toa Kwanza / Hii Ndiyo Siri / Ustaidh Jafar Mchawi 

DARSA TV
Подписаться 108 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Fanya Haya Kila Ijumaa Utajirike / Ukitaka Upate Toa Kwanza / Hii Ndiyo Siri / Ustaidh Jafar Mchawi
Mashaa Allah Sheikh Jafar Mchawi akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Fanya Haya Kila Ijumaa Utajirike / Ukitaka Upate Toa Kwanza / Hii Ndiyo Siri / Ustaidh Jafar Mchawi
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
RU-vid @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 Год назад
Mimi naimini swala ya mtume...daah😭🤲imenionyesha miujiza mingi Sana Alhamdulilah Alhamdulilah 🥰🤲
@athumanizaidi8560
@athumanizaidi8560 Год назад
Assalamualaikum ukhty unaifanya Kwa idadi ya ngapi?Kwa faida ya wengi.
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 Год назад
​@@athumanizaidi8560 walykum salam, unaanza na lahawla wala kuwata ila bilah mara×100, lailaha ila anta subhanaka ini kuntu mina dhalimin×110..alafu ndio unaanza kumswalia mtume Allahuma swali ala sayidina Muhammad waalihi wasahbihi wasalam ×1575... Inasaidia sanaaa umaskini unaondoka bila kujua na Amani ya moyo
@firstlady9848
@firstlady9848 Год назад
​@@najlaskitchen1572kweli kabisa nakupenda dadangu katika iman
@mussakinyogoli4738
@mussakinyogoli4738 Год назад
Mie huwa naanza na istikfari mia kuendelea kisha bismilahi Laila haila anta mala mia namalizia swalat yoyote mara mia kuendelea kisha huomba nikitakacho wallah sijawahi kosa nikitakacho
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Год назад
Lahula walaqwata illa bilahi .Nashukuru. Kwakunifunza
@mkoimedia
@mkoimedia Год назад
Allah akujaze nuru shekh wetu
@NzeyimanaAssumani
@NzeyimanaAssumani Год назад
shirka zinezidi uku sauza Frics.tuna kuomba alwa akujaliye uje utupe dawa.amin 😢😢😢❤❤
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Ndio ukitowa sana unabarikiwa mimi napenda kutowa
@faizunmohd9839
@faizunmohd9839 5 месяцев назад
Naamini kweli ukitoa Allah anakupa ..Alhamdullah
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Umejuwaje izo hesabu
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Sadaka muhimu
@vvip7992
@vvip7992 Год назад
MashaAllah
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Год назад
Masha Allah,Allah atuongoze njia iliyoonyooka
@NzeyimanaAssumani
@NzeyimanaAssumani Год назад
asalamwa aleikumu shehe wangu mimi naitwa assumani kasoro naomba alwa.akujaliye kawaduwa zako namimi naomba alwa akujaliye kwa utabiri wako naomba duwa yako kupitiya mimi.nilisha 17:55
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Mimi mwenyewe naombaga sana nipate hela
@MacakuMachaku-ly5wn
@MacakuMachaku-ly5wn Год назад
Maashaallah
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Mimi mwenyewe napenda kuugiza na wengi walikuwa wanasema nimekaa kisanii
@alhamudyalhamudy2015
@alhamudyalhamudy2015 Год назад
Mm nimepata 80
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
MASHA ALLAH naona mtoto wa SHEIKH RASHID SHUKERI kopi Copy
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Mimi kipindi nimetoka oman nilivyoludi nilikuwa nagawa hela paka mama akawa anashangaa ananijuwa
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Kweli kabla mtu hajafa anajuta anasema apewe nafasi ya mwisho .nalipendaga jina la aisha
@sofiahassani5185
@sofiahassani5185 Год назад
Nimepata 30
@abdalahmsigiti5308
@abdalahmsigiti5308 Год назад
Sheikh kweli mmefirisika someni kwanza ndio msemee jambo la kilimo hizo zarau lakini mnajizihaki wenyewe
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Kuna mtoto wa ant yangu kazaliwa peke yake lakin yeye kazaa watoto watatu na bado atazaa anamiaka ishirin na kitu sio mingi
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Saidia maskin
@kadrikimaro1889
@kadrikimaro1889 Год назад
Unajaraibu kufarahisha watu lakini hauko sawa mtume angekua kama wewe ulimwengu ungepotea kuna watu walingia katika dini ya uislam kwa hekima aliyokua nayo
@IMRANSTORIES136
@IMRANSTORIES136 Год назад
Comedian kweli huyu 😂
@idijay3622
@idijay3622 Год назад
Kwa hiyo na ww ni shekh ama
@IMRANSTORIES136
@IMRANSTORIES136 Год назад
@@idijay3622 ukweli lazima use we, Uta do??
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Год назад
Mimi 1
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Ndio lamli wengine wanatowa ya uongo
@KhadijaAbdallah-xb3uh
@KhadijaAbdallah-xb3uh Год назад
Mnaleta utani kwenye dini
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Utani haujakatazwa,ila uwe wa maana,ikiwa mtu kasema mlevi sio kuwa vibaya inatengemea kaingea vipi.akisema wanawake,au mauwaji..Dini pia inataka mcheke ila tusivuka mpaka
@alizaharan1471
@alizaharan1471 Год назад
NILIKUWA NAJUWA UNATOWA MAADA YENYE MAANA KUMBE UNAFANYA KOMEDI NA MENENO YA MWENYEZI MUNGU HAIFAI JAPO MMESOMA UKITAKA KITOWA MAADA TOWATUUU
@idijay3622
@idijay3622 Год назад
Ww mbona hulinganii hiźo Mada zenye maana
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Hujaifahamu tu,ni ya maana
@soudhussein7396
@soudhussein7396 Год назад
Mahubiri mengi yanahusisha fanya hivi, soma hichi utapata utajiri, je Mtume Muhammad saw ndivyo alivyofundisha ? Mi naonaga tunadanganyana, Tajiri wa leo ni maskini wa kesho wafadhiri hamlijuwi hilo ? Utajiri milki akupe mwenyewe Allah kwa majaallah yake na rehma si kwa kuomba.
@idijay3622
@idijay3622 Год назад
@@soudhussein7396 hunaujualo wwe Allah mwenyewe anampenda yule anaemuelekea nakumumba ssa wwe wataka tuwaombe binadamu wenzetu
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
Mashaallah
Далее
Sifa 8 za mke mwema katika Uislamu - Ukht Fatma Mdidi
45:43
This mother's baby is too unreliable.
00:13
Просмотров 19 млн
Women’s Goalkeepers + Men’s 🤯🧤
00:20
Просмотров 1,4 млн
AHLAL BADIRI YA MOTO MKALI KUZUIA UCHAWI
28:44
Просмотров 83 тыс.
Mambo ma 8 muhimu maishani
27:47
Просмотров 45 тыс.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
Просмотров 19 млн