Тёмный
No video :(

HUYU NDIE DR. SULLE TULIE MZOEA SASA || ATEMA MADINI HATARI || USIPO MUELEWA UTAKUA NA MATATIZO 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 424 тыс.
Просмотров 113 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 142   
@fatmaharith3212
@fatmaharith3212 Год назад
I wish ua my husband ua good may God bless u DR. I really admire the way u preach
@fareedufahamu8893
@fareedufahamu8893 Год назад
Unataka mume au unamtaka yeye Dr Sule?
@shazlya9060
@shazlya9060 Год назад
MashaAllah
@SheruTete-yb6ir
@SheruTete-yb6ir Год назад
Pĺĺĺĺlĺĺl❤
@RamadanPaul
@RamadanPaul Год назад
Mashaallah
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 10 месяцев назад
I'm here instead of him ..let's negotiate me to be ur husband
@ahmedhamisi328
@ahmedhamisi328 Год назад
Masha Allah shekh Kwa kweli kabisa doctor sule umeongea maneno mazito Sana kwani yamegusa nyoyo mwenyezi mungu azidi kukufadhi ili uzidi kutupa elimu
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Год назад
Dr sule ukiachana kuwa kasoma na ana elimu ila pia ana akili nyingi ❤
@allystephano-io2cy
@allystephano-io2cy Год назад
ama kwl allaah akupe maisha malefu yenye kheri ndan yake
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 Год назад
M"Mungu akupe umri wenye afya na ujuzi zaidi...
@tatoo0098
@tatoo0098 Год назад
Aamin yaraby kwa sote 🤲🤲
@abdulbasti652
@abdulbasti652 Год назад
🎉🎉 🎉 🎉🎉🎉 I I I just 🎉🎉🎉🎉🎉 🎉 and 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 and and and 🎉🎉🎉🎉 and the the 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉
@sinarahaissa7927
@sinarahaissa7927 Год назад
Allahummah amin
@stevewanga957
@stevewanga957 Год назад
Huyu Dr huaga nampenda sana Kila ampe umri mrefu..
@uwimana6533
@uwimana6533 Год назад
Walkum salam warhamatullah wabarakatuh, shukran sana shekh suleiman
@mahammoudhaji
@mahammoudhaji Год назад
Maa Shaa Allah. Bdo uko vzr sheigh
@mchangarocky7254
@mchangarocky7254 Год назад
Duh! Ni kweli tu Allah atuongoze InshaAllah
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Год назад
Mashaa'Allah Swallalah Allayhi Wasalam Jazzakumllah Khery
@sinarahaissa7927
@sinarahaissa7927 Год назад
Allah akuongoze Shekh wetu Dr.Sule
@fatmaameer5333
@fatmaameer5333 Год назад
Mwamba Jazakallah kheri doka sule
@manrectorz
@manrectorz Год назад
Pia Muhammad (SAW), Alisema "Kama kweli mnampenda Mwenyezi Mungu (SWT) basi NIFUATENI MIMI". Mtume hajasema TUMSIFIE amesema TUMFUATE. Nashauri katika Maulid hizo wafundisheni watu TAWHID na KUHIMIZA SANA SWALA! Maana nimehudhuria maulid kadhaa ikifika wakati wa swala wanaoswali hata nusu hawafiki na hakuna anayejali hilo wao wanawaza kumsifia mtume tu linapotajwa jina lake basi.
@cityhuntermkali2468
@cityhuntermkali2468 Год назад
Hakuna kitu ktk maulidi zaid ya ushenzi mwingi tu
@user-fr6rv2yb4s
@user-fr6rv2yb4s 5 месяцев назад
Subhanallah umesema ukweli. Huyu Sheikh anasema hatumjui mtume Muhammad (saw) sasa anathibitisha eti tutamjua kupitia kusherekeya maulid, subhanallah. Mtume (saw) tayari kasifiwa na ALLAH kutokana na jina yake MUHAMMAD,maana yake ALIYESIFIWA.. Sheikh tafadhali tukitaka kumsifu mtume saw basi tumsaliye kila siku. Hakuna watu waliyompenda Rasullahi ( saw) kuliko Abubakar RA na Umar RA hali hamna hata siku moja kwa uhai Yao walisherekeya maulid. Jemeni maulid ni fithna kama Christmas...wabillahi taufiq. ALLAH ndiyo kasema ukweli
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Mashallah Mashallah Dr Sulle Allah akuweke
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Shekhe Juma Nasor mgaya na Shekhe Mrisho Jumaa Mrisho kipindura Matipwiri nyumbani kwetu mungu Awape Umri Mrefu mashekhe wangu. Amiin 🤲🤲 Amiin 🤲🤲
@Ankoozumo
@Ankoozumo Год назад
wazilapozo tupo.
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
@@Ankoozumo waziraponzo wapo nyuma ya Waviiila😂
@anwarambar6141
@anwarambar6141 10 месяцев назад
shekhe sule, Allah akupe umri, afya njema, uzidi kutuelimisha,
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Год назад
Shukran darsa nzuri Sana Allah akulipe kheri shekhe wetu kwa haya unayotupa
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Год назад
Huyu jamaaa anamaarifa sana,God bless us together till janaah
@Djdiho257
@Djdiho257 Год назад
Sawa ila tapeli
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH
@kassimamri6746
@kassimamri6746 Год назад
Allah akuzidishie kheri zaidi ww pa1 na wachamungu wote
@hamzamaarufu1358
@hamzamaarufu1358 Год назад
Kichwa kimejaa madini Allah akujalie sana
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Takbiiiiiir ALLAH Akhbar
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Год назад
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
@cabylake2320
@cabylake2320 Год назад
Mashaallah 💓❤️
@mctcher9297
@mctcher9297 Год назад
Sema unapotea sana shee wetu Allah akupe uzima na amani In Sha Allah
@cabylake2320
@cabylake2320 Год назад
Anapotea kivip yani
@mctcher9297
@mctcher9297 Год назад
@@cabylake2320 hatumuoni sana mitandaoni ndo maana yangu
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 Год назад
May Allah bless you always Ameen Yarrab
@yusufmod1437
@yusufmod1437 Год назад
Naomba usimulie kisa Cha nabii Suleiman shekhe wangu
@bakarkhamis5369
@bakarkhamis5369 Год назад
Mungu amueke
@ahmediahussein4043
@ahmediahussein4043 Год назад
Allah akulinde na Kila shari
@moiminiIssauw2
@moiminiIssauw2 Год назад
Allah akupe umri mrefu na mwisho mwema Allahuma amiin
@mulhatihussein8419
@mulhatihussein8419 Год назад
Namjuw vizur San shekhe. ila mh .Allah amnusuLu tu
@ba_yu72
@ba_yu72 10 месяцев назад
Very good!
@mussaumtit6664
@mussaumtit6664 Год назад
mashaallah
@chieffofofoodinternational4102
@chieffofofoodinternational4102 10 месяцев назад
mashallah sheghe mungu akupe umri mrefu
@harissalum2887
@harissalum2887 Год назад
Allah akujaalie umri mrefu ili uendellee kuitangaza dini yake
@user-fr6rv2yb4s
@user-fr6rv2yb4s 5 месяцев назад
I like this sheikh's lectures but there are aeeas i totally disagree with him. He cannot justify MAULID to justify love for our Nabi (saw) . How i wish he can study more and get the exegesis of the prophetic sera and proper interpretation plus analysis of the holy quran. Jazakallah kheir for the beautiful and educative lecture
@moanamessi1749
@moanamessi1749 Год назад
Allahu akbar
@user-gp5lc7wc8t
@user-gp5lc7wc8t 10 месяцев назад
Allah.bariki
@samsonmwakikuti5318
@samsonmwakikuti5318 Год назад
Uko vizuri sana Sheikh ! Madini ya kutosha
@athumanswed9992
@athumanswed9992 Год назад
Uko sahihi sana Dr.sule, wanazuoni wengi wa sasa hivi ni wamchongo
@ba_yu72
@ba_yu72 10 месяцев назад
Swadakta yadoktar Sule!
@nassorohassan
@nassorohassan Год назад
Allah azzah waja a- allah akupe umli mulefu kabisa inshaallah tuletee mawaidha al hajj tulikuwa tume kumiss sana
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 Год назад
Akili nyingi sna doctor mpk zinamwagika uyu shekh ni kichwa sna
@sshaby52
@sshaby52 Год назад
Ki ukweli kumswaliya Mtume ( S.A.W ) siyo makosa tatizo ni kuwa mnatenga masiku maalum kama inavyoitwa maulidi na kufanya maulidi kwasababu ya kiumbe fulani iyo ndo makosa kutowa darsa ima kufundisha historiya yake kwa nini isiwi darsa kama darsa zingine maulid haina tofauti na Pasika maana mnataja saana kiumbe na kumtukuza kuliko aliye muumba sasa apo ndo mnakoseya Sheikh Kishki ashajaribu saana kuwafafanuliya ila biziwi vile
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 Год назад
Kwan hijja watu huenda kila siku ..
@9jafanx933
@9jafanx933 Год назад
SHEKH UNAUMWA AU KUNATATIZO ULIZA WAKUELEKEZE NDO USHUKU
@sshaby52
@sshaby52 Год назад
@@9jafanx933 hhhh kijan mi niko sawa labda weye uwelewa wako kwenye maswala kama hayo huwezi kuyafaham elimu ni kitu kizuri alhamdulillah
@fastanzania
@fastanzania Год назад
Mashallah ♥️
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Год назад
Mashaallah Sheikh ❤️❤️❤️
@sharomdguda
@sharomdguda 9 месяцев назад
Waislamu jamani kwa uwongo mmezidi yaani mind blowing. Historia hizi mbona mnazificha ?! Mtume hakujua Jerusalem Hadi anakufa. Enyi viongozi wakislam uongo wa waziwazi lkn mtaumbuliwa na ukweli ktk Biblia. Mtaonyeshwa km mnavyoona kwa Hamas, Hamas ndiyo hivyo hawana nchi tena wataishia ukimbizini
@ba_yu72
@ba_yu72 10 месяцев назад
Swadakta!
@amahorofaridah519
@amahorofaridah519 Год назад
Takbirrrrrrrr Allah akbar
@NadiaJuma-en8sr
@NadiaJuma-en8sr 11 месяцев назад
InshaAllah
@nurdinsaid857
@nurdinsaid857 Год назад
Mashallah dokt sulle
@salmasalim3525
@salmasalim3525 Год назад
Shekh MashaAllah
@user-wy1ep7dz5n
@user-wy1ep7dz5n 9 месяцев назад
nakupenda DR sule una baya, unaelweka.
@aminakingaru-rp6mp
@aminakingaru-rp6mp Год назад
Allah akuhifadhi uzidi kutupa elimu
@mariamsefu825
@mariamsefu825 Год назад
Maa Sha Allah sule nakupenda kwa ajili ya allah
@bintykeya8954
@bintykeya8954 Год назад
Maashallah doctor sule mungu akuzidishie kipaji uzidi kutuelimisha
@Djdiho257
@Djdiho257 Год назад
Mariam sefu anaongea mazuri ila watu wanalia kuhusu utapeli wake kwenye izo tiba zake za kisuni
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 Год назад
@@Djdiho257 watu wanasema una ushaidi zaidi ya maneno acha fitna ndugu
@Djdiho257
@Djdiho257 Год назад
@@sadathboutique6253 Sheikh ushahidi ninawo tuma namba yako apo nikupe miamala transaction ya pesa ikibidi na saudi ya huyo mdada alie liwa pesa Yake wa Burundi kipindi alikua akitumikia warabuni Sheikh mimi siwezi kuzingishia muisilam mwenzangu wallah kassam ni ukweli
@yazidkarasu2497
@yazidkarasu2497 Год назад
@@Djdiho257 huo uongo Kama katepeliwa c aende sehemu husika we unasema una ushahid c uende msikitini ukatoe huo ushahid
@GDjudah
@GDjudah Год назад
Masha'Allah
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 Год назад
Masha Allah
@zainababdallah5612
@zainababdallah5612 Год назад
Mashaallah
@yasinmtangi5140
@yasinmtangi5140 Год назад
Nimekuelewa sana kaka
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 10 месяцев назад
Ukiwa mtumwa wa mwarabu uwezi kuandika kitabu kwa lugha ya kiswahili inayoeleweka kwa watanzania wengi
@aziza9093
@aziza9093 Год назад
Allah akulipe ujira muzr
@strong8534
@strong8534 Год назад
Wekeni title ya maudhui ndo vizuri. Jazakumullah!!
@alicase2211
@alicase2211 10 месяцев назад
Wallah nimepata elimu kubwa
@fikirinijuma6158
@fikirinijuma6158 Год назад
Na natokea Zanzibar Tanzania ila kwa saiyyy nipo nje ya nchi na huku kidogo dini iko chini sana insha'Allah 🙏🙏
@myself4128
@myself4128 10 месяцев назад
Huku watu washashituka na huo Uongo wa waarabu! wajinga ndio waliwao! Stori za Kutengeneza tu upngo na kweli,ulaya hudanyanyi watu hovyo hovyo
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 10 месяцев назад
Akili yako inaakili kweli ndugu?
@mohamedhalake5983
@mohamedhalake5983 Год назад
Mola akuongoze Dr sule kutoka kenya
@amofesa8166
@amofesa8166 Год назад
izo milioni zinatucanganya Sheikh
@myself4128
@myself4128 10 месяцев назад
Hakuna Kilichoteremshwa wala Kupandishwa! Huo uongo wa Kiarabu wa kizamani sana! Quran imeandikwa tu!
@eunicengendo1446
@eunicengendo1446 Год назад
The only chanel you will never hear the Dr discliminating any religion
@aminikamwanadam-qe5rn
@aminikamwanadam-qe5rn Год назад
AllahuAkbar
@machaggechacha243
@machaggechacha243 10 месяцев назад
Ongea kiswahili na kama hujui kiswahili weka mkalimani au sivo funga domo lako.
@user-py8ol3zd2y
@user-py8ol3zd2y Год назад
tatizo serekali halina dini kwaiyo tunapaswa kuwafikishia ujumbe hata wakiwa wamelala
@azizhamisi9182
@azizhamisi9182 Год назад
Mashaalah
@abdulahichachole8176
@abdulahichachole8176 9 месяцев назад
Sheikh Mwenyezi Mungu akupe nguvu na elimu zaidi uweze kutupa daawa tuzidi kushika dini.alhamdhulillah.
@NadiaJuma-en8sr
@NadiaJuma-en8sr 11 месяцев назад
Tunasubiri muendelezo
@zakiahbakari2017
@zakiahbakari2017 Год назад
Allah Abkar
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 9 месяцев назад
Itaendelea wapi
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Matipwiri chimbuko langu.
@manrectorz
@manrectorz Год назад
Nashauri tuache kusoma kitabu cha BARZANJI kina ukakasi sana
@omaryhunte
@omaryhunte Год назад
Tunga chako tusome
@aminimushi6945
@aminimushi6945 Год назад
Ni vema ukataja ukakasi huo,ili watu wakuelewe,utakuwa umesaidia
@faridaikussi
@faridaikussi Год назад
​@@omaryhunte hahaha
@user-cz7kz7cj9v
@user-cz7kz7cj9v 10 месяцев назад
Mama yake Mtume nani tena, na aponyuma umetwqmbia kama wazi wa Mtume walifariki Mtume akiwa mdogo? Kwaiyo uyo aliye kua akikaanga chapati katoka wapi?
@joshuamamuya1339
@joshuamamuya1339 6 месяцев назад
Naomba namba ya huyu mtu
@rizikilukali1558
@rizikilukali1558 Год назад
Wafundishe wanafiki hao
@aymanmangube4092
@aymanmangube4092 Год назад
Hakuna hoja ya maana ya kufanya maulid labda ungeanza na historia yake kisha utuambie walioianzisha wallanzisha kwa dalili gani na pia wema waliotangulia walimpenda vp Mtume(swalallahu 'alayhi wasalam) dini tayari imeshakamilika na wenzetu waliotutangulia walifanikiwa bila kusoma hayo maulid na unapofanya jambo la dini basi ni vizuri na ndio heshima kurudi kwa wema waliotutangulia
@lugomemtamayaye9508
@lugomemtamayaye9508 Год назад
Unafki mtupu, tupe dalili ya kuhusu maulidi,wafundisheni watoto kumjua Mtume kupitia madrasa na sio tukio la maulid.
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Год назад
Ukimsikiliza dr sule:: utajua ukweli kuwa mola humpa elimu au chochote amtakae
@myself4128
@myself4128 10 месяцев назад
Muhammad ni Mtume wa Mchongo kama Mwamposa😂😂😂
@SheruTete-yb6ir
@SheruTete-yb6ir Год назад
❤❤ Q
@alisalehsaleh2564
@alisalehsaleh2564 Год назад
Mama mzazi?
@kusakisoma3168
@kusakisoma3168 Год назад
Kaka hii coca cola ikulipe hata kama hujaingianao mkataba ila coca inasukari shekh
@cityhuntermkali2468
@cityhuntermkali2468 Год назад
Nlikuwa nakukubali ila kwakuw ni mtu wa bidaa mzee baba pitia kushoto ,kwa maulidi haya mnayofanya hakuna kumtangaza mtume zaidi ya ushenzi tu,hapo umevuruga pamoja na mifano yako ya kisela,,,yaan kicheza kote kuleee wanaume na wanawake barabarani ndo kumtangaza mtume!?,,,,wrong turn 😢
@mbokomboko5974
@mbokomboko5974 Год назад
Alicho zungumza yy maulidi yenye maadili na kumsifu mtume Sasa ayo unasema ww kuwa ushenzi sio ambayo aloyakusudia yy Wala hausiani nayo ttzo ni kwa awo wanaofanya maulid ya aina iyo unayo isema ww dokt sule hausiki kabisa katka maulid unayosema ww uwo ni uovu wa watu binafsi yao Wala sio mafundusho ya shehe yyte na ukiona MTU anafanya maulid ya aina iyo ujue hajasoma Wala hajui kitu ni mnafk tu
@cityhuntermkali2468
@cityhuntermkali2468 Год назад
@@mbokomboko5974 wew ulishaona ata cku moja akazungumzia kuhs ayo muaulid ambayo hayafai?, zaid anazungumzia maulid tu sasa hayo yasiyofaa kwann hawayapigi vita km wanayajua km hayafai?, hv kweli mtume alifundisha wanaume wacheze barabaran amna ile na wanawake??.kweli huko ndo kumsifu mtume?
@habibumdetele6530
@habibumdetele6530 10 месяцев назад
Uislamu wangu mdogo nimejifunza kupitia Maulidi.
@saraimbaruku2010
@saraimbaruku2010 10 месяцев назад
Labda Kuna jambo haliko sawa katka maulid lkn naamini ni Bora kuliko nyimbo tunazosikiliza majumbani mwetu na matembezini,lkn ni Bora kuliko rusha roho kwenye hafla zetu na harusi hivyo ni Bora turekebishe pabaya tuendelee na uzur mtupu
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 Год назад
Dr. Sule kanuni ipi ya kimaumbile (Physics) ambayo mtu mwenye mwili wenye mifupa unaokula na kupumua ukahimili na kusafiri umbali wa nyota tu kwa haraka hiyo?
@blackwarrior-animations593
@blackwarrior-animations593 Год назад
Science hiyo anayo Allah Bado binadamu hatujafika levo hizo. Hata Theluthi ya Science ya Allah hatujaifikia na Professors wote na Geniuses zote zilizowahi Kuishi Duniani ....wanakiri Kwamba Kuna Siri Nyingi Zimo kwenye Kitabu Cha Quran ambapo wakisema wafocus nayo peke yake wataleta Discoveries na Inventions nyingi za kisayansi na za ajabu kuwahi kutokea tangu Kuumbwa Kwetu viumbe. Na still hatutozimaliza zote . 😂 😆
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 Год назад
Maneno ya busara
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 Год назад
Ndugu zangu someni huyu shee muongo sana
@jumbalasauti
@jumbalasauti Год назад
Muongo Humjua muongo mwenzie
@ameirameir4930
@ameirameir4930 Год назад
Mh pole Allah akuongoze uione njia sahihi
@saidsajuki5713
@saidsajuki5713 Год назад
Assalam alaykum Kisa ni kizuri Sana ila wakati wa editting muwe mnaangalja sehemu za kukata maongezi maana inaondoa uhalisia wa aliyoyaongea na kubadirisha maana. Ukisikiliza dakika ya 20 utaona kama vile anazungumzia mama yake mzazi Mtume alikuwa anakanda chapati wakati si hivyo.
@silvestermanase6101
@silvestermanase6101 Год назад
Nakukubari sana Dr, mimi ni mkristo mkatoliki, lkn nafuatilia sana mafundisho yako, yanafundisha, yanajenga , yanatukumbusha kumcha Mungu.
@Djdiho257
@Djdiho257 Год назад
Tatizo ni tapeli amesha meza pesa za watu wengi
@faridaikussi
@faridaikussi Год назад
Subhaanallah kwnn
@faridaikussi
@faridaikussi Год назад
Unaandika hivio
@jumakhamis1197
@jumakhamis1197 Год назад
alishatapeli za nani?
@Djdiho257
@Djdiho257 Год назад
Wallah wa billah simzingishii fanya utafiti utaelewa kwanini nimeandika hivo kuna watu wanaofanya kazi warabuni wameliwa mahela ya maajabu Sauza afrika kuna Rafki angu ameliwa laki saba na kitu TSH ukitaka nikupe vithibitisho nitumie watsup yakho nikurushie miamala na number yake ya sim ilio tumiwa hela anakamchezo kabaya sana
@faridaikussi
@faridaikussi Год назад
@@Djdiho257 sawa akhii lakin hapa,hapafai nitumie yako nikufahamishe khasarazake
@alimwabundu5870
@alimwabundu5870 Год назад
Sheikh maandazi😀😀
@abubakarsuleman1983
@abubakarsuleman1983 Год назад
Mashaallah
@shabanirashid113
@shabanirashid113 Год назад
Mashaallah
@nurdinsaid857
@nurdinsaid857 Год назад
🙏🙏🙏
Далее
ЛОВИМ НОВЫХ МОНСТРОВ В LETHAL COMPANY
2:42:22
MKE KAZIZAKE NI MBILI TU //SHEIKH OTHMAN MAALIM
32:34
Просмотров 263 тыс.
KISA CHA NABII MUSSA NA FIRAUNI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
40:28