Тёмный

Fatma Karume Afunguka Kuhusu Wananchi Kulalamika Mbele ya Makonda 'Ni Udhalilishaji wa Wananchi' 

The Chanzo
Подписаться 90 тыс.
Просмотров 77 тыс.
50% 1

Mawakili Boniface Mwabukusi, Fatma Karume na Dk Nshala wameongea na waandishi wa habari leo Februari 3, 2024 kuhusu usalama na maslahi ya mawakili nchini.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 412   
@abdallahkiliaki3744
@abdallahkiliaki3744 8 месяцев назад
I give a 10,000 "thumbs up" to you. Fatma, you have been extra special this time around in your diagnostics. Unachosema kuh "system failure" kina ukweli usiopingika. Lkn ilitakiwa pia useme kuwa kati ya 2016-2020 hili tatizo lilipungua sana. Govt service delivery soared to unprecedented levels. Wananchi walisikilizwa na shida zao zilitatuliwa mara moja, mm nikiwa mmojawapo. Mwananchi alikuwa mfalme. Siyo baada ya hapo! Na ni kweli kuwa mpango wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali hautaleta manufaa yoyote mithili ya Masanduku ya Maoni.
@MsonjoSicario
@MsonjoSicario 8 месяцев назад
F2m ni anabolic entity...anadandia vihoja vya kijinga anachoona majority wanakipigia vikelele ndio anaibuka...ana inferiority complex ya kufa mtu...hapo nyuma kidogoo hatukuwai kumsikia akiongea lolote...why now...cowardice woman....
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 8 месяцев назад
Safi sana shangazi kwa ujumbe muzuri na wakuelimisha jamii, nilikuwa nimekumisi sana, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@geraldalfred1781
@geraldalfred1781 8 месяцев назад
It is my first time getting an opportunity to listen to Bi Fatma Karume you are a blessing to our nation and please never stop speaking because tomorrow your words will be the mantra we the youth of Tanzania will sing day and night to demand more because we deserve better the system is complicated and huge but doing nothing isn't making any progress at all we have to start somewhere
@sondalasalumu5423
@sondalasalumu5423 8 месяцев назад
Uko sawa mama
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 8 месяцев назад
Safi sana shangazi tatizo kila kitu tz kinaendeshwa kisiasa esp .ccm. Mfano mdogo ni elimu ya tz imeshuka sana ila utasikia kila mwaka ufauku unapanda.Huwezi kusikia kuwa mwaka huu ufaulu umeshuka. huo ni uwongo kwa sababu wanaofauku ni watoto wetu ukiangalia uwezo wao si wakuendelea kidato cha kwanza.So ili tujinasue tuacheni ushabiki wa kijinga tuwe serious na tuachane na sifa za kijinga jinga.tunajichimbia kaburi wenyewe. Asante shangazi.❤❤❤❤❤
@christosiadanieli6512
@christosiadanieli6512 8 месяцев назад
Comed
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 8 месяцев назад
Asante Sana Winnie... UMENENA UKWELI USIOPINGIKA. Matatizo ya systems failure and bullshit governance ni baada ya JPM.😢
@dorismwakalukwa9555
@dorismwakalukwa9555 8 месяцев назад
Mweshimiwa mungu akubaliki kwakweli tunaumia sana mama
@davidngogo4011
@davidngogo4011 8 месяцев назад
Umeongea vizuri Sana sana. Wewe kweli ni msema kweli.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 8 месяцев назад
100%
@gabrielurio6545
@gabrielurio6545 8 месяцев назад
Fatma Karume you deserve to be our AG because of your good ideas, we love you so much.
@ChristopherMbano
@ChristopherMbano 8 месяцев назад
Mh. Wakili Karume uko vizuri, na umeongea ukweli " Big up"
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 8 месяцев назад
Leo umeongea point Sana.hongera
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 8 месяцев назад
Ameongea kweli lakini ndio wale wale ukiwa na kesi hata ukienda kwake yy Binafsi atakuomba pesa kusimamia kesi Yako tunaenda Kwa Makondo kwakuwa kilio kitafika hata kama si Mwanasheria
@goodluckkiget6359
@goodluckkiget6359 8 месяцев назад
I’m absolutely with you Shangazi.
@munirdaya9135
@munirdaya9135 8 месяцев назад
Eloquent and point delivered.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 8 месяцев назад
Nimemuelewa sana Mhshmw Fatma...anaongea kutoka ndani kabisa ya moyo wake❤❤❤❤huyu ni kiongozi
@ThomasAlute
@ThomasAlute 8 месяцев назад
Nimekuelewa sana fatuma karume kweli hapa ni system feli
@IdrisaAbdallah-pf4mw
@IdrisaAbdallah-pf4mw 8 месяцев назад
Huyu mwanamke ana akili sana yn ❤
@htx1873
@htx1873 8 месяцев назад
Msomi huyo, she know her stuffs , ila watu Watajifanya she westernized. They need to give her a chance ,
@samsongechamet5374
@samsongechamet5374 8 месяцев назад
Nimegundua Mh.Makonda ana maono,kwamba wananchi wanashida na anatatua.Tumuombee kwa anachokifanya.Nashangaa hadi sasa viongozi wengine wamelala kwamba hadi aje atatue!Mungu akutangulie ndugu yangu mwenezi.
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 8 месяцев назад
Sikia wewe kiumbe mifumo imefeli hata asingekuwa Makonda kwa kuwa watu wana shida watajitokeza tu. Hiki ni sawa na kikombe cha babu watu walikuwa wanaumwa .
@peterdeus6093
@peterdeus6093 8 месяцев назад
Kama taifa sioni sababu ya kumuombea coz hamna anachofanya kwa ajiri ya taifa isipokuwa kwa ajir yake mwenyewe na CCM
@yohanamuhambe9422
@yohanamuhambe9422 8 месяцев назад
😂😂 kwahiyo unataka kusema Makonda awe ndio mahakama sasa? Kipi amekiamua kwenye malalamiko waliyopeleka kwake yeye sio mahakama. Shangazi Yuko sawa 100%
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 8 месяцев назад
Kwahiyo makonda atakua anapita kila siku haujaelewa fatma anacho sema
@evaemil856
@evaemil856 8 месяцев назад
Matatizo yote yalitotolewa na wananchi kwa Makonda na yamekuwa yakiongolewa na vyama vya upinzani sasa imeonyesha wapinzani wa kweli walikuwa sahihi nacthis is their time to shine. Ninaona tukubali tuwaachie turn washike nchi watuwekee muundo mzuri ili tukichukuwa back back utawala tutajua nini cha kuendeleza. Utawala wetu kweli umefeli ninasikitika sana. Mungu ibariki nchi yangu.
@enodiusedson5008
@enodiusedson5008 8 месяцев назад
Na ata hao wapinzani nao bado mifumo yao ni mibovu sana pia vile vile Chama kinapokea maruzuku kibao ila mpka Sasa hakina ata office Ukweli upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM ndani umo umo itapatkana CCM part 2 ndoutakuwa upinzani ila Hawa wengne hamna kwakwel
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 8 месяцев назад
Hapa point ☝️ ipo ukisikiliza
@namsamson3443
@namsamson3443 8 месяцев назад
Namuonaga kichaa ila you're very right on this
@SamNecessity
@SamNecessity 8 месяцев назад
Brilliant thought.
@200Stella
@200Stella 8 месяцев назад
VERY VERY TRUE.ANASEMAGA UKWELI NA NDIO MAANA HAWAMPENDI....
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 8 месяцев назад
😂
@daudkweba6848
@daudkweba6848 8 месяцев назад
Madam Fatma, Indeed your a BIG BRAIN in this country. I salute you!!
@noelmakere1381
@noelmakere1381 8 месяцев назад
Upo vizuri sana Dada Hongera y
@ivanmatalu4028
@ivanmatalu4028 8 месяцев назад
Absolutely true
@paulkifumbe5110
@paulkifumbe5110 8 месяцев назад
Makonda sio Mahakama ila malalamiko ya watu yanaonesha kuna baadhi ya Maafisa wa Serikali hawawajibiki ipasavyo kwenye nafasi zao na hii inasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji hasa serikalini... Mimi na jamaa zangu tunaunga mkono jitihada za Chama Cha Mapinduzi katika kuondoa unyonyaji kama Mh. Makonda anavyofanya.
@abdallahlugongo4738
@abdallahlugongo4738 8 месяцев назад
Leo umeongea vitu venye akiri sana, Munguakupe maisha marefu afya njema furaha tere Inshallah
@jacobngasa8110
@jacobngasa8110 8 месяцев назад
umeongea vizuri sana , Tatizo lako una support ushoga tu.
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 8 месяцев назад
😂😂😂
@mkude
@mkude 8 месяцев назад
😂😂😂
@monicamwita7865
@monicamwita7865 8 месяцев назад
Acha hizo. Huyo mwanasheria, haki ya kuishi niya kila mmoja haijalishi ni maovu mangapi anatenda
@rikokopuga2998
@rikokopuga2998 8 месяцев назад
kwakweli kwapointi zaleo shangazi pongezi sana tena sana
@RoanCorporation
@RoanCorporation 8 месяцев назад
Fatma Karume she is smart and honest , peoples like her should be employed by the government
@danielmushi5755
@danielmushi5755 8 месяцев назад
Sawa kabisa Fatma,tatizo la Nchi hii ni Total System Failure na hii ndo approach ya Ccm ili iendelee kukaa madarakani.
@saidpazi531
@saidpazi531 8 месяцев назад
MIE NAFIKIRIA UNGELISEMA SHERIA ZOTE. ZA NCHI HII ZIFUNDISHE SHULENI ZA MSINGI HILI WATU WA WAPUNGUZE KUDHULIMIWA
@shadymoses5813
@shadymoses5813 8 месяцев назад
Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja, ila upande wa pili mfumo wa kutoa haki umebezi kwenye utashi wa walioko madarakani, angalia watu waliofika kulalamika kwa Makonda wengi wao wameshafika katika vituo vya kutolea Haki i.e Police na Mahakama ..Ila SHIDA YAO NI KUIPATA HIYO HAKI sasa
@BahatituyayineBahatituyayinw
@BahatituyayineBahatituyayinw 8 месяцев назад
Ongela mama
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 8 месяцев назад
To day you speak true
@abdallahally842
@abdallahally842 8 месяцев назад
She's always stand with truth
@judyngowi391
@judyngowi391 8 месяцев назад
Anaongea ukweli mara zote,
@ChrisTengeneza
@ChrisTengeneza 8 месяцев назад
Vichwa kama hivi adimu lakini ni Kwa kua siasa imetawala Kila idara anaonekana hafai hata chembe
@aloycesingano1352
@aloycesingano1352 8 месяцев назад
Oh wew ni shujaa na mzalendo sana mama wa watanzania wenye kuwa na hofu tusemee mama
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 8 месяцев назад
Ahsante sana shangazi.makonda hawezi kuwarudisha wananchi haki yao.serikali ndiyo inao wajibu wa kuwapa wananchi haki yao.
@matiankomola2391
@matiankomola2391 8 месяцев назад
Hongera Sana Mama Karume! Nawe Mama Tumbua Jipu!
@johasaeed391
@johasaeed391 8 месяцев назад
Kabisa ayumbuee maana makonda kaweza nawatakuja kushaa makonda anawazidi akili atapendwa na wanchi mimi tu teyari nishamsamehe makonda ya nyuma yote now nampa namba moja
@NaifatHamad-u4p
@NaifatHamad-u4p 8 месяцев назад
Wonderful speech shangazi I give you 100 %
@bahatitumaini347
@bahatitumaini347 8 месяцев назад
Good point
@ValEmaChannel
@ValEmaChannel 8 месяцев назад
The Chanzo TV mnapaswa kuwa serious sana na sauti. mtu anaweza samehe picha mbaya lakini hawezi samehe ukosefu wa sauti kwenye maudhui.
@noelnoel4916
@noelnoel4916 8 месяцев назад
Dada fatma na wewe unaongea tu na hakuna kitu unafanya bora ungekua kama makonda nenda ukafanye kitu sehem husika hapo unataka airtime
@adkajisi4536
@adkajisi4536 8 месяцев назад
Shida hana mamlaka
@noelnoel4916
@noelnoel4916 8 месяцев назад
@@adkajisi4536 haiitaji awe na mamlaka kwa hapo anafanya nini. Hapo Anapiga siasa. Inaitwa political science
@elishamwaitebele
@elishamwaitebele 8 месяцев назад
Ukweli wenye akili fupi sana hawezi kumwelewa fatuma lkn ka nchi tunahitaji kujiformat
@abdalakombo1595
@abdalakombo1595 8 месяцев назад
Leo ndugu yangu. Umezungumza safi sana.jitahidi kukamata njia hiyo hiyo .wanyonge wanaumia
@raishamedical2837
@raishamedical2837 8 месяцев назад
It can not be said better than this ❤❤❤
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 8 месяцев назад
Umeongea fact sana ❤ anamuigiza magufuli aonekane mtendaji mkubwa yaani makonda anavyojiona saivi mama Samia Hana lolote kuliko yeye daaah anazingua❤
@mussalimbe6673
@mussalimbe6673 8 месяцев назад
MAKONDA Genius huyo
@DanielTumaini
@DanielTumaini 8 месяцев назад
Hahahaha ati genius nafikiri hujiu unalosema ukisahau Makonda ni bashite means zero brain
@epimackjohn461
@epimackjohn461 8 месяцев назад
Huyo akiwa GENIUS panzi au kuku nao wanaweza kuwa GENEUS , GENEUS anaiga waliopita kuigiza ? Itokee mtu kama huyu kwa RAIS nchi itarudi nyuma sawa na miaka 45 iliyopita ?
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 8 месяцев назад
Kwa leo Fatuma nimekuelewa kabisaa
@ganomwakisambwe2715
@ganomwakisambwe2715 8 месяцев назад
That great my heroine!
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 8 месяцев назад
Hahaha Shangazi anaongea kama Baba yake na Baba yake Mdogo Ali Karume😅😅😅😅
@mohamedIssa-ot8ph
@mohamedIssa-ot8ph 8 месяцев назад
Point
@monicamwita7865
@monicamwita7865 8 месяцев назад
Fatuma , shangazi na mama . Nakupongeza, waambie
@profs.a5412
@profs.a5412 8 месяцев назад
Kama kweli kesi anazimaliza bwana makonda, namuunga mkoni 100% maana hii nchi hatuna mahakama za kutatua shida za watu wanyonge, watu masikini ambao wakenda mahakamani jion anafuata kutishiwa, lkn pia huko mahakamani wanaonekana mbwa tu. 🚶🚶🚶 Chapa kaz makonda kama kweli matatizo yanatatuliwa, ila kama maigizo acha tu ,Mungu atawatatulia🏃🏃
@lucyjustine4632
@lucyjustine4632 8 месяцев назад
Well said Madam Karume
@EmmanuelMaganga-ey4oz
@EmmanuelMaganga-ey4oz 8 месяцев назад
Tatizo sio viongoz bali watanzania inatakiwa tujitambue. Solute Madam Fatuma
@kmotivation1130
@kmotivation1130 8 месяцев назад
Mungu akutunze sana
@arafamgeja9334
@arafamgeja9334 8 месяцев назад
❤❤
@aaa64sa13
@aaa64sa13 8 месяцев назад
Makonda chapa kazi kama kawaida. Mimi sina Chama lkn BigUp mh. Makonda..
@LazaroELucas
@LazaroELucas 8 месяцев назад
The problem of this country is politics everywhere even where there is primary issues concerning the country, we never reach where we desire, this is because politics has become the final say no matter what the court or parliament says nothing changes.
@EliaChristopher-u3t
@EliaChristopher-u3t 8 месяцев назад
Uhh mechangia vizuri lkn kazi anayofanya Makonda ni njema sana ,kama wlipwasa kufanya wameshindwa plz mwacheni Makonda afanye alafu msisahau kwamba Makonda ktk uongozi wanauwezo mkubwa
@krispinkisanga3261
@krispinkisanga3261 8 месяцев назад
Huyu mama anaongea point sana
@celestinechasama4764
@celestinechasama4764 8 месяцев назад
Such a wonderful speech
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 8 месяцев назад
KWa hiyo wananchi waendelee hivyo hivyo kuonewa mngelisikia wapi na huyo mwanasheria hayo mengine anayajua kweli
@Mumewangu
@Mumewangu 8 месяцев назад
Hawahuelew
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 8 месяцев назад
Huyu Baba Yake mbona ameiba sana Zanzibar walikuwa wakiitwa hapa kwangu hawa kila Ardhi waliyo iona Ina mafanikio katika biashara zao walikuwa wanachukua wao jumba la Mayatima Foridhani ilikuwa Mali ya Serekali na wamejirisisha wao wamejenga Hotel na Restaurant wanapiga pesa tuu sasa hivi hii dunia bwana. Ila umeongea point sana na hao Ccm sasa hivi Sanduku lao la maoni ni Makonda
@reachglobal9939
@reachglobal9939 8 месяцев назад
Yes gd work tz tunawatu
@BahatituyayineBahatituyayinw
@BahatituyayineBahatituyayinw 8 месяцев назад
Mama nakupongeza sana selikali wajibuwao wengi wao shida pakusikilizwa hakuna selekal inakuw jina tuu mama ongela uposaw
@amarionnyanza7950
@amarionnyanza7950 8 месяцев назад
huyu dada ana akili timamu sana, shida ya sisi watanzania tukiskia anavyo changanya lugha tuna jenga chuki ya kusema (anajikuta msomi) but we need people like this kwenye msingi wa sheria.
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 8 месяцев назад
DAAAA DADA YANGU UMEONGEA POINTS SANA SANA ENDELEA KUONGEA UKWELI DADA
@am2323Diaspora
@am2323Diaspora 8 месяцев назад
Sawa wamfungie huko Bara wamuachie huku kwao ZANZİBAR afanyekazi.
@sondalasalumu5423
@sondalasalumu5423 8 месяцев назад
Uko wapi mama
@FadMoe-o4f
@FadMoe-o4f 8 месяцев назад
Asante mama kutusemea.
@alexkimaro2886
@alexkimaro2886 8 месяцев назад
Nimekuelewa sn
@bishoppaulomacha
@bishoppaulomacha 8 месяцев назад
Hata Makonda anaposikiliza kero za Wananchi sii kweli sababu Ugonjwa Upo kwenye chama ccm.siyo Upinzani kwa hiyo Anajikuna alafu Anacheka Mwenyewe😂😂
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 месяцев назад
System ya nchi ndio kikwazo kwa wanachi badilisheni mofumo iyo
@MarcruzOlivares
@MarcruzOlivares 8 месяцев назад
Na ninacho kiona ni this woman kaja kuongea because Makondo so hata kama kaongea point Bi Fatma ungekuja kuongea kabla hata ya makonda kusimama ila una kifanya ni kumchafua makonda ✌️But for me Makonda did well kaweza kufanya kitu ambacho watu wengine hawawezi kufanya
@seneu.2128
@seneu.2128 8 месяцев назад
Nikweli kabisa Fatuma tatizo ni system failure na imesababishwa na viongozi kuingiza siasa chafu kila sehemu
@mussarashid2216
@mussarashid2216 8 месяцев назад
Upo sahihi dada lakin serikali imeshindwa kukidhi haja zao...Ndo maana CCM inachukua nafasi hiyo kuendelea kuwapaka MAFUPA kwa MGONGO wa CHUPA
@athumanmapunda
@athumanmapunda 8 месяцев назад
Sawa kabisa shangazi Fatma karume
@pauloropian2367
@pauloropian2367 8 месяцев назад
Huyu Mama ni mkweli anastahili kupongeswa,mungu akubariki mama,we need a lot of women like you in our society,in our government,may God bless you bi Fatma karume. You talk a Truth.
@fatimakhatibu8256
@fatimakhatibu8256 8 месяцев назад
Wameona Mwakani uchaguzi wamemtoa MKonda ili kudanganya Wananchi Ovyoo Sanaa CCM
@allyussi8708
@allyussi8708 8 месяцев назад
Wow!
@isaacvtv547
@isaacvtv547 8 месяцев назад
Wanaona unafuu ndani ya Makonda kuliko selikali
@HijaRashid-g4q
@HijaRashid-g4q 8 месяцев назад
Yes upo sawa dada aiwezekani nyie viongozi msijue matatizo na wajibu wenu😢
@rasgwandumikaisi7489
@rasgwandumikaisi7489 8 месяцев назад
Big up Shangazi ✊🏿
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 8 месяцев назад
Ni kweli viongozi hawajibiki
@MarcruzOlivares
@MarcruzOlivares 8 месяцев назад
I am sorry for this ninacho kiongea lakin what Mkonda did ni vyema coz tumejua Tanzania kuna watu wanapata tabu na tunajua watu tulio wachagua hawafanyi na pengine serikali haijui kinachoendelea huko chini so for me what Makondi did is good and always true has to open✌️
@AyoubKikondo
@AyoubKikondo 8 месяцев назад
uko sawa mama hivyo ndivyo hakuna uwajibikaji mfano kwa sasa umeme unakatika katika nani anawajibishwa?
@FrancisYamecha
@FrancisYamecha 8 месяцев назад
Hongera sana Shangaz
@sheilamarandu2750
@sheilamarandu2750 8 месяцев назад
Ukweli kabisa Fatuma
@onetwo12981
@onetwo12981 8 месяцев назад
Akili Kubwa sana, BIG BRAIN
@imortal5354
@imortal5354 8 месяцев назад
Your extraordinary bi fatma
@zariadunia6328
@zariadunia6328 8 месяцев назад
Sasa mnataka wananchi wakidhulumiwa waende wapi
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 8 месяцев назад
Wananchi hawapaswi kudhurumiwa, kwakua system imefeli ndo maana yanatoea haya unayoyaona sasa
@KeloRichard
@KeloRichard 8 месяцев назад
Bill makonda kuteuliwa tungeyajuwa wapi apewe mauwa yake makonda ,sio awo walikuwa wapi kabda ya makonda kutuonyesha yaliyomo, wanatulletea siasa za kipuuzi za makundi ndani ya ccm at wamtume kuundoa kill achofanya makonda kisiwe na nguvu daa amechelewa
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 8 месяцев назад
Sheria kama haiwasaidii,wafanye Nini?Acheni uhuni,huko kwenye Sheria wananchi hawasikilizwi wafanye Nini ss
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 8 месяцев назад
Fatma karume unaakili sana Dada, uwajibika waviongozi serikali hawawajibiiki kabisa
@leokamil6284
@leokamil6284 8 месяцев назад
Kwa mantiki hiyo ni bora iwekwe iyo sehemu ya kupeleka shida kisha wahusika wafukuzwe kazi.Nimesikitika Mwanasheria Mkuu kusema iundwe ofisi maalum akisahau Fedha za Mtanzania mlipaji kodi ndio zinazotumika kulipa waliopo madarakani na hawafanyi kazi kwa hiyo zitolewe nyingine tena kulipa hivi yupo sirious kweli na kodi zetu ?
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 8 месяцев назад
Hongera dada. CCM has expired its legacy as a political party. A new part is on the horizon. And it is Chadema. The system has to be removed from power by weapons. This will cost human lives. Ian Smith of S Rhodesia told Queen Elizabeth " Zimbabwe needed 100 years for Mugabe to talk about Independence. Look what is left of Zimbabwe. Look at what is going in Tz. 30 years the country cannot rewrite the constitution.
@mussalimbe6673
@mussalimbe6673 8 месяцев назад
Chadema mavi MAKONDA is extra genius hebu ajaribu mwingine kama watu mtawaona
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 8 месяцев назад
@@mussalimbe6673 Pesa anayo gawa makonda kapata wapi? Bajeti hiyo iliandaliwa na nani. Si Hela za Waarabu mnagawiwa ili chotara aendelee kuwauza uarabuni
@AllySarumbo
@AllySarumbo 8 месяцев назад
Watu kama hawa ni muhimu sana nchini
@devangandhl2255
@devangandhl2255 8 месяцев назад
Very True Sister
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 8 месяцев назад
Wewe huwezipenda una shida gani umezaliwa huna shida!!
@HfvJfv-zf2dt
@HfvJfv-zf2dt 8 месяцев назад
Kweli kabisa
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 8 месяцев назад
Very true Fatma!
@dennismongi8970
@dennismongi8970 8 месяцев назад
This is very very very very true,
Далее