I liked this interview. I liked the questions that were asked and how they were answered. I liked how the interviewee opened up and allowed us to see who she really was. I would like to see more interviews like this one in our media spaces. Thank you to both ladies for levelling up Tanzanian journalism
Kwa ambao hamumjui fatma karume hiyo ndio ongea yake sasa mnaomponda. haya nyie mmekamilika nini katika uumbaji wa mungu. Mungu anajua sana ndio maana kila binadamu kampa.cha.kujivunia na mapungufu.ili.tuheshimiane. Fatma ni mrembo sana mzuri sana msomi.sana familia yake ina hadhi sana yeye mwenyewe tajiri sana lkn kwenye kuongea yupo ivo,. Haya wewe unaemuwazia.mabaya mara kanywa pombe hebu tuhesabie baraka zako humu tuone kama unamfikia fatma .njaa tu zimekuzidi alafu unaleta.makasiriko kwenye interview ya mtu muungwana
mgeni mzuri lakini mtangazaji Babbie maswali yapo chini ya viwango..mtu ana miaka 30 sio mtoto tena ni mtu mzima ana maisha yake apewe ulinzi wa nini? uliwai mkosoa baba yako? why not?Mwandishi wa habari usiyejua kuwa Fatma si mnafiki wa kupenda vyeo mpk ajipendekeze kwa wakubwa basi si muandishi. Fatma ni mpambanaji wa ukweli nilitegemea maswali yawe ktk angle ya harakati zaidi kuliko baba baba anasemaje anajisikiaje? nenda kamuulize baba yake Fatma ni mtu mzima anaishi maisha yake hayuko chini ya baba yake tena
@@hassanmfaume4522 wewe ambaye hujapotoka endelea na uislamu wako unajihesabia haki na kuhukumu wengine sijui hata uislamu unaujua kwa kitendo chako cha kuwajaji watu usiowajua
@@myself4128yah... wakati wa utawala wa baba yake amewahi kukosoa sheria ya kuzia dhamana kwa makosa ya jinai na sheria ikabadilishwa. Hivi leo Zanzibar makosa ya jinai yana dhamana.