Aya mambo ya wazazi kiukwel mtihani Sana Yani wazazi awa jmn ety namchukiaa sasa unamchukia nini jmn mapenzi yalivyo matamu looh km Mimi naendelea tu kula tunda mtake msitake mtajua wenyew maana mungu ndokashapanga radhi ata mungu anaona
Maasha allah Movie mzuri na fukwe zake zina mandhari ya unguja lakini mwenzie ndabwa ameharibu kwenye kila sini yake sbb kawa kama comedian(bwakila) so sawa saana pale
Mwanzoni mumetuambia kuwa hamna baba wala mama wala ndugu !!vipi hawa wazazi mumewatoa wapi?? Isitoshe mwanzoni mumetuonyesha nyumba nzuri ya kwao karunde lakini kwa mbele tunaona nyumba nyingine !!! Wabongo bwana