Safi sana nimependa kumbe kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho Mungu tusaidie ili tukutumaini wewe pekee kwani wewe ndio mganga mkuu wa kila jambo Asanteee
Mmejitaidi ila hamjanifurahisha kitu kimoja kwa nn nepele hakuujua ukweli kuwa somoye na yeye alihusika kutaka kumuua! Jitaidini jamani kuanza munaanza vzr kumaliza hakueleweki
Nepele angemsikiliza mamake haya yote hayangempata mbichwa ngumu itakuja kukuletea maajabu, wanaume msiwe mkikula Wali au chakula chochote kile, dunia si ya kwako try kujihebusha mengi else utakuja kulia na kusaga meno nimekuambia