je Mahakama haiangalii nani anadai ndoa ivunjike ? kama mimi namtaka mke wangu ila yeye analazimisha hataki tena ndoa haileti maana kwa mahakama ? na kwenye kugawana Watoto wanakua upande gani ?
@@DM_15 tulia jaman nahisi ni hasira tu ndo inamfanya atumie hiyo kauli bali mzazi mwenzie ni MBWA kabisa kwa kushindwa kulipa ada ya mwanae kwa miaka 10 na talaka hataki kutoa...
@@hopechidera😂😂,kwahiyo mwanae ni kambwa kadogo. Mana mbwa anazaa mbwa ujue,muwe mnaangalia maneno. Sasa mpaka unaenda kuzaa na jibwa unakua umepatwa na nini?