#penziladadawakazi #dontatv #bongomovie #kelvinkhan TUNAPOKEA WASANII WA MAIGIZO KWA WALE WALIOPO DAR ES SALAAM PIGA NAMBA 0688638286 KWA MAELEZO ZAIDI TUFOLLOW KWENYE ACOUNT YETU YA INSTAGRAM / kelvinkhan255
Me nacoment kwenye uvaaji, msipende kuvaa mawigi sana kwa wadada , serious nyingine muwe hata mnasuka , mitindo ipo tofauti tofauti, unajua muonekano na uhalisia wa movie inavutia sana mashabiki, naona kila movie mawigi tuu ,, huo ni mtazamo wangu mim tuu kama ushauri
True love 💕💕💕💕 yaaaaaaani umenifanya nikali mtoto wa baba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 kama Dunia kulikuwa na mapenzi kama haya atungekuwa na dhambi yeyote waaaaaaaaaash loveness 🥰
Good job wazani wa Tz God andamane nanyi Ady dakika wa mwisho. Napenda saana video zenu inafutia zaidi na imetufunza jisi ya kuishi katika mapenzi la ukweli