MR HANDSOME FULL MOVIE MWANZO MPAKA MWISHO ENJOY ❤️🙌 #shemeji #dontatv #kelvinkhan #dadawakazi #penziladadawakazi ILI KUPATA NAMBA ZETU ZA SIMU BONYEZA LINK HII YA INSTAGRAM KISHA UTUFOLLOW UTAPATIWA NAMBA ASANTE / kelvinkhan255
Candy upo sahihi da! Maisha ya chuo ndo yako ivoooo et yaan da! Cjui wanachuo huwa 2na nn et.... cna meng sana lkn hili ni funzo kwang hata kwetu sisi wanachuo hebu tubadilike sawa ee km hukuaga kwen fany kama loveness maan wazazi hawachimbi izo pesa zinatafutwa. Jaman msanii ni kioo cha jamii asanten kwa kuona hili ili atakae kubali kufunzwa afundishike
Brown na candy Mnapendezana snaa mkiwa Pamoja,, half brown na loveness haijawahi tokea mkawa katika mahusiano,,, yakafika mwisho,, lazima Huwa yanaisha Njiani ila candy Ukiwa na brown Huwa Mnaweza fika mwisho
🎉🎉🎉wow hizi movies za tz n tamu sana n zina mafunzo kumbwa nawafuatilia kutoka kenya hila sasa hivi nipo gatar Braun piga moyo konde tulia❤❤❤❤much love Kelvin ❤❤❤
Pesa si kigezo katika upendo na upendo haununuliwi Dukani Bali unatokana na mguso wa ndani ko hakuna kuchagua uzuri wa mtu Bali ni kuangalia upendo wa Dhati,,😉 Asanteee sana kwa kazi nzr
kunambi ulichemsha banaaaa....hata hungoji kubembelezwa mara ya pili tayari kajibwaga kitandani ama ulikua na upwiru🤣🤣🤣🤣🤣🤣but movie tamu sana...enjoying the movie in Kenya