Katika Ndoa Zote za ndonta Tv nilipenda Ndoa ya victoria alivo kuwa dada wa kazi akajaa olewq na Kelvin Nyingine ilee ndoa ya victoria na James kisha James akampaa Kelvin amuoe victoria,, na alikuwa kama amuoe na walivaa mavz ya harusi ila James alimpa Kelvin ❤❤❤ Hizo Ndio Ndoa nilizo penda
Movie ninzuri sana ila loveness nimependa wazo lako la kumshauri dadaako kurudi nyumbani😊imekuwa kama dawa ya wanaume wakorofi lakini lazima ukiwa na mume mkorori tumia akili kama loveness 😂Safi sana nice 🎉🎉🎉❤ 👍 👌 👏 nimeipenda 😂😂😂😂😂😂