Тёмный

FULL VIDEO: Nape alivyozuiwa na Polisi "alietoa Bastola aje hapa' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 584 тыс.
50% 1

Leo asubuhi ya March 23 2017 taarifa kutoka IKULU ilieleza kwamba nafasi ya Waziri wa Habari amepewa Dr. Mwakyembe, Baadaye Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.
Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo na aliongea na waandishi akiwa juu ya gari

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 419   
@petroleumexperts3442
@petroleumexperts3442 2 года назад
Nimerudi kumskiliza tena nape baada ya teuzi za mama samia ✊❤
@HarrisburgFc
@HarrisburgFc 2 года назад
😂😂
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 года назад
😂 😂 😂 😂 Ata mimi
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 года назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@westmanmoses541
@westmanmoses541 3 года назад
Hapo ndipo Mh Nape Moses Nnauye alipopata umaarufu mkubwa na watanzania kumheshimu sana. Hakika yuko vzr.
@mkude
@mkude 2 года назад
Nineirudia speech yako baada ya kupewa uwaziri tena nimejufunza mengi sanaa katika hii dunia,subra na uvumilivu.nape umekomaa sanaa kisiasa nakukubaki sanaa my brother.
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 года назад
The rise of Nape Nnauye 2022 daah haya maisha yanamambo sana
@hamisiseiph2233
@hamisiseiph2233 7 лет назад
Weeee NAPE ndoo kiongoziii wa kuigwaaa nime kuaaa insipired sanaaa u a hero
@kareenamuraty5845
@kareenamuraty5845 7 лет назад
kaka nape upo sahihi n.a. ulikuwa makini katika wizara yako .mungu akulinde n.a. akuongoze ktk maisha yako.makonda ni first lady watu wanajifanya hawaelewi tu.
@mbachaliletv6548
@mbachaliletv6548 7 лет назад
asante milard kwa taarifa
@gorethngendelo1195
@gorethngendelo1195 7 лет назад
For really,;We have no thing to fear ,except fear itself. Thanks Nauye.
@nahayanchimbi8753
@nahayanchimbi8753 7 лет назад
nimeipenda speech yako, japo ni mapema sana ulifanya ili zoezi la kuongea na vyombo vya habari. huo ndio ukomavu wa kisiasa ndg yangu nenda jimboni kwako kawajibika ipasavyo hakika wataiyona kazi yako. Ongera kwa kukabiriana na hili jambo.
@geophreylukanga7148
@geophreylukanga7148 7 лет назад
Hii ndio Tanzania yetu ila sio Tanzania tulio izoea Mungu simama juu yetu Kwa Haya yote. Ameni
@Purity493
@Purity493 7 лет назад
geophrey lukanga Ameen Mungu aingilie kati
@saidyahaya7700
@saidyahaya7700 5 лет назад
Makaba
@ramadhanimam6323
@ramadhanimam6323 5 лет назад
geophrey lukanga
@masongaofficial
@masongaofficial 4 года назад
@ ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-zuPzr5WXG5A.html
@rajabkisebengo9406
@rajabkisebengo9406 4 года назад
Alafu mijitu inajitokeza et haki Amani na uhuru vipo vyote Tanzania sasaivi anaunga mkono hoja
@nkirwaurassa3390
@nkirwaurassa3390 7 лет назад
Mungu tusaidie pasipo wewe Bwana sisi wanadamu hakuna tunachokiweza zaidi ya kuwezeshwa na wewe.Ibariki nchi yangu ya Tanzania iwe na umoja kusiwe na chuki na Watanzania tupendane kama ulivyotupa amri iliyo kuu kupendana.Nawaombea viongozi wa nchi yangu wapendane ili watuongoze katika misingi ya UPENDO na AMANI pamoja na KWELI ambayo ni Neno lako.Ameni.
@avizpaul3086
@avizpaul3086 4 года назад
i wached this september 2020
@khayratsaid4364
@khayratsaid4364 7 лет назад
ety rais wawanyonge looh hasbiya allah waniimal wakil
@simonfundi5472
@simonfundi5472 7 лет назад
khayrat said rais wawahuni
@ebrimajaithe6192
@ebrimajaithe6192 7 лет назад
Simon Fundde
@idrissapetro6515
@idrissapetro6515 5 лет назад
Usimtaje mungu kwenye ujinga wenu
@masongaofficial
@masongaofficial 4 года назад
@ ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-zuPzr5WXG5A.html
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 4 года назад
@@masongaofficial huyo.magu ni frauni tuu hàjielew
@neemajuman5213
@neemajuman5213 4 года назад
Asante kumbe raisi alipigiwa debe sio chaguo la Mungu
@sifahaahjamanikamamungumtu8919
Machozi Yemenitoka hakika
@elicksisime4905
@elicksisime4905 5 лет назад
Nape hongera tutakatie.bahna kwa kauri zenu mmezozana ccm. Nape mpekampan tundulisu bahna
@mashambomkwizu6588
@mashambomkwizu6588 4 года назад
Mungu sio kigeugeu kama mnavyofikiria, kuna maisha baada........
@officialraydizzy5147
@officialraydizzy5147 4 года назад
Ndio kaka uko vizuri
@kallandoking6561
@kallandoking6561 4 года назад
Mmmmmhhh!!! Inamaana huyu kahamia CHADEMA AU??? MAANA CHADDEMA NDIO WANATETEA WANDISHI WA HABARI!! HONGERA SANA NAPE MM NI CHADEMA ILA NAKUSIFU KWA HILO
@selinaantony4568
@selinaantony4568 7 лет назад
duuh..ama kweli...mungu ibariki Tanzania...
@chachanyawaya9810
@chachanyawaya9810 4 года назад
Wangemfyeka, angeenda cdm. Ila kwa kuwa aliachwa yuko kwenye kapu hilohilo.
@mrkingfish3592
@mrkingfish3592 2 года назад
Noma Sana.Muda
@angellamwanri8414
@angellamwanri8414 7 лет назад
Tunakupenda nape
@godfreymwita1808
@godfreymwita1808 7 лет назад
ur the true legendary
@Ax-xpress
@Ax-xpress 5 лет назад
Si Bora wewe walikuonyesha Bastola..Lissu walimmiminia risasi kabisa Ila uyu Mungu akamtetea na kumrudishia maisha ili wabaya wajionee aibu
@Kanyawela
@Kanyawela 2 года назад
Kwa mwaka mmoja tu Bunge lilizimwa aise
@salamaomary5597
@salamaomary5597 7 лет назад
masikini, Allah akufanyie wepesi kwenye kila jambo nape
@josephkisaro1377
@josephkisaro1377 2 года назад
Mungu ashafanya wepesi, hatimaye leo ni waziri wa habari tena...
@Purity493
@Purity493 7 лет назад
Mungu yupamoja nawe, kila alie kuendea kinyume Mungu atalipa
@hassanyussuph4407
@hassanyussuph4407 4 года назад
Wanasiasa hovyo kabisa leo watu wanafanyiwa vitendo vya hovyo mbona uko kimya?njaa mbaya sanaa
@f.a6043
@f.a6043 2 года назад
😆😆😆 watu wachonganishi eti ww ndio mwenyewe inchiii🤣🤣🤣 nasikia eti ww nishujaa siasa ni maji taka kweli 😃😃🤣🤣
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 7 лет назад
Mimi ningekuwa mwakiyembe kwa maneno haya ya Nape nakataa hiyo nafasi kosa la Nape liko wapi hiii haijakaa poa kwa ccm
@brucechonjo3417
@brucechonjo3417 7 лет назад
Joel Joel kesoy awezi kataa hyo nafasi cz n mlaku Wa mdaraka
@KASOLEKA
@KASOLEKA 7 лет назад
Joel, Mwakyembe wa kukataa madara, ngumu sana. Mwakyembe ni msomi asiyekuwa mzalendo. Kama wiki zilizopita tu ametoa kauli tata na raisi akakanusha kesho yake halafu hakujiuzuru wala kushituka, sishangai haya kutokea.
@kareenamuraty5845
@kareenamuraty5845 7 лет назад
Alexander Msuha ni kweli mkaka unaongea neno la maana Dana mwakyembe ana uchu wa madaraka
@tusamwakibole3994
@tusamwakibole3994 7 лет назад
uyo mwakyembe awezi kukataa madara anapenda Sana uongozi,na huko sijui km ataweza lkn kwakua tunaenda kibabe tutaenda tuu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
Joel Joel kesoy hyo mzee alijichanganya kama unga wa ngano anapinga kila kitu c madawa c nn umesahau alisema atajiuzulu kama soma gazet bro
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 2 года назад
Maji na mafuta ujitenga na Mungu siku zote yupo I wish I can meet you nikupe mkono tu.. Ur real strongly Men Mungu aku bariki sana unaongea kwa uchungu mpaka nalia na kuombea sana baba
@rommelmauma8081
@rommelmauma8081 2 года назад
Wataalamu wa mambo ya mimea tufundisheni. Je, ni kweli kuwa ili mbegu iote, sharti ife kwanza? Mimi siamini usemi huo, ambao unatumiwa sana na wanasiasa wengi wa Tanzania, kwa mifano, Nape katika "clip" na Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA, katika hotuba zake nyingi alielezea hisia zake wakati wa misukosuko na Jeshi la Polisi Kama kiumbe hai, mbegu ya mmea iliyokufa kamwe haiwezi kuota! Mbegu ya mmea ina "necessary information" za kuiwezesha kuota. Na ikikutana na "sufficient information" za unyevu na/au udongo, "necessary information" ina"trigger osmotic reaction" kuanza kutoa mzizi/mizizi na kishina kuvutwa na "photosynthetic reactions" kuelelea angani.
@mashambomkwizu6588
@mashambomkwizu6588 4 года назад
Big up sana
@abdallahshekibula3939
@abdallahshekibula3939 3 года назад
Magufuli mungu akuweke panapo stahili
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 года назад
Huyu Bwana simpendi kabisa,hasa alipozuia Bwawa la Nyerere
@emmanuelntogwisangu871
@emmanuelntogwisangu871 7 лет назад
Mmmh!!! Mauzauza bado yanaendelea.....
@neemajginene7524
@neemajginene7524 2 года назад
Kazi ipo
@upeohuru9971
@upeohuru9971 7 лет назад
"Wafadhilaka pundaka"...kaka umeshajionea mwenyewe sababu za 'kelele' za akina Tundu Lissu.Haya kaawambie na wenzio kwamba iwe mwiko kutumia uwingi wenu mjengoni kupitisha maazimio yanayotugharimu sote kwani hata nanyi hamko salama
@alialle6441
@alialle6441 7 лет назад
Upeo Huru Mtanzania mwenzangu umeongea point
@okoamsite4857
@okoamsite4857 7 лет назад
Upeo Huru real bro!
@stewartmillanzi7198
@stewartmillanzi7198 7 лет назад
That's the right man to work with. Big up bro..!!
@amirikhatibu1989
@amirikhatibu1989 5 лет назад
Upeo Huru
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 7 месяцев назад
Nape Mungu akulaani maana Wewe ndie ulioutia mpira kwapati Mungu hafichi mnafiki Wizi Ufisadi Uwauji tu hamna lolote labda uongo ufisadi wizi dhuluma mauwaji ndio Sera zenu
@onesmoakwilini7197
@onesmoakwilini7197 2 года назад
Mungu mtu wao hayupo tena, Mning'inize baba
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 года назад
Mungu amemuadhibu aliyotoa bunduki.
@augustinebalthazar7351
@augustinebalthazar7351 7 лет назад
pole sana mweshimiwa nape kwa Yale yaliyokukuta wanasema Tanzania ya aman dah ndo hv ama kweli Mungu komboa taifa letu.
@zuweinaalhabsy8046
@zuweinaalhabsy8046 7 лет назад
kwa kweli Tanzania mnatia imani sana maskini nape imani yako ya kutetea wanyonge ndio imekuponza bado wanataka kukuuwa Tanzania mnaenda pabaya sana sana. ila usijali muheshimiwa kila kitu ni heri kwako.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 лет назад
Zuweina Alhabsy yaan 😔😊
@oscarrobben5613
@oscarrobben5613 7 лет назад
we love u nape
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 года назад
Nape 🙏🙏🙏🙏💯
@arrysterlyamchai4119
@arrysterlyamchai4119 8 месяцев назад
Hayo Hayooo. Walikukosa. Acha unafiki.
@msonzera
@msonzera 7 лет назад
duuu sjaelewa kilichotokea, na cjui knachofanyika juu ya nchi hii
@josephhaule6309
@josephhaule6309 7 лет назад
kweli tutaisoma mamba wote, nape matusi yote yale kwa ukawa leo duh! ccm.
@yohanaadamuyohanaadamu7914
@yohanaadamuyohanaadamu7914 4 года назад
Kweli kabisa sema tumechoka waambie
@Madangaclassicwear
@Madangaclassicwear Месяц назад
Yaaani nchi ni huru kwa watu wakubwa ila kwa wananchi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@laurentbabone7829
@laurentbabone7829 7 лет назад
jamani mulitucheka sana warundi ila naona munapo elekeya tuta wa karibisha soon kwasababu munapo elekeya
@amosgerald7763
@amosgerald7763 4 года назад
Aiseeee
@daudyusufu6666
@daudyusufu6666 4 года назад
Thanks
@mwantumuissa-y7t
@mwantumuissa-y7t 8 месяцев назад
Hao wandishi wambea😂😂😂
@hamismbotoni5531
@hamismbotoni5531 5 лет назад
Ukisoma comments za miaka miwili iliyopita na ukilinganisha na za sasa zinaonekana ziko tofaut kabisa mzani umehelemeea kwengine kabisa
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 2 месяца назад
Mpuuzi tu huyu kama wapuuzi wengine!!!!!😂😂😂
@Atupali24
@Atupali24 7 лет назад
Ndio Mahana wazungu wanatucheka kila siku kwa sababu ya upuuzi na ujinga kama huu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 3 года назад
Hahahaaaa yote uliyouliza hukujibiwa na ulifungwa mdomo na ujanja wako sasa hivi Magufuli kafariki unaanza kuuchonga tena😄
@gabansiyomazala
@gabansiyomazala Месяц назад
daaah kitenge mungu akusimamie kwa kumnusuru mtanzania mwenzio ila jasiri mtu anamanati ya kizungu unamsukuma duuuh
@michaelevarist5518
@michaelevarist5518 4 года назад
Hivii uyuu mtuu wamempotezeaa wapiii maana alikuwa anaelekea kutoboa sirii za wakubwa wanao itafuna nchii kimya kimya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@iddykubu8900
@iddykubu8900 2 года назад
Muache mama afanyekazi Msimuingirie tupotiari kujitoa kumtetea tunaomba aheshimiwe mama
@robsonebenedicto2210
@robsonebenedicto2210 7 лет назад
pole sana inauma but zid kuisaidia nchi ii
@alexngao9176
@alexngao9176 7 лет назад
ukweli utajitenga na huongo utajitenga
@azizijuma7520
@azizijuma7520 4 года назад
Leo unasahau ualiokutokea ukiwa waziri unasemanini sasa ktk kampeni hizi 2020.kumbuka ulidhalilishwa sana.utawakosea wanamtama nawatanzania wote ukimfagilia aliesababisha
@felixwillson3525
@felixwillson3525 2 года назад
🙏🙏
@biramsakh9212
@biramsakh9212 4 года назад
Duh hii nchi wee mitihani
@loner_wolf
@loner_wolf 2 года назад
Sasa Nape kwani yeye ni nani ? Hii nchi inawatu wa hovyo sana .
@marryluca9895
@marryluca9895 7 лет назад
mungu atakusaidia Nape cheo Co kila2 uzima wako unatosha mshukuru mungu kwa kila jambo
@sweetmama3242
@sweetmama3242 7 лет назад
Nape your very handsome. I love you. 💋💋💋
@hamidkololeki5009
@hamidkololeki5009 6 месяцев назад
😂😂😂
@hamidkololeki5009
@hamidkololeki5009 6 месяцев назад
Nikupe no zake
@simonfundi5472
@simonfundi5472 7 лет назад
Rais na alaaniwe
@Purity493
@Purity493 7 лет назад
Simon Fundi alaaniwe mfululizooo
@brucechonjo3417
@brucechonjo3417 7 лет назад
Simon Fundi kabisa alaaniwe huyu rais
@simonfundi5472
@simonfundi5472 7 лет назад
Bruce Chonjo Amina
@simonfundi5472
@simonfundi5472 7 лет назад
Purity Salama Amina
@salmamustapher8614
@salmamustapher8614 7 лет назад
Simon Fundi Aminaaaa
@hadijaalhajri2226
@hadijaalhajri2226 7 лет назад
mm siamini macho yangu ni Tanzania kweli au
@hassansaid5166
@hassansaid5166 4 года назад
Ndiyo yanayotokea sasa 2020 sumu inawaingia ccm sasa hivi
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 5 лет назад
Ulikiwa na kiburi kumbe sababu ulipigania kura ccm,siku hizi hapa kazi tu ulikichafua chama
@stephenmasunga373
@stephenmasunga373 2 года назад
Kama unalijua hilo, je! Huo unafiki leo umetoka wp
@kassimloav2402
@kassimloav2402 2 года назад
Namkumbuka mzee mozesi mnawiye hakuwa hivi huyu katumwa namzee mwinamila ilahuyu Mmh
@abeidcarrick2211
@abeidcarrick2211 7 лет назад
pole sana mh, nape lkn Leo ndio nazd kuamin kua zimwi likujualo halikul likakwisha,,,ingekua ishue imetokea upande Wa upnzan jaman magar 50 askar 100 mabom na risas vngetawala na watu wangekufa hii ndio tz yetu wasimamia haki hawatakiw
@florameza9529
@florameza9529 7 лет назад
na kweli umejitahidi sana kuiweka ccm madarakani nape mkamuzushia lowasa mara mkono unatetemeka leo yamekupata kumbe afadhali mngeacha aliyekuwa amechaguliwa na wananchi apite, makamba, mwigulu na wewe mlituudhi sana wewe ndo umependekeza 2021 waandishi wawe na degree sasa tunaisoma wote
@shariffmfinanga3541
@shariffmfinanga3541 7 лет назад
inaumaaaa ila kweli watanzania tuvipofu tungeliona ili toka mwanzo yote yasinge tokea
@judesammy9643
@judesammy9643 7 лет назад
Chadema tunakuitaji
@hdggu6792
@hdggu6792 2 года назад
Kwani kunanini jamaniii 😂😂 huko
@robertkomba8041
@robertkomba8041 7 лет назад
raisi wetu Fanya kazi yako,mungu akutetee
@godfreymwita1808
@godfreymwita1808 7 лет назад
Robert Komba ur such a dead and buried coward
@titusrobert5890
@titusrobert5890 7 месяцев назад
Lowassa, kafa. Mungu yupo
@nurayusuph3088
@nurayusuph3088 7 лет назад
Kosa nini mpaka kuvuliwa uwaziri na kutolewa bastola😌😌😌
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 2 месяца назад
Makonda ndio ana majibu
@hassanbakari5607
@hassanbakari5607 7 лет назад
inauma sana Tanzania tunaelekea wapi jaman
@thobiasmedald7497
@thobiasmedald7497 7 лет назад
wala hakuna shida hapo, anavuna alichopanda kwa bao la mkono
@manzilijuni1616
@manzilijuni1616 4 года назад
Mbegu inaota
@amriomarymtabazi5419
@amriomarymtabazi5419 2 года назад
Hivi Kamakweli Nape ccm uliitowashimoni,alokuwa anaipeleka shimoni alikuwanani?
@azizijuma7520
@azizijuma7520 4 года назад
Ulitoa maneno mazuri wakati huo leo unasemaje
@bhelekiabhelekia6031
@bhelekiabhelekia6031 4 года назад
Nape njoo Chadema Sera hizo ni za vichwa vya cdm
@EmmanuelMgaya-w3m
@EmmanuelMgaya-w3m 2 месяца назад
Sijaelewa ata kwanza wote na nyinyi wenye kamela wezi wakula za wananchi wa Tanzania
@ashuracharlesnzowa5120
@ashuracharlesnzowa5120 7 лет назад
dah mungu tusaidie tunaangamia
@molenicharles9107
@molenicharles9107 Месяц назад
Mnafi MKUBWA huyu ndiyo maana wamekumwaga tena
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 3 месяца назад
Umepigana wapi? Mkuki kwa nguruwe ni sehemu yake ila kwa binadamu....
@ElinamiMsuya-lu8uz
@ElinamiMsuya-lu8uz 21 день назад
Chadema wanasemaga hivyo hivyo. Inaumaee?
@muhidinihassani520
@muhidinihassani520 4 года назад
Kumbe ukipigania ccm ni heri ungekufa tu. Hakuna mwema ndani ya ccm(Chanzo cha matatizo )
@mashakadeya5347
@mashakadeya5347 7 лет назад
duh Nape ushaona ukweli wa na unyumbu wa watu wako
@simonisrael4746
@simonisrael4746 5 лет назад
Wana Ccm tuwe na umoja ,mshikamano,na tuwe na uzalendo Wa katika nchi yetu
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 7 лет назад
ALL THE BEST MY NAPE NAUYE, TUPO NYUMA YAKO, KWANINI UYO MSUKUMA AMEPEWA NCHI MJINGA UYOO MAGHUFULI ANAMPENDA SANA MAKONDA SABABU NI WAPENZI.
@johnmaiko2295
@johnmaiko2295 7 лет назад
naona yupo sahihi mh.
@clinton6688
@clinton6688 7 лет назад
Wen yu think yua in control of everything. may peace be upon us
@mashambomkwizu6588
@mashambomkwizu6588 4 года назад
Naye una hekima sana
@Modo-q5s
@Modo-q5s 2 месяца назад
Na bado mtasema
Далее
Слушали бы такое на повторе?
01:00
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
Просмотров 799 тыс.
DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA
5:44