Тёмный

FUMANIZI KIMARA | Shemeji Anasa Kwenye Mtego PART 1 

KIREDIO
Подписаться 153 тыс.
Просмотров 343 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

13 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 708   
@tifabebeebebeetifa531
@tifabebeebebeetifa531 Месяц назад
Kiredio nakutafuta namm nahis mumewangu ana mwanamke mwingine nasio kuhis nina uhakika kabisaa
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 месяца назад
Yani mapenzi ya sikuizi ukipata mtu anae kupenda na ni muaminifu mshikilie sana na kama sio ivyo ukipata nafasi ya kuwa single usiichezee wallah khaaaa 😂😂😂😂🙌🏻
@user-tj6mt1qo3h
@user-tj6mt1qo3h 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@berthasamuel4507
@berthasamuel4507 2 месяца назад
Ukimpata tu anarogwa na yeye.
@MaryNgeni
@MaryNgeni 2 месяца назад
😂😂
@user-mq1kw3dk4u
@user-mq1kw3dk4u Месяц назад
Utajuaje kama ni mwaminifu hiyo ndio changamoto 😭
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 14 часов назад
Kiredio nakukubali kazi yako nzuri siku moja nitakutafutaaa
@emmanuelluela9632
@emmanuelluela9632 2 месяца назад
Napenda unavyoumbua mapenz fake big up sana mwanangu kiredio/ kaseti😅
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 2 месяца назад
Sanaa kiredio ndo dawa ya waongo wa mapenzi ila nayeye asimzungue yule mpz wake tu ajitahidi kuwa good role model wa uaminifu
@user-ho8lh9ke2d
@user-ho8lh9ke2d 2 месяца назад
Et kikaset 😂😂😂😂
@Fred-fq2bh
@Fred-fq2bh Месяц назад
HahahqHahaha
@DriphighSchool-ke7hx
@DriphighSchool-ke7hx 16 дней назад
😂
@pendoseleman9069
@pendoseleman9069 Месяц назад
wanaume nyokoooo kabisa zaidi ya mbwaaaa😏😏😏
@rajabumshote805
@rajabumshote805 2 месяца назад
Sikuwahi kuona prank kali kama hii bongo mzee umeuwa sana ipo na true story kaka hii hata view milion itafika kazi nzuri na bora nilizowah kiziona achia part two mtaalamu kiredio
@mahahamisi711
@mahahamisi711 2 месяца назад
Kiredio 🙌 daaah ila sisi wanaume aa noma sana uyo dada anaumia sana nivile anajikaza tu pole yake
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 22 дня назад
Nimewapenda sana Nyinyi wa Kaka yani Mnafanya kama Kenya hapo safi sana
@mkundemosha1046
@mkundemosha1046 2 месяца назад
Huyo mwanamme mwenywe km kibaka . Na anaonekNa hana mbele wala nyuma mdada mzuri mwanamme sio material
@user-ij6jm3eh2t
@user-ij6jm3eh2t Месяц назад
Exactly 🥱🙌
@ThomasBenedicto
@ThomasBenedicto 14 дней назад
😂😂😂😂 nyokooo nyie
@naahmuro1710
@naahmuro1710 13 дней назад
Nimeipenda hiyo😅😅
@ZuhuraMoshi-co2wc
@ZuhuraMoshi-co2wc 2 месяца назад
Manaume mwenyewe ndio huyoo balobalo Utegemee kickucht😂😂😂
@RutyNatalia-uu5uj
@RutyNatalia-uu5uj 2 месяца назад
Mwanaume mwenyw ndo huyo 😂😂yani ata kiredio handsome afu demu mkali
@briannahseda8707
@briannahseda8707 2 месяца назад
Yaan nimemuona huyo mwanaume nimecheka balaa khaa😂😂
@Laughter_man
@Laughter_man 2 месяца назад
​@@briannahseda8707 Ubaya PESA anazo
@Neychuchu-tz
@Neychuchu-tz 2 месяца назад
😂😂nimelia sana
@IamDr.AliceAnthony.
@IamDr.AliceAnthony. 2 месяца назад
Kumbe uyo ndo kaka mwenyewe 😂😂😂...bora tu kamfumania😂😂😂
@sakuusaku6809
@sakuusaku6809 2 месяца назад
Nishamaliza kuangalia part 1 dondosha part 2
@DeogratiasJaji
@DeogratiasJaji 2 месяца назад
Dah yan kiredio na Mr UK Mungu anawaona na mm bas mnifanyie challenge
@mahmoudabdulrahmani2923
@mahmoudabdulrahmani2923 Месяц назад
DAH..Mwanasimba yuko na confidence nzuri sanaa I like dat💯
@alfredmutongole7818
@alfredmutongole7818 12 дней назад
Hii act jitaidin vtu viwe real sema ni good content
@user-dh1ki7fg6x
@user-dh1ki7fg6x 2 месяца назад
Wambea wenzangu kutoka tiktok hallooooo😂😂😂
@ceciliaalbert9024
@ceciliaalbert9024 2 месяца назад
😂😂😂😂
@LatiffahHassan
@LatiffahHassan 2 месяца назад
😂😂😂
@zeilamagelanga3972
@zeilamagelanga3972 2 месяца назад
Halooi😂😂
@kwambokmillicent2836
@kwambokmillicent2836 2 месяца назад
😅😅😅
@IreneGodfrey-uq2jj
@IreneGodfrey-uq2jj Месяц назад
😅😅😅
@JoyceKigunga-sp1dq
@JoyceKigunga-sp1dq 2 месяца назад
Hii ni nzuri sana fanyeni serious hii like loyality test kwa wakenya mtasaidia wengi, but u nailed it damn!!
@RosemaryMasha
@RosemaryMasha 12 дней назад
Kina Rose tujikusanyee hapaaa na mashemejiiii🤣🤣🤣🔥🔥🔥
@omanbarka1588
@omanbarka1588 22 дня назад
Mashabiki wa Simba ni qwarite Sana wavumiivu ndomana Wana tuzo ya ubora wao wanaitwa mashabiki bora
@OnesphoryAgnes
@OnesphoryAgnes 2 месяца назад
Jamni party 2 iko wap....vty on 🔥🔥 fire
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 2 месяца назад
yah my man yupo loyal😀 kubababakeee kizazi hiki cha nyoka wachache sanaaaaaaa
@MariaThomas-wm9iq
@MariaThomas-wm9iq 2 месяца назад
Vile nmerudsha nyuma mara 3 tatu kumuangalia huyo mume nmelia😅😅
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 2 месяца назад
Kuwa serious kiredio, na kazi yako watu waamini kazi yako.
@Mwaminiomar
@Mwaminiomar 2 месяца назад
Waaaah ni🔥🔥🔥🔥tusubiri part 2
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 2 месяца назад
Kidada kipole sana ila kinaumia..hii challenge siyo nzuri mtakuja kuachanisha watu bana 😢
@GloryKishay
@GloryKishay 2 месяца назад
Kiredio baba part 2 jaman uwiiiiii uyo dada kwanz namjua nmesoma nae anaitw khadija shambe (xoxo)
@kokusimabayona4179
@kokusimabayona4179 2 месяца назад
Yes ni yeye
@AishamejaAisha
@AishamejaAisha 2 месяца назад
Sio vizuri mnaharibu mapenzi ya watu wanaume wachache wenye msimamo msifanye ivo
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b 2 месяца назад
Sana yaan sio vzr
@user-jf7vx9nb9m
@user-jf7vx9nb9m 2 месяца назад
Kiredio mjinga sana..et anamcheka huyu dada mwenye bwana
@lovenessmagige6517
@lovenessmagige6517 2 месяца назад
Jamani huyo dada ni mzuri sana,,hawaendani na huyo mwanaume
@AisaaMurro
@AisaaMurro 2 месяца назад
Yan na nimesomq nae n mzir sanaa cjh kimempqta nn ila ciunajua sisi wanawake tukipenda tumependa
@lovenessmagige6517
@lovenessmagige6517 2 месяца назад
@@AisaaMurro kweli dia hako.ka mwanauje kanaonekana ktoto hakamfai,,,atulie tu apate mtu anayejielewa
@hasanimohamedi279
@hasanimohamedi279 2 месяца назад
mungu mwanaume mwenyw ndo huyo
@mr.africanatural-super_sta1130
@mr.africanatural-super_sta1130 2 месяца назад
Daaah....!! Yani wanaume tuna Tamaa sana maana huyo binti aliyevaa jezi ni mzuri sana,Alafu huyo mwenye jezi pia kashaanza kupaniki anajiamini kwa hofu
@JulianaNicholasi
@JulianaNicholasi 2 месяца назад
Jamn movie nzuri kweli leteni part2
@JohnsJoel
@JohnsJoel 2 месяца назад
😂😂😂😂
@HassanThegoat-iw8ru
@HassanThegoat-iw8ru 2 месяца назад
😂😂😂😂
@SarahShalua-ij8qg
@SarahShalua-ij8qg 2 месяца назад
Nyie mnawivu sana hampendi mahusiano ya wezenu shenzi
@SalmaMarselino
@SalmaMarselino 2 месяца назад
Kwa mahusiano gani yakudanganyana acha waaumbuliwe 😏😏
@hamzaamry6251
@hamzaamry6251 2 месяца назад
Mwanaume mwaminifu ni mimi pekee💪
@user-el5lx5ot4m
@user-el5lx5ot4m 2 месяца назад
Mwana kazingua ana mwanamke mzuri hvyo daaah. Sema jau
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 2 месяца назад
KAZI NGUA KWELI MWANANGU ALAFU DEMU WAKE TOKA SAFARI INA ANZA ALIKUWA ANA UMIA SEMA ALIKUWA ANAJIKAZA JAMAA KAZI NGUA SANA
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 16 дней назад
Baadhi ya wanaume wengi sana sio waa minifu kabisa hata u ngefanya nini kwao hawana shukrani
@zuenakhassim
@zuenakhassim 2 месяца назад
😂😂😂 naogopa mm utafikiri mm ndo mwenye bwana
@IssaIddi-vb9yi
@IssaIddi-vb9yi 2 месяца назад
Mngetafuta gari yenu ata kwa ajili ya kazi zenu
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 2 месяца назад
Kwan wanalipwa au umbea tu unaqasumbua😂😂😂
@asilahassan9965
@asilahassan9965 2 месяца назад
Comment zenu ndo zinawalipa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 месяца назад
Itisha arembee tuchange
@user-bi5no5jc1q
@user-bi5no5jc1q 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@SaidKideghesho
@SaidKideghesho 2 месяца назад
Hamna mtu anaeza tengeneza content kama hii Tz nzima kiredio hongera sana tulikua tunatizama movie za action asaivi ni live bila chenga
@jeraldmzuri9856
@jeraldmzuri9856 2 месяца назад
Bwana eee weka part 2 msela wangu maana mi nacheka heka heka za chaka tu chaka mwamba alifuata nini usiku huo kama sio kichupa kujaaa mchuzi wa pweza 😂😂😂😂😂 nataka niangalie mateke ma magumi puuuuu😅😅😅😅😅
@DeusMagere
@DeusMagere 2 месяца назад
Kiredio mungu akuweke kwajili yetu kaka
@alphoncelaurent9454
@alphoncelaurent9454 2 месяца назад
Dah ila kiredio hadii mtoto wa watu amelia😂😂💯🙌
@jacklinejackson9600
@jacklinejackson9600 2 месяца назад
😂😂😂😂😂kwanza nimecheka mpenzi ndo huyo barobaro wadada tuna huruma nyieeee😅
@mariamdavidito318
@mariamdavidito318 2 месяца назад
mi mwenyewe nimeshangaa asee
@elinapetro7136
@elinapetro7136 2 месяца назад
Nyienae mmefika kwenye nyumba ya mtu mnaanza kuchunguza😂😂😂😂😂
@sitiabdul-pf1pd
@sitiabdul-pf1pd 2 месяца назад
Tuma part2 Pole sana bint
@AwaziRajab
@AwaziRajab 2 месяца назад
Ayo Mambo Ya Kenya Mnaleta Bongo Mtakuja Kuumia Nyinyi Akuna Mtu Mwenye Uwezo Wa Kutimiza Vitu Vyote Kwa Binadamu Mwenzie Kamwe Akiwa Na Pesa Nguvu Za Kiume Zilo Ukiwa Na Nguvu Za Kiume Matumizi Zilo
@EmmyVictor-lm1oi
@EmmyVictor-lm1oi 2 месяца назад
😂😂 wanaume....Bora wangu
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 месяца назад
Mm nmecheka ety mashabik wa makolo n wavumilivu wabish mpaka hapa!
@m30ssamsung25
@m30ssamsung25 2 месяца назад
Kiredio Mimi nataka hiyo challenge nifanyie boy Wangu
@SalmaMarselino
@SalmaMarselino 2 месяца назад
Mr uky nakupenda jaman 😊😊
@user-ck7fi3bh3i
@user-ck7fi3bh3i 2 месяца назад
Asee kiredio kwann hujajiita kiredio mbao kwa umbea🤣🤣🤣🤣🤣
@reshaJackline
@reshaJackline 2 месяца назад
Ila wanaume mbwa sana jmn kidada cha waty kirembo kweli
@AwaziRajab
@AwaziRajab 2 месяца назад
Tatizo Wanawake Wengine Inje Kwa Watu Upendo Lakini Chumbani Sasa Tendo Unapewa Kwa Bajeti Mpaka Atake Yeye Unalala Msumali Juu Sasa Utaacha Kuchepuka Apo
@user-wh6bs7cm5p
@user-wh6bs7cm5p Месяц назад
Kama unataka mapenzi nenda tanga
@Joharibashir.193
@Joharibashir.193 2 месяца назад
Ayseee mahusiano yasiku hizi hapana kwakweli 😢 Ukipata nafasi yakuwa single usiicezee🥹💔
@veronicahlusekelo5205
@veronicahlusekelo5205 2 месяца назад
Nmekuelewa sana 🙏
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 2 месяца назад
Umeona eeee😅😅😅
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 месяца назад
😳
@wemaluhende4080
@wemaluhende4080 2 месяца назад
Daaaaaahhhh Yan
@wemaluhende4080
@wemaluhende4080 2 месяца назад
Et mpenz wenu😂
@EsthersDalvest
@EsthersDalvest 2 месяца назад
❤❤❤ Napenda sana
@shakiramohamed8824
@shakiramohamed8824 2 месяца назад
Jamani wana ume mungu ana waona 😢😢😢😢😢
@MaganizoPhiri-oq5xh
@MaganizoPhiri-oq5xh 2 месяца назад
Part 2 please
@ChuxDaniel
@ChuxDaniel 2 месяца назад
kaka moto unauwasha kinoma
@magrethjacob1191
@magrethjacob1191 2 месяца назад
😂daah! najivutia taswira mie cku ikatokea kwangu😂😂
@Gods_favourite7
@Gods_favourite7 2 месяца назад
Mashabiki wa simba ni wavumilivu kila sehemu kwa kweli😅😆
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 2 месяца назад
😆😆😆
@RichardCharles-fr3mb
@RichardCharles-fr3mb 2 месяца назад
Hahah kula chumaa ichooo
@VeroShirima-lc4uf
@VeroShirima-lc4uf 2 месяца назад
Nakupenda kiredio
@MarthaEliya-yq7zu
@MarthaEliya-yq7zu 5 дней назад
Pole sana dada
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 месяца назад
After wadada muwe mnakataa mitego kama hyo mana kama mnavyojua sis wanaume n wapenda totoz nzur! Ko watakuwa wanawagombanisha na mashoga zenu!!
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 2 месяца назад
Hata mkiwa nao ao wazuri amutosheki waweza kuwa nae mzuri ukenda tafuta goti lakini mi siwalaumu ndivyo mlivyo umbwa na tamaa ya wanawake ndio mkaambiwa muowe wa 4
@ombeninnko1800
@ombeninnko1800 2 месяца назад
Mbona uyo uyo mzr? Kuna wanaume tumetulia na tumerdhka
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 2 месяца назад
@@ombeninnko1800mtakuwa machoko
@emantz3623
@emantz3623 2 месяца назад
Kwani unashindwa kukataa!? Na wakati unajua kabisa ni best ya mpenz wako?
@AyeshaAyesha-xr8fc
@AyeshaAyesha-xr8fc 2 месяца назад
Fanya utume part2
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 месяца назад
Daaah mapenz nyoko 🇶🇦
@Martha871
@Martha871 2 месяца назад
Kaka kiredio please part 2 jamaniii
@user-xz8xu6ky2l
@user-xz8xu6ky2l Месяц назад
Daah hiii sio powaah
@diva_20162
@diva_20162 2 месяца назад
Wanaume 😂😂😂 sawa bn
@BABUNASHIMBI
@BABUNASHIMBI 2 месяца назад
IME Andaliwa vizuri
@yunusabeid74
@yunusabeid74 2 месяца назад
Dem mkali sana mrefu kama Twiger
@racheljob6601
@racheljob6601 2 месяца назад
Mwanaume mwenyew ndo uyo au kuna mwingine 😂😂😂
@Ryndavie
@Ryndavie 2 месяца назад
Hako kajianaume chenyewe sasa 😢😂😂😂😂😂🙌
@ZawadianaMwangosi-is2jm
@ZawadianaMwangosi-is2jm 2 месяца назад
Nazikubali kazi zenu mnafanya poa sana
@miriamsimon2339
@miriamsimon2339 2 месяца назад
Oyaaaaaa noma
@jeremiahmwaura9804
@jeremiahmwaura9804 2 месяца назад
Basi mimi nataka mke wake mzuri kweli😊
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 2 месяца назад
Mbn yup vzr hat mm naweza kumula😂😂😂😂😂
@lovenessemmanuel4530
@lovenessemmanuel4530 2 месяца назад
Jaman mwendelezo plz
@jordanjonas8009
@jordanjonas8009 2 месяца назад
Mhhh mwendelezo jaman 😂
@MariaThomas-wm9iq
@MariaThomas-wm9iq 2 месяца назад
Shemej malaya 😅😅cjapenda
@masharama1485
@masharama1485 2 месяца назад
Jamni yajayo yafurahisha muendelezo jamni
@VeroShirima-lc4uf
@VeroShirima-lc4uf 2 месяца назад
Wewe kaka mungu anakuona
@MwizaRuvams
@MwizaRuvams 2 месяца назад
The way Kiredio laughs at the ladys😂 😭💔💔💔💔
@comfort-rjtv3291
@comfort-rjtv3291 2 месяца назад
Nimecheka sana asee
@SamyahAhmed
@SamyahAhmed 2 месяца назад
Mwendelezo
@elisantemlay754
@elisantemlay754 Месяц назад
Sio kweli, wametengeneza story
@AthumaniAbdillah-jz1pb
@AthumaniAbdillah-jz1pb 2 месяца назад
Da dada mwenye mume ameboeka kweli yani
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 2 месяца назад
Mwanaume mwenyewe barobaro
@user-ul9kp8zq1k
@user-ul9kp8zq1k 2 месяца назад
Aiseee dada badilisha mwanaume huyo ndio mwanaume uliekua unamsema au kuna mwingine😮😮
@user-vy9pz7sk4z
@user-vy9pz7sk4z 2 месяца назад
Nimempenda uyo alie singo nimuoe kabisa
@CadeauZihindula-mh1ro
@CadeauZihindula-mh1ro 2 месяца назад
Deuxième partie 2🙏🙏🙏
@user-vg4ct6te9w
@user-vg4ct6te9w Месяц назад
Wanaume😂😂😂 eeeeh mapanga shaa
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 2 месяца назад
Mwanaume mwenyewe mbona wa hovyo sana 😂😂😂😂
@7Ammy69
@7Ammy69 2 месяца назад
Shemej mwenyew sasa 😂😂
@user-bb4hy7xq9y
@user-bb4hy7xq9y 2 месяца назад
Wakwanza nipeni like zangu
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 2 месяца назад
😅 Unanywea chai??
@ABDALLAHDullyman
@ABDALLAHDullyman 2 месяца назад
Bro tupe muwendelozo nata nishudie tukiyo ❤❤❤❤😂
@youngrichforever_hq6302
@youngrichforever_hq6302 2 месяца назад
eniwei 😅​@@victoriarichard8761
@LukasPaskali-cw4fm
@LukasPaskali-cw4fm 2 месяца назад
C ujitengenezee content yako upate like zako unataka like kweny post za watu
@KalorinaKalorinaAudax
@KalorinaKalorinaAudax 2 месяца назад
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@felicianboss6953
@felicianboss6953 2 месяца назад
Huyo mdada mwembamb mrembo sanah°°
@barakaswai6855
@barakaswai6855 2 месяца назад
Si ndo hapo mwanangu, manzi mkali
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 месяца назад
Nikwel ila. Wnaume nishida
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 2 месяца назад
Mwembamba yupi sasa mana wote wembamba 😮
@hasanimohamedi279
@hasanimohamedi279 2 месяца назад
mwembambaa ni yupi sas😂😂😂 na mnene ni yupi
@Ahmad-yo9pk
@Ahmad-yo9pk 2 месяца назад
WALA bonge cjamuona apo wote wembamba
@swabrahmaga4246
@swabrahmaga4246 2 месяца назад
Mie mapenz staki tenaaa
@pascalselemani8132
@pascalselemani8132 17 дней назад
❤kali hapo
@user-jr7jd6ye4x
@user-jr7jd6ye4x 2 месяца назад
Assee kiredio unzingua malizia si umbea utatuuua jmni tumejipanga tukawek bando tumalizie af hamn aaaaah brooo maliziaaaaaa
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 месяца назад
Mi napenda haya mambo😄😄😄
@DenisMsuya
@DenisMsuya 2 месяца назад
Hahaaa
@FranceMsumba-lg2oc
@FranceMsumba-lg2oc 2 месяца назад
Usilie bwanaa😂😂
Далее
FUMANIZI KIMARA part II
8:53
Просмотров 322 тыс.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
Просмотров 150 тыс.
Иран и Израиль. Вот и всё
19:43
Просмотров 1,5 млн
SHEMEJI KAFUNGUKA UKWELI WOTE
9:07
Просмотров 60 тыс.
AMZAWADIA BFF WAKE GARI AINA YA HARRIER
8:01
Просмотров 42 тыс.
😳😳KAMPENDA MWANAUME MWENZAKE.
1:55
Просмотров 363
AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT
6:29
MKE NA MCHEPUKO WA KUTANA Part 2
9:56
Просмотров 257 тыс.
Вы так любезны
0:16
Просмотров 3,8 млн
ПИРАТСКИЙ ЗАЖИМ ФРЕГАТАМИ
0:51