Jamani leo naomba niwaonyeshe Gari nyumba (Bed sitter) yani Gari lina Kitanda, Jiko, Bafu, Choo, na Sebule. Yani ni Balaaaaa..... Pia nimekupeleka utakapoliweka ukisha linunuwa. Kazi kwako!
@@hapanilipo nimekuwa mmoja kati ya wengi ninae fatilia sana clip zako ukweli unanimotive sana jamaa tunashukuru watanzania pia tumeanza kujua mambo mbali mbali ambayo tulikuwa atuyajui mungu akulinde sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷