Hii timu kuja kuwa seriius sijuwi lini asee hadi naogopa. Huyu si ndo alikua analia na kushindia pombe mwezi mzima kisa matokeo ya timu ambayo imefika hadi robo fainali. Sasa subiri ligi ianze sijuwi watabadirikaje asee😂😂😂😂😂😂
Napenda sana confidence ya team zote mbili naona msimu ujao ukiwa msimu bora sana. Wachezaji wazee ni Chama na Dube sajili zengine zilizobaki ni U25 rekebisha kauli yako ndugu. Kwa Dube bado akina Musonda na Mzize wapo.
Acha uongo Dube ni msumali wa moto kwa simba keshawafunga katika mechi zote 4 mlizokutana na Azam. kibu kawafunga Yanga mara 2. Halafu kuna Aziz Ki ambaye anajipigiaga tu simba tangu akiwa Asec😂
we ndio kuku kweli hujui kitu hujui hichi kikosi kinagharama kubwa kuliko timu yeyote tanzania. mchezaji wa umri chini 25 anagharama kubwa sio chini ya $300 350 unafikiria ni mchezo