Тёмный

#live 

BENTV MEDIA
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 24 дня назад
Nakukubali sana kwa kweli upo vzr mno.
@saidyussuf-my8ew
@saidyussuf-my8ew 24 дня назад
Upo sawa. Kaka
@SospeterSabaya-j1e
@SospeterSabaya-j1e 24 дня назад
Uko vizuri kaka
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 24 дня назад
Mungu akubarik
@robertphilip385
@robertphilip385 24 дня назад
Kweli Feisal kafuata pesa Azam lkn Dube kafuata mafanikoo na hela ndefuuuuu huko mbeleni
@DiwaanOnline
@DiwaanOnline 24 дня назад
Huyu jamaa ananifurahishaga sana anachambua hadi anakasirika.😂😂😂😂
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 21 день назад
😂😂😂😂😂😂
@osumsafi2095
@osumsafi2095 24 дня назад
Wew jamaa unajua sana kuchambua utafka mbali sana Inshallah
@candidamuhanika8328
@candidamuhanika8328 24 дня назад
Kwani Ronaldo na Messi wana umri gani? Mbona bado wanacheza tena vizuri sana. Wacha Chama awaumbue watu 🎉🎉🎉
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 24 дня назад
Duu kwa mara ya kwanza mchambuzi kawambia simba ukweli
@Tchidymbanga
@Tchidymbanga 24 дня назад
True! Yanga wakicheza na timu yeyote itaonekana mbovu😂😂😂
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 24 дня назад
Nkubali zuberi
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 24 дня назад
Kaka uko vizuri
@FranceJuma-i7y
@FranceJuma-i7y 23 дня назад
karibun kusikiliza nyimbo yangu ya injr namungu awabariki
@FranceJuma-i7y
@FranceJuma-i7y 23 дня назад
Napatikana you tube kwajina la FRANCES wimbo unaitwaWEWE NI MUNG
@fatmakhalid1399
@fatmakhalid1399 21 день назад
Barikiwa sana 🙏​@@FranceJuma-i7y
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 21 день назад
Ameen
@Tchidymbanga
@Tchidymbanga 24 дня назад
This guy is GOOD! He said They play like ROBOT BEHAVIOR 😂😂😂
@AmanMgweno-s7u
@AmanMgweno-s7u 22 дня назад
Huyu mwamba ndiyo anafaa, aache kuchambua mpira, awe mchambuzi wa wachambuzi, alichonacho huyu mwamba, kawaacha mbali Sana wachambuzi nzala
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 22 дня назад
Fedha ni namba 1. Waache wengine walipwe 1M. Halafu Feisal alipwe 16M kwa mwezi. Baada ya miaka 5 wote watoke kwenye mpira. Uone nani ataishi vzr. Hakuna atakayekumbuka makombe, bali aliye na pesa ataishi vizuri.
@careemdulla1629
@careemdulla1629 24 дня назад
We jamaa unaujua mpira sana wakailete hata Real Madrid watakula 5G Kisha waseme Madrid wabovu
@JosephJanuary-d2s
@JosephJanuary-d2s 22 дня назад
Huyu lazima awe na degree 3 zauchambuzi....hongera sana mwamba mpila unaujua sana❤
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 24 дня назад
Sema maestro ukisema fei
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 24 дня назад
Ajirudiriye yanga wana yanga wanampenda tu saana
@MethodkifokaMethodkifoka
@MethodkifokaMethodkifoka 24 дня назад
Umeongea fact broo
@AronMassawe
@AronMassawe 24 дня назад
Uyu jamaa namkubali sana yuko direct sana fact
@hidnakirungi6546
@hidnakirungi6546 19 дней назад
Nmekuelewa sana uko vzur!!
@halson827
@halson827 23 дня назад
Tatizo anaeuliza maswali maswali nae anaongea saanaa....swali linakuwa reeeefu.....nenda kwenye hoja moja kwa moja okoa muda, tunaenda na muda
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 24 дня назад
😂😂😂fireeee🎉🎉🎉🎉
@DouglasChuwa-b2s
@DouglasChuwa-b2s 23 дня назад
Kwa hawa wachambuzi mkubwa kwa tz wwndiye mcbambuzi mkweli in we 2
@mkamamoris9415
@mkamamoris9415 24 дня назад
Tunao kuelewa ni mm na mchambuz tu😂😂😂😂
@AnacretaKondo
@AnacretaKondo 24 дня назад
Nimekukubali mchambuz zuberi
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 24 дня назад
Nice
@bmkaskazinib4363
@bmkaskazinib4363 24 дня назад
Zubeir kuwa mpole,ukweli utawaumiza watuuu
@abrahamchengula8137
@abrahamchengula8137 24 дня назад
Mwamba unaongea KWA uchungu sana! Hongera KWA uchambuzi mzuri
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 22 дня назад
Kwenye mpira ukisema mzee haimaanishi ana miaka 60 kaka.
@ConstantineNyanje
@ConstantineNyanje 24 дня назад
Kaka unawakera xana wa2 flan lakin huo ndy ukweli ulivyo yanga ni balaa!
@AmeirAlly-tn8hw
@AmeirAlly-tn8hw 23 дня назад
Wewe ni mchambuzi kweli kabisa una uwezo wa kuona mbali,endelea na kuwapa huduma mashabiki wa ukweli,hongera sana
@GaberJabeh
@GaberJabeh 24 дня назад
Vital o sio Apr Mr kipara
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 22 дня назад
Timu yako ilisema Simba ina wazee wengi kama Saido na Chama. Mkasema Simba inahitaji vijana. Imesajili vijana mnabadilisha maneno
@SophieNgussa
@SophieNgussa 24 дня назад
Huko sawa mchambuzi
@AmiriIssa-np4hn
@AmiriIssa-np4hn 23 дня назад
Kaka uko vizr una hongea vzr kaka
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 22 дня назад
Dube anapata vyote,,, Pesa na Mafanikio
@ZaynWalad
@ZaynWalad 19 дней назад
Kwani hzi Simba na Yanga, wao wamefanikiwa nini? Huko nje.
@AkidaDaudi
@AkidaDaudi 24 дня назад
Aise umesema ukweli kuhusu Azam,Yani pale ni shida na ndivyo ilivyo Azam yote Yani wamejiwekea ivyo,
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 22 дня назад
Mlisema Simba ina wazee ndiomaana inafanya vibaya. Leo wamesajili vijana, mnaanza maneno. Tusidanganyane mpira ni umri, ndiomaana, hakuna timu inasajili mtu wa miaka 45
@ZaynWalad
@ZaynWalad 19 дней назад
Sasa Dube, amepata nini mpaka sasa??maana ndiyo kwanza msimu unaanza. Hakuna chochote Dube ambacho atakipat, Feisal hana. Makombe yoote ya Ndani, Feisal yupo nayo
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 22 дня назад
Angalia level ya Vital'o ktk Viwango vya CAF. Angalia na Yanga. Yanga iko juu sana. Thamani ya Timu yote ni 700,000,000. Timu yako ni 4,000,000,000. Sasa mnawafunga Vital'o ambao walicheza watu 8 halafu mnajisifu.
@ramsonhudson4013
@ramsonhudson4013 21 день назад
Simba Ina thamani gani? Simba tumekufunga nje ndani kwenye ligi ,, tumekufunga ngao ya jamii sasa unataka nini?😅😅😅 pole sana kijana
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad 20 дней назад
ukweli ndoohuo Kaka
@HafidhAlly-vf5dy
@HafidhAlly-vf5dy 22 дня назад
Pesa inaweza kukupotezea furaa vilevle
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 24 дня назад
Ataisoma number
@mustafamandindi6434
@mustafamandindi6434 24 дня назад
Kaka nakupa maua yako kwa kuongea ukweli
@ZaynWalad
@ZaynWalad 19 дней назад
Pesa ndiyo mafanikio yenyewe
@jamesmsumari6062
@jamesmsumari6062 22 дня назад
Jamaa anaongea ukweli
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 24 дня назад
Medali ashavaa fesla
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 22 дня назад
Ukitaka kujua maneno yako yanaonesha timu gani upo ni namna unavyochambua. Mchambuzi hafanyi kejeli bali anazungumzia Takwimu.
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 24 дня назад
Kwan dube hapat pesa yanga?
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 23 дня назад
Chama mzee hjpt mechi ww fala
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 22 дня назад
Sasa kama ww utachagua nini? Mafanikio ya mpira hapa kwetu ni pesa hakuna jengine, sasa mukisha chukuwa kombe wachezaji je wao wanapata pesa kwa inavyo paswa sio niipe sifa tu timu kisha pesa hamnaa
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 22 дня назад
Sio kwamba huipendi bali unaipenda
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 24 дня назад
Kwani dube hapewi pesa nzuli wewe kijana umekurupuka kwa swali lako
@EmmanuelGwamakaGwamaka
@EmmanuelGwamakaGwamaka 23 дня назад
Uko vzr ukweli unauma
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 22 дня назад
Mitandao haidanganyi. Sio Simba walioanza kumwita Chama mzee. Yanga walimsema Chama kwamba amechoka na hata wakamlinganisha na Pacome. Kukawa na ubishani, Simba wakisema Chama ni bora na mashabiki wa Yanga walisema Pacome ni bora. Alipohamia Yanga, mashabiki wa Simba wakasema Yanga wamechukua mzee, maana, ndio walikuwa wakisema hivyo. Hivyo, kusema kwamba Simba walimdharau Chama, sio kweli
@MussaWambura-t9l
@MussaWambura-t9l 23 дня назад
Ila we zuberi unaongea utachukiwa shauri yako
@abdalahasuman8740
@abdalahasuman8740 23 дня назад
Uo ndio ukweli Azam awa wajibishani
@SimoniEdwadi
@SimoniEdwadi 17 дней назад
Wenzako kudanganywa wamesha zoea
@JaphetMasalu-n9d
@JaphetMasalu-n9d 23 дня назад
Axante baba
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 23 дня назад
Yule chama Atatuadhiri sana.Maana wale vijana walio pale yanga niwakali sana Lkn chama Atawaunganisha waonekane Wakali zaidi.Mchezaji Ana kipaji kikubwa unamuachia Aende kizembe tu
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 22 дня назад
Usidanganye. Timu yako ndio ilisema Simba haina top scorer.
@proisolution7166
@proisolution7166 23 дня назад
MIMI NAAMINI KUWA VIONGOZI WA TIMU HIZI MBILI WATAUMBULIWA NA UKWELI NA HAKI,NINA WASIWASI SIMBA NAYO INAWEZA KUTOLEWA HALAFU TUONE.
@saedameer9516
@saedameer9516 23 дня назад
Maneno yake yanafana na kichwa chake huyu jamaa
@daudimichael7338
@daudimichael7338 23 дня назад
Feisal alichagua pesa, aliipiga teke heshima na mafanikio.
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 23 дня назад
Azam walianzisha timu kwa ajili ya kuishusha yanga, maana hata tajiri yao bakhresa ni simba lialia 😂😂
@christianrukurugu4341
@christianrukurugu4341 23 дня назад
Serikali imesema mkasomee mpira, maana mnachambua kishabiki sana na kuchambana tu.
@dietrichoswald34
@dietrichoswald34 23 дня назад
Ni mchezaji bora sana Lakini Amekosa akili na tabia. Hivyo ni gundu kwa Azam sababu ya tabia yake kudharau na kukejeli WALIOMLEA NA KUMTENGENEZA. kuna wenye timu yao hawawezi kuvumilia kukatiwa viuno na mtoto mdogo
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 23 дня назад
Kaka. Zuberi. Wape. Ukweli. Japo. Unauma. Ndo. Maana. Wameacha. Kuongelea. Timu. Zao. Wanamuongelea. GSM
@bmkaskazinib4363
@bmkaskazinib4363 24 дня назад
Feisal ubora wake hakujua autumie wapi,kafata utajiri,basis acha atumie pesa take,Dune anatumia kipaji chake Yanga huyoooooooo anapaaa
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 24 дня назад
MWENYE FUTURE NZURI NI DUBE KWANI PESA ITAMFUATA, FEISAL AKIIFIKIRIA PESA ATAPOTEA.
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 23 дня назад
Lakini mbona Hersi alikubali kumpa fedha anayohitaji?
@FodiGereji01
@FodiGereji01 24 дня назад
Miaka 32 ata ulaya hatakiwi usiseme uongo bwana mpeleke ulaya mwenye miaka 32 na mwenye miaka 24
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 24 дня назад
Kwani pesa sio mafanikio? Ni mtazamo wako
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 24 дня назад
Mkalabiko na Ambokile wanaiongelea sayansi ya mpira kama Hauna D2 huwezi elewa mauwa kwenu watu wa boli
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 24 дня назад
MAFANIKIO YANATAFUTWA KWA MUME WA JIRANI?!😂
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 24 дня назад
Kaka mchambuzi watakiroga kina jemedal,jofreya,edo,na mashabiki wengine wa simba
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 24 дня назад
Edo kuwembe au huyo Yanga damu
@MeksonJoseph
@MeksonJoseph 24 дня назад
Shua
@safimasa4998
@safimasa4998 23 дня назад
Awezi kumzidi dube pesa wewe
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 24 дня назад
NA WEWE MWANDISHI MBONA UNA MWANDAMA SANA FEI TOTO? KWANI AMECHEZA PEKE YAKE? JAMANI MWACHENI KIJANA ACHEZE MPIRA
@OlestMbonyimana
@OlestMbonyimana 23 дня назад
😂😂😂😂😂ROBOT behavior 😂😂😂
@pascolfwamba3837
@pascolfwamba3837 24 дня назад
Wemwenyewe hujui mpira
Далее
TAMBUA TABIA ZA MWEZA WAKO KWENYE NDOA
48:19
SNAKE BOY | ep 38 | final mwisho | SEASON TWO
26:41
Просмотров 92 тыс.