He an Artist Rapper, Emcee from Iringa Region aka Dirty South. Geez has a rare style wit crazy Metaphor and Patterns. Listen telling u that he is a Grown Ass Man and will work hard for his Prey. He Goes Hard Like It is suppose to be.
Dah! Geez fariki yangu.... Geez mtoto wangu... kilasiku zinavyo zidi kwenda siamini km kweli sito kuona tena 😭😭... nisije kufuru, Allah anisamehe!!! R. I. P see u again bro 😢😢🤲
Dah, Brian nimefurahi kuiona hii video, ni ya muda kidogo.... R.I.P. homeboy Geez Mabov alikuwa mwana sana, siwezi kusahau harakati za kushoot hii video...
"Mtoto wa kiume nacheni nijitume, Kama matunda yangu yapo basi niacheni niyachume" " Bora nife kiume" Geez Mabovu keep resting easy. still rocking February 2023🙌👏
Ujasiri wa maisha yangu ndio unanipa heshima mwana bado tunakukumbuka na tunakuombea daima ulikua mwana Hiphop bora sana kutoka tz glow kama za keith murray?
Mwanamadharau never forget you my brother r.i.p mtoto wakiume naikubali Sana hii truck inspection Sana kuusu life ya street dah asee nibonge la truck inspection Sana
"mziki wa kutoka kila ck nautunga, Najua nitatoka hata kama mnaniroga", Moja kati ya hip hop bora sana kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa bongo fleva. 8 may 2023 Twende sawa na Geez mabovu R.I.P
2023 August.... Mabovuu Mwenyez MUNGU AKUPUMZISHE Mahala Pema PEPONI, aina hii ya Mziki hausikiki kwa sasa... Lakini ni burudani n Hamasa kwa Vijana wote Hasa wa kiume km ukipewa kipaumbele...