Acha ubaguzi ndugu. Wako ndugu zetu WA kibongo wengi Tu wanaopata Kenya. Mr Nice mpka leo Maisha bomba kuptia Kenya, Fredrick Muller ndugu yko kbsa WA Morogoro yko anafanya mziki Safi Tu, hkohko Kenya.
@@Soundprobeats sijui nilisemalo vipi Sasa kwani S2kizzy Si kapokea mikoba kutoka Kwa T-touch na queck rock Sasa Kuna ubaya gani ye kumuachia mikoba ginnix66 au mikoba unaichukulia ni uchawi au