Тёмный
No video :(

GIGY MONEY AMWAGA MACHOZI: 'SIO KILA MWANAMKE ANAEJIUZA ANAPENDA, BORA NIDANGE' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 152 тыс.
50% 1

#OnAirwithMillardAyo #GigyMoney #AyoTv

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 363   
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 лет назад
Mimi nataka kujua tunaompenda gigymoney❤🔥.. wacha like yko hapo🙌
@khadijachao4546
@khadijachao4546 5 лет назад
Nampenda
@lilianduke1304
@lilianduke1304 5 лет назад
mm🙋
@mtoto_wa_pwanifarhat3453
@mtoto_wa_pwanifarhat3453 5 лет назад
lov gigy
@ramsonnyoka9583
@ramsonnyoka9583 5 лет назад
Nampenda Huyu mimi
@Kenchiyh
@Kenchiyh 5 лет назад
Mwenye chuki nimuajii
@lindasophia1288
@lindasophia1288 5 лет назад
Uyu dada nilikua sijawai muelewa nilikua naona ni msumbufu tu, ila leo nimekubali ww ni mtu flani unae itaji mapenzi kutoka kwa watu ... Nakupenda sana Gigy 💜😘
@gracerichard969
@gracerichard969 5 лет назад
ndio maana wanasema usihukumu hali yeyote ambayo hujawahi kuiishi
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 5 лет назад
Hta mm Leo nimemuelewa sana
@naimanassib4900
@naimanassib4900 5 лет назад
Gigy go gigy go gigy tukikuelewa wachache inatosha nakupenda mama mayra
@meedaafarai9677
@meedaafarai9677 4 года назад
❤❤✌
@yaelvictor5809
@yaelvictor5809 5 лет назад
Ukimsikiliza kwa makini gigy ana akili ila mazingira aliyokulia ndio tatizo na ameshajitambua mungu amwongoze tu kwa sasa kwa vile yuko hivyo kwa ajili hakupata fursa za msingi kutokana na familia ploblems
@mathnasaeed3806
@mathnasaeed3806 5 лет назад
yael victor na pia akili ilianza kuathirika huyu dada kwa hali ya maisha maskini
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 лет назад
yael victor kweli kabisa ana akili sana
@zyshaashraf2293
@zyshaashraf2293 5 лет назад
yael victor true
@bethibrahim4836
@bethibrahim4836 5 лет назад
Pole waya, yatapita
@sindyvibe7149
@sindyvibe7149 5 лет назад
Real...Mungu amsaidie tyuuu
@mfalmegideon3987
@mfalmegideon3987 5 лет назад
Gigy is too real Hii interview inamengi ya Kujifunza kwa Vijana Wanaokuwa Acha kukimbilia Maisha Kabla Ya Wakati Gigy amechukua The past kama Njia Ya kupambani in a future
@gombatv7046
@gombatv7046 5 лет назад
hii interview, ni kiboko GIGY amefunguka vilivyo, atafika mbali kwakuwa ni mkweli
@aulelialeonard1831
@aulelialeonard1831 5 лет назад
Nimekuelewa sana una akili sana
@dorcaskibona8619
@dorcaskibona8619 5 лет назад
True
@nicefit_ness
@nicefit_ness 5 лет назад
Gigi unaakili saaaana,, na unaongeaga point mnooo,,, nakupenda saaaana ❤❤❤❤❤
@saumjuma7546
@saumjuma7546 5 лет назад
Gigi no mkweli Sana anachukia drama drama....Kama unamin hill gonga like to show love❤
@zawadisimoni8616
@zawadisimoni8616 5 лет назад
Daaa me zawadi pia ulio pitia nimepitia mpaka naogopa kwann Story inafanana kiasi hiki chamsing dua tutafika 😍
@mariasteven3713
@mariasteven3713 5 лет назад
Poleee Zawadi
@rahjah5882
@rahjah5882 5 лет назад
She is real , She only mixup mood and attitude and that’s normal in a real life.
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 5 лет назад
Napenda iterviu ya gig ni mkweli tena tunajifunza kuhusu anaco sema
@mwajumajuma3813
@mwajumajuma3813 5 лет назад
nakupend xan Gigi ww unaonge ukwel kila ukiojiwa
@zainabguthera7923
@zainabguthera7923 5 лет назад
Kweli zaa ukomae gigy umtisha sana point taken" co kila mwanamke anapenda kujiuza"
@sistersade9039
@sistersade9039 5 лет назад
Mimi siku zote nampenda Gigy kwa akili yake Na ukweli anavojizungumza. Kwa age yake, maskini kapitia mengi. Alaiti wasichana wajifunze kwake. Mungu akutengenezee maisha yako Gigy. Millad wewe ni one of d best! Umetua and a good listener. Much respect for both of you🌹
@deearacemarg450
@deearacemarg450 5 лет назад
I love your spirit Gigy .I hope things will change for good.Yeah ghetto is tough life....been there seen that.
@jacklineelias9152
@jacklineelias9152 5 лет назад
Aisee
@ivournanjala
@ivournanjala 5 лет назад
I don't know her but I think I like her..she is sooo real and honest.love from 🇰🇪
@jojolicious_1445
@jojolicious_1445 5 лет назад
Yani hili demu lina akili basi tu
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 лет назад
Kristine matola sanaa
@anisayahya5018
@anisayahya5018 5 лет назад
Dah.... giygy mungu akupe hitaji la moyo wako umehaso kwa kweli so sad
@dorcaskibona8619
@dorcaskibona8619 5 лет назад
This woman is too real 🙌🏽🙌🏽
@platnumtanya2880
@platnumtanya2880 5 лет назад
nampenda giggy Mungu naomba muinue m bariki awe boss of boss mpka dunia ishangae
@worldlyricssongs6141
@worldlyricssongs6141 5 лет назад
I love you gigy 😍😘😘
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 5 лет назад
In shaa Allah;hata huko utatoka . Ukipata mda kidogo mkumbuke ALLAH kwa sababu ni mwenye huruma na atoae rizq
@ludacrissrangiyabank3737
@ludacrissrangiyabank3737 5 лет назад
Giggy matata lkn leo kanihuzunisha kweli, kiukweli umasikini unasababisha matatizo mengi
@festomchopa3359
@festomchopa3359 5 лет назад
Ludacriss Rangi Ya Bank nic Gigi
@elieshishamy9902
@elieshishamy9902 5 лет назад
nakupenda Mdogo Wangu kweli mawazo yako makubwa japo umri mdogo
@evelyneroselusasila4687
@evelyneroselusasila4687 5 лет назад
Duuuuh inaumiza love u gigy
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 5 лет назад
MAMA gigy mcheshii sana and 4sure anapambanaa sanaaaaaaaaaa yn mpiganajii anatafuta bt gigy sometime kichwa chako kizurii
@tiffahhassan1192
@tiffahhassan1192 5 лет назад
love you😘❤️😘 gigy mapesa na milard big💪 up bruh
@mamadoublem353
@mamadoublem353 5 лет назад
Maelezo yako gigy yamenipa furaha kujuwa kuwa umekuwa kiakili na wengi wamefahamu kuwa shida au njaa ndio chanzo kinacho dhalilisha wanawake wengi big up to one day yes u will make it to money house
@agnessinja8967
@agnessinja8967 5 лет назад
You are going somewhere baby girl
@abdulrahmanhassan3825
@abdulrahmanhassan3825 5 лет назад
Yani mm nampenda sanaa Huyu dada aijalishi Tabia zake
@nasramohamed2446
@nasramohamed2446 5 лет назад
Umenigusa sana Gigi maisha niliopitia duu na mpaka sasa sjafika yan inaumiza sana
@esterdavid6664
@esterdavid6664 5 лет назад
Gigy umekuwa mama I like it 😍😍
@kajjd40
@kajjd40 5 лет назад
Pole sana gigi
@rhonjanjaim7173
@rhonjanjaim7173 5 лет назад
Daaaah! We ni mwanamke dada ur strong enough my dear
@loveness6732
@loveness6732 5 лет назад
Gigy uko real.. we ni fighter na cash madame 😘😘😘
@sintajulias3555
@sintajulias3555 5 лет назад
😭😭 this interview iko so emotional Gigy ameniliza
@munahally2473
@munahally2473 5 лет назад
safari ya maisha ulianza vibaya...ila safari ya mafanikio ni nzuri sana sana jitihada sana harakati kama zote...keep it up my gal.......lv u much
@jacklindaudi9038
@jacklindaudi9038 5 лет назад
Usilie mamy tunapitia mengi ss watoto wa mama
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Nakukubali Gigy, kusikiliza interview yako napata kitu hapa dear, Allah akuongoze kwa hili uyu c mtu wa kumuhukumu kwa maneno kwakweli, *Millard* jitahidi uweka box la Tissue hapo Ofisini kwako., Mbona unatuwekea interview nusu Millard?
@pindotanzania579
@pindotanzania579 5 лет назад
Afu ww millard kila siku tunakuambia weka tissure hapo mezan kwan shingap😏unafanya watu wafute makamasi kwa mikono
@tatut3889
@tatut3889 5 лет назад
😀😀😀😀😀😀kasikia ataweka
@faudhiasalim3305
@faudhiasalim3305 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@ditaely7309
@ditaely7309 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@selestineosoo5045
@selestineosoo5045 5 лет назад
Its not called tissue.. Its saviet or wipes
@evelynemoshi5705
@evelynemoshi5705 5 лет назад
Selestine 😒😒 napkins 😔 wipes 😎
@samiraabdallah3987
@samiraabdallah3987 4 года назад
Na kupenda gigi mungu atakusaidiya nakuheshimu mimi samira kutoka kenya
@joytz4401
@joytz4401 5 лет назад
Nakubali Gigy mihera
@bahatiabdallah5901
@bahatiabdallah5901 5 лет назад
mungu akufanye uzidi kua juu gigi
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Pole Gigi kwa uliyopitia najua unavyojisikia ila ni mapito tu 🙏
@emmahKK2024
@emmahKK2024 5 лет назад
You have made me cry Gigy l see myself in you😭😭😭😭
@dianajavana4817
@dianajavana4817 5 лет назад
nakupenda sana gig
@charlesgadi5293
@charlesgadi5293 5 лет назад
I salute you, you're such an Insperational to all young people godbless more for being so honesty I hope to meet you oneday!
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Yaani gigi ninavyokupenda ni vile unaongea ukweli yaani sitamani hata interview iishe
@fahadlibe9083
@fahadlibe9083 5 лет назад
Kweli vyo
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 5 лет назад
Una ufahamu mzuri saana Gigy lv u saana 😘😘
@richarddazan813
@richarddazan813 5 лет назад
So true.
@anneguth2390
@anneguth2390 5 лет назад
Your a strong woman I love ❤️ it
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 лет назад
Gygy huaga nasema daily this girl is iron..yani shupa..huyu ndo jike shupa
@jacklinkangero3339
@jacklinkangero3339 5 лет назад
Its enough Bby saiv ushakua na jina Fanya biashara sasa sahau hayo maisha. Pole mom
@edrickniwamanya439
@edrickniwamanya439 5 лет назад
Millard nampenda interview zako sana lkn weka tishu
@naymahh3504
@naymahh3504 5 лет назад
Yani gigy nakupenda allah akupemuongoza katika maisha yako
@salmajumaan6143
@salmajumaan6143 5 лет назад
I support u gig money wht happened 2 u is wht had happened to me I feel so sorry for u
@mauwabijoux1498
@mauwabijoux1498 5 лет назад
Kweli gigy maisha nisafari ndefu songa mbele mamangu mungu yopo pamoja nawee tuko wengi hatuongei ila tuna mengi
@wahindiakwembe8066
@wahindiakwembe8066 5 лет назад
Uko vzr sana Gigy
@tymermtatya565
@tymermtatya565 5 лет назад
Umeongea point
@nurumanyota2592
@nurumanyota2592 5 лет назад
I love gigy so, much , and mirad is very nice
@priscamasongera6798
@priscamasongera6798 5 лет назад
nakupenda mno gigy
@Mariam-ez4qw
@Mariam-ez4qw 5 лет назад
Daah kila mtu na mapito yake
@elizabethmachary9972
@elizabethmachary9972 5 лет назад
Nakupendaga sana wewe Gigi money mpaka naumwa haunaga unafiki kabisa wasanii wote wangekua kama wewe safi sana upo muwazi sana Luv sanaaa
@raysulesh8589
@raysulesh8589 5 лет назад
She is always true to her self...Allah akujalie mema
@sifamugwaneza1178
@sifamugwaneza1178 5 лет назад
Nawapend san nyie watu 2 #gigy mpz nakupend bure dada ake mie nimejifunz mengi kupitia ww mpz... Asante sn #millardAyo kwa story nzuri kam hiz
@julianadominic7436
@julianadominic7436 5 лет назад
Nampenda xn MTU mkweli ukwel unamfanya MTU awe huru xn anakuwa sio MTU Wa uoga na wasiwasi nakupenda gigy ww ni mkweli xn na ni muwazi mungu akusaidie upate mafanikio makubwa upate na mume bora Wa maixha yk
@noeljacob9644
@noeljacob9644 5 лет назад
Love uuuu ming ming....
@niceladeus1697
@niceladeus1697 5 лет назад
wooooh
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 лет назад
Pole sana Gigi ndo maisha Ila unaakili.sana.sema tu unaonekana mapepe
@ashakigumi2263
@ashakigumi2263 5 лет назад
Gigy unagusa san maisha yangu hata mm nimelelewa na mama n aliteseka san mm nwe hapa lov u gigy wanawake tunaptia meng sana
@losiborand90
@losiborand90 5 лет назад
Gigi istory yako inaumiza ili siyo mwenyewe na sisi njo ivo tena turiyo yapitia njo yametuaribu ila mungu yupo pamoja na sisi nakupenda gigi
@chrispinelwoga4182
@chrispinelwoga4182 5 лет назад
Daah wengi tumeyapitia
@racheldickson5238
@racheldickson5238 4 года назад
Nampendag
@mayathomas5560
@mayathomas5560 5 лет назад
pole sana gigy,Mungu akusaidie to become a better person, you have been shaped like that by life, so be strong
@nasrahcute4278
@nasrahcute4278 5 лет назад
Gigy money nimependa unaongea pwent,,,,kbxa kwer ww ni strong women💪💪💪💪
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
pole gigy kila mtu anayapitia
@violetyurassa4392
@violetyurassa4392 5 лет назад
Pole mwaya gift umepita kipindi kigumu ila usikate tamaa Pambana bado mdogo
@khalifacyrus4300
@khalifacyrus4300 5 лет назад
gigy l love the word you said sio kila anaye jiuza anapenda 👌
@rojakijana1162
@rojakijana1162 5 лет назад
Watoto wengi wa Tanzania wamekulia ktk hali ngumu sana But even you pole sana kwa mazingira ulio pitia !
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
Gigy nakupenda sana. Unatufundisha sana maisha.hujawah ongea uongo hata siku moja
@winndelule2302
@winndelule2302 5 лет назад
i lov u gigy...wish nikutane nawew nkuambie tu kua nakupnda sana....n hope utafka mbali...haupo fake...u r so real😊😊
@meedaafarai9677
@meedaafarai9677 4 года назад
Nice umeongea 👍
@nexakadeus7855
@nexakadeus7855 5 лет назад
dah Gigy hongr mumy unachsema ni kwelii kikubwa ni kujua ni wap watokaa na kutokukumbk maumivu Bali kuhaso ili upate utulivuu
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 5 лет назад
Duuuh pole San gigy ndio Maana nakupenda
@udainanassoro3676
@udainanassoro3676 5 лет назад
gigy money nampenda sana
@mwanaamisa8193
@mwanaamisa8193 5 лет назад
Gigy money mungu yupo na ww ni mdogo saaan usikate tamaa
@shaniamgunda7838
@shaniamgunda7838 5 лет назад
nampenda sana huyu Dada kwanza ni mkweli apendi mambo yakufeki dah maisha ni safari ndefu ila ipo siku tu utanyanyuka mdg wangu gift
@sarahzabron4987
@sarahzabron4987 5 лет назад
love you gig😙😙😚
@AliBaba-zb3tg
@AliBaba-zb3tg 5 лет назад
Etiii Mtu ufanye video upate M8 ya kununua gari imetoka wapi aki gig lina akili ili😂😂😂
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 5 лет назад
Namprenda sana gigiy money ana akili sana na hana kufeki .nakuelewa sana kichwa chako.
@bintybinahsiraj9499
@bintybinahsiraj9499 5 лет назад
Pole dia
@gracegracegrace1827
@gracegracegrace1827 5 лет назад
Love you Gigy ....
@valentinenasike4624
@valentinenasike4624 5 лет назад
That's what the society is going through today #girlchild anyways may God take you far....
@marykangina4476
@marykangina4476 5 лет назад
Nakupenda tu mummiii... Your fan from kenya
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 5 лет назад
Nampenda sana gigy jmn nampenda mpaka nachanganyikiwa....cjielew jmn
@sandrasofia6597
@sandrasofia6597 5 лет назад
Da mimi nakupenda bure gugy unvyo kuwaga mkweli tu
@saimonmgeta5239
@saimonmgeta5239 5 лет назад
Gig hebu njoo tuanzishe family nimeona kumbe una akili hata zaidi ya wema sepenga
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 5 лет назад
Pole sweetheart
@lovenessmichael6060
@lovenessmichael6060 5 лет назад
Kweli wanawake waona onekan tofauti wanaakili sana
@veronicamichael8351
@veronicamichael8351 5 лет назад
I love this dada
@saidaabdallah4320
@saidaabdallah4320 5 лет назад
Gigi money..umepitia kweliii usijali Mungu wetu sote..kisha Mungu halali..
Далее
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 518 тыс.
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 19 тыс.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27