Тёмный
No video :(

EXCLUSIVE: HISTORIA YA GIGI MONEY "BABA POLISI, MAMA MHALIFU" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 243 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

31 окт 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 488   
@anko_luufocus7454
@anko_luufocus7454 5 лет назад
Gigy me nampenda anaongeaga ukweli halafu ukimuuliza maswali ya kijinga anakujibu hivyo hivyo kijinga ...kama unamuelewa vizuri GiGy huwezi kumlaumu kwa lolote
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 5 лет назад
Ana akili sana ila kutokana na maisha yaliyo mzunguka na majukumu ndio maana maisha yake yapo hivyo
@anko_luufocus7454
@anko_luufocus7454 5 лет назад
leticia chunga yes ni kweli kabisa..me namuelewaga sana h
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 лет назад
Kweli
@polisikisarawe3510
@polisikisarawe3510 5 лет назад
Old school
@aishaborafya6478
@aishaborafya6478 5 лет назад
nakupenda sana gg Wang hunaga shobo wewe
@aikajuma6855
@aikajuma6855 5 лет назад
nakupenda gigy yaan wewe hudanganyi kabisa yaan maisha yako ni real hufek kabjsa
@yustamakwawa6798
@yustamakwawa6798 5 лет назад
uko vizuri mdada
@chimwanajayne2700
@chimwanajayne2700 5 лет назад
Kama unampenda gigy Cardi Gonga like hapa😍
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Interview kama hii ndio Naipenda ya Gigy Money, tupo na msema kweli 😍😍😍
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Saumu Hassan umeonaee
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
@@mwanajumaomahundumla6504 Napenda sana interview za *GigyMoney* azichoshi
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Saumu Hassan sana yaani kwanza hata sauti yake ipo sawa sio wale wa kubana bana gygi yuko halisia kabisa hata mimi nampenda sana
@salmaaman2813
@salmaaman2813 5 лет назад
Nzuri
@mohamedally342
@mohamedally342 5 лет назад
Dada wewe unafanyaga kazi zanyumbani kwako kweli?
@saulosarmiento8632
@saulosarmiento8632 5 лет назад
Nampenda Gigi cause anajitaidi kuwa mkweli hata kama co asilimia 100% lakini anajitaidi #i love u Gigi keep it up girl. "Mtoto mdogo kweli asahau kabisa" I like that it's totally thruth.
@dicksonmbiu2179
@dicksonmbiu2179 5 лет назад
Nafikiri Millard Ayo umeniwahi mana nilitaka kukuambia show hii irudi,mn katika interviews zenye utulivu this is no 1#interview session
@danielmadenyeka4248
@danielmadenyeka4248 5 лет назад
B blessed dogo Ayo. Napenda sn intev zako.
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 лет назад
asante sana Dickson
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 лет назад
Amen nawe pia Daniel, shukrani mtu wa nguvu
@lindajeremia9680
@lindajeremia9680 5 лет назад
Mh gig mii nakukubali coz ww nimwamke unayejikubali
@rawrpromostudio8372
@rawrpromostudio8372 3 года назад
kaka kwamajina naitwa rawr naishi mara ila nilkuw natafuta namb yako ya cm kam utojali wawez nisaidy au kunitft kwa mawasiliano zaid 0628818740 rawr
@sativaclan4221
@sativaclan4221 5 лет назад
Siku zotee hua ndomaana sipendag kuaribu brand ya mtu bila kujua magumu aliyo yapitia kuipata hiyo brand aliyo nayo!!!... hongera sana Gift.. ww ni lulu ya sisi wa wanyakyusa!!! Munguu akujaliee
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 лет назад
saTiva clan 🙏🏿
@kaobamaabel5561
@kaobamaabel5561 5 лет назад
Tupo wengi wa masoko tukuyu mm hapa mwakalindile jr.
@olivermsilu180
@olivermsilu180 5 лет назад
Nimekupenda bure
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 лет назад
Gigy kumbe umazaliwa nyumbani ndio maana tunafanana akili nakupenda bure my love wangu
@zulfatothman1051
@zulfatothman1051 5 лет назад
Nakupenda bureeeh umesemagi uwongo
@mwanaamisa8193
@mwanaamisa8193 5 лет назад
Napenda saan gigy money.. Hanaga swaga za kujishau.. Safi saaaaaan my friend gigy money
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 лет назад
I lv Giggy so much!!
@maggiezammy1192
@maggiezammy1192 5 лет назад
Salute gig 21yrs 😘😘😍😍
@ashakigumi2263
@ashakigumi2263 5 лет назад
Gigy bn et karatasi 😂inaitwa living certificate
@gracegracegrace1827
@gracegracegrace1827 5 лет назад
Kwenye hii interview nimejifunza kutokuwa mwepesi Wa hukumu na mtu yuko hivyo alivyo kutokana na aliyoyapitia !! Thanks Millard for this interview maana kufunguka kwa GigY hivi ni vile NA wewe hauna makuu
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 5 лет назад
Gigi money anamuekea mtu wepesi mtu anaipeleka interview vizuri.pole kwa shida zote maisha .unajielewa mungu atakusaidia
@victordenis2411
@victordenis2411 5 лет назад
Daaah ! Hii interview iko poa sana, kweli usimdharau usije mjua,Gigy unajibu vizuri kabisa mtu akiangalia awezi kuamini coz tulishamzoe Gigy wa mapicha picha mwenye majibu ya shit shit !! Ongera sana Gigy Pia Dat's why nakukubali millard Ayo na penda sana kazi zako coz zinanifanya nijue kipi nifanye kipi nisikifanye ili nije kuwa mtangazaji na mwandishi mzuri kama wewe ikiwezekana zaidi yako wewe Much Bless to you Brother MILLARD AYO.
@5starsmoviecenter714
@5starsmoviecenter714 5 лет назад
Gigy #BUSINESSLADY WACHANA NA WANAO JIITA BOSS LADY SIJUI TZ SWEETHEART SISI HAPA 254 WE CALL YOU BUSINESS LADY HUWA UNAJITUMA DADA. BIGUP AND NEVER LOOK BACK. KENYA TUNAKUTAMBUA
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 лет назад
Kennedy Njogu sanaaa
@5starsmoviecenter714
@5starsmoviecenter714 5 лет назад
@@allthingdranabeauty cool
@5starsmoviecenter714
@5starsmoviecenter714 5 лет назад
@Elida Waya iron lady
@niceladeus1697
@niceladeus1697 5 лет назад
gigy kumbee unajibugii kutokanaa na MTU
@maireshmamu4328
@maireshmamu4328 5 лет назад
Nicela Deus umeonaeee? Ukiuliza kichiz na yy anakijibu kichiz
@gressasa3738
@gressasa3738 5 лет назад
Nicela Deus umeon ee
@loveness6732
@loveness6732 5 лет назад
Dah! Millard tuwekee part 2... maana huyu dogo ana madini sana. Mungu amuongoze tu 👏🏾👏🏾
@amosbinmahona9947
@amosbinmahona9947 5 лет назад
Bora wewe umenana ukweli wengine huwa ni full kutudanganya
@marybalongo221
@marybalongo221 5 лет назад
hahaha Amos nawe upo hadi hapa
@amosbinmahona9947
@amosbinmahona9947 5 лет назад
Sana tu marybalongo
@schipholathen9215
@schipholathen9215 5 лет назад
Lkn kwenye miaka katudanganya duuh 21
@innocentnkya5916
@innocentnkya5916 5 лет назад
Schiphol Athen kumbuka amesema mamake Ana 41 kwaiyo inawezekana ni 21 yeye mama alimzaa akiwa na miaka 20
@zaribosslady3681
@zaribosslady3681 5 лет назад
Amos bin mahona ni kweli kbs
@magehkihwele8274
@magehkihwele8274 5 лет назад
Nakupenda saaana gigy mihela😘😘😘
@mwalysmodel8232
@mwalysmodel8232 4 года назад
BEST INTERVIEW IN 2018.....nan bado anaiangalia hii interview mwaka 2020
@aishadunia4953
@aishadunia4953 5 лет назад
Let me just be honest .. This is my favorite interview about Gigy Money .. I really love you 😍
@allym6326
@allym6326 3 года назад
Nakupenda sana gigy money
@mfalmegideon3987
@mfalmegideon3987 5 лет назад
Hii interview ni Darasa Tosha kwa Vijana Wengi Wanakimbilia Maisha na kukataa Shule👏🏾 Gigy amesema kweli Yote ...
@godymakundi
@godymakundi 5 лет назад
Sure
@kicmarthawa6659
@kicmarthawa6659 2 года назад
Kabisa
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Millard mimi naona kama vile interview haijaisha maana gigi bado anaendelea
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 лет назад
Yes bado haijaisha, PART II tayari nimeshaiweka unaweza kuitazama
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Millard Ayo Asante sana kwa kujali🙏
@vicentjames5691
@vicentjames5691 4 года назад
Leo ndo nagundua nmemaliza. Lasaba na gigymoney.... # Be blessed gigy, fight tukutane top ⏫
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 лет назад
Now I understand you gigy..
@lilianjeremiah2880
@lilianjeremiah2880 5 лет назад
Nampenda sana gigy kwanz anajikubali cn ilo 2
@alikiba9723
@alikiba9723 5 лет назад
Millard Ayo is Back 🙏🏻🙏🏻 +1
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 лет назад
Yeees mtu wa nguvu, karibu sana na asante kwa support
@elizabethmyula982
@elizabethmyula982 5 лет назад
pole cna gigy ni changamoto za maisha ck zt ww n mkwl
@worldlyricssongs6141
@worldlyricssongs6141 5 лет назад
Woooooow kuojiwa na Millard 😍😍😍😘I love you gigy n Millard
@maggyenick5310
@maggyenick5310 5 лет назад
Ma lovely gigy
@suphytz0750
@suphytz0750 5 лет назад
Kumbe gigy ni bright tumia uwezo uyo ingiza pesa wasikutumie
@barwancb5723
@barwancb5723 5 лет назад
Sound quality is perfect. Interview is best. Story is good.
@batulajama4171
@batulajama4171 5 лет назад
Nice News
@grolykombe5218
@grolykombe5218 5 лет назад
Nakupenda bure gigy Kama unamkubal gigy gonga like
@realnewz2261
@realnewz2261 5 лет назад
Giggy we ni mkweli mweshim sana mamaako na usijali kashipha za walimwengu wasio jitambua we ni mama wa mtoto angalia maisha yako oky we ni mwanamke wa nguvu na ni jasili sana love u more 🔯🔯🔯🔯🔯
@ibrahimmsuya3962
@ibrahimmsuya3962 5 лет назад
real newz gyt
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 лет назад
Ukweli ni mzuri kwani tunajifunza vingi thanks @ Gigi money thanks @Millard Ayo kwa kazi kubwa Mungu azidi kukuongoza
@sesiliajoseph211
@sesiliajoseph211 5 лет назад
Aliosikia miaka ya gig kama katuburuza like hapa twende sawa... Japo vyet hatuna
@omarighadafi7598
@omarighadafi7598 3 года назад
Ameongopa ktk miaka mm namjua siku nyingi na nimepata bahati ya kuishi nyumba moja mbagala
@aminasubira6591
@aminasubira6591 5 лет назад
Jaman Nakupenda we dda Wallah ila kumbe unamiaka21😊😊😊#NeverLoseHopeBaby #KiKiNiGigy💪💪💪
@zuhuramabrouk5184
@zuhuramabrouk5184 5 лет назад
Nimekuelewa sana mdogo wangu takushauri , plz go back to class ur dreams are valid dear get a private tuition then register for the exams in a public schools...kwetu Kenya tuna Elimu ya watu wazima ila unafanya mtihani wa kitaifa sawa na wanafunzi wa kidato cha nne sehemu tofauti , usife moyo wewe ni mwana sheria mkubwa mbeleni jaribu kutafakari plzzzz ikihitaji usaidizi wa masomo sema +254
@sifamugwaneza1178
@sifamugwaneza1178 5 лет назад
Nawapend san nyie watu 2 #gigy mpz nakupend san my intaviu yako imenipa mafunz makubwa ujue yaan maisha nisafar kbs, Asante san kaka ake #millardAyo kwa story nzuri kam hiz..
@fadhiliibrahim9702
@fadhiliibrahim9702 5 лет назад
Gigy kama kweli unataka kuwa lawyer u can do it u are still very young just go back to school
@purity3776
@purity3776 5 лет назад
Her honesty is refreshing,people like her can give you a rush in life
@vj8313
@vj8313 5 лет назад
Gigy mbona leo unahojiwa unaheshima zote umetulia tofauti na online interview zingine unajibugi ovyo ovy not serious but leo na Millard umetulia mdada.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 лет назад
Vicky Decent. Sababu mtu anaye muhoji ni mstarabu na mpole
@emmanuelmorris5083
@emmanuelmorris5083 5 лет назад
Police 😂hapana chezea
@rosejohn6818
@rosejohn6818 5 лет назад
Sjawah pitwa na interviews za gigy.....she iz rly......i just love her
@ibraton4071
@ibraton4071 5 лет назад
gigy manotiiii.......hyu sasa ndio msanii wala haongopii kabsaaaa....napenda alisemaga atawaua ma X wake wooote
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 лет назад
Ibra Ton 😂😂ma x
@ashakigumi2263
@ashakigumi2263 5 лет назад
Ila mm nakupenda tuuuuu mdogo ang
@ayshahusseinmohamed5984
@ayshahusseinmohamed5984 5 лет назад
I love you dear really.. unanikumbusha ujana wangu kweri nilikuwa kama wewe lakini shule sikuacha vitu vingene twafanana. sasa unaweza kuwa mwanangu.. nahisi unahakili binti tumia pesa uipatauyo nenda shule ya sheria kesho uteteee wanawake kamautaweza. kumbuka msema kweri hufa haraka najuwa mama yangu alilipa... pls do it ... najuwa itakuwa mwanasheri mzuri fanya ndoto zako lakini usijizalilishe tena mwanangu jina unalo sasa jitahidi vaa kiafrika pia changanya utaona .
@edrickniwamanya439
@edrickniwamanya439 5 лет назад
Kumbe ni mdogo sana
@zalubiakambona6987
@zalubiakambona6987 5 лет назад
Kumbe mmwera mwenzangu ndio maana mjanja wamwera akuna aliezubaa big up
@emademaad5520
@emademaad5520 5 лет назад
interview za gigy kua nazipenda san love gigy
@GericMediaLive
@GericMediaLive 5 лет назад
karibu tena Millard maana show hizi nilikuwa nimezimiss naona umekuja na new studio look kitu cha shure microphones kama UK
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 лет назад
Yes mtu wa nguvu, sasa hivi show imerudi hivyo kila wakati usikose kupita hapa mtu wa nguvu Geric.
@geraldjoseph8155
@geraldjoseph8155 5 лет назад
@@millardayoTZA asante sana najifunza mengi na harakati zangu nazidi kupambana hasa nikiona picha ya hapo stuido kwako siwezi kulala kabisa hadi malengo yangu yatimie kuisimamisha GERIC MEDIA LIVE kwenye ramani ndio maana unaona hata vifaa navijua ni kwa sababu ndo michakato yangu...Tuombeane tu afya na nguvu @millardAyo
@hellenabeid2601
@hellenabeid2601 5 лет назад
siblings children it hurt for real but only GOD knows our tmr..We just winning always
@hashboy6889
@hashboy6889 5 лет назад
Nmekupenda sana upend kuongopa
@marywillium9830
@marywillium9830 4 года назад
Daaaah hongera nimemaliza na we mam
@familylove5417
@familylove5417 5 лет назад
Wallah na nampendaa uyuu dada
@nanahtzcharlz2567
@nanahtzcharlz2567 5 лет назад
penda sana gigi jamani❤️
@nicefit_ness
@nicefit_ness 5 лет назад
Namkubali saaaana gigy moneyyyyyyyy
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 лет назад
Mama mayra 😍😍😍
@juliekavishe4768
@juliekavishe4768 5 лет назад
namkubali sana gig mapesa
@prinareality5442
@prinareality5442 5 лет назад
Gigy umekua kiakili sana hamna mtu anayependa kuteseka sana katika maisha tujifunze kumwelewa kila mtu Muhimu upendo tu.
@agnesmwakyusa3036
@agnesmwakyusa3036 5 лет назад
Duuuuu leo umenifanya nishindwe kufanya kazi. du kumbe ndugu yangu kalibu mbeya
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 5 лет назад
Gigiiiii kumbe unamajina mingi Kama kurasa za Bible ... hongera BTW uko 2poa msalimie Member... mwambie video yake nimefuta
@princessposhie8671
@princessposhie8671 5 лет назад
@jullymshashu856
@jullymshashu856 5 лет назад
kwenye ukweli tu ndo nachokupendea gigy mapene
@sakinamarjebi4290
@sakinamarjebi4290 5 лет назад
pole sana mdogo wng gigy story yko imenigusa sana endelea kupambana utatoka tu kwauwezo wa mungu wasamee wte walokukosea mpenz
@agnessinja8967
@agnessinja8967 5 лет назад
Gigy nakupenda Hadi naumwa
@azizraj7478
@azizraj7478 5 лет назад
Best interview of giggy
@KiooTvOnline
@KiooTvOnline 5 лет назад
Safi sana Millard umerud na hii show yangu pendwaaaa
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 лет назад
asante sana kwa kutazama mtu wa nguvu, kila wiki zitakuwepo Interview za kutosha
@KiooTvOnline
@KiooTvOnline 5 лет назад
Nipo karibu na ww alldays, coz ww ni kama Maj lazma nikunywe maana u're my role model....
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 лет назад
Napendaga kumsikiliza Gigy yan utacheka stress zote zinapungua 💕
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 5 лет назад
Muendelezo plzzzz gigy bwana akiojiwa sitak amalizi natamn kumskiliza tu 😂
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 лет назад
PART II tayari nimeiweka Subrynery unaweza kuitazama sasa hivi
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 лет назад
msema kweli anaeleweka kuliko irene hajijui
@dominicnzai8256
@dominicnzai8256 5 лет назад
Milard mwenyewe,...I say apo Nimekuelewa mzee Baba,...Gigy Ni habari nyengine mi nampendaga pamoja na ukichaa wake....keep it real Gigy...ipo siku utachange na utapata deals nono tuu#MilardAyo#GigyMoney•••√
@nikkimilian5740
@nikkimilian5740 5 лет назад
Gigy nakupenda tuu
@ireneqeen2784
@ireneqeen2784 5 лет назад
nakupenda sana hua unaongea kweli love u gigy❤❤❤
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 5 лет назад
Mwenyewe ndani ya Nyumba
@esthermfaume513
@esthermfaume513 5 лет назад
Nampenda sana huyu dada jmn..Gigy yupo wazi sana na maisha yake
@KiooTvOnline
@KiooTvOnline 5 лет назад
On Air With Millard Ayo
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 лет назад
Millard weka part2 napenda sana interview za gigy
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 лет назад
Tumekutana tena! A.alaykum?
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 лет назад
part II tayari nimeiweka Mrembo wangu Asia
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 лет назад
@@millardayoTZA thanks😁😍👍
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 5 лет назад
Aaah nakupenda saana Gigy unasema kweli mno
@KiooTvOnline
@KiooTvOnline 5 лет назад
Hii ndio good view nnayoipenda zaid kwenye AyoTv
@danielmadenyeka4248
@danielmadenyeka4248 5 лет назад
Ayo upo juu sn dogo.
@janethchambo8116
@janethchambo8116 5 лет назад
Love u gigy mkwel
@hurremkuchie9721
@hurremkuchie9721 5 лет назад
Oya gigy umeongea point kinomanoma aiseee big up san
@ashadimpls495
@ashadimpls495 5 лет назад
Nakupenda bure gigy lkn hilo wigi ume chemsha.
@simplycyar4457
@simplycyar4457 5 лет назад
Asha dimpls limpendeza bhana😂😂😂
@ashadimpls495
@ashadimpls495 5 лет назад
@@simplycyar4457 A wapi amekaa km mwendawazimu 😂😂
@luckydavid7475
@luckydavid7475 5 лет назад
Asha dimpls 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁 ni nini lkn ....
@challomwalise9992
@challomwalise9992 5 лет назад
Asha dimpls acha majungu,,
@ashadimpls495
@ashadimpls495 5 лет назад
@@challomwalise9992 km kitu sikizuri unasema2 😅😅😅
@stellahmajala7697
@stellahmajala7697 5 лет назад
@gigymoney nakupenda Sana bz huwa unaongea wazi huna jambo la kuficha pia unatufundisha mengi cc wengine big up Sana
@ashakigumi2263
@ashakigumi2263 5 лет назад
Love u gigy💕💕
@irakozemaissarah4325
@irakozemaissarah4325 5 лет назад
mbona fupi jamani
@zainabumohamedmohammed2979
@zainabumohamedmohammed2979 5 лет назад
Gigy Napenda unavyo ongeag Ukweli
@munahally2473
@munahally2473 5 лет назад
me nakupendaga tu ...my only funny gal........
@esterkasinde4518
@esterkasinde4518 5 лет назад
Ugonile gigy
@yusuphsimon4656
@yusuphsimon4656 5 лет назад
kumbe haka kamwanamke kadogo sana. 2010 drs la 7!!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂
@yasinishekallahakusaidi8766
@yasinishekallahakusaidi8766 4 года назад
Mimi namkubali Sana huyu gigy na umber lulu Ila ukorofi wao washenzi hao usiombe
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 5 лет назад
Huyu Dada huwa nampenda kwa kuwa husema kweli
@vailethkawovela4418
@vailethkawovela4418 3 года назад
Wooh tunashea birthday na ggy wangu
@abdalahtwahil5202
@abdalahtwahil5202 5 лет назад
kapata jina jamn kipenz chetu wakuitwa Business lady ❤ gigy
@nasrahcute4278
@nasrahcute4278 5 лет назад
Nakupenda xn gigy jmni mungubakuongoze kw kila jambo my dea love youuu
@pamellauwimana6966
@pamellauwimana6966 5 лет назад
wow jamani gigy nimekuwa naku miss
@agapesoka94
@agapesoka94 5 лет назад
Nakupenda saaana namba MUNGU akufanyie njia natamani ubarikiwe saaana MUNGU ana mpango mizuri na wewe
@zuuhxtarcode2412
@zuuhxtarcode2412 4 года назад
I love u gigy a. K. A Mama mayrah....i like ur interview
@purryselestine4000
@purryselestine4000 5 лет назад
Gig ni mdogo ila mambo yake makubwa 😂😂😂😂😂😂😂
@hadijatawaqal1657
@hadijatawaqal1657 5 лет назад
eeh!!! Millard kwani ndo imeisha me mbna bado natamani kumcklza gigy
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 лет назад
tayari PART II nimeshaiweka mtu wangu, unaweza kuitazama
@mariampeter8096
@mariampeter8096 5 лет назад
Hadija Tawaqal l
@nasmaomar5922
@nasmaomar5922 5 лет назад
Kwenyee miakaa kadanganyaa ... Mtihanii Wa darasa LA 7 kafanya 2010 Wa fom 4 ... Kafanyaa 2016 ..... Alomskia apo ebu gonGa like
@gracerishandumilema278
@gracerishandumilema278 11 месяцев назад
We ndo ujaelewa amesema aliacha form two then akarudia
@zennahwangare3952
@zennahwangare3952 5 лет назад
😂😂😂😂Kma gigy kazaliwa chooni ndo manake hana haya ndo anakaa uchi bila kujali😂😂😂🙈manake chooni kila m2 anavua nguo😂😂ila gigy nampenda sana
@melaniasteven1480
@melaniasteven1480 5 лет назад
zennah wangare 😁😁😁😁 unamatusi ww
@zennahwangare3952
@zennahwangare3952 5 лет назад
+melania steven 😳😳toba nimetukana wapi hapo😂😂😂gigy nampenda sana
@melaniasteven1480
@melaniasteven1480 5 лет назад
Sawa my dear
@tonymnyamatv8483
@tonymnyamatv8483 5 лет назад
Gigy mahela nakubali uko lil sana
@Kenchiyh
@Kenchiyh 5 лет назад
Wigi lake zuri...jamani karibuni kwenye channel yangu
@msojayusuph1785
@msojayusuph1785 5 лет назад
Gigi siku hz intevyu zako uwe unalipwa bwana maana hakuna unachoharibu ukiwa nyuma ya mic
Далее
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 2
24:38