Тёмный

Zitto Kabwe 'ACHARUKA' Bungeni "Tusije Kulaumiana, Siasa Itakuwa Ngumu" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 518 тыс.
50% 1

Zitto Kabwe 'ACHARUKA' Bungeni "Tusije Kulaumiana, Siasa Itakuwa Ngumu"
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amesimama Bungeni leo Januari 29, kuchangia hoja katika muswada wa mabadiliko madogo ya sheria ya vyama vya siasa uliowasilishwa Bungeni hapo Na Waziri Jenista Mhagama.
#ZittoKabwe
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter
GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.co....

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 562   
@amanimusenyi8217
@amanimusenyi8217 4 года назад
Zitto Kabwe ni kiongozi anaeongea kwa kutumia vifungu vya sheria,I appreciate to him.
@rhiophiri9645
@rhiophiri9645 5 лет назад
zito kabwe you are a precious asset 4 Tanzania and a Tanzania's parliament ' s pride.they'r luck to have a person of yo calibre,very brilliant,intelligent and driving points home when speaking
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 5 лет назад
Isn't all Tanzania can see that brother...
@michaelmokiwa4724
@michaelmokiwa4724 5 лет назад
Rhio Phiri jn
@NyumbaniHabariMedia
@NyumbaniHabariMedia 5 лет назад
Asante Mh.Zito......ww ni zaidi ya Vibajaji vyao Elfu nyingi
@gablielturuka9576
@gablielturuka9576 4 года назад
Awa jamaa wanaelewesha sanaa watu na wanaeleweka sana kama walimu vile
@josepharon1338
@josepharon1338 5 лет назад
Namkubali sana mh zitto apewe maisha marefu mtetezi mzuri sana wasisi wanyonge
@tindotanzania
@tindotanzania 5 лет назад
Gonga like kama ume mwelewa zitto kabwe
@irinevedasto5943
@irinevedasto5943 5 лет назад
tindo tanzania Ndiyo mzee
@ayubusanga3796
@ayubusanga3796 5 лет назад
Zito kabwe!!! Heshima kwako mkuu!
@jumannemfaume
@jumannemfaume 5 лет назад
Ndo mbunge pekee wa upinzani ninayo mkubali zaidi anajua vitu vingi na anajua kufuatilia na anakwenda na nyakati huwez kusikia kashuka big up sana bro
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 5 лет назад
Uzuri kwasasa wabongo huwa hawasahau😃 Ipo siku ikiwatokea puani tutawakumbusha maneno yako
@jumannerama8756
@jumannerama8756 5 лет назад
Daaaaa!!!!!zito ni shidaaa!!!!nakuelewa sana!!!!
@neemaemmanuel4942
@neemaemmanuel4942 4 года назад
Zitto Zuberi Kabwe, akili kubwa ❤🇹🇿
@mfaumeseif5872
@mfaumeseif5872 5 лет назад
Mungu akulinde Mwami Zitto Kabwe... Hoja zako zitaishi milele....
@erymwazembe7369
@erymwazembe7369 5 лет назад
Yani ccm na mtt mdogo hamna tofauti wao wanaangalia apoapo. Kisa nini wao wanajua eti watatawara nchi hi mpaka mwisho wa dunia ndomana wanatengeneza sharia zakuzibiti vyama vya upinzani kwanjia yoyote ile
@juliaslaizer341
@juliaslaizer341 5 лет назад
Kweli Mungu akubariki sana Tanzania yetu hii tunaelekea wapi
@cosmassquintine1320
@cosmassquintine1320 5 лет назад
Pole kwa kujua ukweli na kumweleza MTU ambaye hayuko tayari kukuelewa na kutekeleza mapendekezo yako mazuri. If you failed to fight join it.
@jimjam4162
@jimjam4162 5 лет назад
Ndiyo maana mm upenda Sana upinzani kwa kutuelewasha mambo Kwa ufasaha
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 5 лет назад
Big up bro! Bright brain!!
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 4 года назад
Ni kweli kabisa
@IbrahimIbrahim-kq3iq
@IbrahimIbrahim-kq3iq 5 лет назад
full of logic, I always appreciate you brother, live longer
@macmax7767
@macmax7767 5 лет назад
Zitto ni Mzito sana kwa Hoja na mpangilio wa namna ya kuweka mambo sawa. Anaushawishi mkubwa sana
@ramahhouzzer2342
@ramahhouzzer2342 5 лет назад
Mungu akulinde zito Uko vizuri
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 4 года назад
Ameen
@godhelpkimaro6742
@godhelpkimaro6742 5 лет назад
Mungu akubariki kwa mchango mzuri mh mbunge
@dorcasmruma1238
@dorcasmruma1238 4 года назад
Safi sana kabwe zito zuber Umeona mbelen Mungu akuongoze zaid
@rojakijana1162
@rojakijana1162 5 лет назад
Nakuombea kwa Mungu siku moja uongoze taifa hili kama raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania (AMEEN)
@georgekigufa9554
@georgekigufa9554 5 лет назад
Safi sana ndg yangu Zito. Unaona mbele.
@isdorykiwale
@isdorykiwale 5 лет назад
Keep preaching my MP may b one day they will understand.
@mudhakirudauda7933
@mudhakirudauda7933 5 лет назад
Sijawahi juta kumfuatilia Zitto
@feisalomar2807
@feisalomar2807 5 лет назад
Mmh
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 5 лет назад
Kiukweli ndugai amekuelewa ila basi tu nahapo alipo hayo maneno yamemuingia ilatu hana jinsi mheshimiwa wetu ndugai tuna miomba Mungu akupe nguvu Mpya ya huruma ya mawazo ya watanzania wenzako
@bonifacesanga8691
@bonifacesanga8691 5 лет назад
naomba uwaelekeze hao wabunge Wa CCM maana wamezoea kukaririshwa maneno
@rommy7kihuriko452
@rommy7kihuriko452 5 лет назад
NILICHO GUNDUA UPINZANI KUNA WATU WENYE AKILI SANA
@jesusfirst8464
@jesusfirst8464 4 года назад
Mtu makini sana nchini hapa!! Youthful wisdom genius man 👨 💜💜💜
@sefaniandabila8604
@sefaniandabila8604 5 лет назад
talented man
@alfredmbasa2415
@alfredmbasa2415 5 лет назад
zito kabwe we ni wa sayari nyingine hakika
@dr.djshigongo4927
@dr.djshigongo4927 5 лет назад
Ako na respect sana.... Kasikia tu "taarifa "..akakaa chini,,,,He's so wise... Big up Zitto.
@ismailimusa6640
@ismailimusa6640 5 лет назад
Ndo mbunge anaeleta maana halisi ya nn kazi ya bunge anaongea kwa hoja at ukimsikiliza huwezi kujuta kwann ulimpa kura yako Mungu.akuhifadh san mh zitto Kabwe.
@japhetmwamlenga7078
@japhetmwamlenga7078 5 лет назад
Ismaili Musa kuna siku mbuge wenu ikisimama kuchangia mkakosa kumsifia wenu sifa was ccm pumba.
@kulwakicheko5102
@kulwakicheko5102 5 лет назад
Zitto unaongea vitu vya muhim kwa taifa ni letu sote.
@paulmnama9405
@paulmnama9405 5 лет назад
wasio muelewa zitto ni vilaza vya upande wa pili maana ni mijitu ya kupelekwapelekwa tuu
@mudhakirudauda7933
@mudhakirudauda7933 5 лет назад
Fact
@AcklandackyMichael
@AcklandackyMichael 5 лет назад
Amin
@sadickd_knuckle5456
@sadickd_knuckle5456 5 лет назад
Good brother, MTU mmoja hawezi akawa ni final say
@peterkatete5645
@peterkatete5645 5 лет назад
Mh. Job Ndugai kuna kipindi huongozwa na roho wa Mungu kama hivi!
@mwidausaid5701
@mwidausaid5701 5 лет назад
Huyu jamaa yani ata ukimsikiliza unainjoi Jinsi gani anaongea Pont yani hii ni hazina ya nchi mtake msitake
@africatanzaniatours
@africatanzaniatours 5 лет назад
Chiz tu
@rinovatkazimili7362
@rinovatkazimili7362 5 лет назад
Watanzania hamtaki kuwasikiliza Wabunge wa upinzani lakini Tanzania inazama. Shillingi inazidi kuporomoka kwanu uchumi ndani ya CCM ni hakuna kitu. Tunaongozwa na makanjanja. Fedha zinatumika tu bila mpangilio.
@paulmnama9405
@paulmnama9405 5 лет назад
kweli kabisa
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 4 года назад
@@africatanzaniatours sijui chizi ni nani hapa
@tedlema8105
@tedlema8105 5 лет назад
wabunge was chama cha kijani wawe making sana,hii in vita inaandaliwa na vita haichagui chama,ohoooooo!
@adinaniadam7314
@adinaniadam7314 4 года назад
Daaaa sasa level yako kaka ni ulaisss na sio ubuge wakupe nchiiiii
@aflahali7487
@aflahali7487 5 лет назад
This man should b the president of ,Tz
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 5 лет назад
Whaaaat?????
@elijahmange960
@elijahmange960 4 года назад
Can't be the President of the United Republic of Tanzania
@juliasmollel5176
@juliasmollel5176 4 года назад
zito kabwe stoway kukusahau katika elim yako katika bunge la Tanzania mungu akulinde kiongonzi
@joshuayengu3624
@joshuayengu3624 5 лет назад
Ahsante MH ZITTO, Mimi nadhani ni vyema ccm wakajua kuwa njama nyingi wanazozifanya ili kudumaza siasa ya Tanzania tumeshazibaini. Pasipo kuwa Na jicho LA tatu Tanzania itadumbukia kwenye dimbwi baya.
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 лет назад
Zitto ana GB100
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 4 года назад
2020 . you are genious bro
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 5 лет назад
Leo zito amechangia kwa usikivu mkubwa mno na spika Leo amemsikiliza kwa umakin tena sana naona zito ameaza kueleweka sema ubishi tuuu
@agnesipetro3663
@agnesipetro3663 5 лет назад
Wapinzani wako makini siku zote
@faustinelubago7498
@faustinelubago7498 4 года назад
Huyo jamaa anaitaji kutuvuruga tu. Anaitaji Taifa libaki nyuma kila Leo? Boya tuu
@hamisbulabo389
@hamisbulabo389 4 года назад
Uyu jamaa very thinker
@jordankivuyo9477
@jordankivuyo9477 3 года назад
Inaumaa sanaa mungu awe pamoja nao
@jackyjosemworia1063
@jackyjosemworia1063 5 лет назад
Naomba Mungu usk na mchn awasimamishi viongozi wenye hofu ya Mungu na hekima Tz na dunia yote, Mungu awabariki wote wenye kutumia hekima na busara daima ameni
@hemedwow8802
@hemedwow8802 5 лет назад
Waswas wangu ni 2020,wabunge wengi kama hao.huenda watafanyiwa mizengwe wasirudi hapo.ili tubaki na wale wanaoshtuka usingizini na kupiga makofi!!
@ibrahimumtenje5672
@ibrahimumtenje5672 5 лет назад
Hongera mr Zitto Zuberi kwa kuwafundisha
@kizurikinaua2242
@kizurikinaua2242 5 лет назад
Yupo vizuri zito kabwe hongera sana hatutajuta kukuchagua
@mwaramiissa3553
@mwaramiissa3553 3 года назад
Mawazo yangu yanaweza kuwa tofauti kidogo. Tanzania ni nchi inayoendelea, mazungumzo ya zitto ni makubwa na yanahusu demokrasia iliyokomaa sana. Ushauri wangu ni kwamba wabunge wajadili miundombinu na maendeleo ya wananchi na huduma muhimu kwa wananchi
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 5 лет назад
ASANTE ZITTO WATANZANIA TUKO NAWEWE NA VYAMA VYOTE VINAVYO WAKILISHA MASLAHI YA WA TANZANIA WANYONGE!! BIG UP ZITTO!! BIG UP UKAWA!!
@kashindembugano3467
@kashindembugano3467 5 лет назад
nchi inakutegemea sana mh.mbowe.pambana kwa masilahi ya taifa letu.
@sixbertkirway3395
@sixbertkirway3395 5 лет назад
mimi simwelewi zito
@regiuskitosi7101
@regiuskitosi7101 3 года назад
Kinacho endelea sasa hivi 2021 ndo kilitabiriwa na zito wapinzani wanaonekana kama waasi 😂😂 Tz bhana
@sinclairmosha809
@sinclairmosha809 5 лет назад
Akawaambia wanafunzi wake, Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake! Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa. Jilindeni; LK. 17:1‭-‬3 SUV 2019-2020 itakua ngumu kweli watanzania wenzangu, tujifunge mikanda Mungu yupo pamoja nasi hajatuacha....🙏🙏
@nabiiisaya5798
@nabiiisaya5798 5 лет назад
i
@helmanikomba576
@helmanikomba576 5 лет назад
Kinga nibora kuliko TIBA. Nyepesi vipi!!
@younginspired3899
@younginspired3899 5 лет назад
Akili mingi sana 🔥🔥🔥🔥💯
@deusmauka9626
@deusmauka9626 5 лет назад
Zitto yupo vizuri tatizo lake huwa anajiongeza kupita kiasi. 😂😂😂😂😂😂
@masaulihassan2463
@masaulihassan2463 5 лет назад
Anajiongeza etiiiii brooooo hahahahaahahaaaa
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 4 года назад
Huwa kuna kitu najifunzaga San kwa wabunge hawa wa upinzani. Zitto kasimama 2 hapo dakika chache tayari somo lishaingia MTU anataarifa🙋
@salummatumla5652
@salummatumla5652 5 лет назад
zitto nimemkubari sana yani kama ayupo bungeni linapooza sana mungu akuweke sana
@shomytventertainmenttanzan7842
Point Yani Tanzania inaelekea pabaya sana eh mungu tusaidie sisi
@dismasalex5064
@dismasalex5064 5 лет назад
Yes, Economist I real appreciate this... There is Correlation btn those variables
@V24hrs
@V24hrs 2 года назад
Zitto hapa uliona mbali sana
@ramadhanmanko4614
@ramadhanmanko4614 5 лет назад
Zito bashe tundulisu hawanimashine watz nawakubalisana
@furahanowa3420
@furahanowa3420 5 лет назад
Hakika kama tungepata wabunge 40 kama ww tungesonga mbele
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 5 лет назад
Zito wambie wananchi wako wa kgm tunakosa ajila kwa kukosa vitambulisho vya taifa watatupa lini
@salehmadawa7035
@salehmadawa7035 5 лет назад
Sawa kabisa makasuku kazi yao kuunga mkono tu lengo ni kuua vyama upinzani
@paulmnama9405
@paulmnama9405 5 лет назад
kweli kabisaaaaaaa
@mudhakirudauda7933
@mudhakirudauda7933 5 лет назад
Hakika
@dismasalex5064
@dismasalex5064 5 лет назад
Hakika
@nathanmapunda1052
@nathanmapunda1052 5 лет назад
natamani kuwa kama wew kaka zito
@francmnzava7513
@francmnzava7513 5 лет назад
Dah kakaangu zito umeongea vitu konki sana ila sasa anaye sikiliza anajikuta mungu mtu hana haja eti duh
@lennygeorge9165
@lennygeorge9165 5 лет назад
Leo nimekuelewa ,zito uko mzito kwa leo
@lucystanley2641
@lucystanley2641 4 года назад
Mungu aendeleee kukutunza Zito niko mbioni tu ACT
@asajilejohnmwakapinga1065
@asajilejohnmwakapinga1065 5 лет назад
mungu aku barik zitto kabwe tuko pamoja
@richardpondo5139
@richardpondo5139 5 лет назад
Nuaomba sana wataalam wa technology, chondechonde itunzen hii video ya Zitto ili ije itumike kama reference kwan alichokiswma ndio kitakachotokea,,
@gradsonkimalala7697
@gradsonkimalala7697 5 лет назад
Acha kitu elimu, zito yuko vizuri mno ila tatizo huwa wanafiki hawaoni.
@thomasmwamakula965
@thomasmwamakula965 5 лет назад
Yeah ni kweli
@swallygeho6780
@swallygeho6780 5 лет назад
Richard Pondo
@mikidadikigono191
@mikidadikigono191 5 лет назад
Kweli kabisa
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 4 года назад
tanzania haipendi haki usikauke mate zito tulia tu
@moslihimhamad5541
@moslihimhamad5541 5 лет назад
Hawa wabunge kwa kweli wapo wa aina mbili wabunge wanaowakilisha wananchi na wanaowakilisha matumbo yao
@jamesabdizo7581
@jamesabdizo7581 4 года назад
Zitto ubarikiwe
@abdillahichicha8366
@abdillahichicha8366 5 лет назад
Big up ZZK Watanzania tunakuelewa mungu akupe umri mrefu sana amiyn
@furahanowa3420
@furahanowa3420 5 лет назад
Zito zuber kabwe nitafuatilia mijadala yako mpaka mwisho
@paulmnama9405
@paulmnama9405 5 лет назад
Furaha Nowa uko vizuri sana
@stewardsimion7759
@stewardsimion7759 5 лет назад
Furaha Nowa
@mashaurinjile1609
@mashaurinjile1609 4 года назад
Tuacheni siasa hata kwenye ukweli
@musamshosha3612
@musamshosha3612 4 года назад
HAPA katema point
@mahamudualmas9094
@mahamudualmas9094 4 года назад
Furaha Nowa zito baba lao
@abdulseif4093
@abdulseif4093 5 лет назад
Kuna watu hata kama huwajui ukiwasikiliza utajua kuwa kuna watu bright sana
@yusuphmasingisa6722
@yusuphmasingisa6722 5 лет назад
good
@anzurunimakala8416
@anzurunimakala8416 5 лет назад
Zitto umesomea wapi na nipeleke mwanangu
@renatusrenatus5262
@renatusrenatus5262 4 года назад
daaah,mh zito hv umesomea wapi Kaká na mm nmpeleke mwanangu,,?
@gloryjoo6475
@gloryjoo6475 5 лет назад
zitto umeongea vzur sana.. nakukubali mno mbunge wangu
@sponsor7882
@sponsor7882 5 лет назад
THIS GUY IS WISE
@katapaj2336
@katapaj2336 3 года назад
nawaerewa sana kazi juu ya kazi amna maneno kama mido simba
@ibrahimdabo7163
@ibrahimdabo7163 3 года назад
hawa ndio viongozi wenye akili wanaosimamiya ukweli zito kabwe yuko vizuri sana mungu akubarik kaka duuuuu
@wilbertmmole4412
@wilbertmmole4412 5 лет назад
Nimekuelewa sana kijana
@athumanikaoneka5747
@athumanikaoneka5747 5 лет назад
Nimekuelewaa kamandaaa
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
“What goes around comes around”😂😂😂😂
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 5 лет назад
Hivi kati ya Zitto na Musiba ni nani anayeeleweka zaidi samahani kama kuna sehemu nimekosea.
@masudinusura7073
@masudinusura7073 5 лет назад
Eng ZUBERI R.A KILENZA huja kosea upo sawa msiba ni shoga
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 лет назад
Mwisiba mbele ya zito mtoto kwa siasa zito yuko vizuri kielemu pia kisiasa anasema ukweli lakin ukweli tu huwa unauma
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 4 года назад
Ukiwa na akili utamsikiliza Mh. Zitto la ukiwa kifuu tundu basi utamfuatilia musiba
@mfukunyuzi8335
@mfukunyuzi8335 5 лет назад
Nampenda sana huyu jamaa ,yuko vizuri sana kwenye kutengeneza hoja za msingi
@neybenson7881
@neybenson7881 4 года назад
Zito hoyeeeee
@josephkyando4918
@josephkyando4918 4 года назад
J
@isayaorongay7053
@isayaorongay7053 5 лет назад
Alizaliwa awe kiongoz....
@jameskivuyo5059
@jameskivuyo5059 4 года назад
Isaïe Entero
@alawibanda82
@alawibanda82 5 лет назад
tatiz xio km hawaon au hawaxikii wanaon xn na wanjua wanach fany kwakuw wao wanadola ndo man kil kt kwao ubabe xix wanyonge tunamxhtakia mungu kila m 1 mungu atampa Lana ya milele
@williamludovick5143
@williamludovick5143 4 года назад
Zitto akili kama tembo yaan unatsha braza!big up
@kulwakicheko5102
@kulwakicheko5102 5 лет назад
Zitto ni sawa na wabunge 100 ccm
@KVPONLINETV
@KVPONLINETV 5 лет назад
Kama wabunge wenu waongo waongo wa ukawa sawa sawa ila huyo zito ni ccm kama utamsikiliza
@gabrielmpanda9709
@gabrielmpanda9709 5 лет назад
Ni sawa na wabunge woote wa ccm + mwanasheria mkuu
@oscarobed7900
@oscarobed7900 5 лет назад
Mh Ndugai kweli nasema kutoka moyoni sasa hivi umekomaa kuwa Spika wa bunge... Nimependa sana
@rockcittymail9978
@rockcittymail9978 5 лет назад
Waambie baba CCM elim yao ni felia hata hawaon
@loishiyemollel8071
@loishiyemollel8071 5 лет назад
Pole zito ,kweli wewe unaona mbali Mungu akulinde
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 5 лет назад
Zito zito zito zito zito zito zito we ninomaaaaaa
@emmanuelmwanga9664
@emmanuelmwanga9664 5 лет назад
Mh Zitto Mungu akubariki . Ipo siku watakumbuka maneno yako
@allyramadhani5574
@allyramadhani5574 5 лет назад
Naomba mungu anijariye nizaee mtoto na aje kuwa kama zitto kabwe ni kichwa cha nchi mungu amlaze mama zitto mahari pema pepuni kwa kutuleteya kijana mzalendo zitto kabwe kigoma one zitto kabwe and tanzania
@ndaysengaalon4732
@ndaysengaalon4732 5 лет назад
Duuuuuuuuuuuuuh! magufuli tunampenda ila ajitathimini kwahoja kama hii alioitoa zito, inaunabii ndan yake, kuna maisha baada ya uraisi pia aman ya nchi nibora kuriko kitu chochote, hatutak vita sisi kwan tumezowea aman ndan ya Tanzania yetu pendwa, tutetee baba yetu magufuli mswaada huu usipitishwe Ahsante mh, zitto
@emanuelsumaye1810
@emanuelsumaye1810 5 лет назад
Hongera kabwe kweli.uzalendo wako ni wa kweli
@francischela2760
@francischela2760 5 лет назад
Hongera kaka zito demokras sio uadui wabunge mngekuwa na msimamo kama huyu nch yetu ingekuwa zaid ya ulaya
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 3 года назад
Safiiiiiiii
@johnramadhan4714
@johnramadhan4714 5 лет назад
kati ya wana siasa wanao ona mbali na zito kabwe ni mojawapo, kweli mswada huu ukipita hakuna haja ya kuwa na vyama vya siasa! ila wataya kumbuka haya ya Zito kabwe!
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 года назад
Kwani wale wabunge wanao leta hoja wanajua anacho kizungumza na wala hamja soma kama zito unataka kuvuruga mada ila hunaunacho kijua sikiliza mada mpaka mwisho mbona unaharaka ccm walah cheo zamana wallah mutaenda kuchomwa moto ukweli anao zungumza munalinda chama hivi unajua nini zamana ya cheo kama unadini basi utaelewa kuwa mungu alizungumza nn
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 5 лет назад
Kiukweli hata Mimi wananichanganya sisi sote watanzania lakini tunachukiana unamfanya mpinzani kama mkimbizi ooooo maskini Tanzania yangu wapi unapo elekea
@augustinomgonde1505
@augustinomgonde1505 5 лет назад
Mbunge bora kabisa kuwai kutokea.
@lukelombilinyi815
@lukelombilinyi815 5 лет назад
Bernadi Nangasi dah kwel kaka sijui wapi tunaipeleka Tanzania yetu
@naishimbilinyi3373
@naishimbilinyi3373 5 лет назад
Zitto ni Pasua kichwa sana ndani ya bunge
@dadycarenjr5732
@dadycarenjr5732 5 лет назад
Mm nadhani uje muswada wa Uhuru wa kukosoa pale tunapoona nchi haiendi vzur na kusifia pale nchi inapoenda vzur KIKUBWA tuwe na UZALENDO na Nchi yetu Haya mengne mbwembwe tu# Tamaa,ulafi kila mtu anataka awe kiongozi ili afanye anavyoona yeye hatuwezi kufikia malengo kwa mtindo huu
@eng.johndzmmolamu1816
@eng.johndzmmolamu1816 5 лет назад
Watu wenye uelewa mdogo hawawez kukuelewa sasaiz ila ipo siku watafanya reference kwa hizi hoja unazozitoa mh zito,mm najua uelewa wako uko juu sana
@zabibubashiri3034
@zabibubashiri3034 4 года назад
Mimi nnapenda sana Zito kwakweli big up Mh
@josephmtepa9552
@josephmtepa9552 4 года назад
Zinto wewe kweli mugu akujalie maishaalefu
@rasnchimbi
@rasnchimbi 5 лет назад
Huu mswada ni uhaini fulani unaotengenezwa dhidi ya wapinzani,haswa Zito,lisu,Mbowe,matiku,seif nawapinzani.
@saidomary4971
@saidomary4971 5 лет назад
zitto wewe ni zaidi ya wambunge 200 wa ccm unatunga sheria ya kukunyonga mwenyewe asante umewasaidia hawa fisiem waelewe
@tendwajohn7785
@tendwajohn7785 5 лет назад
Said Omary ccm kuna vichwa lkn kile chama kinawafanya wawe waajabu sana. nachukia ile kuunga mkono hoja. ndugai kwenye mada ya zito umetenda haki. Kuna wabunge ni comedian hapo
@herrykilele4622
@herrykilele4622 5 лет назад
sureeeeeeeee
Далее
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Zitto Kabwe, Bashe 'WALIPUKA'  Bungeni "Huo ni Uongo"
24:29
Первый день школы Катя vs Макс
19:37
Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package
19:34
Просмотров 321 тыс.
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08