Тёмный

GPS: RAIS Ruto yupo KIKAANGONI bado, WAKENYA kurudi kuandamana, si Muswada tena, ni MATUMIZI Makubwa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 295   
@fatmabukuku5384
@fatmabukuku5384 4 дня назад
Vijana wa Kenya wametoa funzo kubwa sana kwa vijana wa nchi zingine za Africa.
@simonmartin5358
@simonmartin5358 4 дня назад
Yah is that true.
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 4 дня назад
Hususan kwetu Tanzania tunapaswa kugeuza uoga kuwa courage kunakiongoz alitutusi kwa kusema tuamie rwanda asee dah
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 дня назад
Hadi vijana wa hovyo nao???😁😁
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 3 дня назад
@@jeremiahcharles6027 wote
@leonardyona1462
@leonardyona1462 2 дня назад
Hasa Tanzania
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 4 дня назад
Sio kenya , hata Tanzania ndio uozo mtupu. Mama na kina mwigulu.nchemba na ccm wote waondoke kama inavyoendelea south Africa, tumechoka kunyonywa damu
@missp1814
@missp1814 4 дня назад
Wacha warelax tu muda utaongea😂😂....
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 4 дня назад
Ndo alisema kama atutaki tozo twende rwanda .
@benoseaone
@benoseaone 4 дня назад
Nimesikuliza sana Hotuba ya Ruto lakini binafsi nimeona mambo mengi. 1. Ruto amepoteza kujiamini na anajaribu kutafuta huruma ya wananchi wake. 2. Amethibitisha kwamba Serikali yake haijui nini inataka kufanya na kusimamia mpaka wakumbushwe majukumu. 3. Ameshakumbuka alichokuwa amesahau kwamba nchi ni mali ya wananchi. 4. Ruto hajui Kusoma nyakati. Finally, alipaswa kuvunja Serikali Kisha ajiuzuru kwa kuwa tayari ameshaonesha udhaifu katika kusimamia masrahi ya Taifa.
@lusajondaga4892
@lusajondaga4892 4 дня назад
😊
@cocotz1892
@cocotz1892 4 дня назад
💯
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 4 дня назад
swadakta ndugu umeongea ukweli.....watanzania tunawapenda
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 дня назад
Kiongozi yeyote hata kama ni Rais lazima ukubali kukosolewa Kiongozi asiyekuvali kukosolewa hastahili kuwa kiongozi lazima aelewane na wananchi wake
@ShabanKarim-tv3vn
@ShabanKarim-tv3vn 4 дня назад
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 4 дня назад
Na hapo kwenye wapinzani ku take advantage ndio unamkumbuka sun tzu kwenye art of war " when things mess around take the advantage" yani kufa kufaana.. dj sma anaelewa hii❤❤
@djsma255
@djsma255 3 дня назад
Uko vizur
@JacksonYusuph
@JacksonYusuph 4 дня назад
Kwanza kabisa niwashukuru SNS kwa kuanzisha kipindi cha GPS na kuanza kuchambua mambo kadha wa kadha. Mliyokuwa mkiyaongea/kuyachambua siku chache nyuma yametokea. Big up sana !!
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 4 дня назад
Kwanzo KDFaskari kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi hawezi kupiga risasi ndani ya nchi##Ruto must go
@hafidhmiraji9479
@hafidhmiraji9479 4 дня назад
Dj smaa we ni hatari bro daaahhh uko njema
@alisalimkenya3972
@alisalimkenya3972 3 дня назад
Dj sma Ana PhD ya uchambuzi nimekufwatilia zamani , salute
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 4 дня назад
We need ruto to gasp for air,aongoze akijua anaongoza raia siyo Bibi,mamake,watoto,mpango wa kando,ruto akifaulu kuongoza hii Kenya miaka mitano basi atakua amechoka sana na kuzeeka,awe pia mwangalifu asije pigwa lisasi na security wake
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 4 дня назад
Acheni kuongelea hizi mambo mna mtisha raisi wenyu Samia nasikia ........... nyie hamuoni hata Millard Ayo hame simamisha kupost😂
@Omosh003
@Omosh003 4 дня назад
Iwe jua, iwe mvua, he must GO.
@samirmswahili
@samirmswahili 4 дня назад
Dah polen sana ndugu zetu mungu awatie nguvu katka kipind munachopitia
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 4 дня назад
Hawezi kabisa kujiuzulu kwa sababu keshakula pesa za marrekani
@benoseaone
@benoseaone 4 дня назад
Kula pesa za Marekani isiwe kigezo cha kuwabenesha raia wa Kenya mzigo ambao hawakuutaka wao. Akalipe mwenyewe
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 4 дня назад
Duh ,,,kama wananchi wanaamua hivo ,,bila shaka kuna watu wanaifadhili hii ishu,,,kuna watu wazito wako nyuma
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 4 дня назад
Ndo manaake
@user-di9hk7bw5w
@user-di9hk7bw5w День назад
@@evelynemugeni2369unawezaj kufadhili mamilion ya watu
@mohamedabdulkadir6186
@mohamedabdulkadir6186 4 дня назад
Jamaa anatuma hadi snipers kuuwa protesters. Snipers walikua located kwa jengo la KICC juu😢
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 4 дня назад
600ml k/sh ndio bajet ya first lady? Hii sio sawa.
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 4 дня назад
PIYA TANZANIA YENU IZUNGUMZIENI LISU ANAANDAMANA PIYA AU AMONI? AU MPAKA WATU WAFE NDO YATAITWA MAANDAMANO? AU KUMUOGOPA SAANA SAMIA? MBONA MUNAMPAMBA SAANA UYO MAMA WENU AU MNASAAU KM NILAZIMA AWASAIDIE RAIYA YEYE KM RAHISI? TANZANIA MDOMO SANA NA YAKWENU YANAWASHINDA TUACHENI NA KENYA YETU😭😭
@richardrichope3528
@richardrichope3528 4 дня назад
Yani wakenya sijui vichwa vyenu vina nini au ni ujii? Watu huku tunataka muungano wewe unataka kenya kaa nayo tumekuachia mginga nini
@zayumar2955
@zayumar2955 4 дня назад
😅😅😅😅 mwache Mwenzio akili imevurugika na mabomu ya machozi😅😅😅​@@richardrichope3528
@zayumar2955
@zayumar2955 4 дня назад
Sio rahis kiivyo ila (MUDA UTAONGEA SISI AFRICA NI NDUGU)🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@simonmartin5358
@simonmartin5358 4 дня назад
Kuna mke wa zakayo naye anasumbua sana kwenye taifa la ughaibun naye amekuwa kero tena shidaa hajui nini maana ya maisha ya mnyonge. Ipo siku mnyonge mnyongen lakin hakiyake mtatoa.
@halimamunga1681
@halimamunga1681 4 дня назад
Tuisubili hii TANZANIA tizama migomo ya kufanya biashara hii itatupeleka mbali kama viongozi hawata sikiliza wananchi
@destindjumbe8023
@destindjumbe8023 4 дня назад
Kizuri Ruto must go, wanatuleteya muswada wa kufanya Watu wateketeye hao they dont care.
@OnlyRuky
@OnlyRuky 4 дня назад
Ruto hutuba yake sikuitegemea ilivyosema.... vile nilidhani atajiuzuru....Kenya stand up All the best mpka mpate haki zenu maraisi wa Africa iwe fundishoo kutoka Kenya
@user-vx1vb4cz6m
@user-vx1vb4cz6m 4 дня назад
GPS Hongera Hongera Tena kwa uchambuzi wenu ulio kuwa pansa na wasi
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 4 дня назад
SNS mpo vizuri sana...
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 4 дня назад
Sns tukumbushane ,,chanzo cha yote hayo ,ni kutokea kwa Muigizaji ERICK OMOND Ndie mtu wa kwanza kuibua hizi mambo na kutia nguvu ,na erick omond amekuwa mstari wa mbele sana kwa hii ishu ya maandamano ya kupinga mswada
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
dah ila umesema kweli kabisa. ndi yeye huyu jamaa
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 4 дня назад
Dah alishindwa kuwaambia polisi wasiwaue watu, kashabeba dhambi za damu za watu, honest is too bad,
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g 4 дня назад
Leo ndio FINAL MAANDAMANO
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 4 дня назад
Balaaa sana must go
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 4 дня назад
Samahani bro ni kimekosea kuituma hapo. Utuko pamoja bro.
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 4 дня назад
Tatizo la ruto ni kujifanya m babe kwa wananch wa kenya huu upuuuz labda kwetu tz il xo kwa Gn Z #kenya Na huku kwetu tz watoto wa 2000 kinukixheni
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 4 дня назад
KWELI KBX KAKA TZ WASAANI WANAMPAMBA SAANA UYO MAMA SAMIA WANASAAU KM NIMAJUKUMU YAKE ANALAZIMIKA AFANYE NA YAKIMXHINDA ATOKE KILA SIKU MAMA MAMA MNASAAU KM KIJIJINI WATU TUNA ANGAIKA YAANI KAWA WEKEYA MADARAJA DAR 2 BS MNAONA TZ IMEFANA DAH😭😭
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 4 дня назад
Watoto wa 2000 wamejaa mashoga
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 4 дня назад
​@@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1rtz ni tatizo bila katiba mpya hakuna kipya
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 дня назад
Hussein hana ubabe wowote swala kubwa nu kuelewana tu haina haja ya kuandamana hapo tatizo kybwa Wakenya wanasumbuliwa na Ukabila tu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 дня назад
⁠@@husseinhemedi9314 Katiba mpya ndio itaondoa uvivu wa akili kwa vijana? Tuwe wa kweli vijana walio wengi wa Bongo wako bize na upuuzi, kubeti, ushoga, kumfuatilia Mwijaku na Mama Levo, vita vya Dai na Kiba. Mtu anashinda mtandaoni akiomba like kuliko kuomba kazi nadhani tunahitaji kubadili tabia zetu.
@maidimples8236
@maidimples8236 4 дня назад
Tuliomuelewa dj smaa huyo mtu aloshindwa kumtaja tujuana 😂
@simonmartin5358
@simonmartin5358 4 дня назад
Mshupaza shingo huvu jika kabisa ruto must go
@user-vt6du7ll8l
@user-vt6du7ll8l 4 дня назад
Mkiwa pamoja habari ndo inanoga vzr
@mkambotv5418
@mkambotv5418 4 дня назад
Haja withdraw. Amekataa kusign tuu ila after 14 days mswada utakuwa sheria automatically. Bunge linaenda mapumziko mpaka 24 july, siku 14 zitakuwa zimeisha.
@djafro8729
@djafro8729 4 дня назад
Ruto must go
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 4 дня назад
Hasira ya mwanadamu haijawahi kutenda haki na kenya wajue Ruto Hana cha kupoteza anaweza kuondoka akawaachia nchi yao iliyoharibika kwa vita na umaskini...Mungu awape utulivu ili maamuzi ya hao vijana wa 2000 wasio na akili wajue mihemko haisaidii lolote...zaidi sana ni kumwaga damu na kuiweka nchi rehani
@bensonsimwa7263
@bensonsimwa7263 4 дня назад
Wewe ujui chenye unaongea ungeliishi Kenya ungelijua, nyamaza, ndio haki ipatikane sio vile unadhani, your out of modern generation,
@DanielMukora-jx1bh
@DanielMukora-jx1bh 4 дня назад
Very true
@DanielMukora-jx1bh
@DanielMukora-jx1bh 4 дня назад
​@@bensonsimwa7263iwapo atatoka ujuesio malaika ataingia,heri huyu tumeweza kulekebisha na akakubali
@zenajustus5731
@zenajustus5731 4 дня назад
Ungezaliwa Kenya ungeelewa,so huna makosa coz hujui shda zetu,but usiwe mwepesi wakuchagua mrengo bila kuchambua source yenyewe.
@hudumablack9339
@hudumablack9339 4 дня назад
Eti hasira ya mwanadamu haijawahi kutenda haki: Wewe ni mjinga kweli kweli, ya Dini unatuletea hapa? Ya Mungu mpe Mungu na kaisari mpe yake. Sasa kaisari amepata haki yake na amebadilisha mswada sasa kwa kuwa ameua raia wake, lazima Ruto aondoke.
@destindjumbe8023
@destindjumbe8023 4 дня назад
Raïs wa AFRICA wapenda kuoneya rahiya. Hasa hawa wanao shirikiana na hawa wanyonya damu ma Beberu ya Europa na America.
@rosekulola8355
@rosekulola8355 4 дня назад
Hawezi withdraw financial bill amekataa kusign of which asipoipresent parliament in 14 days inakuwa law so anajifanya smart kumbe kuna wasomi Kenya
@hanifa9153
@hanifa9153 4 дня назад
😂😂😂
@ProdactTV-T9814
@ProdactTV-T9814 4 дня назад
Na parliament inaenda recess till July 24. Ruto anafikiria sisi ni mafala.
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 4 дня назад
ALIILANI URUSI HATIMAE MUNGU KAMLAANI YEYE 😂 RUTO NI RAIS WA HOVYO SANA
@issakibwana6497
@issakibwana6497 4 дня назад
Moja ya mabango ya wanda manaji huko Kenya. Aliandika. Hata zuwena hajabadilika ghafla ruto amebadilika ghafla Jmn 😢
@furahachuma9039
@furahachuma9039 4 дня назад
Haaaaa 😅
@abdallasaid5593
@abdallasaid5593 4 дня назад
You can't advise Ruto ....Ruto is the one who advise his advisors.... huwezi elewa😂😂
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 дня назад
Kw mujibu wa Hali ya watu wa nchini Kenya kuandamana,Muswada ulikuwa km busty lkn kuna kitu nyuma ya pazia lkn sababu kuu ni Ruto kuna kosa kubwa kalifanya la kimkakati la kimataifa kw wazo. Langu k w kiasi flani km. Alivosema Henry mwinuka kuna generation mbili 2 X na z hii Maana yake kuna mfanano wa ideology ktk vizaazi vi2 hivi vipo tofauti na mawazo na vipindi vya nyuma.lkn ndani ya waandamannaji kuna watu Wana target au shabaha ambayo ni mbali na Muswada. Lkn. Kw nini baada ya. Kauli ya Ruto tunaona bado maandamano hayakusita?
@user-en2md9kn5n
@user-en2md9kn5n 4 дня назад
Samia must go😂😂
@hamadiizo
@hamadiizo 4 дня назад
Big up
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 23 часа назад
MBONA KUNA KAULI NILIMSIKIA KINYATA AKIMALIZA MIAKA 10 YA URAISI ANAINGI RUTO KWELI WANAMISWAKI AWA VIONGOZI WAWILI?????
@mohammedhimba1647
@mohammedhimba1647 4 дня назад
Usalama wa Taifa kenya umempotosha Rais kwani walipaswa kulitambua hili na kumshauri Rais kwani Gen z walihasishana kwenye mitandao siku kadhaa baada ya mswada kuandaliwa hivyo interejensia hawakumshauri vizuri au walifanya kazi kwa mazoea...
@Nagmah-gf4lp
@Nagmah-gf4lp 2 дня назад
Mungu saidia
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 дня назад
Alifu nilicho penda hawa vijana waliandamana bila kutumia mwanvuli wa chama chochote bali waliungana kutetea maslahi mapana Ya wananchi.
@RuttaJames-kh5jx
@RuttaJames-kh5jx 4 дня назад
Tanzania bajeti himepitiswa au bado hila bongo Huwa hatuna hakili kbs
@alphadreammedia
@alphadreammedia 4 дня назад
Tayari imeshapitishwa Ina 49.67 Tirion
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 4 дня назад
Imegawanywa vipi?
@nomoboy152
@nomoboy152 2 дня назад
#SNS Naomba kujibiwa kama usalama wa taifa wanasimamia usalama kwani pesa zinavyopigwa na viongozi hawaoni kama raia ambao wanaona pesa zinapigwa kila siku amani inazidi kuwa ndogo na wao wazuie au ndo na usalama wa taifa ni miyayusho pia
@Eng2460
@Eng2460 4 дня назад
This is SnS🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
@billskeez92
@billskeez92 4 дня назад
Nakubaliana nawewe Ally Masubi 👏 Mpaka Sasa kinacho takiwa RAISI RUTO ajiuluzu tuu
@bbng9475
@bbng9475 4 дня назад
🔊🎼✌️🫶pow kweli kaka Colorado moja✌️🔊🎼
@M7-Band
@M7-Band 4 дня назад
Tatizo jamaa anajifanya so smart,but vijana wa saivi ten steps ahead of him,we cant trust him anymore. hata kama amekataa kusign,after 14days inakuwa sheria
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 4 дня назад
Tatizo hili haliko Kenya tu, bali ni la Afrika mashariki kwa ujumla wake, viongozi wetu wanalipina posho, wabunge wanaoptisha Sheria kandamizi wanalipwa mishahara mikubwa, kazi wanazofanya hakuna, wananunua magari ya kifahari, badala ya kupunguza matumizi ya Serikali kipau mbele chao ni kuwabebesha mzigo wa Kodi, hili la Kenya liwe fundusho kwa nchi zetu za Afrika mashariki.
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 4 дня назад
Wachambuz,sma ,skyks na masubi mpo vizur najua mnatakan kuitaja tz lon ndo ivo wasiojulikana wapo smwhere, lkn wa cuba tunaelewa🫡
@djsma255
@djsma255 4 дня назад
😂 watu wa cuba mnamatatizo nyie😂
@oyay2821
@oyay2821 4 дня назад
I am happy no deaths today Thursday 27th, and we are slowly going back to calm.
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 3 дня назад
Sisi atumtaki yeye iyo 2027 tuta mpeleka home 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chapuztv3040
@chapuztv3040 4 дня назад
Bamutowe tu because Africa ataisumbua alifurahi bakia banashabulia Congo bamutowe hatujafulahi kuungana na marikani
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 4 дня назад
😂 batamutoa tuu papaa
@maidimples8236
@maidimples8236 4 дня назад
Tunawasikiliza vizuri but when its came Tanzania you guys do go specific on the issue
@Mama-A
@Mama-A 4 дня назад
First half imeisha....reject finance bill 2024 1-0 Second half..........Ruto must go
@user-ls2fq5ks7f
@user-ls2fq5ks7f 4 дня назад
Mm binafsi kwa Maoni yangu Naona kama Wakenya wamewekwa kwenye mtego Kwa sababu Bunge limefungwa kwa Likizo mpk July inamaana kwa katiba yao hata kama Ruto Hatasaini Siku 14 zikipita bila Bunge kwepo Kazini huu Mswada itakuwa Sheria kwa hiyo Kuna mtego kati Rais Bunge thidi ya Wakenya
@hanifa9153
@hanifa9153 4 дня назад
😢😢😢
@cooljay9489
@cooljay9489 4 дня назад
ndomana bdo wana protest
@jumaramadhan1600
@jumaramadhan1600 4 дня назад
Wabunge waliopitisha mswada wa fedha waliangalia upande mmoja WA kujilikimbizia mali na kutowajali waliowapeleka bungeni😢
@elishakimanga
@elishakimanga 10 часов назад
Maana ya yule askari kukatika mikono inamaanisha serikali ya luto wataitoa madarakani
@saimongilala8938
@saimongilala8938 4 дня назад
Yan alipo kwenda kwa mashoga kuiponda urus 🇷🇺 nilimzalau sana
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 4 дня назад
Ushagatamu!!
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 4 дня назад
Yeye Huwa kigeugeu.
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 4 дня назад
Hapo ndio tunaenda , Alikuwa zaidi ya 150
@user-bv6ew9po7u
@user-bv6ew9po7u 4 дня назад
This is East African spring. Viingozi wa Africa Mjitasmini zakayo omba Mungu lasivo hiyo Matako hutaweka tena kwa kiti Raiyaa wameshakushtukia wewe ni Kibaraka wa Western
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp 4 дня назад
Ally umenifurahisha eti hapitajiki D mbili kukuelew yan principles pass
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 4 дня назад
Ukiingia mkataba na Marekani hakuna kujiuzuru mpaka utimize malengo yao yani hakuna tofauti na kuchukua mkopo kwenye app ya simu hakuna kutoka mpaka umalize deni Ruto kayavagaa
@aminaali792
@aminaali792 4 дня назад
Dah!!
@aminakenea9614
@aminakenea9614 4 дня назад
Je Imani zao zina ufahamu ya kwamba mungu yupo? Wakipata jawabu,Mtondia naakini watabadilika na kila kitu kitakuwa sawa
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 4 дня назад
Watanzaniya, Huku Kenya tumeshinda , lakini bado tunasonga mbele
@jafarimnaro704
@jafarimnaro704 4 дня назад
Tuko nyuma yenu majirani
@golebenson4597
@golebenson4597 4 дня назад
🎉🎉🎉
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 4 дня назад
Sma em ongelea KENYA, acha kuongelea RUTO. Maana inaonekana uko against RUTO tangu atoke kutafuta msaada America. Umeulizwa swali......Je suala hili litasambaa AFRICA?.....Jibu hilo, acha kum attack Ruto!
@gasparmpoma3860
@gasparmpoma3860 4 дня назад
Let's Wait and see Today's Demonstration. We pray for you Kenya, if this was God's plan it will be inevitable.
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 4 дня назад
We gave him 48 hours
@user-ho2jy6mc8i
@user-ho2jy6mc8i 3 дня назад
Ruto must go 🤨🤨
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 дня назад
Hao Wabunge Nyuma ya Ruto, Wote ni Wezi na Mafisadi... Eti Leo hii, Wanapiga Makofi...😢 Na juzi mwandishi aliuliza Swali wakacheka sana kwa dharau...
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 дня назад
Tunafahamu Changamoto za kiutendaji lkn GPS Kwa njia ya cm haiko smart kabisa
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp 4 дня назад
Hii issue ya mapinduz bolvia imekaaje wakuu
@MargaretNyambura-zm5em
@MargaretNyambura-zm5em 4 дня назад
Gen Zs after 21 day hii bill itaanza kufanya kazi,ache kutumbemba ujinga hakuna kutuliya Leo ni maandamano Hadi atoe Bill yote chini
@3erffeoui86
@3erffeoui86 4 дня назад
HII MWASADA IMF NDIO IMESUKUMA ATA WALI HONGA KILA MUBUNGE MILLION MBILI KENYA SHILLINGS
@NepporSabith
@NepporSabith 4 дня назад
Duhhhhhhh ubabe unamwisho
@aminakenea9614
@aminakenea9614 4 дня назад
Yani imejitokeza kiongozi tulio Wachovia ni ukosefu wa INANI kbsa
@isaacramadhan9721
@isaacramadhan9721 4 дня назад
Hawa vijana kuingiya state house siyo tatizo maana naona kama bunge walingiya na kuchoma na wabunge kuingiya mitini basi state house wanaweza ingia, Rais wao asijipige kifuwa lazima asikize wananchi maana wee kenya nawapa heko
@lovebitegang
@lovebitegang 4 дня назад
Cheki uyo dada mweupe Alivo na komweeeeee😅😅😅😅
@zenajustus5731
@zenajustus5731 4 дня назад
Ndiye mwizi mwingine waporaji wa serikali ya kenya.
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 4 дня назад
Haina maana because too late
@gregorymukui980
@gregorymukui980 4 дня назад
Shida ya ruto ni utumiaji wa pesa kwa wambunge kama sudi, ichungwa,ndindi nyoro wanazunguka na pesa kaa miungu ndo wanavyo chomewa manyumba na maafisi kisha tulipe kodi wakule mbure manyangao😭😭😭
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 4 дня назад
Zakayo kiburi yake ndio imefanya afikishue hapa jamaa amepata mamlaka akawapotezea wanchii atajua hajuii marahii atarefuka n hio ufupii kavule bakuli ymboga mwizii mkubwa n kibaraka w mashoga U.S mtu pumbavuu kabisa
@mpefu_4936
@mpefu_4936 4 дня назад
Kwenye hiyo lazima kutokee vifo akuna uhuru bila damu hiyo walijua kabisa ni kitendo Cha kuamua
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 4 дня назад
Ruto hakuwa chaguo la wakenya..ukweli unejukikana sasa. Huyo shetani lazima tumbandue
@hbdina
@hbdina 4 дня назад
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Mimi kama Mtanzania nasisitiza tuachane na mikopo Hasa ya IMF na IMF ni vyombo vya kutunyonya tubaki masikini.Ni mashirika ya nchi za Magharibi ni pesa zao wanaprint tu.
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 4 дня назад
Kakonda Ruto katoka shingo iyo 😂😂famasihara😂na nguvu ya umma Tanzania 🇹🇿 pekee ndo tutakaochelewa kujipigania wasanii wetu hawapo pamoja na wananchi wapo na serikali bega kwa bega kwa maslahi yao kenya wasanii wao wameungana na wananchi kuipinga serikali bongo wafanya biashara wamegoma hakuna sauti ilopazwa kuwapigania
@user-pi4et2cc7s
@user-pi4et2cc7s 4 дня назад
KENYA NA WAPA PONGEZI SANA KWA MISIMAMO WENU NA UMOJA WENU HONGELENI SANA AMANI ITAPATIKANA KWA DEMOKRASIA AU KWA ICHA YA UPANGA.
@salmasaid7058
@salmasaid7058 4 дня назад
Leo hadi ikulu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 дня назад
Kaka smaa we ujuwi kumbe unasema wangeweza kukubali mapema kabla ya maafa...shida walikuwa wanapima upepo wa wananchi...viongozi bwana wanakopa mipesa mingii alafu wanafanya ufisadi alafu maden yote wanatutupia sisi wananchi wakawaida..
@djsma255
@djsma255 4 дня назад
Najuwa walikuwa wnapima, na ndio mana nikasema wangeweza kukubali mapema, ukipima ni 50,50 inaweza kukubali au kubuma, so r u ready to take the risk? Narudia tena wangeweza kukubali mapema, niliongea haya kabla ya mandamano nawajuwa wakenya
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 дня назад
@@djsma255 Mimi nipo pamoja Sana na ninyi kaka smaa .Yan aya mambo yamakato bila sababu nikwer yanaumiza Sana wananchi Yan ..maisha magumu no ajira mikod mikubwa watu hawana furaha ya maisha kabisa..ila ndo ivyo inabidi ukae tu kimya..maufisadi..
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 4 дня назад
Sifa ya kiongozi bora ni awe hatua tatu zaidi mbele kabla ya kuamua jambo hususani kwa wananchi wenye misimamo mikali ka wakenya..ile bills aisee ilibidi ajue kinachofuata ni kipi, ilibidi mapemaaaa aitie kibiritii😅
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 дня назад
@@husseinmassawa7186 tatizo walijizima data walijisahau wakazania wakenya wamepowa kumbe Bado wapo active Zaid na washachoka na maisha mda tu ivyo kujiripua kwao sio tatizo..safi ila maandamano yawe ya amani tu Kila la heri kwao wakenya
@fahmanalbulushi2925
@fahmanalbulushi2925 4 дня назад
Tusisahau kuwa kabla ya south africa nigeria waliteta demonstration ya wafanya kazi na kufata Kenya na Tanzania Wana demonstration ya wafanya biashara hii ni wimbi la vijana ambalo mmojanya wasemaji marekani alisema Kuna nguvu ya umma ambayo Ina nguvu Sana la kufanya ninkukaa mbali na kuwapa njia na kuwasikiza
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 4 дня назад
We don't need anything from ruto but to leave the office
@abdallasaid5593
@abdallasaid5593 4 дня назад
You can't kill us and lead us....he shud resign Ruto must Go🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪occupy state house
@DanielMukora-jx1bh
@DanielMukora-jx1bh 4 дня назад
Kwahivo tuyaite mapinduzi
@abdallasaid5593
@abdallasaid5593 4 дня назад
@@DanielMukora-jx1bh ndio we want him to resign peacefully hatuna Imani nae
@danielmgalla558
@danielmgalla558 4 дня назад
During consultative meeting na wananchi waliukataa mswada mzima kwa 90℅. So basically ni mswada mzima unakataliwa
@jenifferwanjira6124
@jenifferwanjira6124 4 дня назад
Sad
@timothykaiza327
@timothykaiza327 4 дня назад
Kwan shida iko kwa wa bunge walioamua au ni Ruto kaagiza hivyo, naomba kupewa elimu hapo
@exclusive4528
@exclusive4528 4 дня назад
Ruto anafaa kuskiza wabunge ila anawahonga na kuamua yeye Sheria ila sivyo Sheria itakavyo...kwaio yeye analazimisha anavyotaka yeye ndo tatizo
@beatricemortensen8533
@beatricemortensen8533 4 дня назад
Hii ilyotokea Kenya ni UHAMSHO wa nchi nyingine.za.Afrika, hasa hasa nchi majirani zenye tabia km ya Kenya, Rushwa, Wizi wa fedha za UMA, serikali nguli km mnavyojiita .
@samtechtanzania3252
@samtechtanzania3252 4 дня назад
Ruto alitaka kukurupuka inatakiwa atumie akili kubwa san na tena angeruhusu jeshi ndio ingekuwa mbaya zaid ingekuwa kama 2007 hali ingekuwa mbaya sna
@KuwakuMalumba6895
@KuwakuMalumba6895 4 дня назад
🫵🏿👊🏿🇰🇪🇧🇮🇨🇩🇹🇿🇷🇼👊🏿🫵🏿Kweli Kaka matatizo Africa yana fanana sana! Viongozi awajali watu wa Africa's 😢 Africa ali ningumu sana sana😢 Africa watu wana kufa kila siku😢 wa Africa shida nikila siku 😢 Africa viozozi wana iba sana😢 Africa akuna madawa hospital 🏥 😢 Africa kila siku ni vita😢 lazima tukataye sasa😢 Africa President's they don't care about Africa's people's 😢 Africa's President's they keep make us Africa's people's be more poor every day 😢 Africa is very poverty every day! Kwa kweli sisi wa Africa tuna shoka na viogozi wa Africa's😢 Kila mwaka wa Africa tuna kimbiya Africa kuja Europe 🇪🇺 sio kwetu 😢America 🇺🇸 sio kwetu😢 UK 🇬🇧 sio kwetu😢 Australia 🇦🇺 sio kwetu 😢 Canada 🇨🇦 sio kwetu 😢 lazima tutegeneze Africa yetu sasa hivi😢 our Africa's President's they keeps send our money 💰 Africa's people's to Europe and America 🇺🇸 how many Africa's people's died every day in Africa 😢 we need change now all Africa 😢 power to all people's of Kenya now 🇰🇪🇧🇮🇨🇩🇹🇿🇷🇼🫵🏿👊🏿
Далее
▼ЧЁРНАЯ МАГИЯ 🔮
31:15
Просмотров 436 тыс.
Попрошайка на BMW😅 #shorts
0:42
Просмотров 336 тыс.
Странный Ситроен Кларксона
0:56
Реактор
0:56
Просмотров 12 млн