Тёмный

TAZAMA ULIPOFIKIA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA MSALATO DODOMA 

Daily News Digital
Подписаться 222 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

DODOMA: WAZIRI wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mkandarasi anayejenga Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Msalato mkoani Dodoma kuongeza kasi ya ujenzi ili ifikapo mwezi Septemba hadi oktoba mwaka huu majaribio ya kutua na kuruka ndege yaanze.
Profesa Mbarawa ameyasema hayo alipofanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa njia ya kurukia ndege na ujenzi wa jengo la abiria unaotarajia kukamilika mwishoni mwa mwaka 2025.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@user-ne4lv6wn9y
@user-ne4lv6wn9y Месяц назад
Tunataka uwanja mkubwa kuliko vyote afrika mashariki na jengo la abilia liwe kubwa na zuri zaidi la kupendeza
@onetwoem1808
@onetwoem1808 Месяц назад
Huyu kweli wamtoe yupo slow mbaya, sio mara ya kwanza anaongea ujinga kwenye habari kila mara akiongea.
@samasob8233
@samasob8233 Месяц назад
nilidhani ni mimi tu aisee, alitolewa na Magu, Samia akamrudisha position hiyohiyo, kama alivyowarudisha kina Nape na Makamba. Jamaa sijui huwa anatetemeka akiongea au vipi, hata haeleweki, eti upana wa runway utakuwa 60 sentimenta dah!
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Месяц назад
Mheshimiwa centimeta 60 ni urefu wa rula 2.
@KaziDepartment
@KaziDepartment Месяц назад
Ndio unene wa lami, sio upana wake.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Месяц назад
Huyu jamaa ni miongoni mwa watu wanao ihujumu bara. Maguculi alipanga kuje ga huo uwanja uwe miongoni mwa viwanja vikubwa duniani. Sasa hiyo sentimita sitini sijui ndiyo nini!!
@laheonlinetv2161
@laheonlinetv2161 Месяц назад
huu uwanja wa Mwanza vipi? pamoja mnatudharau hivi
@mopalmo5818
@mopalmo5818 Месяц назад
mheshimiwa 60cms is equals to 2 rulers 😂😂😂 why you lying brodaa
@SATZ-news
@SATZ-news Месяц назад
Upana wa mita 60 sio sentimita😂 Harafu unatakiwa utumbuliwe unapeleka mambo polepole sana kama kuongea kwako hujachangamka😂
@KaziDepartment
@KaziDepartment Месяц назад
Unene wa lami, sio upana.
@dullahomar6377
@dullahomar6377 Месяц назад
Thickness
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Месяц назад
hahah, maneno mengi
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Месяц назад
Upana wa sentimeta 60?
@emmanuelkubambala1998
@emmanuelkubambala1998 Месяц назад
Thickness
@jumashedafa
@jumashedafa Месяц назад
Very slow hay majengo mnaona ata aibu kuonesha
Далее
Majaribio ya ndege  uwanja mpya Dodoma kuanza Agosti
6:39
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 7 млн
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
Просмотров 23 тыс.
FUJO za Mange kim@mbi Leo kwa Raisi
4:26
Просмотров 268
Kenya vs Tanzania Compared Mega Projects 2024
8:30
Просмотров 73 тыс.
CCM, CHADEMA WAUNGANA KIFO CHA KIBAO
2:56
Просмотров 10 тыс.