Тёмный

Halima Mdee Vs Goodluck Mlinga Bungeni 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 720 тыс.
50% 1

Hii ilitokea bungeni Dodoma wakati wakati wabunge wakichangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI ambapo Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliposimama na kuwakosoa wapinzani baada ya kukosa nafasi ya uwakilishi wa wabunge wa Afrika mashariki, Mbunge wa Kawe Halima Mdee akalazimika kusimama kuomba mwongozo.

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 329   
@melinanelson8727
@melinanelson8727 7 лет назад
Mmmmh Aibu mno bunge la sasa...... Mmmmh mara kuchokonowa Duuuh hivi hizi kauli na mipasho ndyo tulivyowatuma. Mungu hakusaidie TANZANIAN
@harunaabdallah309
@harunaabdallah309 5 лет назад
Hivi ndiyo bunge inafurahisha
@josephaty9010
@josephaty9010 7 лет назад
mlinga una ubongo unaofanya kaz sana na unajua kucheza na akili za watu, mdee hakuwez kwa strong thnkng labda kwa matuc2
@emmanuelmpunza5404
@emmanuelmpunza5404 7 лет назад
Daaaaaah daaaaaaah bora hamuoneshi bunge live aiseeeeeeee bora makonda mmoja kuliko ujinga wenu bungeni. ingawa sio wabunge wote pole sana mh naibu spika kuwaongoza haooo watu watakulaza na viatu kwa ujinga wao.
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Mlinga is best ever ....Kwan kaongea uongo hapo ? Genda NI muhimu Sana kuzingatiwa....
@barakaboniphace4067
@barakaboniphace4067 3 года назад
Me ni ccm but halima nampenda Sana..anaongea points kbs Tena with evidence
@michaelmapunda6373
@michaelmapunda6373 7 лет назад
kumbe mlinga unaongeaga point sometime well done
@philipongilini8604
@philipongilini8604 4 года назад
Mbna huwa anaongeaga
@nessa4899
@nessa4899 7 лет назад
Ndio Halima kusoma kuzuri Dada.
@jasparmallyashilekirwa674
@jasparmallyashilekirwa674 5 лет назад
Naibu Spika, Una kazi kubwa. Bwana Mungu akupe busara and pse. Simamia haki.
@veronicshaiyo2786
@veronicshaiyo2786 7 лет назад
mijitu mingine bhanaa kama ........halima we songa mbele achana na huyo mla majan
@evodiusishengoma7189
@evodiusishengoma7189 7 лет назад
Well said dr. tulia!
@emilymwashambwa8158
@emilymwashambwa8158 7 лет назад
mulinga yupo sawa
@jameshagwe3063
@jameshagwe3063 6 лет назад
naibu spika kwa mtazamo kama anakiburi!! ila ukweli Huyu sister anajitahidi sana na ana busara sana
@philipongilini8604
@philipongilini8604 4 года назад
Yaap
@alialle6441
@alialle6441 7 лет назад
Kwa kweli huyu mlinga chama kinatakiwa kimuangalie sana cdhani kama ni mtu sahihi
@edwardmlaponi201
@edwardmlaponi201 6 лет назад
Katuni
@gracerosi6179
@gracerosi6179 6 лет назад
Mlinga ahsante kwakuwapa ukwel sema wenyewe kazi nikupinga tu
@fridgeismybestfriendwhenit7149
akiongea mlinga kaongea pumba wakiongea wengine Jambo hilohilo mnawaita magenious.... what a stupidity
@husseinkisongo5349
@husseinkisongo5349 7 лет назад
fridge is my best friend when it's full of food
@majanimshana6006
@majanimshana6006 7 лет назад
ongea ukweli
@jamesmbembela121
@jamesmbembela121 7 лет назад
kilakitu mnaonewatu nyie nyumbu vipi
@klaragreen7999
@klaragreen7999 5 лет назад
YAANI NAWAHURUMIA WATU WA JIMBO LAKE..YAANI WALIKOSEA SN KUMPA HUYU MLINGA UBUNGE...5YRS ANASHINDWA MUOMBA KILOMETA 70..ATAWEZA KUSHINDANA NA HALIMA???WANA ULANGA MJIFUNZE MSIKOSEE 2020..
@gregorymatandu9602
@gregorymatandu9602 5 лет назад
Klara Green,duuuuh!?
@fetilishazomar4799
@fetilishazomar4799 7 лет назад
Mpare Nakupendaaagaa sana Umeongea poa Halima,. Mlinga jiangalieeeeh Nini unaongea pumba kabisa
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 7 лет назад
kumbe tulia ni.mwalimu wako.halafu unamuita kilaza hahaha.jabu sana kwa hiyo.mwalimu kakufundisha ukilaza
@justinleveran6137
@justinleveran6137 7 лет назад
ninyi mlikulikuwa na uhakika na mkuu wa mkuu wa mkoa kutokuwa na vyeti. ....chadema wakiguswa hadi hurumaaa wanavyotoa milio
@Hedva255
@Hedva255 7 лет назад
mmmh bunge letu la tanzania hili eeh Mungu tusaidie....wanamsumbua huyu mama jamani chaaaaaaaaa. anaongea kama anaongea na watoto wa la kwanza kumbe watu wazima jamani.
@piusjaphet2760
@piusjaphet2760 7 лет назад
Hivi hawa wabunge watafundishwa mpaka lini?tuliwachagua mtuwakilishe matatizo leo ni upuuzi tu
@ndavidmhanuzi2130
@ndavidmhanuzi2130 7 лет назад
Mlinga nikilaza haijawahi tokea chini ya jua.Naibu spika anaharibu bunge
@sumatotv9437
@sumatotv9437 7 лет назад
hahaha...safi sana hii! :)
@ChristerKoku
@ChristerKoku 3 месяца назад
Wenye masikio tumemsikia Mlingwa na Halima.Mlingwa amechanganya mada
@raymondfelician916
@raymondfelician916 7 лет назад
Naibu spika nampenda sana
@bubinzamayanzi3103
@bubinzamayanzi3103 7 лет назад
Raymond Felician Safi sana.
@winifridamungure8986
@winifridamungure8986 7 лет назад
mlinga weeeh ni less point huna jipya cjui waliokuchagua wamekutoa wapi weeeh ndo unaongoza kwa kulewa ndo maana huna point.kilaza mkubwa huna jipya
@claudmsolla3893
@claudmsolla3893 4 года назад
Winifrida Mungure opo sawa
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 лет назад
akiongea mlinga hovyo lakni akiongea mpinzani hata kama ni upuuz yes.....huu ni ujinga wa mawazo
@dr.erickenock833
@dr.erickenock833 5 лет назад
Hakuna ccm anayeongea points hapo, alichosungumza mlinga kina faida gani kwa mfano?
@RoseRose-jq7fw
@RoseRose-jq7fw 7 лет назад
mheshimiwa, HALIMA mdee We jembe nakukubali Dada
@samsonmwijage1602
@samsonmwijage1602 5 лет назад
Nyhama Pagi mbowe alipata division zero(0) form six(vi) Ihungo sekondari- Bukoba. Baada ya hapo akafanya kazi night club(bilicanas) akakwepa kulipa kodi majengo ya NHC hadi alipofilidiwa mali na kuondolewa hapo. Mbowe uenyekiti wake chadema aliupata kutoka kwa baba mkwe wake Edwin Mtei ambaye alianzisha chadema. Mbowe amejigeuza mfalme hataki uchaguzi hadi leo.
@elminakalunga4030
@elminakalunga4030 7 лет назад
MmHg! Halima nayee pumba vilevile. Mhe. Naibu Spika mbona naye kaelezea sasa.
@muhammadsalim7936
@muhammadsalim7936 4 года назад
Hajasagana tangu juzi
@aishaabdion9802
@aishaabdion9802 7 лет назад
jmn embu tuachieni Mlinga wetu khaaaa Kwan vepeeeee sas kama kacngzwa acweke waz ili aeleweke inahuuu kuweka kitu moyon. Baba komaa wakatujengee madaraja yetu na umesahau maji yamebeba mahindi njaaaaa 😢😢 wenyew tunakukubali hakuna cha kiki wala pumba 😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤
@ramadhaniwaziri9300
@ramadhaniwaziri9300 7 лет назад
Aisha Abdion chokonn
@omaryjuma4974
@omaryjuma4974 6 лет назад
kavaa viatu vya mama ake
@boscomlingi4186
@boscomlingi4186 5 лет назад
daimondi panam
@divaifrank6746
@divaifrank6746 5 лет назад
kuna wanaume wa ccm hapo wana mambo ya kike eti 👌
@masongatz
@masongatz 4 года назад
Huyo Bekul ndio kalewa sasa wameshawachanganya vichwa vibovu, Huyu Mlinga ndo kabisaa hata lugha hajui ahahahaa
@aynothwilson6490
@aynothwilson6490 4 года назад
Masongatz_01 FC/0*'
@ismailabdallah4268
@ismailabdallah4268 7 лет назад
tuache upumbavu kwanini akiongea wa ccm ndiyo tatizo akisema wa chadema hata kama ni mwehu mnasema tu.
@marygaspar6429
@marygaspar6429 5 лет назад
Mlinga itakuwa viti maalum, sidhani kama alipigiwa kura huyu!
@herielimndeme4759
@herielimndeme4759 4 года назад
Mlinga akuna mtuapo
@clt9914
@clt9914 7 лет назад
Hii ni chaos inayotokana na naibu kushindwa kudhibiti Bunge. Naibu anafurahia baadhi ya maneno yeye binafsi anageuka shabiki na kuharibu kazi ya kitaifa.
@faridastephen6210
@faridastephen6210 7 лет назад
Changamoto tupuuu???mlinga un educated shida iko hapo sasa ndicho kilichopo katika mijadala ya bunge kwelii aisee!!!!ccm wanalopoka ujinga lakin hakuna anaetolewa njee ila so upinzani hii nch bana🚶🚶
@justinepaulomaheomahe3582
@justinepaulomaheomahe3582 7 лет назад
duh mlinga aeelewiii!!!!?je jimbo kwake jama walizingatia nn hadi kumchagua
@zakhiamasina4407
@zakhiamasina4407 7 лет назад
Alirithishwa huyo
@klaragreen7999
@klaragreen7999 5 лет назад
Walikosea sn
@yohanakishosha6542
@yohanakishosha6542 6 лет назад
Muongo ww tumekuzoea angekuwa wa chadema ungeunga mkono kuwa amekosea acha upendeleo
@ibrahimjaphet5537
@ibrahimjaphet5537 7 лет назад
halima mdee ongea kweli katka hilo
@nyhamapagi9694
@nyhamapagi9694 7 лет назад
kumbe mbowe ni form six zerooooooooo bashite
@ahmadkhattar6760
@ahmadkhattar6760 7 лет назад
hawa bunge wa ccm wengi ni bendera hufwata upepo
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 4 года назад
mungu hapendi kwakweli hivi ninyi wabunge hamjui kwamba BUNGE NI MAHALI PATAKATIFU SANA?HIVI TUMEWACHAGUA WA KAZI GANI?NDUGU ZANGU TUJIPANGE UCHAGUZI UMEFIKA TUSIWARUDISHE WAHUNI KAMA HAWA.
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 5 лет назад
Dah Naibu spika unachapa kaz sana 🤔🤔
@zinapz5251
@zinapz5251 7 лет назад
mlinga amnakitu
@eliasabel1099
@eliasabel1099 7 лет назад
mlinga oyeee!vzr sana
@famousbox9525
@famousbox9525 7 лет назад
yan nikitaka kucheka naingia zangu RU-vid natafta video za bungeni yan ni kama niko na kansiime live 😂😂😂😂😂😂😂😂
@khdigahk4246
@khdigahk4246 4 года назад
Km mimi dear😃😃😃
@lucyleopold3324
@lucyleopold3324 7 лет назад
jamani Hawa wabunge wetu wanapenda kuendekeza mambo yaliyopita badala watumie fursa kutuwakilisha vyema wananchi wao wanazungumzia mambo yaliyopita wanabore
@saidimpako5186
@saidimpako5186 6 лет назад
yani huyu mbunge mlinga kama anakuwa jimbon kwangu simchagui
@solomonmwisala157
@solomonmwisala157 7 лет назад
hao wanao zomea ni vibaka. endelea mdee
@happylove2982
@happylove2982 5 лет назад
Umeona eee
@amanipima5122
@amanipima5122 5 лет назад
chanzo chafulug bungeni nikutozingatia utaratibu unaotakiwa 1 .Hakunanidham 2.Hawatoi hojakamaipasavyo bainayachama cha ccm nachadema inatakiwa wapingane kwapoint 3. Mheshimiwa naibsipika inatakiwa uendeshebunge kamainvyotakiwa 4.Kitukingine inatakiwa utaratub wabunge ufatwe msiendeshebunge kimzahamzaha!
@japharymayanga3347
@japharymayanga3347 7 лет назад
humo ndani mkumbuke mnatumia kodi za wananchi
@phindustrymahoe8484
@phindustrymahoe8484 7 лет назад
Komeshaaaa yaoooooo mlinga duh,,,
@mkambotv5418
@mkambotv5418 3 года назад
TUTAKUMISS SANA HALIMA MDEE....BUNGE LITAPOOZA SANA
@papafikiri
@papafikiri 7 лет назад
naibu inaonekana upinzani anamkubali Halima peke yake
@chimbufredrick589
@chimbufredrick589 6 лет назад
Halimaaa
@meyou-zz8mj
@meyou-zz8mj 7 лет назад
bunge hili rubish bora wakati wa piusu msekwa wabunge wote wahuni
@loner_wolf
@loner_wolf 6 лет назад
if you listen carefully you will hear what mlinga says... kiukwel huyo jamaa akili nyingi sana...kawavuruga hapo wameshindwa kumuelewa...kagusa issue ya Nape mara kachange ghafla karud kwa Saanane , mbowe mara kubenea.... tunachokumbuka kaomba rami, daraja na shule zisajiliwe 😂😂😂 yuko vzur san huyu atapita 2020 bila jasho... lkn Kubenea atusaidie kuhusu Saanane jamn.
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 4 года назад
Ndiomana ndugai atakaki mchezo maana hawa kama watoto vile
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 7 лет назад
Nassari kalewa konyagi 😄😄😃😃😅
@murishididirisha440
@murishididirisha440 5 лет назад
BurtonSat Shop
@murishididirisha440
@murishididirisha440 5 лет назад
BurtonSat Shop .
@edlineglorycutemunis4986
@edlineglorycutemunis4986 7 лет назад
ƴani huƴu mlinga ameƙua ƙomedi ɓungeni siƴo mchangiaji
@happynessshayo6003
@happynessshayo6003 7 лет назад
form six zero lakini anawapeleka mchakamchaka mpaka mnakosa usingizi
@pascaljumanne1179
@pascaljumanne1179 7 лет назад
Happyness Shayo 😄😄😄😄
@vianeyminja575
@vianeyminja575 7 лет назад
hii battle imekolea..
@edwinmoshi2523
@edwinmoshi2523 7 лет назад
kumbe wananchi wako wana matatizo lukuki afu unatanguliza ujinga badala ya kuwatanguliza waliokutuma. TUTABADILIKA LINI??
@razackkambi5903
@razackkambi5903 3 года назад
Bunge mwaka huu dhaifu
@yassiniferuzi2867
@yassiniferuzi2867 5 лет назад
Wewe hurudi mjengoni 2020 hurudi mjengoni
@hawraymuncw9893
@hawraymuncw9893 4 года назад
Sidharau bunge lakini nadharau wabunge,wanachokifanya mungeni nikuonyeshana mabavu ya kujua katiba na hila tu
@filbertmtui196
@filbertmtui196 7 лет назад
kwel nyie nyie ndio mliowashauri bongo movie waandamane, Goodluck unaweza ukawa ulkua unafaulu kuanzia kinda gate mpaka chuo kikuu ukatoka na jpa nzuri lakin usiwe na influence ya kutete hoja yako! unaweza ukawa umehtm fom four ukawa unaweza ukashawish wananchi zaid ya ww uliehitim chuo
@moseskayan3705
@moseskayan3705 6 лет назад
Wabunge wa ccm kuweni na heshima kwa wenzenu heshima yenu ndoga sana
@sadikimsugaru6836
@sadikimsugaru6836 7 лет назад
Kweli halima upo sahii
@gabrielaugustine6298
@gabrielaugustine6298 7 лет назад
mlingaa 2020 ukirud bungen labda uwe viti maalum
@gracemarine6753
@gracemarine6753 7 лет назад
😅😅😅😅hahaaaa kweli
@abdubabu5454
@abdubabu5454 7 лет назад
Gabriel augustine imekula kwenu dogo anarudi kama kawa
@immaabukuku7180
@immaabukuku7180 7 лет назад
Gabriel augustine hahahahahaha
@selemanibididas3988
@selemanibididas3988 7 лет назад
Wewe mbunge wako ni nani
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 6 лет назад
afai kabisa mwaume gani ana wivu had kuua, mshamba. tuuuu ufai mlinga
@berylfaith4001
@berylfaith4001 7 лет назад
halima she is always active i love her energy
@renaldjohn9330
@renaldjohn9330 4 года назад
duh mungu anawaona
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 6 лет назад
Kwaiyo mboe Ana zero
@abdulgeuka3985
@abdulgeuka3985 Год назад
Bunge lilikuwa la moto mnoo😅😅😅😅😅😂😂😂
@goodluckolesolomon5931
@goodluckolesolomon5931 6 лет назад
Dah amakweli kazi ipo huyo ni naibu speaker sio bhana
@kidutasuleiman255
@kidutasuleiman255 5 лет назад
Parliament has high value, am failing to understand our parliament bcoz am trying to take the point but nothing at all, opponents are important in our country
@solomonmwisala157
@solomonmwisala157 7 лет назад
Huyo kichwani hamna lolote Mlinga
@muhammadsalim7936
@muhammadsalim7936 4 года назад
Mbona mnamchokonoa Halima ?
@razackkambi5903
@razackkambi5903 3 года назад
Bunge bila ya upinzani ni bubu dhaifu
@ajuaekanyima1227
@ajuaekanyima1227 7 лет назад
Alima ni jembe kubalin wadau
@gabrielaugustine6298
@gabrielaugustine6298 7 лет назад
kiingereza sasa cha kusoma unasua ivoo je kuongea si ndo kitakuuua
@saulmwakyusa1001
@saulmwakyusa1001 7 лет назад
kikubwa vyeti anavyo ?
@jamesmahagi7969
@jamesmahagi7969 7 лет назад
Mlinga anaongea Kama shoga, cjui liko vp....
@floramurio8452
@floramurio8452 4 года назад
Ndo uongeaj wako usikosoe uumbaji wa Allah
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 7 лет назад
kumbe mbowe nae ni six ziro ...haya.
@yusintheboss4483
@yusintheboss4483 5 лет назад
Halima nakukubali sana big up
@yohanapetro4598
@yohanapetro4598 6 лет назад
mlinga mm uwaga sielewi unazungumzaga nn unazidiwa na msukuma dalasa la 7 muone
@makanikiamsanga906
@makanikiamsanga906 6 лет назад
Ukiona mbunge anaongea pumba bungeni ujue hata waliomchagua nao ni pumba tu. ukiona mbunge anaongea matusi ujue kachaguliwa na wavuta bangi na walevi.
@abubakarabdulrazak5348
@abubakarabdulrazak5348 6 лет назад
Wewe Halima huna hoja unatupotezea muda huna mpango wowote nenda KAPIKE
@ahmadkhattar6760
@ahmadkhattar6760 7 лет назад
huyu jamaaa hajawahi kuongea point hata siku moja zaidi ya nonsense na sizani kama alipita huko bungeni
@maryammaryam-jp2zg
@maryammaryam-jp2zg 7 лет назад
Huyo mwenyekit wenu phd kaipata lini na WAP😏😏😏 yani wakaz Wa ulanga nawahurumiaaaaa maana co kwa kilaza hicho.
@sakinakamagi5452
@sakinakamagi5452 5 лет назад
Umenifurahisha
@sakinakamagi5452
@sakinakamagi5452 5 лет назад
Umenifurahisha wabunge bado tusifanye makosa 2020
@allybububu9757
@allybububu9757 7 лет назад
halima wanamchokonoa😀😀😀
@emmydzoo8729
@emmydzoo8729 4 года назад
Jamani bungeni wanachokonoana kumbe , alomchokonoa mdee ninani tena
@nestorymvwata1970
@nestorymvwata1970 4 года назад
Unacho ongea molinga unakielewa kwel?
@frankjoseph6213
@frankjoseph6213 6 лет назад
mlinga piga kazi mueke Mungu mbele
@hassanmanjoti821
@hassanmanjoti821 7 лет назад
Mpogoro noma
@ridhiwaniomari7425
@ridhiwaniomari7425 4 года назад
Hawa wabunge wakati mwingine wanakuwa kama watoto wadogo,wanapiga kelele kama wapo darasani
@thomasikorneli3798
@thomasikorneli3798 4 года назад
Thomasi. Korneli
@josephcharles9477
@josephcharles9477 7 лет назад
Kumbe na mwenyekiti wa chadema ana ZERO Hahahaha
@gracemarine6753
@gracemarine6753 7 лет назад
yeye hata akiwa form six zeroo afadhali maana kasomea jina lake lakini siyo kwa kusomea majina yawatu
@florakimaro4880
@florakimaro4880 4 года назад
Nani kasema ana zero, bora yeye ana zero tena six kuliko hao wenye zero tena lasaba na jina sio lake😏😏😏😏
@angeljonathan7718
@angeljonathan7718 5 лет назад
Yaniiii mbunge haelewek anataka kuongeaa nn mara maswala ya jimboni kwake mara upinzani Yanii haelewek anazungumzia nin Hana point kbsaaa
@berylfaith4001
@berylfaith4001 7 лет назад
mlinga anatakiwa ajiunge comedy hana lolote
@philipongilini8604
@philipongilini8604 4 года назад
Acha unga we
@augustinemartine6610
@augustinemartine6610 7 лет назад
huyu mlinga pumba tupu hakuna kitu kichwani..
@samuelnuaka6266
@samuelnuaka6266 7 лет назад
yaan huyu mlinga hakna kitu hawa ndo walioshinda kwa gori lamkono yaani duh
@samuelnuaka6266
@samuelnuaka6266 7 лет назад
yaan huyu mlinga hakna kitu hawa ndo walioshinda kwa gori lamkono yaani duh
@samuelnuaka6266
@samuelnuaka6266 7 лет назад
yaan huyu mlinga hakna kitu hawa ndo walioshinda kwa gori lamkono yaani duh
Далее
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
Они захватят этот мир🗿
00:48
Просмотров 312 тыс.
Halima Mdee kasimama tena Bungeni, katumia dakika 10
11:07
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08