Тёмный

HAPA NIPO NA MTU WA PEPONI MHE. ULEGA UKIFA LEO WEWE NI PEPO YA FIRDAUS MOJA KWA MOJA SHEIKH WALID 

KHIDMA TV
Подписаться 39 тыс.
Просмотров 1,1 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@kessymoto6860
@kessymoto6860 3 месяца назад
Sheih wald mungu akujalie na Azid kukupa elimu bora na yenye ikima ndan yake.Ukweli kwamba tunafata kitabu cha allah subhanahu wataal na mungozo wa mtume wetu muhammad .hata kama engekua Ameenda chiz ijjah ndo ametua wamoto na tukajua dua yake ni muimu kwetu( muxi comment vitu ambavyo amuna elimu navyo iyo pia ni Elimu nyingine)msema kweli dk 90
@OmaryKingo-hr7kw
@OmaryKingo-hr7kw 3 месяца назад
Tatizo shekhe ameshakuwa chawa Njaa mbaya sana
@abuuwandi1354
@abuuwandi1354 3 месяца назад
Shekhe ckasema kama kaifanya hija ipasavo na kuacha yale yaliokatazwa akifa mda huo yy n peponi hamjaelewa nn sasa angesema shehe wenu mngepongeza sielewi mnamatatizo gn ndugu zetu
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz 2 месяца назад
Walidi ww
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 месяца назад
Njaaa bwana
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 3 месяца назад
Kwani pepo ww ndo mwnye kugawanya una uhakika gani kua ni nzuri Allah pekee ndo anaejua zadi acheni kundanganyana
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 месяца назад
Tatizo lako huna elimu
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 3 месяца назад
@@aliabdalla9297 nyny na akina upepo ndo wenye ilm ya upotoshaji ila shida yenu Moja kutoelewa but mtaelewa tu siku yake ikifika na mchunge isifike mkiwa kwenye sakarat
@justinemashine4292
@justinemashine4292 3 месяца назад
Daah Dunia imekua ngumu sana.. Yaan mnajua mpaka pepo za watu😂😂😂
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 месяца назад
Soma sio ukurupuke tatizo lenu mawahabi hamuna uelewa kwa sababu hamuna elimu
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 3 месяца назад
Watu mnajitakasana kwa kiwango hicho? Una uhakika hija yake kaifanya vizuri? Kibaya zaidi mnajuana wengi ni watu wa shirk 😂
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 месяца назад
Muogope Mungu kusingizi watu ubaya utakwenda kujibu siku ya hukumu kwanza kama ingekuwa kujitakasa angejitakasa mwenyewe alichosema ni sahihi lakini tatizo lako huna elimu
Далее
MWANAMKE ANA MIKAO YAKE :SHEIKH NYUNDO
3:27
Просмотров 93 тыс.
Million jamoasi - O'zbekcha UFC
17:55
Просмотров 365 тыс.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37