Тёмный
No video :(

Hassan Mwakinyo VS Antonio Mayala | Laisha kwa TKO 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 185 тыс.
50% 1

Tazama Pambano lote la Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya Antonio Mayala Bondia kutokea Angola.

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 86   
@ramadhanihazard5459
@ramadhanihazard5459 3 года назад
tanzania yote mwakinyo ndo proffessional boxer amewaacha mbali sana wenzie
@husseinmwarabu4425
@husseinmwarabu4425 3 года назад
Safi sana mwakinyo,sasa umewabakiza kiduku na mfaume tu
@apostlepaulmission747
@apostlepaulmission747 3 года назад
Camera man ajui
@captaindunga.5849
@captaindunga.5849 3 года назад
Hao atawakimbia mpaka anastaafu... ila nimempenda anapigana kibiashara lakini kwa uwezo bado kupamba na kiduku na hilo hata ye mwenyewe analijua kiduku atamshusha renk
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 3 года назад
@@captaindunga.5849 bora kiduku ila mfaume anazingua ,masihara mengi,,af ngumi zake si kav km za mwakinyo.
@manozamwinyimvua7143
@manozamwinyimvua7143 3 года назад
hongera sana Hasani performance nzr mchezo mzuri umeshinda kwa uwezo kabisa
@ditrickmtega2802
@ditrickmtega2802 3 года назад
Amepigwa Sana mwakinyo Sema tuu ameotea mwishoni
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 3 года назад
Unazijua ngumi kweli wewe
@peteranicetykegocha9808
@peteranicetykegocha9808 3 года назад
Bora umeshinda kwa KO Hassani maana kuna watu wangeongea sana juu yako ila sasa umewatuliza, songa mbele zaidi
@chijoshaban6770
@chijoshaban6770 3 года назад
Twahaa hajakuwa bado kimchezo hamuwezi mwakinyo
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 3 года назад
Mwakinyo akipanda na Twaha mnaokota maiti
@fredricjames774
@fredricjames774 3 года назад
Mwakonyo akiendelea hivi atafika mbali sana
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 года назад
sana
@josephinemvungi1976
@josephinemvungi1976 3 года назад
Wao Safi asant sAna mwakinyo
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 3 года назад
Sema namshauri bondia wetu aongeze spidi kwenye kurusha ngumi ,awe atilisti anapiga hata ngumi tano au nne za speed pale anapopata nafasi ya kufanya hivyo hii itamfanya mapambanao yake ashinde kwa urahisi zaidi
@muktarmashukura950
@muktarmashukura950 3 года назад
Japo sio live lakini sarakasi ya mwakinyo imenishtua, nikaomba Mungu asijekuanguka
@Shammy-rn3tn
@Shammy-rn3tn 3 года назад
Mwakinyo alibadilisha stance na kucheza kama South paw ndio ilimchanganya mpinzani wake.
@shaabanali4869
@shaabanali4869 3 года назад
Twaha angalia boxers wanavyo tumia akili, angalia game hiyo
@khalfanikhalfani4096
@khalfanikhalfani4096 3 года назад
We unaekuwa unachukuwa video kila mda unatuonyesha mashabiki wanni sisi onyesha pambano
@mohameddhussein6164
@mohameddhussein6164 3 года назад
Safii baba kama uanachukua video ya harusi bana
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 3 года назад
@@mohameddhussein6164 anadata na kelele za wadau hahahaha
@hamistiko8815
@hamistiko8815 3 года назад
Good bondia wetu
@henrybalozi3698
@henrybalozi3698 3 года назад
Kiukweli mkanda anatakiwa afungwe kiunoni sheria sijaielewa mkanda anao mtu mwingine kabisa alafu mtu anatangazwa bingwa sijaelewa hapo.. Na we kamera ni mjinga unatuonesha watu au ulikuwa unamtafuta ndugu yako kapotea mfyoko kweli!
@nsrnsr5838
@nsrnsr5838 3 года назад
hongera sana mwakinyooo
@bakarymartin7356
@bakarymartin7356 3 года назад
Myweather wa bongo
@muddyslayo6206
@muddyslayo6206 3 года назад
Mwakinyo ana tisha asie mkubali ni mchawi
@mpimbilichihongwe5349
@mpimbilichihongwe5349 3 года назад
Safi kijan wetu
@dengeman4814
@dengeman4814 3 года назад
Mwakinyo pigana na twaha kiduku tuone burudan
@ashirafujamali2518
@ashirafujamali2518 3 года назад
Bdo xna twaha anaitajika atengeneze pesa n umaarufu ili cku wakija pga wapate faida nyngi kama pambano la mike tyson n mwezake
@abdulmwaijand4285
@abdulmwaijand4285 3 года назад
Mapema mno
@swaleheismail46
@swaleheismail46 3 года назад
Shikamoo mwakinyo
@anthonypaul6299
@anthonypaul6299 3 года назад
Mkono wake mmoja ni sawa na ng'ombe wa3 wa maziwa
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 года назад
Mwakinyo ndio bondia wakweli bongo wengine walev tuu hao
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 года назад
Kabisa aisee
@stephanoyusuph1256
@stephanoyusuph1256 3 года назад
Twaha kiduku ni moto wa kuotea mbali
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 3 года назад
digital mko vizur
@hellenambrosi4505
@hellenambrosi4505 3 года назад
Sijawai ona TKO kama hii refa kazingua mana ajahesabu
@beatusjackson3638
@beatusjackson3638 3 года назад
We ndo mshamba hujuimchezo wa ngumi. Huoni refa kamuuliza jamaa yuko hoi
@selemanmbega5258
@selemanmbega5258 3 года назад
Kisheria ni Sawa refa kumaliza pambono endapo mmoja amezidiwa vibaya ili kumuokoa Haina haja ya kuhesabu
@mohameddhussein6164
@mohameddhussein6164 3 года назад
We unaechukua video na mtu wa editing hamnaa akili angalieni wezenu japo muwaige nyie mnafanya kama video ya kipa imara katikati yangumi una hamisha picha uo ni upumbavu st1 grade
@anoldmrosso6680
@anoldmrosso6680 3 года назад
Onesha pambano
@mathayomwagu6166
@mathayomwagu6166 3 года назад
Mwakinyo amepigana na bondia wa zamani Hana hata mazoezi toka mwaka Jana mwezi wa Tisa halafu mnashangilia uvivu wa kufikili
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 3 года назад
Kapigane naye wewe
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 3 года назад
Duu we jamaa, huyo mtu si mchezo,tuwe wazalendo. Tz nan angemuweza huyo
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 года назад
@@pesangwasalim5258 hhhhhh
@mbembelatv
@mbembelatv 3 года назад
Akina mathayo akl zao zpogo ivo ivo cjui nn shd
@JoJo-xh7ph
@JoJo-xh7ph 3 года назад
Na Wewe si ukapigane na bibi yako.
@stanslauskyando7614
@stanslauskyando7614 3 года назад
Great
@silvanusmahinda4030
@silvanusmahinda4030 3 года назад
Kuna mashabiki,wapenzi na wafatiliaji ivo bac,mapromota wajifunze kuleta mabondia wenye kuleta ushindani na c km uyo babu,
@ayoubissa977
@ayoubissa977 2 года назад
Inabidi upambane ww ss
@christinamsigwa151
@christinamsigwa151 3 года назад
Tumbili kaonana na kima, njoo Moro upambane na wabeba matofari ukione Cha mtema kuni, show show🤣🤣🤣
@allysaidi1044
@allysaidi1044 3 года назад
Inabidi nikafundishwe ngumi na mwakinyo
@mikidadimuhando2315
@mikidadimuhando2315 3 года назад
Camera man onyesha pambano sio watazamaji,we vp?
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 3 года назад
Jamani wamepigana lini? Mbona sikuipata hiyo
@mzulunatal8062
@mzulunatal8062 3 года назад
Huyu jamaa ni mgumu hakuna ndizi hapo.
@mabenatv8554
@mabenatv8554 3 года назад
Watoto wa mayala wanasemaje wakimuona baba yao
@fatumaissa1165
@fatumaissa1165 Год назад
Kuku nyie
@erasmijacobkimario1160
@erasmijacobkimario1160 3 года назад
Robson Nyoniandrea
@erasmijacobkimario1160
@erasmijacobkimario1160 3 года назад
Robson nyoniandrea
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 3 года назад
Yaani watu bwanaa mnafurahiaa mwenzenu kupigwaa🤣
@rashidsuleiman1531
@rashidsuleiman1531 3 года назад
pacquiao waiting for u
@mbembelatv
@mbembelatv 3 года назад
Mna kamera mj afu unaonesha watazamaji 😂😂
@fredricjames774
@fredricjames774 3 года назад
Akipata mafanikio asije akajisahau
@karyori69
@karyori69 3 года назад
It was supposed to be a KO! Huyu referee mpumbavu, mtu akidondoka una-count na si kufanya matokeo TKO!
@beatusjackson3638
@beatusjackson3638 3 года назад
Umeona refa kabla ya kumaliza mchezo kafanya nini? Au haujui huu mchezo wewe? Sio kila wakati unahesabu ndugu yangu. Ndo maana unaona baada ya kuanguka refa amemfata
@oj4499
@oj4499 3 года назад
🇺🇸
@kharounngavason8012
@kharounngavason8012 3 года назад
Camera man VP kuwa mstarab hao wengine unaonyesha wann
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 года назад
😂😂😂😂🤣🤣🤣
@ramadhaniddy1308
@ramadhaniddy1308 3 года назад
izi ndio ngumi Sasa sio baazi makelele kibaao
@aduanobella4671
@aduanobella4671 3 года назад
Hamna kitu huyo mwakinyo, ni physical hana boxing skills.
@herifransis4038
@herifransis4038 3 года назад
tatizo pumzi
@matymatiku7352
@matymatiku7352 3 года назад
Wamekutana wabovuu wote
@nmctanzania
@nmctanzania 3 года назад
Nenda wewe sio unaongea tu
@matymatiku7352
@matymatiku7352 3 года назад
@@nmctanzania wambie wajee
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 3 года назад
Mchezo fulani wa kishenzi sana, unadhalilisha utu na heshima ya ubinadam!, mchezo wa ngumi, umalaya na biashara ya viungo kama figo ni vyote haramu hivi, tunaweza tumia mwili kufanya kazi, kucheza mpira na kufanya kazi ili kujipatia kipato ila siyo hayo maujinga!. Ningekuwa ni mamlaka yangu duniani ni kufunga yote hayo!. Figo ikitolewa bure na mhusika kama msaada hapo haina tatzo, ila akiuza tu tayari hatari hapo!.
@mkendag
@mkendag 3 года назад
Mbona mpira ndo mchezo wa kijinga sana, bora hata mchezo wa ngumi.
@demeaymoyo8001
@demeaymoyo8001 3 года назад
Unaonesha mashabiki wa nn ww
@sebajosephat1861
@sebajosephat1861 3 года назад
Kila siku mnaleta mabondia fake kupiga na mwakinyo
@munirimkwayu1692
@munirimkwayu1692 3 года назад
Lbd yule mfilipino tu ndo alikuwa mzur
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 года назад
Huyu naye mgumi wajuba ebu mzingatieni muone
@karimupilla2221
@karimupilla2221 3 года назад
Acha unafiki
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 года назад
@@karimupilla2221 watu wanasema mwakinyo kashinda kwa kuwa bondia mwepesi lakn cyo kwel mwakinyo kashinda kwa juhudi na pumzi maana lijamaa lenyewe lilikuwa limejipanga
@karimupilla2221
@karimupilla2221 3 года назад
@@issackjoseph6436 Mwakinyo Yuko Vzr Sana cjaona mpizani mwepes Tangu nimeanza kumjua Mwakinyo,,Jamaa anadisevu kuwa bundia Bora Tz
Далее
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 71 млн
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 7 млн