Тёмный

FULL FIGHT: MWAKINYO ALIVYOMKANDA 'TKO' PATRICK ALLOTEY WA GHANA RAUNDI YA TATU, ATETEA UBINGWA WBO! 

Bongo Boxing Safari
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 86 тыс.
50% 1

FULL FIGHT: MWAKINYO ALIVYOMKANDA 'TKO' PATRICK ALLOTEY WA GHANA RAUNDI YA TATU, ATETEA UBINGWA WBO!
BONDIA Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuutetea ubingwa wake wa 'WBO' kwa kumkanda Patrick Allotey 'TKO' Raundi ya Tatu.

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 199   
@gman3245
@gman3245 4 месяца назад
Congratulations! 🙏 I would like to watch Wellem vs mwankiyo 💥💥💥💥
@muuibrahim1805
@muuibrahim1805 4 месяца назад
Mwakinyo anapigana sana ipo siku watanzania watajua wapi unaipeleka boxing, champeez
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 месяца назад
💪💪💪💪🙌🙌🙌 Safi sana kaka, Hongera sana!!!! - Ezden J.
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 4 месяца назад
Mwakinyo kwakua huna kinyume na mtu ndio maana ALLAH anakufanikishia mambo yako na kupitia juhudi na jitiaha zako za usiku na mchana pamoja na hujma nyingi za wanadamu hata wale wanaojifanya kuwa karibu nawe. Hongera ndugu yangu.
@MsabahaYusuf
@MsabahaYusuf 4 месяца назад
Hongera sana dogo
@sophsoph4740
@sophsoph4740 4 месяца назад
Mung huwa hanapigana vita tusivovioona
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 4 месяца назад
Kila mwenye subra yupo na Allah. Mwakinyo ni Mtu wa Subra ndo Maana Allah humuweka juu zaidi... Hongera shemeji yangu.
@emmynoby9806
@emmynoby9806 3 месяца назад
Kama ushind ndo huo bas ndomna mmektaaa cmra za Azam na review maana tungtka kuon bondia kpigajw
@DenisWarioba
@DenisWarioba 3 месяца назад
unajua mwamba zidi kuwa kanda
@dstaroficial
@dstaroficial 4 месяца назад
Mnatuvuruga sana mapambano yenu ukikesha macho huoni ukisinzia ukiamka unakuta watu washapgana na mkanda tumepata hay bana inabid tushangae tu
@nbasonelo
@nbasonelo 3 месяца назад
nimecheka sana 😂😂😂😂
@donardleonard6137
@donardleonard6137 3 месяца назад
Unafikiri Bro Wasenge Kweli
@ramadhaniabdulkadry288
@ramadhaniabdulkadry288 3 месяца назад
PAMBANO LA MCHONGO HAMNA KITU HAPO.. ATA MAJAJI HAKUNA WALA MPINZANI AJATOKEA KWENYE UTAMBULISHO ..WA USHINDI WALA KUHOJIWA KUNA KITU HAKIPO SAWA KBS .ATA MPUUMBAVU WA MWISHO ANAONA WAZI KUNA KITU NYUMA YA PAZIA.MCHONGO KILA KONA NDIO MAANA HAUTUSOGEI MBELE
@bigemagomabigemagoma6312
@bigemagomabigemagoma6312 3 месяца назад
Mchongo vip sasa au wewe kipofu? Inamaana we uoni hizo ngumi? Kama unaona mchongo basi nenda na ww kapigane
@bigemagomabigemagoma6312
@bigemagomabigemagoma6312 3 месяца назад
Roho mbaya angepigwa je kama mjeshi acheni roho mbaya
@zedyabdulrwabilingo9042
@zedyabdulrwabilingo9042 4 месяца назад
Mwakinyo unajua kuongea vizuri sana unavyojibu maswali napenda sana Allah azidi kukupa nguvu kwa kila pambano na ushinde inshallah
@AliHemed-ru6bj
@AliHemed-ru6bj 4 месяца назад
Watanuna sana mwakinyo noma
@Shabanihamisi-o3b
@Shabanihamisi-o3b 2 месяца назад
Saf
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 4 месяца назад
Iwe itakavyokuwa tuko na ww mwakinyo, hawawezi kukupoteza
@TerryDodd-y7y
@TerryDodd-y7y 19 дней назад
Martin Dorothy Robinson Mark Hernandez Elizabeth
@edgarkisapionlinetv4174
@edgarkisapionlinetv4174 4 месяца назад
Serikali yetu ijaribu kufuatilia kwa nini Mwakinyo anapitia magumu mengi. Nani yupo nyuma ya matatizo haya? Huu upuuzi hatuutaki. Mwakinyo anawakilisha Taifa siyo yy tu; Ifike mahali athaminiwe kama Mtanzania kiuhalisia inaudhi sana
@NandoliHabiby
@NandoliHabiby 4 месяца назад
Umeongea fact xana tena xana
@MirajiTwaha-o8j
@MirajiTwaha-o8j 3 месяца назад
KUDADEKI, KAMA MAPAMBANO YA MTAANI,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ILIKUA NCHI GANI HIYO, ALIEARIBU HILI PAMBANO MUNGU ANAMUONA KWA UKARIBU SANA,😅😅
@thetas08
@thetas08 3 месяца назад
Mwakinyo confidence na juhudli na malengo yake pamoja na msnamo wake kama yeye atafika mbali waliobaki nyie pigeni kelele TU na mnune sana
@citylove8373
@citylove8373 4 месяца назад
Watu wanatengeneza matokeo sisi tuna furahi hakuna ukweli hapo pambano linachezwa kama mazoezi huu mchezo unaharibiwa bila kujua hatuoni tena mapambano ya kitoto hayo
@yusuphmtuga4951
@yusuphmtuga4951 4 месяца назад
Wanadhani hatuna akili
@Amina-ic9ie
@Amina-ic9ie 3 месяца назад
Blaza umeongea Sana pambano kama mazoezi pambano gani hili
@zedekiahjulius6
@zedekiahjulius6 3 месяца назад
Mbona watu hakuna limechezwa wapj hili pambano mchongo
@kidykodyyusufukod-ud6vg
@kidykodyyusufukod-ud6vg 3 месяца назад
uyu raisi wa ngumi na timu yake awapendi sn viwango vinavooneshwa tz unaona wanavobabaika kukabidhi mkanda
@frozen4rozen475
@frozen4rozen475 3 месяца назад
Mtangazaji anauliza round ya ngapi niwazi kuna watu wanavamia fani za watu hajui kinacho endelea
@gozbethedwinlupogo1018
@gozbethedwinlupogo1018 4 месяца назад
bora mandonga pambano limekuwa kama bambo na mtanga
@Rahelalson5089
@Rahelalson5089 3 месяца назад
Hongera sana brother...Sina neno kwako Afu MUNGU amekupa Hekima ya kujibu maswali kiufasaha napenda kwakweli..Tunakuombea tunao kupenda LAZIMA SIKU MOJA DUNIA ITAJUA
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 4 месяца назад
Boratuu wangekuachia ilionekanatuu asiondoke bila kupasha mwili
@HamzaAhamadi-bh6bi
@HamzaAhamadi-bh6bi 4 месяца назад
Huyu ndio bondia bora anafuata Sheria sio kupigana bila kujua sheria
@danielmrombo
@danielmrombo 3 месяца назад
mmm kapewa ushindi tu huyu hamna TKO hapo
@novatusabond9253
@novatusabond9253 4 месяца назад
Imechezwa lini?
@JoyceStive
@JoyceStive 4 месяца назад
Jana usiku
@zahirzainchronicles
@zahirzainchronicles 4 месяца назад
Nikucheza ama kupigana!?😂😂
@bakarikilangilo5197
@bakarikilangilo5197 4 месяца назад
Inamaana baada ya kushindikana siku ya kwanza ikarudiwa? ​@@JoyceStive
@ibrahimmsuya993
@ibrahimmsuya993 4 месяца назад
Jana
@ibrahimmsuya993
@ibrahimmsuya993 4 месяца назад
Jana
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 4 месяца назад
Akuna radha nawanaoshangilia nyumba mganga nyumba shoga nilijua kampiga kumbe ushubwada kujifedhehesha tu ovyooo
@JohnUruban
@JohnUruban 3 месяца назад
Wanataka kumpoteza mwamba
@CHONGELAYAHYA
@CHONGELAYAHYA 4 месяца назад
kaka rizki ipo ipo tuu hata watu wachukie vipi alichokupangia mwenyezimungu hayupo wa kukirudisha nyuma mimi binafsi ninapenda mwakinyo afike mbali
@SophiaAhmed-p8w
@SophiaAhmed-p8w 3 месяца назад
Uyo ndio jonsina wa bongo
@MussaKinyafu-ki9ob
@MussaKinyafu-ki9ob 3 месяца назад
Hii ni sparing tyu
@AlhajiJuma-fs1bb
@AlhajiJuma-fs1bb 3 месяца назад
Allah akulinde kk
@LusubiloMwambiale
@LusubiloMwambiale 3 месяца назад
🎉
@SophiaChambo-s5c
@SophiaChambo-s5c 4 месяца назад
Upuuzi mtupu
@AnordMgendwa-tj2yl
@AnordMgendwa-tj2yl 4 месяца назад
hizi dharau zimezidi sasa, nani kampeleka mwakinyo huko mafichoni? sijapenda kwakweli........
@AbdallahAzizi-g5r
@AbdallahAzizi-g5r 3 месяца назад
Mchongo
@mohammedshk5635
@mohammedshk5635 3 месяца назад
Champeez
@hashimsalehe7087
@hashimsalehe7087 4 месяца назад
Nan kaona mwaknyo kabambiwa kw nyuma
@BabaStella
@BabaStella 4 месяца назад
Kwaiy mume amua kwend kulichea zea kichocholon ss tume keah kwa jili en mun tuonyesh matipwi mulio pang nyny daaah kwel tanzania anal lipang m2 ndio linal kua
@erickhussein5960
@erickhussein5960 4 месяца назад
Kajifunze kwanza kuandika 😅😅😅😅
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 4 месяца назад
​@@erickhussein5960😂😂😂ndo wenye makasiriko na Mwakinyo.
@NandoliHabiby
@NandoliHabiby 4 месяца назад
Baba stela kama mweu hivi.
@masanjamsollah5682
@masanjamsollah5682 4 месяца назад
Anajua ngumi lkn hana nidham
@akiletv
@akiletv 3 месяца назад
Nidhamu peleka shule
@ShabaniNuru-o1y
@ShabaniNuru-o1y 4 месяца назад
Harmonize njoo uku😂😂😂
@SalmaHaji-pk1vs
@SalmaHaji-pk1vs 4 месяца назад
Wanataka kumpoteza mwamba
@FaniaHassani
@FaniaHassani 4 месяца назад
Wenye wivuu kajiuwenii mkanda keshachukua
@IddyKhelefu
@IddyKhelefu 3 месяца назад
Viongoziwa Ngumihakuna kinaunafikitu
@SideOmary
@SideOmary 4 месяца назад
Hapa kwel km yul mganga aliemtail shoga yn😂😂😂 tanzania kikubw pumz
@JovinMushi-p3e
@JovinMushi-p3e 4 месяца назад
Vijana wa ovyo sana😂😂
@JeffAlex-vo1oc
@JeffAlex-vo1oc 3 месяца назад
Acheni uninga mmemtoa mchezoni et ushindi angeshinda sikuhusika
@KamchemoHamisMlacha
@KamchemoHamisMlacha 3 месяца назад
Mapambano ya kutengeneza, bado sana ila kwa mdomo we are da first.
@khamissymtonele6418
@khamissymtonele6418 3 месяца назад
Kwenyemaisha vkwazo ni vngi kwaiyo mm nashukuru kwakuona aukai tamaa kwa unayoyapitia
@josephwandiba-ke3sm
@josephwandiba-ke3sm 3 месяца назад
Mmakonde nae alitaka kujichanganya ila nahc Kuna mtu alimsanua😂😂😂
@bosskidimallya792
@bosskidimallya792 4 месяца назад
Nakukubali mwamba wangu mwakinyoo
@KhamisJumanne-q2l
@KhamisJumanne-q2l 4 месяца назад
Patrick Allotey akamuadithie kakaake yule soja wa ghana Elivis Aoga kuwa mwakinyo ninoma apigiki
@JumaaAli-zn5my
@JumaaAli-zn5my 3 месяца назад
Champion samahn sna kwa kutokuliona pambano lako ila hongera sna by sheikh Ally kiongozi wa mabuda wazee wa bodaboda mnara wa tigo makorora🥊🥊🥊🥊
@JeffAlex-vo1oc
@JeffAlex-vo1oc 3 месяца назад
Mnashangilia ubingwa wakupewa acheni hizo ubingwa gani huo
@taurehassan7399
@taurehassan7399 4 месяца назад
Aliyepewa kapewa,alisema sheikh almarhuum Muhammad bin abii bakri burhaan رحمه الله وحفظه الله تعالى،hongera mwakinyo
@HassanYusuph-ky5cl
@HassanYusuph-ky5cl 4 месяца назад
Aache dhalau atafikia mbal ndoman juz walimfanyia kusudi maan alichofanyiw yeye akijawah kutikea apa tz amepunguz mashabiki maan mtu akiskia mwakinyo anapigan ankauwa na mashak anaweza kuingia shoti tu
@StanleyMakunzo
@StanleyMakunzo 4 месяца назад
Wenye wivu wameze shoka champez kachukua belt boxing rak ameanda mungu you pamoja nawe
@AgnesRobert-uf9el
@AgnesRobert-uf9el 4 месяца назад
Eeeh kumbew game imechezwaa na hamsemi☺️
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 4 месяца назад
Mbona kama ngumi niza mchongo! Unaweza kumpiga Harmonize kweli! ngumi wanazopigana akina maywether na kina Anthony Joshua sio hizo, pambana na Harmonize au twaha kiduku,, huyo bondia uulipigsna naye ni mwepesi sana yasni😮😮
@NandoliHabiby
@NandoliHabiby 4 месяца назад
Boya ww . Ww mbona unaliwa
@NoelTumbu
@NoelTumbu 3 месяца назад
Hongera sana mwakinyo kwa pambano lako, sema tu usiku promota katunyima uhondo tumeangalia marudio badala ya kuangalia live
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 4 месяца назад
mapromota wa bongo wajitaid kuwa Sirius waache uhun pambano ad lmekosa ladha
@hascod943
@hascod943 4 месяца назад
Tasinia yetu hii inatutia aibu sana yaani uendeshaji wake imekuwa yaovyo kuliko ata mabondia wenyewe niushenzi kweli kweli.
@veelmng7746
@veelmng7746 4 месяца назад
Hongera sana Mkwakinyo lakini waandaaji waliandaa bila kufuata standard za kimataifa , yaani watu wadiscuss round ya ngapi ndiyo wanasema round, hata wameshindwa kuweka vibao vya round kuonyesha. Ngumu nzuri sana lakini uandaaji mbaya sana
@zephaniapaul9592
@zephaniapaul9592 3 месяца назад
hili pambano Lilikera sana watu
@ZainSalim-sp5cg
@ZainSalim-sp5cg 4 месяца назад
Tatizo bongo watu wanaakili zakibongobongo naubongo wao pia umelala ndomana dhuluma nyingisana
@eliuzejulius4719
@eliuzejulius4719 3 месяца назад
Mwakinyo upo vizuri ndo maana unapgwa vita! Pambana
@AnwarSuleiman
@AnwarSuleiman 4 месяца назад
Tunataka ukapigane na mtoto wa matumla au yule jamaa aliepigananae
@abeydalsherawjralsherawjr1672
@abeydalsherawjralsherawjr1672 3 месяца назад
Big up sana kaka hakika we ni champion wa ukweli hata wakufanyeje mungu yuko na ww
@godfreymanyilizu5789
@godfreymanyilizu5789 4 месяца назад
Jamani mtu anaweza nielewesha nini kinaendelea.?
@AlexMtui-fs1tf
@AlexMtui-fs1tf 4 месяца назад
Hamna kito apo ovyo kabisa pambano la mchongo hili
@yusuphmtuga4951
@yusuphmtuga4951 4 месяца назад
Haya mapambano yenu ya michongo michongo endeleen
@emmanuelyamoi1424
@emmanuelyamoi1424 4 месяца назад
Mwakinyoo anapita majaribu sana
@SmilingGoshawk-mz2gp
@SmilingGoshawk-mz2gp 4 месяца назад
Ata iwe vep champez onetym Bado nakukubali kaka
@rasulially8964
@rasulially8964 3 месяца назад
Tukupingi kaka mwakinyo unajua xana
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 месяца назад
Nahic atakuwa amemchagua huyuu mpinzan wake
@AmosSniper
@AmosSniper 3 месяца назад
So walighalisha , lini Tena wamepigana?
@rogatimushi689
@rogatimushi689 4 месяца назад
Dah ila hii ni kumuhujumu mwakinyo kabisa hii ila mungu atampahisha tuu
@BakariHamis-o8w
@BakariHamis-o8w 3 месяца назад
Mbona ngumi yanyewe sielew
@habauzuberi
@habauzuberi 4 месяца назад
nakukubali sana mwakinyo pambana uko vzr usisikilize kelele za watu
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 3 месяца назад
Hongela mwakinyo uko vizuri
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nyie nyie
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 4 месяца назад
Mungu akisema ndiyo,nani wakusema no?hongera sana Hassan,wenye miwivu kodo!!!!
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 3 месяца назад
Mwakinyo vs Mwakinyo 😂😂
@StellaMagani
@StellaMagani 4 месяца назад
Asante mwakinyo tambua maadui wanakuimarisha pambana mdogo wangu Allah yupo pamoja nawe
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 4 месяца назад
Ngumi za ki africa za njaa kabisa mashibiki andazi.😂
@AnwarSuleiman
@AnwarSuleiman 4 месяца назад
Mwakinyo kapigane na mtoto wa matumla
@sirpurkinje2836
@sirpurkinje2836 4 месяца назад
Nimelioma pambano sijaridhika kabisa
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 4 месяца назад
Tunamtaka remechi Mimi sijafurahi
@AbdullyNgomoi
@AbdullyNgomoi 4 месяца назад
Wanajua kua umewazd ndoasn
@Nyanda506
@Nyanda506 4 месяца назад
Mghana mzuri pia ..Anajua kutarget punch
@KhamisJumanne-q2l
@KhamisJumanne-q2l 4 месяца назад
Mwakinyo umepigaje apo
@JamesJackson-rw7nw
@JamesJackson-rw7nw 3 месяца назад
Badoo harmonize
@shabanshabobo2239
@shabanshabobo2239 3 месяца назад
👊👊👊💥
@amoursalimalialjabri6131
@amoursalimalialjabri6131 4 месяца назад
Magumashi
@jamesmakaranga1170
@jamesmakaranga1170 4 месяца назад
Ufala t kilichofanya siku ile asipigne nn mbwa
@NandoliHabiby
@NandoliHabiby 4 месяца назад
Ww rofa ujielewi chizi. Sasa angepgana mcmamiz angekuwa mamá yako. We nguruwe pori nn
@FreddyPeter-nv5fv
@FreddyPeter-nv5fv 4 месяца назад
Wewe ni mwanba
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 4 месяца назад
Hii zimepigwa lini?
@johnchrisbrown-b5g
@johnchrisbrown-b5g 3 месяца назад
Hongera sana Mwakinyo
@Issabinmohd-kg3ke
@Issabinmohd-kg3ke 3 месяца назад
Ila hamomaiz kasalimiwa
@okkashaally2115
@okkashaally2115 3 месяца назад
Hili pambano la lini?
@MlongaMawe
@MlongaMawe 4 месяца назад
Mwakinyo kuma tu uyo kajifanyisha amna ngum apo
@franciskibay8948
@franciskibay8948 4 месяца назад
Nenda kajifanyishe na wewe
@mhigiisack5667
@mhigiisack5667 4 месяца назад
Mungu azidi kukuinua ❤
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣upuuzi mtupu
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 4 месяца назад
Mbona mlisema imeahilishwa
@geofreykashililika9704
@geofreykashililika9704 4 месяца назад
Et wamecheza asbh nyie tz Kuna komed nyie... Walikua wanaondoa lawama za waliotoa vingilio Ila haya Ni maigizo
@lightnessmunisi
@lightnessmunisi 4 месяца назад
Hongera kijana wetu wa kombezi mwl.
Далее
🦊🎀
00:16
Просмотров 415 тыс.
BROTHER KEY NA MPOKI  KIKAO CHA WAPANGAJI
35:43
Просмотров 30 тыс.
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53