Тёмный

'Hata mke wangu sasa wanasema sio raia'- Paul Makonda 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 253 тыс.
50% 1

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameshiriki ibada na waumini wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania 'KKKT' usharika wa Kimara Dar es salaam ambapo alipata nafasi ya kuzungumza mambo mbalimbali ikiwemo vita ya dawa za kulevya,

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 621   
@georgemahenda4244
@georgemahenda4244 7 лет назад
am very proud of you bro.makonda kamwe usikatishwe tamaa na wenye imani ndogo tuzidi kupambana na hivi vita kwani mwenyezi mungu anafahamu nini unafanya kwa taifa lako
@erordsimae6785
@erordsimae6785 7 лет назад
Mheshimiwa Paulo Makonda,kazi yako ni nzuri sana,. Naomba uelewe kuwa "Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe" Mawe unayopigwa yanatokana na kazi nzuri,Nakuomba usimame katika haki ukielewa kuwa baadhi ya binadamu hawapendi haki na wanataka vitu vya mtelemko bila kujali kuwa ni halali au si halali.Naomba ukumbuke mambo matatu yaliyosemwa na mwanafalsafa mmoja "Usishau aina tatu ya watu katika maisha yako.Wale waliokusaidia ulipokuwa kwenye wakati mgumu.Wale waliokuacha ukiwa kwenye wakati mgumu na wale waliokuingiza kwenye wakati mgumu.Sisi sote ni ndugu na kwa sababu hiyo tunapaswa kuungana pamoja katika vita hii kama mwanafalsafa mmoja alivyosema "Usifute undugu kwa sababu ya kosa.Bali futa kosa kwa sababu ya undugu" Mungu akubariki sana katika kuyasimamia mapambano haya.
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
wataelewa tu piga kazi tuko nyuma yako #Makonda wew ndio mkombozi mungu akusimamie many thanks #MillardAyo kip it up
@kilomgaya4040
@kilomgaya4040 7 лет назад
Kuna wakati tunambebesha Mungu mizigo isiyo ya lazima. Tufike pahala tujue Mungu wetu si Mungu wa mzaha mzaha. Sote tunatamani hii vita ya madawa iendelee kwa kufuata taratibu, kanuni na sheria tulizojiwekea na hii ndio mamlaka tunayoizungumzia tunapohubiri injili. Mtu anapoulizwa swala la yeti na kukimbia madhabahuni kwa Mungu kudai anaonewa au ni vita juu yake. Nikumdhihaki Mungu ambaye alikupa maarifa, afya na nguvu ya kuitafuta elimu. Kama si kweli kwanini asilete vyeti ili kushuhudia umma kuwa hii ni vita dhidi yake kama anavyodai. Tofauti na hapa tusimdhihaki Mungu, Mungu wetu ni Mungu aliyetupa mamlaka na ujasiri wa kuyashinda majaribu na sio kuwawababaishaji katika maswala ambayo yapo wazi. Sasa ukisali sana ndio Mungu ataleta cheti watanzania wakione? tuweserious, alafu kuna watu wanaitikia AMEN! Sijui wanamuomba Mungu mwengine maana Mungu nimjuaye mimi si Mungu waubabaishaji. Alete cheti tuendelee na mapambano dcidi ya madawa, kinyume na hapo anamtania Mungu.
@audaxsimeo8016
@audaxsimeo8016 7 лет назад
mungu akuzidishie maisha marefu Rc makonda
@eliassamwel9172
@eliassamwel9172 7 лет назад
Ubarikiwe 👏. Mungu unae mtumikia ni mkuu Sanaa, ndomana amekutuma na kkuchangua usiongope Mungu yuu pamoja na ww.
@shuumata419
@shuumata419 7 лет назад
tunakupenda sana kiongozi wetu wa mkoa wetu...tunyooshee dar iwe salama na Mungu akuongoze Amen
@salminasalim5630
@salminasalim5630 7 лет назад
Pole jipe moyo: mtu Shujaa na mpenda haki Mh Makonda hapendwi na watu wasio muogopa MMungu. endelea kuchapa kazi mtangulize MMungu mbele kwa Kila kitu ndio yeye pekee atakusaidia wote wafitini watakosa njia kwa uwezo wake aliye hai ambae halali kwa ajili yetu Amina
@glorykweka1631
@glorykweka1631 7 лет назад
Amina kaka Mungu akutangulie
@noelangowi6960
@noelangowi6960 7 лет назад
Ameen...Yesu akutetee Paul mbele mbele Yesu yuko upande wako hakuna aliejuu yako
@joymathias6130
@joymathias6130 7 лет назад
Mungu akutie nguvu baba tunakupenda na tunakuombea..tuko pamoja.
@noonelike6382
@noonelike6382 7 лет назад
enyi mnao mponda mheshimiwa mkuu wa mkoa acheni unafiki mara moja. acheni mheshimiwa afanye kazi yake.TUACHE UNAFIKI.mhesmiwa mkuu wetu wa mkoa yupo katika kipindi kigumu sana cha mapambano,tumuombee sana mkuu wetu.
@lovelyheaven2027
@lovelyheaven2027 7 лет назад
i love the spirit within him!! He is my hero!!
@dianaahdarlingkenya7616
@dianaahdarlingkenya7616 7 лет назад
Amen and Amen Our Dad #Paul Makonda And Without Forgeting u my Bro #Millard Ayo I love your hard working God bless u
@millenniumschoolsruaha-iri9914
anajipa unabbii
@sifacycy_bby8827
@sifacycy_bby8827 7 лет назад
Barikiwa san Makonda! pia shukran san #Ayo tv
@cosmasmushi3330
@cosmasmushi3330 7 лет назад
duuuuuh
@hellenlivingitsuchablessin3798
God bless u more
@malaejoseph732
@malaejoseph732 7 лет назад
jamani swala sio mahubili swala ni vyeti tu
@memmeme503
@memmeme503 7 лет назад
ubarikiwe na mungu akutie nguvu ktk kusimamia vita hiyo amina
@makongomaulid3157
@makongomaulid3157 7 лет назад
weka vyeti vyeti vyeti vyeti, tujue
@consolbakuju4911
@consolbakuju4911 7 лет назад
you have my support Makonda...
@irineinnocent5234
@irineinnocent5234 7 лет назад
Mungu hatokuacha kaka Makonda, siku zote atakuwa upande wako, hatokuacha. Sisi wanyonge tunakuombea. Hakika kitu ulichofanya ni mfano wa Musa.
@saidakarim1043
@saidakarim1043 7 лет назад
Irine Innocent hata walioachishwa kazi kwa vyeti feki.mungu hatowaacha.mungu ni wa wote.matajiri na masikini
@abdulmajura7288
@abdulmajura7288 7 лет назад
Faiqah Mohammed 0900
@paulwamba4538
@paulwamba4538 7 лет назад
Irine Innocent Kweli Mungu yuko nae hakuna anae bisha.. Ila kuna watu wamefutwa kazi kwa vyeti feki wakiwa wamebakiza mwaka m1 kustaafu na wakapoteza haki zao zote.. Mungu ni wa watu wote.. mwambie huyo ndugu yako atoe vyeti aache siasa
@alishomar7549
@alishomar7549 7 лет назад
Paul wamba atoe vyeti kwani gwajima ni serikali...Serikali ikitaka atoe vyeti ...atatoa ....
@ayoubchapita6070
@ayoubchapita6070 7 лет назад
yakaisari mpeni kaisari na ya mungu mpeni mungu ebu tazama makanisa ya bongo LEO yamekua mapango ya walanguzi,mapango ya wendawazimu,na wapumbafu kujiweka katika nafasi kama hiyo ndio kazi ya makanisa basi makanisa yameingiriwa. tungoje tu yesu arudi na sio huu unafiki..........
@ashaakidotkidotlyova2881
@ashaakidotkidotlyova2881 7 лет назад
hakika uko sahihi niko mbali sana na tz yangu ila nakufuatilia sana kk mungu akubariki sana kwa kazi yako utaripwa sawasawa na m apenzi yako ya wanainchi wako pia uko vizuri kwa kusoma neno mungu
@mariammarco1554
@mariammarco1554 7 лет назад
Fanya kazi mkuu najua wengi watakutafutia kila namna ya kukuchafulia jina na kukuharibia kazi yako lkn kamwe Mungu hawezi kukutupa na utazidi kuitenda kazi yako salama...
@salminasalim5630
@salminasalim5630 7 лет назад
Mh, Makonda mtu yeyote ambae anapenda njia za mkato kwenye Maisha yake eg, kama kuuza/ kukutafutia, madawa ya kulevya lazima wakupakaze matope lakini usijali MMungu atakupigania na Atazidi KUKUINUA Amiin. na wengine kuongeaongea wanataka ku gain popularity kwa watu kujitoa kimasomaso. kwa wanayo yafanya, MMungu akubariki sana waokoe watoto Wetu wasiendelee kuharibika Amiin
@modestamogongolwa1449
@modestamogongolwa1449 7 лет назад
Mungu akutie nguvu Bwana wa majeshi atakushindia tu na watu watauona mkono wa Bwana juu yako na watashangaaa usife moyo yupo mtetezi wako yu hai
@abdallahrenatus6677
@abdallahrenatus6677 7 лет назад
maneno yako mazuri, uko vizur na lkn cheti kaka
@zorriebwire9784
@zorriebwire9784 7 лет назад
Abdallah Renatus hahahhaaaaaaa anakwepa
@mariammarco1554
@mariammarco1554 7 лет назад
Abdallah Renatus Toa kwanza chakwako
@blessingmartin6887
@blessingmartin6887 7 лет назад
Mariam Marco kkkk
@oswardemil4039
@oswardemil4039 7 лет назад
jelous stupid mozafaka,, weka chako tukione,,,kuna wajinga wanaongea humu hata form two hawajafika.
@bilalkitiku8271
@bilalkitiku8271 7 лет назад
wanaodai vyeti vya mheshimiwa yaweza kuwa hawana hata vyakuzaliwa...mwacheni afanye kazi... m/mungu kampangia
@elisantengai127
@elisantengai127 7 лет назад
Mungu akubariki sana Kaka yangu Makonda.
@luhumbikaelisha5155
@luhumbikaelisha5155 7 лет назад
Hongera brother hakika wewe ni wakuigwa
@kamamimikhamsan8461
@kamamimikhamsan8461 7 лет назад
sawa mh makonda uko vizur
@christophernsongoma5420
@christophernsongoma5420 7 лет назад
mungu akusimamie ktk vita hii mkuu,pambana bila kurudi nyuma
@glorykweka1631
@glorykweka1631 7 лет назад
Mtetezi wako yu hai usiogope kaka atakupigania. Amen
@stanleyphillip3196
@stanleyphillip3196 7 лет назад
Glory Kweka Ampiganiee kwenye haki sasa.je waliofukuzwa wao kwa vyety feki mtetezi wao ni nani?
@kdgeuniceeunice9922
@kdgeuniceeunice9922 7 лет назад
ync
@tuzoyaushairiyaebrahimhuss9715
Esther mimi nakuunga mkono. Huu mchanganyo hata mimi sijauelewa kabisa.
@sphrb1063
@sphrb1063 7 лет назад
mungu akupe ujasiri daima 🙏🙏
@samhendawallaa2144
@samhendawallaa2144 7 лет назад
Huyu ni kiongozi Wa kimwili na kiroho. mnaodai vyeti mtasubiri sana .mti wenye matunda hupigwa mawe.
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 лет назад
#Samhenda Wallaa na kweli watasubr sanaaaa
@mlugerobert298
@mlugerobert298 7 лет назад
joyce michael love si ajabu ikawa hivyo na ikiwa hivyo basi ni wazi rais ana upendeleo! hasimamii kile asemacho!ndo maana Gwajima kasema atashangaa.
@sammymchuma3579
@sammymchuma3579 7 лет назад
Samhenda Wallaa Kiongozi anaejiita mungu anakuwaje wa kiroho haipo hiyo duniani always if you know you are wrong you will always try to speak a lot so as to clean yourself since when did a man call himself God be sincere to God mtu anaempiga Mzee anayelingana na wazazi wake akawa mpenzi wa mungu tatizo anakuwa too word awe specific atoe vyeti why go around the busy
@faudhiasaid93
@faudhiasaid93 7 лет назад
katb inasema sifa ya kiongoz awe n akil tmamu awe anajua kusoma na kuandka na awe raia wa tanzania xo kip kakosa?
@faimaramadhan7054
@faimaramadhan7054 7 лет назад
haswaaa
@zainahamis8974
@zainahamis8974 7 лет назад
hongera sana kaka makonda mungu awe pamoja na ww
@razakomay8290
@razakomay8290 7 лет назад
pole sana kaka
@babawahindi7368
@babawahindi7368 7 лет назад
Thanks millard ayo.
@stellaedward7726
@stellaedward7726 6 лет назад
Much respect braza makonda
@sand4946
@sand4946 7 лет назад
Stop politicizing the church Daudi Bashite.
@navongelysrlynsozsye8494
@navongelysrlynsozsye8494 7 лет назад
lets God....be..called God!!!
@abusalman5139
@abusalman5139 7 лет назад
Daudi Bashite buanah... Weka vyeti acha maneno
@shd12m55
@shd12m55 7 лет назад
Hotuba nzuri sana brother kasoro yako hujaja na vyeti vyako tu,, tuna vihitaji mezani
@bahatidan4751
@bahatidan4751 7 лет назад
good dear show us vyeti
@edsonlugaimukamu943
@edsonlugaimukamu943 7 лет назад
vyeti uwez tumia jina la mtu af unaxema habar za Kristo unatafuta jehunum
@datiusnjungani2784
@datiusnjungani2784 7 лет назад
honestly Makonda uko vizuri
@nickrill250
@nickrill250 7 лет назад
keep it up mkuu.. tunakuombea
@luhungukyando2332
@luhungukyando2332 6 лет назад
Safiiiii, big up
@kayayooisaac4128
@kayayooisaac4128 7 лет назад
Mungu asihusishwe na sifa binafsi za mtu mambo ya Mungu yabaki ya Mungu na ya makonda yabaki ya makonda
@valentinekidagayo5422
@valentinekidagayo5422 7 лет назад
Dawa yao makonda waonyeshe tu vyeti ili waache kuongelea
@kabaitijunior2642
@kabaitijunior2642 7 лет назад
valentine kidagayo kweli kbsaa aseeeee
@masumbukosiyougomvi7900
@masumbukosiyougomvi7900 7 лет назад
valentine kidagayo hawana jipya. hao kwan wao n necta au wanagawa ajira?
@Adryfierce
@Adryfierce 7 лет назад
valentine kidagayo si ndo mpk awenavyo sasa
@hasinahamza6752
@hasinahamza6752 7 лет назад
valentine kidagayo ha ha haaaa...mungu anakuona ujue
@bmamysaid3317
@bmamysaid3317 7 лет назад
valentine kidagayo anavitoa wap xx
@makrinagaspar5045
@makrinagaspar5045 7 лет назад
kwakweli mungu akutiee nguvu mungu pekee anaweza kumuhumu mwanadamu
@tarimocharles6291
@tarimocharles6291 7 лет назад
kaka mungu yupo pamoja nawe kazabuti usiogope
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 лет назад
na mungu kashaikumbuka tz wanaohusika naunga wasipo tubu wataropoka kama mateja
@familylove5417
@familylove5417 7 лет назад
Mangekimambi nyoko sana 😂😂😂😂😂😂😂unampelekasha huyu kaka jmani 😂😂😂😜
@sangamelasangamel7732
@sangamelasangamel7732 7 лет назад
amina makonda mungu awe nawe ktk vita hivi tunakuombea
@sebiusfabian9981
@sebiusfabian9981 7 лет назад
Daa unatisha munguakutakulie
@sadamosses9763
@sadamosses9763 7 лет назад
piga kazi, mti wenye matunda ndio upigwa mawe, ALLAH yupo nawe, # Tanzania bila ya madawa ya kulevya inawezekana# big up RC DSM
@antonicn9497
@antonicn9497 7 лет назад
sada mosses uko sahihi kabisa wamuache makonda wetu asafishe jiji
@razakomay8290
@razakomay8290 7 лет назад
ameni kaka makonda mungu mkubwa
@tereseamasawe8111
@tereseamasawe8111 7 лет назад
mungu yuko nawe mwesh makonda.
@eliasabel1099
@eliasabel1099 7 лет назад
ure right our Rc
@stanleymkumbo2120
@stanleymkumbo2120 7 лет назад
mkuu upo sawa kabisa acha mungu aitwe mungu
@richardemmanuel90
@richardemmanuel90 7 лет назад
makonda unafaa kuwa mkuu wa mkoa au wazili au rais god bless u
@mahaiboniface7220
@mahaiboniface7220 7 лет назад
Fanya kazi kaka usisikilize lolote watanyoka tu mwaka huu
@kakapascal5090
@kakapascal5090 7 лет назад
Amani & Upendo Tanzania, "Nyuki hawakwenda shule lakini kazi yao yapendeza wengi kuliko wasomi wasio na faida" elimu siyo cheti bali elimu ni rasilimali inayo mwezesha mwanadam kuyaongoza na kuyatawala mazingira yake kwa Haki. pasipo ukweli watu hawajizuii kuangamia.heri kwako mh Makonda.
@godfreymanwingi8008
@godfreymanwingi8008 7 лет назад
D kama kapanki sana me sijaona matik niip maan ajajibu chchte we wek vyt baba tupte matk
@jumamichael4083
@jumamichael4083 7 лет назад
Kaka Pascal tatizo sio elimu,tatizo ni kufoji cheti ambalo ni kosa la jinai.
@kabakageorge127
@kabakageorge127 7 лет назад
piga kazi makonda hakuna chéti cha div 0 na Mungu anakuona ngwajima tapeli tu
@mamarama6360
@mamarama6360 7 лет назад
pigana kaka usikate tamaa mti wenye matunda ndio hupigwa mawe muweke mungu mbele kwakila jambo hakika utafanikiwa na shetan atashindwa
@theresias5289
@theresias5289 7 лет назад
Mnamsikia jamaa,mahubiri yake poa siyo kama ya yule jamaa anaye laani nakusema makonda hana vteti halali nakuambia ataisoma namba ya kiatu cha Makonda,tuige mfano huu mzuri wa. kumtumainia Mungu.Keep it on Makonda,we are together,,wir schaffen daß,keine angst
@philipmayalu1844
@philipmayalu1844 7 лет назад
vyeti tu. ukivitoa wala hakuna shida. wote tutakukubali tu.Elimu yako tu.
@nicusleonard2239
@nicusleonard2239 7 лет назад
Bora ungetubu kwanza, huo ujanja ujanja WA kupanga maneno NI uhuni TU wala hauhitaji elimu ya chuo kikuu. Weka vyeti hadharani. None sense!!
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
Nicus Leonard you sound like a drug dealer this time you have no chance in this country piece of garbage go go go Mr Makonda we support you till the end
@nicusleonard2239
@nicusleonard2239 7 лет назад
Hassanova junior Brother be smart please, who is Dr Gwajima in this state that he even daring to point a rubbish finger to BASHITE?? With you do you think what the pastor states is totally wrong?? Do you think MAKONDA is the only right person to fight against drugs in Dar? Please ague logically we can't allow failures to lead this present society of vulnerable educated people, we must tell them the truth!!
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 лет назад
+Nicus Leonard lugha ndugu kwani kiswahili hujui
@nicusleonard2239
@nicusleonard2239 7 лет назад
Shuweha Haruna Omari Ikwena Dada MM NI mtanzania haswaa Bali nilikua namjibu aliyekomenti KWA lugha hiyo.
@shomarmachaku9860
@shomarmachaku9860 7 лет назад
cheti kwanza
@sand4946
@sand4946 7 лет назад
Show your school certificates right now
@hemedimbwambo9512
@hemedimbwambo9512 7 лет назад
kazi unayoifanya nizaidi ya vyeti kaza buti
@ashaakidotkidotlyova2881
@ashaakidotkidotlyova2881 7 лет назад
timothi sarehe uko sahihi huyu anafaa kama tugepata rais kama magu au huyu kweli inchi ingebadilika zamani sana ♡
@nyhamapagi9694
@nyhamapagi9694 7 лет назад
shida sio kutoa vyeti, hawa wanafik hata uktoa watasema umeedit, wanafki hawa ili wardhike wanataka utolewe ukuu RC.hawana hoja. Mungu akubark an makonda mbabe wa vita TZ
@madichamasawe6591
@madichamasawe6591 7 лет назад
onyesha vyeti hatutaki ujuaji kwenye hamna unaziba nafasi za wasomi
@yohanakishosha6542
@yohanakishosha6542 7 лет назад
hstutaki poloje toa vyet vyako je ww unaitwa nani makonda au bashite usijidai kuvaa ngoz ya kondoo kumbe ni mpagaan mweus
@gulwetv8801
@gulwetv8801 7 лет назад
Yohana Kishosha wewe vyako mbona huweki
@zorriebwire9784
@zorriebwire9784 7 лет назад
Yohana Kishosha kabisaaa alete vyeti
@madichamasawe6591
@madichamasawe6591 7 лет назад
+paul dirklucky acha ubwege
@mariammarco1554
@mariammarco1554 7 лет назад
Yohana Kishosha umekomaa utafikili wew unavyo hata vya darasa la pili muone kwanza.. toa bas kwanza vyakwako ndo atamalizia yeye
@professormwamasinga3045
@professormwamasinga3045 7 лет назад
vyako viko wapi??
@theprayztvshow6763
@theprayztvshow6763 7 лет назад
amen..
@ricricardo1150
@ricricardo1150 7 лет назад
PAUL MAKONDA HII NI KWAAJILI YAKO. Zaburi 13:1-6 MAOMBI YENYE MATUMAINI Ee Bwana, hata lini utanisahau, hata milele? Hata lini nifanye mashauri nafsini mwangu, nikihuzunika moyoni mchana kutwa? Hata lini adui yangu atukuke juu yangu? Ee Bwana, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; uyatie nuru macho yangu, nisije nikalala usingizi wa mauti. Adui yangu asije akasema, "Nimemshinda!" Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa. Nami nimezitumainia fadhili zako; moyo wangu na uufurahie wokovu wako. Naam, nimwimbie Bwana, kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu. AMEN FOR PAUL MAKONDA
@tuzoyaushairiyaebrahimhuss9715
RIC zaburi hii iko sawa kabisa tatizo ni kwamba kama tatizo ni vyeti litabaki palepale mpaka ukweli utakapopatikana. Labda sema Mungu atende haki na ampe Makonda anachostahili.
@GEORFILM_Tz
@GEORFILM_Tz 7 лет назад
wewe ni kiongozi sahihi sana mimi nakuelewa sana Mungu utetee kiongozi wangu...
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 лет назад
makonda utashinda tu ktk mungu anaeweza mayote
@vickysanga6321
@vickysanga6321 7 лет назад
Kaz anayo atatembea kuombewa kila kanisa kila msikiti hahahhha
@davischristian1446
@davischristian1446 7 лет назад
Yeye mwenyewe alikua msimamizi wa kusaka watumishi hewa na waliofoji vyeti DSM amefukuza maelfu ya watumishi hewa na forgery na wengi wana kesi mahakamani...panga hilo hilo limkate na yeyee....hatuwezi kuwa na double standards kwny law it's unacceptable
@hamiscosmas4667
@hamiscosmas4667 7 лет назад
dhibitisha vyeti kaka tulishakusikiliza siku nyingi sana
@mwaburabairubairuyusuph4307
@mwaburabairubairuyusuph4307 7 лет назад
nimekuelewa Bashite.
@kihingageorge2227
@kihingageorge2227 7 лет назад
Mbona mheshimiwa anageuka Gwajima no. 2!
@dotoe.a7869
@dotoe.a7869 7 лет назад
Jamanii daah
@sz1313
@sz1313 7 лет назад
Monday to Friday Makonda anaongelea madawa, Sunday kanisani siasa tena. Mmmmmmm
@arnoldnnko2395
@arnoldnnko2395 7 лет назад
Sijaelewa vizuri ni vita ya Unga au ya dini
@vonkale8565
@vonkale8565 7 лет назад
usijifiche kwenye madawa ya kulevya, leta vyeti hapa
@ElchapoGG
@ElchapoGG 7 лет назад
anakana mpaka jina lake la Bashite... mmmh Dunia hii....
@stevenmsakambi5832
@stevenmsakambi5832 7 лет назад
vyeti vp?
@francisnyamhanga3530
@francisnyamhanga3530 7 лет назад
Hakuna kitu kinakera kama madhahabu inapotumika kwa ajili ya mambo ya siasa.
@zaharamsafiri825
@zaharamsafiri825 7 лет назад
matusi ni ya nn Jmn, hoja nafikir ndizo zenye nafas kwa sasa
@mamapekupekupilipilimuwash9016
huyo makonda yuko dini gani mbona matara kuombewa duwa za kislamu mara dini ya kristo he
@mamapekupekupilipilimuwash9016
salum yakuub una smea jee sija elewa
@rehemaedson5732
@rehemaedson5732 7 лет назад
Songa mbele makonda Mungu unayemwambudu atakushindia hata yesu alitenda miujiza lakini wengi walimkana na kumtukana wewe ni nani songa mbeleeee vita vyetu si vya kimwili vita ni vya kiroho Mungu atakushindia
@mashakadani3331
@mashakadani3331 7 лет назад
wakati tulio nao kaka si wakilio maana wakati wa kilio umepita hapa nikuvaa gwanda la kivita ya kiroho tu
@Kathren-ed7xb
@Kathren-ed7xb 7 лет назад
Cheti chake wakitaka ili iweje acheni ufala
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 лет назад
inshu ishabumburuka unajifanya MTU wa mungu tunataka vyeti sisi sio ujanjaujnja2 hapa
@abusalman5139
@abusalman5139 7 лет назад
Daudi Bashite sasa unatafuta sapoti kwenye makanisa. Ahahhah. Acha uhuni. Weka vyeti
@kabaitijunior2642
@kabaitijunior2642 7 лет назад
Abu Salman 😂😂😂😂😂😂
@professormwamasinga3045
@professormwamasinga3045 7 лет назад
vyako viko wapi???
@abusalman5139
@abusalman5139 7 лет назад
Professor Mwamasinga Kwani mimi ni Kiongoz wa Umma? Professor wa wp ww? Kolomije au?
@professormwamasinga3045
@professormwamasinga3045 7 лет назад
+Abu Salman kwani mm nmesema ww ni kiongozi wa umma?? nimesema vyako viko wapi???
@abusalman5139
@abusalman5139 7 лет назад
Professor Mwamasinga Mwambie Bashite asijifiche kwenye Chaka LA madawa... Weka vyeti acha maneno
@Jonathan95311
@Jonathan95311 7 лет назад
Babaaa fungua kanisa siasa mmmmmmh wanahitaji vyeti aiseeeeee!!!
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 7 лет назад
Halafu mnasema eti bongo movie imekufa hahahahaha
@tibrucemushi1735
@tibrucemushi1735 7 лет назад
HIVI NI NANI ALIMPIGA JUDGE WARIOBA KWENYE MCHAKATO WA KATIBA MPYA?
@amrimasusu5208
@amrimasusu5208 7 лет назад
mmmmh mungu wangu saidia
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 7 лет назад
Endelea na kazi mkuu, puuza maneno yote dhidi yako kwasababu hawa tashinda.
@Jonathan95311
@Jonathan95311 7 лет назад
Yaan mie sioni umuhimu wa maneno mengi!!! Waonyeshe vyeti tu watu watakaa kimyaaaaaaaa!!!
@driquesmariques9794
@driquesmariques9794 7 лет назад
Acha maneno weka vyeti..
@philipgeorge58
@philipgeorge58 7 лет назад
Elimu ni muhimu Lakini ikumbukwe kuwa Elimu pekee haiongozi watu, bali kipawa cha uongozi anachokuwa nacho mtu chafaa zaidi.
@yonalwiva8069
@yonalwiva8069 7 лет назад
Brother Makonda, wewe fanya kazi kwa haki ili mambo yaende sawa, ayo mambo ya vyeti waachie wengine.
Далее
БЕРЕМЕННА В 16 - 5 ВЫПУСК (МАМА В 16)
1:53:50
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
IBADA YA JUMAPILI 07 JULY 2024
1:57:55
Просмотров 6 тыс.