Тёмный

Hatimaye Mbarikiwa "ATOA UTETEZI WAKE MAHAKAMANI LEO" ITAKULIZA. Ama kweli kuna watu huonewa duniani 

Kikosi kazi cha injili🎖
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 75   
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 12 дней назад
Mungu akusaidie sana Baba Mchungaji tunaomba haki itendeke jaman msimwonee Mchungaji
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 12 дней назад
Baba wanakuonea sana hawa mashetani,walitumwa na shetani kutesa watu Mungu,aishivyo Mungu tutazidi kuwapinga kwa nguvu zote.
@user-im7vi2yf2d
@user-im7vi2yf2d 12 дней назад
Pole mbarikiwa na mama salome
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 12 дней назад
Mungu akufanyie wepesi , babangu mbarikiwa ❤
@MariamCleinance
@MariamCleinance 12 дней назад
Mungu yupo pamoja na wewe baba mungu akutetee baba
@luganomunuwavanu9369
@luganomunuwavanu9369 12 дней назад
If you stand for the truth you will always stand alone. For sure you are Righteous daddy
@clemenceparokola
@clemenceparokola 12 дней назад
Baba mchungaji Mungu akuteteee
@DanielKoipapei
@DanielKoipapei 12 дней назад
Bwana angalia bwana Mungu wangu angalia bwana inauma sana
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 11 дней назад
KWA VYOVYOTE VILE BADO TUNAMTAZAMIA MUUKUMU WA HAKI NA MUUKUMU WA MWISHO NI MUNGU TU. AMINA.
@Veni584
@Veni584 12 дней назад
Mama pole kesi inakukumbushia machungu uliyopitia
@AnnaMwitega
@AnnaMwitega 11 дней назад
Mungu aende mbele yako Mtumishi wa Mungu akutetee.
@Pendopasilika
@Pendopasilika 12 дней назад
Pole mwana wa MUNGU MUNGU akutie nguvu
@bahatimgaya4045
@bahatimgaya4045 12 дней назад
Aiseee haya Mambo ni hatari 😊
@Gwa-Kayaga
@Gwa-Kayaga 12 дней назад
Siku zote mwenye haki husimamia ktk uhalisia wa jambo,,,,,Hapo hata HAKIMU awe makini na maamuzi atakayochukua,,,maana hapa Kuna sauti ya damu ya mtu inalilia HAKI😢
@jonathankessy9615
@jonathankessy9615 12 дней назад
Haki wanaijua sema tu huwezi kudai haki kwa mtu ambaye hata nafasi aliyonayo hakuipata kwa haki Baba pole Mungu muhukuku wa haki atakupa haki
@user-wv9wc6yr1u
@user-wv9wc6yr1u 12 дней назад
Exactly Mwenyezi Mungu yu ajua wanachomfanyia mtumishi
@bluxrcst
@bluxrcst 12 дней назад
Ameen sana sema ukweli watu wapone ukisema ukweli itakuweka huru asante
@HappyAnacondaSnake-zl4vj
@HappyAnacondaSnake-zl4vj 12 дней назад
YESU TU NDIO MUAMUZI
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 12 дней назад
Mithali 13:7 Kuna mtu mwenye kujitajirisha, lakini hana kitu; Kuna ajifanyaye kuwa maskini, lakini ana mali nyingi. Tunaona katika watu walitakiwa kuwa matajiri wenye mali nyingi ni wewe ila unajifanya maskini ili kuusimamisha ufalme wa Mungu wa kweli Duniani.. na iwe heri katika utumishi huu🙏
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 12 дней назад
Nuru ,ni, nuru tu, siku,zote , barikiwa baba
@Wiittole
@Wiittole 12 дней назад
Mtumishi wa Mungu haya yote yasikukatishe nia yako ya kuwakemea hawa wachawi.wewe ni shujaa wa Tanzania mpya tunayoiendea,wewe ni dhahabu inayopitishwa ktk tanuru la moto utakuwa bora sana.Mungu awe nawe.amen
@cathelinematondo3992
@cathelinematondo3992 12 дней назад
Jehovah onekana baba ktk maumivu haya makali kwa baba yangu Mchungaji wangu 😭😭😭😭
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 12 дней назад
Mungu , MUNGU, MUNGU,aaaaah jamani, eee Yesu mnazaret tusaidieeee ,
@UAMSHOTV
@UAMSHOTV 12 дней назад
Yaani mtu anaua harafu serikari inakushitaki wewe mlalamikaji ili hali mlalamikiwa hajakanusha malalamiko, hii nchi inazidi kumeza laana hivyo kuna muda Mungu atalipa tu hakuna mtu mwenye siri na asili ya pumzi
@cathelinematondo3992
@cathelinematondo3992 12 дней назад
😭😭😭😭😭 MUNGU onekana baba.
@user-qm2ve7tx3s
@user-qm2ve7tx3s 12 дней назад
Aise ee hiyo ndio selekaliyetu inabaadhi yawatendaji wasiyo elewa kama wame beba mwili hatakama wataishi miaka 150. Bado kufa kuko palepale bola wewe utakufa nawemawako ukiwa unaonekana duniani kuliko hao wanaoishi maisha ya laana bilakujua
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 12 дней назад
Tangu damu ya Habili hata damu ya Zakaria, aliyeuawa kati ya madhabahu na hekalu. Naam, nawaambieni ya kwamba itatakwa kwa kizazi hiki. Luka 11:51
@user-sc2yw5kk5r
@user-sc2yw5kk5r 11 дней назад
Ninachojua zambi Hii itawatafuna..... Wote wanaofanya hayo...
@DismasVenance
@DismasVenance 11 дней назад
Mbarikiwa usiogope hawa wanaotaka kukuhukumu kwa uonevu ni wanadamu siku nao ya hukumu ipo wala hawatapona na si mbali. Kuna jambo litatokea ili wajue YESU NI MUNGU MKUU.
@Yusufu-j5z
@Yusufu-j5z 12 дней назад
Mungu akujalie neema na akupewepesi
@CHRISTIANMWANAMFIPA
@CHRISTIANMWANAMFIPA 12 дней назад
Mungu akutetee baba. Naakupe haki yako
@sifunimelkizedeck882
@sifunimelkizedeck882 12 дней назад
Mungu aendelee kukulinda kutoka kwa watawala Wahovu na hawaaibishe mchana kweupe
@PatrickTimoth
@PatrickTimoth 12 дней назад
Mungu akufanyie wepesi
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 12 дней назад
Mwanamatengenezo kamili
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala 12 дней назад
Huu ni uwenda wazimu kweli, Andwu Kantimbo amekuwa ndiye aliyelalamika.!
@EsterSwilah-jv6ns
@EsterSwilah-jv6ns 12 дней назад
So pain 😭😭😭 God help us 😭
@bluxrcst
@bluxrcst 12 дней назад
Mungu water ye mupate ushidi wakumaliza kesi yamahakamani anaweza yote
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese 12 дней назад
Ameni watsumbua dunian ila ila kabulini watakaa siku nying mpaka
@lucknessgerana3031
@lucknessgerana3031 12 дней назад
Mungu mtetee mtumishi wako
@YeremiaGidion
@YeremiaGidion 12 дней назад
Huyu mama Samia asipo kua makini ,wakati yeye ndoo mwamuzi wakuingilia akamaliza hili tatzo kama Mungu aishivyo mbarikiwa hawezi kudhulika chochote Kwa jina la yesu kristo wa Nazareti
@musajulias3392
@musajulias3392 11 дней назад
Sijuti kuwa mtoto wako zaidi sana nataka moyo huo
@user-kk7oy5hn1i
@user-kk7oy5hn1i 10 дней назад
Inaumiza sana moyo
@cathelinematondo3992
@cathelinematondo3992 12 дней назад
MUNGU ni wewe tu umebaki.tunakuhitaji Jehovah 😭😭😭
@nicholaussteven3188
@nicholaussteven3188 12 дней назад
Mungu awe nanyi Baba
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 12 дней назад
Kama KUUWA Ndio njia nzuri ya kulinda baadhi ya Viongozi wa serikali basi watatuuwa wengi ila ipo siku yale ya kenya yatatokea na hapa kwetu TZ,TUMECHOSHWA NA MNAVYO PINDISHA HAKI YA MCHUNGAJI MBARIKIWA
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando 12 дней назад
Mmmmmmmh inaumiza sanaaa
@kibwetere1418
@kibwetere1418 12 дней назад
Mungu atusaidie jamani
@zakariamwakasege-y2u
@zakariamwakasege-y2u 12 дней назад
wewe ni jeshii la mungu kwanamn yoyote utashinda kidume
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 12 дней назад
Yehova akupiganie, na pole.
@cathelinematondo3992
@cathelinematondo3992 12 дней назад
So pain 😭😭😭😭😭😭😭
@devissyprian1526
@devissyprian1526 12 дней назад
Kwahiy unamshitaki, Huyo jamaa ukishinda akulipe mtoto akusaidie nini, maana sikuelew, mbarikiwa
@cathelinematondo3992
@cathelinematondo3992 12 дней назад
MUNGU wewe utabaki kuwa MUNGU wa Nyakati zote na majira yote 😭😭😭 yawe ya furaha ama huzuni 😭😭😭😭
@annaombay9417
@annaombay9417 12 дней назад
Mungu atakutetea
@thimoteslangay2010
@thimoteslangay2010 12 дней назад
😢😢😢😢
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 12 дней назад
SAMIA Unavyo kaa kimya kuhusu Mauaji ya Huyu MTOTO tukueleweje (hiki kimya tukitofasili vipi).
@cathelinematondo3992
@cathelinematondo3992 12 дней назад
MUNGU jitokeze ktk hili 😭😭
@YeremiaGidion
@YeremiaGidion 12 дней назад
Mzee ww ni mshindi sana Tena sana
@cathelinematondo3992
@cathelinematondo3992 12 дней назад
😭😭😭😭😭
@davidikakombole8833
@davidikakombole8833 12 дней назад
Eeeeee Mungu utusikieeeeeeee TU inatosha mateso haya
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 12 дней назад
Ninyi watu mlioshiba madarakan mnaone mpa watumishi wa mungu nawashaur acheni hiyo kaz Mungu shedrak meshak na Abednego akiamua kuwashughulikia mtapata taabu sana kwhyo ushaur wangu acheni
@user-wv9wc6yr1u
@user-wv9wc6yr1u 12 дней назад
Labda hawajui ebu waambie Hawa mafarao wanataka kushindana na Mussa
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 12 дней назад
Mtumishi wewe Nimgumu kunyamaza ndio tatizo rako ukinyamaza2 matatizo yate yataisha kaakivya
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 12 дней назад
Kuhubiri ni kuongea frequently (ISAYA 58:1)
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 12 дней назад
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Nikweli lakini huoni unajiweka kwenye tabu unasumbuliwa kila siku mtumishi
@user-wv9wc6yr1u
@user-wv9wc6yr1u 12 дней назад
Walionyamaza wapo kaburini tu
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 12 дней назад
They are above thelaw.....
@thimoteslangay2010
@thimoteslangay2010 12 дней назад
Emungu jitokeze Mara hi tu
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 12 дней назад
Eh Mungu not eh mungu my dear, barikiwe mpendwa.
@MariamLigoha
@MariamLigoha 13 дней назад
Sauti haisikiki
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 12 дней назад
Mbona iko vizuri?? Labda mtandao hauko sawasawa
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 12 дней назад
Sauti iko sawa.
@henrychacha5592
@henrychacha5592 12 дней назад
Mungu amesema na Mimi miaka miwili iliyopita kwamba atafanya mabadiliko makubwa sana kwenye nchi hii. Chama tawala kitakuwa Cha upinzani kutokana na maovu kukithiri na mabaya yamekuwa ndo mema kwa sasa
Далее
RAISI kupeleka waganga IKURU
13:13
Просмотров 352
HUU NDIO WOSIA WA MBARIKIWA KWA WATOTO WAKE.
14:15
Просмотров 9 тыс.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Просмотров 58 тыс.