Тёмный

MGOGORO GHOROFA LA KARIAKOO/MTOTO AMKANA MAMA/MAMA AOMBA RAIS NA WAZIRI KUINGILIA KATI''ANADHULUMU'' 

JAMBO TV
Подписаться 906 тыс.
Просмотров 89 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
MGOGORO GHOROFA LA KARIAKOO/MTOTO AMKANA MAMA/MAMA AOMBA RAIS NA WAZIRI KUINGILIA KATI''ANADHULUMU DADA ZAKE''
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

11 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 187   
@harounali9057
@harounali9057 20 дней назад
Inna lilahi wainna ilayhi rajiun Allaah subhanahu wataala amrehemu mzee Abdallah Bahshuwan namjuwa vizuri niliwahi kufanya kazi kwakwe mwaka 1991 kabla sija ondoka 1992. Mashallaah mzee alikuwa habaguwi mfanyakazi na nilikuwa ana nipa kila siku nauli ya kurudi nyumbani ya dala dala na alikuwa aki I tazama kama mtoto wake Mohammad pale Morogoro Road na kuondoka kwangu kuna mchango wake. Mimi nilikuwa mfanya kazi wake tu.
@zainabzain3434
@zainabzain3434 20 дней назад
Mashaaaaaaallah watu wema utajwa kwa wema wao Allah amrehemu
@ahz6907
@ahz6907 18 дней назад
​@@zainabzain3434amyn
@gervas304
@gervas304 13 дней назад
❤😊
@gervas304
@gervas304 13 дней назад
😊
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 24 дня назад
Waende kwa Waziri, huyo Arafat ataitwa na kukomeshwa, Slaa hana mchezo.
@abdallahally842
@abdallahally842 21 день назад
Dunia ni mapito muomgope aliekuumba na uwaombe radhi mamayako na dadazako muishi vizuri Mali ya dhulma haidumi
@shuwanaliloka3816
@shuwanaliloka3816 17 дней назад
Kosa la kwanza lilikua ni kumruhusu asimamie jengo wakati nae ana Mali zake. Poleni sana.
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 15 дней назад
Wema umewaponza
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 23 дня назад
Anamkana hata mama yake huyo sio binadamu wa kawaida
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 21 день назад
mi sichangii chochote kwanza...mpaka nimsikie na uyo araphat 😊,,
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 24 дня назад
Hizi mali pamoja nyumba, mashamba, viwanja zitawapeleka watu wengi jehannamu, Ewe Mwenyezi Mungu tupe moyo wa kinaa na turidhike na unachoturuzuku. Lakini ktk haya mbaya zaidi huyo kijana amemshitaki mama yake, huyu ana laana
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 21 день назад
Hakika 😢amina pia 🤲
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc День назад
Dkt slaa yupo Insha'Allah kheir
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 21 день назад
Jamani nini maana ya ndugu Arafat unamjua Mungu aliyekuumba kweli
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 13 дней назад
Wazazi wangu nawaehukuru kwakuturithisha mali kabla hamjafa kilamtu anatumia urithi wake sisi nikuwatunza tu hongereni sana kwa hekima mliyo jaaliwa na mwenyezi Mungu❤❤❤🎉🎉🎉
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 24 дня назад
Shule muhimu sana ndugu zanguni
@aliborafia5710
@aliborafia5710 20 дней назад
Poleni sana ndugu zangu mwenyezi mungu awasaidie
@farajiissa560
@farajiissa560 20 дней назад
Nashukuru Baba angu aliniambia ananipa urith wa elimu tu na hakutaka niguse mali zake hawa watu wanaogombania mali hua nawashangaaa hata mm sitak watoto wangu waguse mali zangu wasome watafute vyao sitak mazoea yaaan mtoto nitampa elimu tu asome asisome shaur yake ila changu akiache
@bongo39
@bongo39 24 дня назад
Huyo mtoto ana laana kubwa ila haki wataipata tuu hawa kina dada
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 23 дня назад
Huyo sio kijana ni jinni
@AllyBoko
@AllyBoko 16 дней назад
Mueshimiwa siraa wasimamie wapate aki zao mama amekuamini nawewe upo vizuri kakaka
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 24 дня назад
Nchi hii ina viongozi matapeli sana unasaini vip document bila kujiridhisha ??????????
@leokamil6284
@leokamil6284 19 дней назад
Huwezi kuamini kuna familia naifaham mkoani imeuzwa na muolewaji na wanae tena inasemekana aliyenunua hiyo nyumba na Hati feki ni mstaafu wa Serekali kwenye kitengo ambacho huwezi kuamini anaweza kushiriki huo utapeli
@bongo39
@bongo39 24 дня назад
Mtihani huyo arafati anaonekana ni mkorofi sana tunaomba waziri hii kesi uwatendee haki hao kina dada ili wapate haki yao na huyo kijana anaeitwa arafat afungwe kabisa jela ni dhulma mkubwa mshenzi
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 21 день назад
Hii mirathii hii mwisho wa ck huyu arafat ataanza kuwaroga dada zake ila kwa uwezo wa mungu arafat huta fanikiwa chchte maana unatumia nguvu ya dhulma 😢
@rosiehayatta2619
@rosiehayatta2619 19 дней назад
Namashaka na Arafat anaweza kuwadhuru especially huyu msomi anayejielewa na mama yao ambay Arafat alikana sio mama yake anaweza kuwaua, ni jambazi
@leokamil6284
@leokamil6284 19 дней назад
🤝
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 21 день назад
Tamaa mbaya
@jameschristian5876
@jameschristian5876 16 дней назад
Mkewangu anasumbuliwa sana,itabidi nifanyejambo
@EDWINMAPUNDA-de4ds
@EDWINMAPUNDA-de4ds 19 дней назад
I wishes a all good jobs
@abdulmgassa7848
@abdulmgassa7848 21 день назад
Asalam Dada pole sana nina wajua sana poleni ndugu wajaabu sana usipokuwa wangalifu huyo jamaa atawaua hatari sana kuweni wangalifu sana Allah awasimamie dada tafuta walimu ndio ninacho kushauri alafu pia ibada mshitakie kwa Allah kila siku huyo isimuonee huruma huyo kashakuwa shetani
@mpefu_4936
@mpefu_4936 23 дня назад
Huyo kaka jambazi na mwizi
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 16 дней назад
Huyu arafati atiwe ndani Kwa wizi
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 18 дней назад
Jamaa mkorofi, kabla sijamsikia poyoyo zake.
@Ericzdeking24
@Ericzdeking24 17 дней назад
Mama samia kuna wakurugenzi wako huku wananyanyasa wanawake wenzio huku.Mama ingilia kati.
@user-xy8ev8dp5w
@user-xy8ev8dp5w 21 день назад
Mtauzaje mali ya familiy bila makubaliano ata mm sikubal
@mimahtv2974
@mimahtv2974 20 дней назад
Hao ndy wanaotia uchizi ndugu zao kisa mali na kaliakoo mtindo huo upo sanaaa…!😭😭😭
@Farryunique
@Farryunique 15 дней назад
Subhaana Allah
@MA-ht7po
@MA-ht7po 23 дня назад
maheremu Alikuwa mfanyabiashara maharufu dar,Alikuwa rafiki yake mzee Kenya
@saidbhanji4234
@saidbhanji4234 21 день назад
DUH !! NOMA HAPO AMEFELI DADA YAKE KALISANUA NA ANAJUWA HAKI ZAKE.
@shuwanaliloka3816
@shuwanaliloka3816 17 дней назад
Yani kamshtaki mamake mzazi mahakamani jamani kweli😢
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 24 дня назад
Ndugu bongo kwenye Mali hawaaminik hata sekunde
@jumasalum991
@jumasalum991 9 дней назад
Slaa mama kumwamisha wakati anafanya vzr
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 24 дня назад
Ndo faida ya kusoma, huyu dada anaonekana amenda shule,
@PCNaz007
@PCNaz007 22 дня назад
She was my class mate together with twin Amin
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 21 день назад
​@PCNaz007 who is twin
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 16 дней назад
​@@ashuraomar4935Pacha wake, ndie anaitwa Amin
@erickkayumbo5669
@erickkayumbo5669 14 дней назад
Mama Samia,ona wanyonge wanavyoonewa,tusaidie wanyonge😭😭😭, Mama Samia kuna watu wanaonewa sana.
@user-lt2qh5dj1b
@user-lt2qh5dj1b 20 дней назад
Dada nakubar sana❤
@MbarakSoud
@MbarakSoud 20 дней назад
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah JAMANI mama ni mama bila ya mama usinhekua mpaka Sasa umshukuru mungu sana Léo uko na mamã ako usimnyanyase mamã ako ndiyo mamã ako huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana Mali ni pambo lá duniani tu mnagombaniani Mali hhhhhhhh
@saidmohd7240
@saidmohd7240 День назад
Baba wa familia/marehemu ndie aliesababisha mgogoro kwa watoto wake! Kurithisha kabla hajafa na kuandikia watoto! Mirathi imeshagawiwa na Allah Mtukufu!
@pidibegashe768
@pidibegashe768 24 дня назад
Tamaa ndio shida ... Kama pesa kapigia dance hapambane na haliyake
@taflamohsin2195
@taflamohsin2195 21 день назад
Lahaula wala quwata illah billah, mashakil kama haya ni mengi sana,hasa kwa ndugu wenye roho mbaya na ndugu zao,ni kweli kabisa mwisho wake ni kurogana na udugu unavunjika.huwezi kula mali ya dhulma,kila mmoja keshapewa chake,duh tamaa hio.Allah atufanyie wepesi ,
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 21 день назад
Mkurugenzi iiiiiiii.
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy 21 день назад
Watendaji mliotajwa na mlalamikaji mjitahidi kufuata sheria. Ili kupunguza watu kumuomba rais awasaidie katika matatizo yao.
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 21 день назад
Huyu mkurugenzi nae achunguzwe
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 16 дней назад
Nashangaa sàna mnalithije wakati mama yenu yupo?
@mkamamapigano1486
@mkamamapigano1486 20 дней назад
Pray for this family 🙏
@user-tm5jl5ym8q
@user-tm5jl5ym8q 19 дней назад
Pole dada zangu mola hatawasaidia
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 20 дней назад
Tatizo shule,yaani mtoto wa kiume unashindwa kutumia nguvu zako mwenyewe kutafuta mali zako za halali unaanza kudhurumu mali za dada yako😢😢
@Zainab_salat
@Zainab_salat 18 дней назад
Eti ana nguvu si mlemavu atafute mali yake na baya zaidi kuwa na laana ya mama
@zulfahaji91
@zulfahaji91 21 день назад
Huyu jamaa noma hafai kua kiongozi
@SaleheHaji-ne7md
@SaleheHaji-ne7md 24 дня назад
asalamualsykum arfat harakakwamm urazimuhimu,,
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 24 дня назад
Wakurugenzi wa mama
@EDWINMAPUNDA-de4ds
@EDWINMAPUNDA-de4ds 19 дней назад
I LOOK GOOD AND ENJOY WELL
@ThatGuyKRXZY
@ThatGuyKRXZY 22 дня назад
Shame on u Arafat Bahshwan.Hata pepo hutoiona katika maisha yako 😡
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 21 день назад
Kabisaa yaani anatusikitisha sanaa huyu Arafat ni mdogo sana kwa ndugu zake. Ana tamaa ya wanawake ndio sababu anakuwa tapeli
@aminaosman3315
@aminaosman3315 20 дней назад
,serikali hapa hapa tanga kama haipo
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 4 дня назад
Mimi bana mali yangu ni yangu mtoto atafute mali yake ndio mana now nawapa elimu coz hata mimi babayangu hajanipa chochote alisema nibcha mamayangu
@browskymuba6923
@browskymuba6923 4 дня назад
Haipendezi ndugu kugombana
@haikaelkiwia9705
@haikaelkiwia9705 24 дня назад
Sasa kwa nini anaficha uso wake?? Bado ana hofu, kuwa wazi kwani ni haki yako
@aliborafia5710
@aliborafia5710 20 дней назад
Arafat arafat arafat mohamed abdallah bahashwan
@salumjuma3152
@salumjuma3152 24 дня назад
Bwana arafat kama kashapewa chake alafu anataka kufanya manyanganyi na manyungunya yatamponza atakosa mpaka radhi za wazee wake kwa kugombania mali
@faridhassan6834
@faridhassan6834 20 дней назад
Ushauri nenda kwa mkurugenzi wa Takukuru
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 16 дней назад
Dada anahitaji ulinzi uhai utaponzwa Kwa kutetea haki yake
@shekhamazrui9660
@shekhamazrui9660 21 день назад
Mwambie Arafat ajikaze angalie mipango mingine
@KhadijaSalum-nf5mf
@KhadijaSalum-nf5mf 15 дней назад
Mzee alionaa mbali kwa watoto wake kiasi cha kuwagaiya mali before hajafa ktk matumbo hutoi watoto wote wakawa sawa lazima utatoa mtoto mmoja mkorofi baba yao Allah amrehemu ampe kauli thabit hiko aliko lkn dhulma maisha haidumu haki ya hao dada zake biidhnillah wataipata huyo arafat hajui kulinai na dhulma kaweks mbele
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 21 день назад
Wazili kwanza awo walioweka mabango wawekwe ndani saa sita unawezaje weka kalatasi ktk maduka ya watu
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 9 дней назад
Huyo kaka ajitahindi Ajishushe kweli kuomba Msamaha kwa dada zake kama sio atakuwa na Laana kweli
@SabryNassir
@SabryNassir 19 дней назад
Hatari na nusu mungu awe upande wenu wenye hakki nyie nindugu zetu kbs
@mahmoudhaji3526
@mahmoudhaji3526 19 дней назад
Uislamu kuna kurithi sio kusimamia
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 15 дней назад
Hujamuelewa. She is straight
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 16 дней назад
Dada yupo sahihi kabisa apewe msaada kutetea hakiyake
@MrKhatibu
@MrKhatibu 23 дня назад
Arafat unafikia kumkana mama yako kwa tamaa ya pesa? Tafadhali haraka sana nenda kamuombe radhi kwa. haraka sana.
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 21 день назад
Wewe mtoto wa kiume pambana acha kungangania mali za dada zako
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 4 дня назад
Mimi siwezi kugombania malia ambayo siiijui hata mzee aliipataje mtu mzima ushaolewa ushaoa unataka mali za marehem kkkk hebu fanyeni mambo yenu
@alhabibsudi7997
@alhabibsudi7997 19 дней назад
Mtoto wa Kiume unaenda kudai Mali za wenzako Pambana utafute zako shuwaini mmoja na Ingekuwa nipo kariakoo ningekupiga vitasa mchana kweupe, shenzi sana, mtoto wa kiume Fanya kazi utafute mali żako sio kudhulumu wenzako tena ni Wanawake unaowaonea
@xcaliber8300
@xcaliber8300 20 дней назад
Jina lenyewe arafat (kusambaratisha)
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 21 день назад
Muhim hpo kujua sheriya tumesoma lkn sheriya hatujui mambo hyo yanaenda na sheriya
@respiciuskabigumila5246
@respiciuskabigumila5246 21 день назад
Hivi mtu anaingiaje kwenye mali zangu bila idhini yangu? Namtoa nduki simbembelezi kivyovyote.
@user-cr4th9lr6b
@user-cr4th9lr6b 21 день назад
Huyu kaka ndio tapeli
@ChartyCharz
@ChartyCharz 21 день назад
Waziri amchunguze uyu mkurugenzi
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 21 день назад
Arafati arafati mwogope Mwenyezi Mungu ivi leo kama baba yako mzazi angefufuka akaja nyumbani utafichia wapi uso wako na baba akasikia umemkana mpaka mama yako mzazi mke wa baba yako ivi utasema nini
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 16 дней назад
Mwizi huyo. Inabidi achukuliwe hatua kali na serikali
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 10 дней назад
Uyo arafat qajazwa upepo na baadhi ya ndugu ebu fiqilia akaunt ya watoto wa shangazi ndo imetumiqa quingizia pesa😂
@khamis9187
@khamis9187 6 минут назад
Mali na watoto ni mtihani na changamoto.,
@husna34562
@husna34562 20 дней назад
Zama zetu mirath inatenganisha ndugu 😢mwenyezimungu atupe kinaa
@adammjomba5814
@adammjomba5814 20 дней назад
Hilo ndio tatizo vijana wengi sana hupenda kurithi hawataki kutafuta chao wala hawataki kusoma kwa sababu baba au mama ana gorofa au mali matokeo yake ni kugombana na kuuana kwa sababu ya mali ya kurithi ( tafuta mali zako hata wewe ni binadamu kama huyo alieziacha
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r 19 дней назад
Inaumiza sana ila wazira anaweza kuwachukuli hatua waliotoa kibali cha kuvunja jengo ili wengine wajivunze .. Ina maana watoa vibali wanweza kuto kibali bila kuwa na uhalali wa jengo?
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 23 дня назад
Mali ni fitna na va duniai tutaviacha tuacheni dhulma
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 21 день назад
Hili likaka nijambazi sugu, na wakiliachia linaweza kuleta madhara kwenye familia yake, mtu unamkana mama yako kwa ajili ya mali? Huyu aangaliwe asije let madhara maana lina tamaa ya mali za dada zake. Lifungwe jela wala lisichekewe.
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 21 день назад
Mshukuruni Allah Mko salama,Lakini Naomba kuuliza hawa watoto wa kiume huwa hawawezi kujitafutia life zao?Wanasubiri wazaz wafe walete Tafran Ndani ya familia, huwa hawaoni Aibu 🙄🙄🙄
@DamasAmos-ue2gh
@DamasAmos-ue2gh 17 дней назад
Slaa uyompuzi mutiendani malamoja uyo nijambazi anataka kuwazulumu dada zake pigandani uyo usimwonee uluma
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 17 дней назад
Ina maana mali alio gawanyiwa haiku mfuraisha..amekuwa na wifu na mali ya dada zake..hizo ni dalili za uchawi yaani huruma mliokuwa nayo wakati baba yuhai tayari umekuwa na roo ya kinyama mpaka umkane mamaako mzazi aah kweli dunia inahadaa😢
@NanaMaembe
@NanaMaembe 24 дня назад
UYO ALAFATI NI CHOKO TU..... MKUNDU UNAMUWASHA..... AMEONGA VYAKE..... SASA ANATAKA VYA WENZAKE
@khalifakyabitara4761
@khalifakyabitara4761 24 дня назад
😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 19 дней назад
Hata kama nyinyi sio tumbo moja kwa nini wamsikilize mtu mmoja?
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j 21 день назад
Hão ndio wanaouwa ndugu zao Kwa sababu za mali
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j 20 дней назад
Mali ni zao kushatumia sana wenyewe wanazitaka wape Kwa Armani utaazirika bure
@aminaosman3315
@aminaosman3315 20 дней назад
,wakuu wa mkoa na wilaya na kamati zote za ulinzi na usalama wanajua lakini mjane mkono wake mfupi wenye watamba hawezi kupata haki zake mbele fulus
@leokamil6284
@leokamil6284 19 дней назад
Wacha tu hao ulowataja ndio mashahidi balaa wa dhulmati wa mali za watu
@aminaosman3315
@aminaosman3315 20 дней назад
,na pesa zake mchukue kwenye akaunt na mjane mumshitaki kuwa ni mvamizi mumzalilishe kwa haki zake mumsimamishe mahakamani walahi mmeitia doa uislam hijawahi kutokea tasisi ya kiislam kumdhulumu mjanelakiniallah hahongeki wala harogeki kama hawakupa hapa duniani wataikutaakhera huko ndio bora zaidi
@aminaosman3315
@aminaosman3315 20 дней назад
,jamani mbona mjane na yatima wamedhulumuwa na taasisi ya ansar wakishiriana na mganga mkuuwa mkoa meneja wa. ,bima ya afya wa mkoa na
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 20 дней назад
Intaneti Za Tz Sijui Vipi Video Za Singeli Azisumbui Lakini Video Zenye Mana Kwa Jamii Zinasumbua Weifa Zinawaka Sijui Tuko Dunia Ipi
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 21 день назад
Huyu binti Mauki alitakiwa ashikilie kutaka kupewa notisi na yule aliyempangisha na sio huyo tapeli.
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 21 день назад
Rushwa na dhuluma ni zao la ibilisi Hata wakuu wa idara wanapewa rushwa
@leokamil6284
@leokamil6284 19 дней назад
Sana nchi hii
@HabibuHoseni-sv8hd
@HabibuHoseni-sv8hd 18 дней назад
Jmn hii dunia hii inatupeleka kasi san arafat acha izo ongea na dada zako kwa wema kama umeishiwa watakusaidia kwa hiar
Далее
Наташа Кампуш. 3096 дней в плену.
00:58
PORTAL SPAMMER🤬🤬🤬| Doge Gaming
00:19
Просмотров 1,3 млн
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Просмотров 64 тыс.
Наташа Кампуш. 3096 дней в плену.
00:58