Huna haja ya kusema ndugu zetu wapemba hakuna ndugu zako kule, sema tu wapemba. Maongezi yako ya ovyo yanaashiria ubaguzi na chuki zilizokujaa dhidi ya wapemba. Lkn kumbuka duniani tunapita tu hii. Cheo kisikupe kibri.
"Mwacheni muheshmiwa azungumze" Nauliza swali Mwakilishi na mwenyekiti lao ni Moja? Ivi kweli Pemba itapata maendeleo Kwa mfumo huu? Alhamdulillah Yaa Allah tujaalie waja wako dhalili sisi wapemba, tunyime Raha na starehe za duniani, tujaalie maisha mazuri huko akhera. Ammyna
Huyu hasa sijui yupoje! Hapo ukiangalia ndio sawa unaipa mdomo serikali ya Muungano kusema bara ipate asilimia kubwa kuliko Zanzibar kwa sababu ya population. Ndio mfano anaoleta huyu jamaa.
Kipind Cha sheni Hawa kuku poni alikua hawapo..lkn kwa limwinyi limezid kuleta upemba na uunguja..wallah subiri ifike 2025 hakupas kuonesha uungja ingawa ni waziri
Mwambieni ,kuwa kaka yetu marehem Raza alikuwa ni ccm lkn hakuwahi kuongea huu ujinga .... Na kwa upuuzi huu maisha watatumwa na watanganyika kujimaliza wenyewe...Allah atujaalie kutuondoshea viongozi wa aina hii.
Kuna wakati nilikuwa ninaongea na vijana wanaotarajia kuhitimu shahada zao Tunguu...vijana hao walikuja Unguja kutoka Pemba kwa ajili ya kusoma...niliwauliza endapo watarudi Pemba pindi wakimaliza masomo....walinijibu la hasha...wao wameshatoka Pemba kwanini warudi huko....na waaendelea kusema na siku wakivuka maji kwenda Bongo (Bara) ndiyo hawarudi tena
Sawa, ila zile boti zinazoshusha malaya kutoka bara hamzioni kwasababu ni ndugu zenu wa damu. Hivi sasa ukipiga hesabu wahamuaji wanaoingia Zanzibar kutoka bara ni wengi kuliko watoto wanaozaliwa Zanzibar. Tatizo lenu mnasumbuliwa na ujinga na hasadi, waja wa laana nyie mtakwenda kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa kuufisidi Uislamu Zanzibar kwa tamaa za nafsi zenu.
@@omaryjumas6327 hao laki 7 anaosema wapo Unguja laki 2 nzima kutoka bara kwann hasemi wabara walokua sio kwao wanaingia kila siku na vitambulisho wanawapa hasbiyallah mahasidi wa nchi yetu.