Тёмный

HECHE AIVAA CCM ADAI WANA UTANI NA MAISHA YA WATU HATUNA NCHI 

IPINDA ONLINE TV
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

IPINDA ONLINE TV.............Asante kwa kuchagua Ipiinda online tv......usisahau kusubscribe

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@mozesjoseph7630
@mozesjoseph7630 Месяц назад
Yani heche. Unasema. Ukweri. Mtupu. Hata mazao. Yetu. Wananunua. Bei ya. Hasara.
@user-tx5nc4zq4g
@user-tx5nc4zq4g Месяц назад
Tupo pamoja kamanda wetu
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r Месяц назад
Yani ukiliona lijitu lipo ccm mwangalie vizuri akili zake
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Месяц назад
Hawa serikali wanaotoza kodi hadi nyumba ni serikali yawanyonge kivipi
@munuoisaack418
@munuoisaack418 Месяц назад
Hivi kweli ina maana Nchi hii hakuna wazee kabisa mpaka kila kitu kinakuwa chini ya waarabu,,,Ee Mungu tuponye tumekuwa chini ya kongwa la ,,,,,,,
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Месяц назад
Unataka wazee siyo vijana? Angalau ungedai ushirikiano.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Kamanda heche upo vzr siosiri
@Juma-e8l
@Juma-e8l Месяц назад
If you stand for truth always you remain alone;dah naskia professor Mkenda anaboresha mtaala wa Elimu na mashine za kuprint vitabu vinepelekwa nje kuprintiwa namna hii tuzalishe watalam we never develop unless we change our mindset lakin watutachoka kupasa saut wapo watako tuskia🫡
@BahatiRamadhani-i8f
@BahatiRamadhani-i8f Месяц назад
Saf san
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile Месяц назад
Watanzania bado wako gizani hivyo ni ngumu sana kuona . Wewe malia kuwaeleza halafu uwaulize ulicho sema kama watakupa mjibu . Wengi watakuuliza ulikuwa unasemaje kweli ? Make mimi nilikua na mawazo huko nyumbani watoto hawajala mchana . Waulize hapo kama wanakuelewa unavyo sema wengi ni 0
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Месяц назад
Yaani heche akili nyingi kama zangu balikiwa kaka
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Месяц назад
Akili kubwa
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Месяц назад
Bonge la mtu kama heche hakuna
Далее
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Просмотров 47 тыс.
Breaking: Gachagua takes over Nairobi from Ruto
9:26