Тёмный

HEKIMA ZA MBUNGE KISHIMBA ZAMKOSHA TABASAM / AONGEA MAMBO MAGUMU KWA LUGHA NYEPESI 

Gangana Info Channel
Подписаться 370 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Wewe mbunge kishimba una hekima na busara sanaaaa mungu akuendeleze kuwa mbunge wa kudumu kahama
@lameckernest633
@lameckernest633 Год назад
Kwàñ hawa mawaziri vigezo gan vinatumika kuwachagua bona wavivu sana wa kufikiri hongera kishimba
@onelovetz7935
@onelovetz7935 Год назад
Ungekuwa rais nchi hii ingesonga mbele
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry 10 месяцев назад
Apewe maua yake🎉
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 Год назад
Mimi katika bunge hili ua na subili sana kuona Mzee wangu asimame azungumuze kwakweli uwa nafarijika kwa mchango wake Asante sana mheshimiwa
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 Год назад
NAKUKUBALI SANA MZEE 🇹🇿"
@dr.mhochi8249
@dr.mhochi8249 Год назад
Nakukubali xana mxee
@jumasangya8709
@jumasangya8709 10 месяцев назад
karibu sana ilemela mh kishimba
@jumannehassan242
@jumannehassan242 Год назад
Kishimba uko vizuri unauwezo wa kufikiri tutetee bwana mdogo mheshimiwa wetu wa KAHHAMA
@ms123ru
@ms123ru Год назад
Mhe. Dokta professor Jumanne kishimba (mb)
@Expedito2512
@Expedito2512 Год назад
Hongera mzee Kishimba
@benardethamhela4898
@benardethamhela4898 Год назад
Uko juu mheshimiwa kishimba .wewe una akili nyingi sana .kumbe ndiyo maana watu walikufanyia kazi walifanikiwa .hela zako zina baraka .una upendo ktk maendeleo .mungu azid kukuongezea
@evaristjoseph8151
@evaristjoseph8151 3 месяца назад
Wangefunga galilaya,, tena wanavua wao
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Год назад
Kwangu ni Mbunge Bora
@alvinbernad6549
@alvinbernad6549 Год назад
Fact sana mbunge
@jumakatanje955
@jumakatanje955 Год назад
Huyu mzee kwann asigombee urais huko ccm,,maana hiki kichwa jaman
@jeromewilliam3009
@jeromewilliam3009 Год назад
Masheria mengine bana...yanatutesaga tu wajameni
@sesanyisesanyi-mh7ug
@sesanyisesanyi-mh7ug Год назад
SUPERB CONTRIBUTION
@gigoyrn4394
@gigoyrn4394 Год назад
😂😂😂 ukimsikiliza kishimba afu umskilize lusinde utaamini wagogo ni vilaza
@juliusndule4016
@juliusndule4016 Год назад
Wagogo wamefikaje we jamaa utani sio
@selemanisalimu8377
@selemanisalimu8377 Год назад
Mwamba anaongea wote mue kimyaaaaa
@mrsmile5425
@mrsmile5425 Год назад
Mbunge pekee anayefahamu kwanini yupo bungeni, anaongea namna ya kurahisisha maisha ya mwananchi wa kawaida
@athanasekiyoja8369
@athanasekiyoja8369 Год назад
Ma ccm ,jifunzeni kwa mzee Kishimba,tangu kuongea amejaa busara na maono,mnatuletea watu kama Lusinde wao wameamua kufanya Uchawa kwa serikali.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Hao hawana kitu uchawa una muda wake watu wanalia tozo mlo mmoja tu nk subirini 2025 pengine muibe kura cha moto mtakiona
@MarandaIhonde-qe6df
@MarandaIhonde-qe6df Год назад
Huo ni unyanyasaji wa wananchi mtu amerima mwenyewe alafu unampangis kuuza huo wizi tena mkubwa
@batulimwasisime886
@batulimwasisime886 Год назад
Mzee huyu ni kichwa
@charugamba218
@charugamba218 Год назад
Hivi vile vyuo vikuu vinavyo toa Dr. na PhD za she's sheshima katika medali za siasa havimuoni huyu mzee kishimba!? Binafsi namuona anastahili heshima hiyo kwa madini anayotoa kichwani mwake. Ukweli anafikiri kwa kina sana na michango yake siyo ya kuipuuza aisee
@Laajo1994
@Laajo1994 Год назад
nendeni uko wanasiasa nyote wizi tu😢
Далее
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Просмотров 155 тыс.
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC
00:19
Просмотров 4,8 млн